PENZI LIMEKOLEA | BAHATI HAIJI MARA 2 | NAMPENDA ANA PESA | NDOTO YA KILA MWANAMKE | HELLOW MR RIGHT
Вставка
- Опубліковано 26 січ 2024
- ►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder - Розваги
Mr right kajichagulia kazuri na kamevaa gauni refu la heshima
Wabongo ubunifu jamani nawapenda majirani ,Mc Gara B,Miss Aaliyah ,Dr mko na chemistry kali Bwana....show nayo ni moto kama pasi 🇩🇪🇰🇪
this was superb tokea nimeanza kuangilia mr right
Nimeipenda mnooo
Bonge moja la show tangia nmeanza kuangalia hii kitu hii ya leo imesmama
Huyo dada ni haki yake kwanza amevaaa vzr
Wanaendana MashaAlla wote wadogo wadogo
Amechagua aliyevaa nguo😅
Honger kaka umechagua mke amevaa vizur mungu awasaidie
Mr right yupo sahihi na makini sana... unajuwa bro kuchaguwa
It's amazing wanaendana sana kwakweli nimependa
Kaka Ana jua kitu kizur balaaa Wahehe Fireee
Wow hii nayo ni very fantastic wallah 💝💝💝👌👌👌💥🔥🔥💯
Usitaje jina la mwenyezi mungu kwa zinaaa
Jamaaa katisha sanaaa
mkaka mzuri huyu nmempenda pia mm
Nimependa uyokijana nikweli kapenda rangi ila atamavazi yanawezakusababisha, wakumbuke uyoanaechagua nikwamba anataka mke kweli , atakaepeleka kwa wazazi , nimeona wengi wanaochagua nakwasiriasi awangalii uzuri wanaangalia muonekano wa mtu, ❤❤❤
Sijawahi comment but D's so amazing ❤❤
Kamchagua mzuriii😂😂😂 elizaaa anazeekea apo apo
Eliza nakuombea uendeleee kuozea hapo😂😂😂😂malipo ni hapa hapa
😂😂😂
Naomba ivyo juu ananyodo nyingi
😂😂😂😂😂live bila chenga
Siyo vizuri jamani 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema mr right yuko makini bc huyo mwanamke nae awe na utulivu jmn
Kweli zabibu na your are red wine
Hahahahaha Mr right nimekukubal snaa njonjo hz broo umejipang hahahahah eliz huyoooo kaachwa
Eliza sasa niwakati wako wakukataliwa 😃😃😃 umekata vijana walio kuchaguwa sasa utazehekeya apo ulizani hawutakataliwa leo njo leo
Malipo ni hapa hapa Duniani....kashapigwa na kitu kizito kichwani😂😂😂😂
Naomba wamkatae sna hadi aondoke apo bila mume maana alipendwa mwanzo kazingua saf sana
Yatamkuta yale ya Recho😄😄last season,alichaguaga hivo hivo mwisho wa siku akaondoka na mtu tu ilimrad
Kwanza mwenyewe mzee 😅😅 au macho yangu yanaona vibaya
Wahehe tunajua kupenda wee acha tu mtoto umedumbukia kwenye penzi zito la mhehe😂😂😂😂
Hahahjja mhehe romantic❤
That's a marketing strategy, ww think its Mr right but the he is advertising his business.
How painful Liz!!! Jamani janani sokuhizi Mungu halopeshi astaghafirullah
Nifurahia hili penzi jipya Mungu ayilonde idumu ndoa yenu milele
Ushawafungisha na ndoa 😅😅😅 ndoa imekuwa so simple 😂😂😂
@@hawaramadhani6954😂😂😂😂😂😂😂
The very interesting episode ever,the guy is Very romantic
Karembo kweli
Nyege tu
Wow beautiful girls in Tanzania
Mashaallah wanaendana👌🔥🔥🇧🇮🥰🥰
Huu mchezo hauitaj hasira 😂😂😂😂 nice couple ❤️👌 pole Elizabeth 😂
Ungemvuwa,miwanii,machoo,yamooo
This is best episode ever. Big congratulations to this beautiful girl, she looks humble and beautiful. Nakutakia maisha marefu my beautiful pp
Watching from Australia
Just like wooow
Yup sawa kwa usahii wako
Huyu kaka ameweza
Nyie huyu kaka 😊
Waooooow❤
All the best Mr & Mrs Right❤
Mr right kachagua kaka cool kazuri amejua kweli
😂😂😂😂😂 Mnyalu ana mbwembwe
Jaman nmeipenda hii couple
Honger
Mmeendana sana et❤
Jee hii NI Halali kwenye dini zetu zote tunazo abudu.,Au ni kumsaidiya shetani na kumshangiliya zaidi...?Kwa sababu hakuna anaye weza kuwa na unahakika kama watakwenda kuowana yaani kuchumbiyana au kufanya ufuska Tu kisha kuwachana njiyani...Na ningalipenda Kwanza hao wanawake walio kwenye hichi kipindi Kwanza wavaye mavazi ya heshima...kama anavo vaa huyu mtangazaji mwanamme mwenzetu MashaAllah anavo jiheshimu.
Eeeeeeiiish love is a beautiful thing ❤
One love ST BONGO TV
Bonge la gentlemen
Wanaendana San nimeipenda
Naomba Mungu awajalie wanangu wake wema mana SS tuliozaa madume matupu mtihan jmn 😂😂 utaona mwanao anaenda hapo kutafuta mke jmn namuombea apate mke mwema
Usihofu Mungu amesikia maombi yako
Aiseeee
Waooo❤️
Waheh tuna kiti chetu heaven 😅😅
😂😂😂
haaaaaaa ila hii dunia😂😂
Couple hii imependezaaaaa nimeipenda sanaa
Jamani mke au mume anapatikana popote pale pawe pabaya au pazur mungu ndie anae kuandikia
Jipe moyo uchague galasa
Yeah kwa kweli
Nenda Tandika,au Temeke mwisho,buguruni pote huko utapata huko mke mwema bro
Muwe mnamtag bsi hao wakaka jmn🎉
Mmh jamani fanye mkificha mana hii show mwisho mwisho kabla cja itizama Nisha jua Mr Right ataondoka na nani so Mr Right session five cku enjoy uko mwisho rekebisheni plz but cto sahau hile ya Anita ex kuwa keki
This is the best Mr Right show tangia inaanza 🎉❤
🔥🔥🔥❤️❤️
Amazing couple
Wanyalu kolo tunapenda sket ndefu za heshima
indolo muhimu
Enyewe jama akachaguwa huyu naye mrembo kweli❤
Wameendan jmn
Jmn uyu kaka nyie 😂😂😂😂 wamependeza sana
Walivyobaki wawili huyo mwenye makalio makubwa alijiamin sanaaaa😂😂😂😂
0:23 seconds mr right amedhihirisha kwamba yeye ni mkulima, nani anaweza kumuacha Tina ??
”Na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.“
Isaya 4:1 RSUVDC
Hizi ni Siku zilizotabiliwa Mume ama mke hatafutwi kwa njia Hii
Huu ni ukahaba Kama ukahaba mwingine sema hapa umeboreshwa tu na kuwekwa hadharani .
Jamani kweli kipindi sawa ila tiwe tunashuhudia naharusi zao sio wanaenda kichezeanatu
Upuuzi
Huyu eliza si anaigiza kwenye kitimtim na akina pili jaman
Jamaa apunguze kuangalia waphilipino..😂😂
hivi hii ni tamthilia au ni kweli
Sema mwamba anatisha mpaka basi
Hahahaha ❤wow
❤❤
Huyu kak ajaj kuchagua moe kaja kuchagua mtu wa kula pesa yake
Wasukuma wajanja kinoooma tokazamani hiii sindio ziile CHAGULAGA yauswahili
Siio MUSUKUMA HUYU NI MHEHE fuatilia tokea mwanzo😅😅
@@mohamedally4496 unaijua CHAGULAGA ww uliza kandayaziwa
❤❤❤❤❤❤❤..#COUPLE...🥰
kajitaid kuchaguwa
Hivi huwa mnafatilia hawa watu baada ya hapa au
Ritah ndo alikuwa Golden Girl..
Shkamoo Eliza ujuaji mwingi
Jaman elizabeth pole sana sema dada una mdomo sana yani unaongea kuliko wenzako angalia usije ukazeekea apo
Hiv wanavyochaguana hiv ni kwamba wanaoana kweli
Mmefanya vizur kumshusha maana ameongea rude Kwa ofisi ynu Bora alivyoaaga pambano😂
Hahahaha jamaaaa kapow san ila eliza anagundu jaman
Ukimwi nje nje ungewambia wapime jmn mnauwana watanzania kwa watanzania jmn 😢
Umeambiwa umkumbatie kaka acha uboya🤣🤣🤣🤣 unaniangushaa
Naipenda sana emission hii, niko nchi ya nje nataka mke Mtanzania ❤️
Wow nipo hapa
Uko tayari ?
Nipo hapa jamani
@@user-fz2de4qn2r 💕💕
Ila Gara B
Hii hali ya wanawake kwenda kujipanga kuchagua mwanaume na baadhi kuachwa kama mitumba naona kama udhalilishwaji!
Nimeipentaaa hii caple❤
Just talk kiswahili
Tumepoteza shamani ya ndoa
Nice couple
❤
Wiki kesho na mm nakuja hp mjengon dah but sielew maelekezo mpk back hapo
Wakikosa na wanasemaje nili kununua