MR RIGHT ASHINDWA AMCHAGUE NANI | ELIZA ANALIA | APIGA MAGOTI KUMSHAWISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 223

  • @chebetjemmimah1476
    @chebetjemmimah1476 11 місяців тому +13

    I really love Mr right Tanzania so much organised displine and respectable ❤❤❤❤❤

  • @Huncho_taitan_breezy
    @Huncho_taitan_breezy 11 місяців тому +30

    Y'all men take a note from this guy and learn something,, he's Gentle, composed, focused and sober minded... that's whats ladies love from a man.

    • @baloz8974
      @baloz8974 9 місяців тому

      The problem is ladies this days, they're so interested In materials than love .

    • @CesiliaMallya
      @CesiliaMallya 2 місяці тому +1

      Exactly ❤

    • @Huncho_taitan_breezy
      @Huncho_taitan_breezy 2 місяці тому +1

      @@CesiliaMallya ❤️

  • @SIMONZAVERY
    @SIMONZAVERY 7 місяців тому +4

    Yes mr right I'm watching from UNIVERSITY OF INDONESIA🇮🇩 UI muhehe Mwenzangu from iringa Tanzania umewakilisha gud sana

  • @EvethaShirry
    @EvethaShirry 11 місяців тому +7

    Mr light anajielewa Mungu amsaidie tu ampate Alie sahihi

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 11 місяців тому +10

    Huyu doto anasimamaje jmn😮😮😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Elizabeth alizani yeye ndio yeye😂😂😂😂😂😂

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 11 місяців тому +8

    NAWAPENDA SANAAAA...GREETING FROM COPENHAGEN...DENMARK.. 💥💥💯💯💯🥰

  • @rogdermunene3457
    @rogdermunene3457 9 місяців тому +2

    Watching from Kenya

  • @EssyMellina
    @EssyMellina 8 місяців тому +2

    Watching from Kenya ,,Mr right is awesome ❤

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 11 місяців тому +90

    Siku za mwisho zinaa nihalalishwa Ee mola wetu tunaomba utusamehe nautupe mwisho mwema ya Allah

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 11 місяців тому +8

      Zina ndiyo nn mm nasemaga kila siku nyiee waarabu wamewaharibu Sanaaa

    • @AnastaziaDaniel-rm1iq
      @AnastaziaDaniel-rm1iq 11 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣​@@deogratiusyudatadei5658

    • @hamingtonkiti1357
      @hamingtonkiti1357 11 місяців тому +7

      Sinners judging sinners

    • @onlinemateustv1925
      @onlinemateustv1925 11 місяців тому +6

      Kwa waislam hiyo ni zinaa lakini wanao mwogopa Mungu hiyo siyo zinaa haimaanishi ukimpata mliyekubaliana hapo mkafanye zinaa bali mkitoka hapo mwende kwa viongozi wenu wakiroho awabariki

    • @johnfredy8809
      @johnfredy8809 11 місяців тому +8

      Alafu wewe fala toa upuuzi wako hapa, ww unaangaalia nini??

  • @RuthCommercial-zp4dq
    @RuthCommercial-zp4dq 2 місяці тому +1

    Bonsoir de la part des tous les congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤❤❤

  • @shabluekapera4027
    @shabluekapera4027 26 днів тому

    Hongera

  • @Watema23
    @Watema23 11 місяців тому +14

    feminist" relates to a social and political movement that advocates for gender equality, while "feminine" pertains to qualities or attributes often associated with traditional notions of femininity but can be found in people of any gender. It is important to avoid stereotypes and promote gender inclusivity and equality.

  • @ZatoshirJalapah
    @ZatoshirJalapah 11 місяців тому +1

    Nimependa sana hii ❤

  • @HabibuRashidi-l5t
    @HabibuRashidi-l5t 28 днів тому

    Jamani na mm nataka kuwa Mr right

  • @Farhya-d6l
    @Farhya-d6l 2 місяці тому +2

    Kaona iringa hawajatulia ndo maana kaja dar😅😅😅

  • @maximilajemwetich8038
    @maximilajemwetich8038 11 місяців тому +1

    Nimependa jinzi anapojieleza ❤

  • @rajanmduda32
    @rajanmduda32 Місяць тому

    Ndugu yangu wewe Oscar mbona mtaani kuna wadada wazuri wengi tu bado wapo wengi saana hadi ukaamua kwenda kujionyesha mbele ya watu inamaana hata kipindi unasoma chuo hukuwa na marafiki kweli wa like na ukaona yupi anaweza kuwa mke mwema kwako????

  • @Mrszizo-d7t
    @Mrszizo-d7t Місяць тому

    ALLAH atusamehe

  • @kitengeibrahim7050
    @kitengeibrahim7050 2 місяці тому

    😂😂😂Iringa mambo yashakuwa mengi zabibu zaijiwa Dar

  • @GoodluckBhayalimo
    @GoodluckBhayalimo 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂 kaz mnayo sijui soko akuna

  • @theresareed8537
    @theresareed8537 11 місяців тому +4

    Yes tuko pamoja Mimi Michael kutoka America Arizona

  • @ollenshamba
    @ollenshamba 10 місяців тому +1

    Eliza kimemlamba Leo 😅😅😅😅 anajiona yeye ndo mwanamke mzuri kumbe kuna wengine sio vitu vyako 😅😅😅 ila Lolo kanichekesha sana

  • @abdullahrashidi8582
    @abdullahrashidi8582 9 місяців тому +1

    Ebwana uyo mr noma anabahati sana

  • @EleonoraKasunga
    @EleonoraKasunga Місяць тому

    Aaaah jamaa Yuko vzr anajielezanmpk warembo wanavhanganyikiwa wanas2ka wamewasha taa

  • @HajjiMkirery
    @HajjiMkirery 9 місяців тому

    Mr right....inadhalilisha sana wanawake.....wao hao wanaweza kuweka watoto wao wa kuwazaa hapo na kuwanadi?

  • @JackWakishuwer
    @JackWakishuwer 9 місяців тому

    Kila mtu kuna jinsi mungu amempangia wap hata pata aliye wake so kuwa mke na mme ni so kitu lahsi❤❤

  • @DennisDidas
    @DennisDidas 11 місяців тому +2

    Mwanamke mwenye suruali yenye kitamba cheusi cha mgao na top ya white mweupe wa kwanza kushoto. Huyo ni mwanamke ambaye angemfaa sana.

  • @christopherjohnmarwa3390
    @christopherjohnmarwa3390 4 місяці тому

    nice program

  • @CelinCelineort
    @CelinCelineort 11 місяців тому +1

    Elizabeth ni mwendo wa kushundaaa tu😅😅😅😅😅 mbaka utazeeka apo nyauù we

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 11 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MichelleMobasa
    @MichelleMobasa 2 місяці тому

    Ukitolewa wa kwanzaa dah ndo noma kabisaa😢😅

  • @GeorgeMasai-ud5dy
    @GeorgeMasai-ud5dy 8 місяців тому +1

    Umetisha broo

  • @lizzydakises5726
    @lizzydakises5726 11 місяців тому

    Mr Right kafanana na mdogo wangu fullllllllllll

  • @AnithaHaruna-s5p
    @AnithaHaruna-s5p 2 місяці тому

    Mr Right jamaani uwiii ndio nikupate mimi hayaa!!

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 9 місяців тому +2

    Bila kujua au kuelewa ni ushetani huu nawasamehe kwa kuwa hamjui mnalofanya

  • @MichelleMobasa
    @MichelleMobasa 2 місяці тому

    Apo ndo anapatikana yule aliewazidi wotee😂

  • @FreddyBoy-ng8ik
    @FreddyBoy-ng8ik 11 місяців тому +2

    Hameçon happy you good

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 11 місяців тому +13

    Mr Right anajitambua I love that confidence

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 11 місяців тому

      Yani huyu ni kiboko kabisa kwa vile vidada vinavyojiona vyenyewe ndiyo kila kitu

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 11 місяців тому +3

      Mtu anayejitambua hawezi kwenda kutafuta mwanamke hapo mabinti wanaojiuza waziwazi anajiamini ndio lakini bado mtoto

  • @ZachariaYohana-nw3xe
    @ZachariaYohana-nw3xe 7 місяців тому

    Et I watoto wa 2000wanazeeka my dear cyo wore w turia hapo ukipa bas uspopata bas 😂😂😂

  • @BeatriceEdison-f2o
    @BeatriceEdison-f2o 11 місяців тому

    Kaka zetu wanajitambua sana , Fanya Uchaguz sahihi Wasije kukuchanganya hpo

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 11 місяців тому

    Wow very nice program and beautiful girls.

  • @BeatriceEdison-f2o
    @BeatriceEdison-f2o 11 місяців тому

    Mbona htujaona, Apatire Mhinza nan 😂😂Mhehe

  • @PatiensKyaluzi-sk4up
    @PatiensKyaluzi-sk4up 8 місяців тому

    Mr right noma justa kutoka mwanza

  • @MwanaidiAmiri
    @MwanaidiAmiri 3 місяці тому

    Hellooo mr right nitawapataje

  • @LadyyJemsii
    @LadyyJemsii Місяць тому

    Msanii bahat alipata mke wake hukuhuku kwamr Right

  • @Hungrydonkey9345
    @Hungrydonkey9345 11 місяців тому

    Haya mambo ya Mswati😂😂😂

  • @BENEFITMATERIAL
    @BENEFITMATERIAL 2 місяці тому

    hii haina tofauti na kujiuza ila ki-digital zaidi

  • @Emanueli-vz6fd
    @Emanueli-vz6fd 8 місяців тому

    Mademu wenyewe ni kama wametumika mpka wamechanganyikiwa😅😅😅😅

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 6 місяців тому

    Ana nyota yaukimwi 😂

  • @pamelafelix6361
    @pamelafelix6361 9 місяців тому +9

    Ila uyu mhehe ametuangusha sana...iv ametafuta mwanamke iringa nzima amekosa hadi akatafute izo ngadu apo????😂😂😂😂

  • @leshyhaule
    @leshyhaule 11 місяців тому

    😅😅😅😂😂 Mr light

  • @FaridaRamadhan-de1ys
    @FaridaRamadhan-de1ys 11 місяців тому +8

    Naona comments nyingi ni sk za mwisho ila kwa mm am proud to be farida😂😂😂😂

    • @ElizabethMchomvu-s2d
      @ElizabethMchomvu-s2d 11 місяців тому +1

      Wanabangi siku zamwisho zawapi mtu ukifa ndio kihama chako anazaliwamwingine anaiishi labda dunia ijae maiji😂😂😂

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 8 місяців тому

    Hy ni club ya Zinaa mtaenda jibu jibu hili

  • @FootballHM-r5t
    @FootballHM-r5t 11 місяців тому +1

    Aisee watu tuna macho tofauti from the beginning macho yangu yameona Kwa batuli the blue one ndio hvyo tuu vile hatuwezi kutokea sehemu kma hzo

  • @isidorimayagilo3806
    @isidorimayagilo3806 10 місяців тому +1

    mienaendelea kuuliza waandaaji kuwa mnafanya utafiti juu ya hawa vijana? nadhani inaweza kuwa sehemu ya kuwasaidia vijana wanaoona kuwa hili ni sehemu ya kupata mke...... Je wanadumisha mahusiano yao ? hii ni tathimini nzuri kwenu na wadau wenu. ni mtazamo tuuuu

  • @AngelGodfrey-xh5zy
    @AngelGodfrey-xh5zy 8 місяців тому +1

    Zabibu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RahimMatambala-w7r
    @RahimMatambala-w7r 8 місяців тому

    Ogopa matapeli mji huu hauuzwi...huyo jamaa si mtu mzur anaend kumpotezea muda huyo bint

  • @bantu573
    @bantu573 11 місяців тому

    Watching live from kenya...where is johara...!!!

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 11 місяців тому +1

      Amekosa mwenye digre😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @WinnieBenard-x5c
    @WinnieBenard-x5c 11 місяців тому +1

    Ndio tumefika huku😅😅

  • @ChillumbaEdward-nz9xr
    @ChillumbaEdward-nz9xr 9 місяців тому

    Nimependa hii mwanangu kawa yuko makin xana

  • @TemboMjeshi-k4c
    @TemboMjeshi-k4c 2 місяці тому

    Kwahy mkishatoka apo ndo unaenda kulalana au

  • @RahelBuhuru
    @RahelBuhuru 11 місяців тому

    Leo eliza watakunywea chaii

  • @elizabethkujerwa
    @elizabethkujerwa 11 місяців тому +1

    Kicheko cha Aaliyah😊

  • @HusudaMgeni
    @HusudaMgeni 7 місяців тому

    Filibahaipa nyeeee mukwi yudada

  • @preciousjacob5742
    @preciousjacob5742 11 місяців тому +1

    Yani nyie angekuja hata madebe lidai mgemskiliza kwa misemo yake ...lkn ndo anateseka dadayetu saivi hawa wanaume wa hivi wenye misemo siwaamini mimi kabisa

  • @Lassana755
    @Lassana755 9 місяців тому

    nigaieni christina nimemuelewa sana

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Місяць тому

    Huyu kaka kaondoka na yupi

  • @AdelinaBruno-mz2rx
    @AdelinaBruno-mz2rx 11 місяців тому

    Diva ulivyoongea nimekajmn duuuuu😂😂😂

  • @PaulWilly-k6u
    @PaulWilly-k6u 2 місяці тому

    siku za mwisho mbizaa zitakuwa zinawakuta ndan

  • @SibaSaid-k6d
    @SibaSaid-k6d 4 місяці тому

    Jamn mbona izi video zenu znaquality mbovuu

  • @FadhilMkulu
    @FadhilMkulu 3 місяці тому

    Mbona mi naona ni kama masister door hapo, utampata mkulima kweli hapo au atataka kwenda viwanja kila siku by mkulu kutoka marekan

  • @fortunatabernard6922
    @fortunatabernard6922 11 місяців тому

    Kweli kabisa zabibu nzuri ili kutengeneza wine nzuri 🍾🍾 katika familia moja ❤

  • @nelsonmbilinyi9798
    @nelsonmbilinyi9798 10 місяців тому

    Nakipenda sana hiki kipindi

  • @jeniphaledas6588
    @jeniphaledas6588 11 місяців тому

    Mmmmmmm ujinga mtupu kweli yesu yukalibu kurudi

  • @AminaVyukusenge-b4t
    @AminaVyukusenge-b4t 11 місяців тому +5

    Jaman MR gra b anakisauti kizur

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 11 місяців тому +1

      Cheko yake naipenda mno

  • @ReginaLubaja
    @ReginaLubaja 7 місяців тому

    hivi Eliza aliishia wapi?

  • @elisifaedsoni
    @elisifaedsoni 8 місяців тому

    Jamn mmh hii kitu sielewag kbxa

  • @ZerudeizyTrezney
    @ZerudeizyTrezney 11 місяців тому

    Aayiii mbona ikaisha kabla sijaona golden gyal jamani

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 9 місяців тому

    Sasa kamchagua nani

  • @BensonChirizostom
    @BensonChirizostom 7 місяців тому

    Nami naweza kushilik

  • @SalesiaMwalongo-vw3ui
    @SalesiaMwalongo-vw3ui 8 місяців тому

    Ivi wakitoga apo hayo mahusiano yanaendeleaga au ndo yanapotelea

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 11 місяців тому +2

    Hakuna dem mzur ata mmoja apo jaman tuseme tu ukwel 😂😂

    • @danielndei5420
      @danielndei5420 11 місяців тому

      umemuona lolo🥰

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 11 місяців тому

      @@danielndei5420 😂 lolo mwenyewe kabak kama Loli😂😂😂

  • @FrankPatrick-ty2pb
    @FrankPatrick-ty2pb 11 місяців тому

    Which country this?

  • @RajabuAlly-m1p
    @RajabuAlly-m1p Місяць тому

    Eliza anatia huruma sn sema tu hatakubali uke wenza ningemsitiri

  • @IbrahimMalela
    @IbrahimMalela 6 місяців тому

    Eriza huyo alikua sio wa kuacha

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 9 місяців тому

    Maskini.wanawake wanajiuza kama maembe

  • @amazingmocky
    @amazingmocky 11 місяців тому +1

    Bro looks like grapes😂

  • @DanielMusiki
    @DanielMusiki 3 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @mmugishasteve9970
    @mmugishasteve9970 11 місяців тому +3

    Kwenye kilimo cha zabibu on the point of cooking 😂😂

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 11 місяців тому

    Hivi wakitoka hapo wanakuwa wanaenda kuishi pamoja pasipo doa kisha ndo baady au : sielewi

  • @Lazarohamis
    @Lazarohamis 11 місяців тому +2

    Mr right ameupga mwingi

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 11 місяців тому +3

    Mbona nyie mnakata kata show ili mpate viewers nyie sio kama Kenya wao show ni nzima unaona mwanzo hadi mwisho kila kitu, hii Tanzanie yetu kila kitu ni shida, kuanzia serekalini hadi vijimbwi shida, amna paku kimbilia... Wekeni show nzima ili ivutie jamanii Eeeh!!!!!

  • @modricnoma3686
    @modricnoma3686 11 місяців тому +1

    dah! Aiseeh Me nampendaga huyo Lolo jamani
    Ni demu mzuri kinoma ila mtu unaweza ukaenda hapo kumfuata
    akakupiga na kitu kizito ukufe kama sio kuzimia 😂😂😂

  • @sadikikashindi3441
    @sadikikashindi3441 11 місяців тому +2

    Ongera sana mrster right

    • @HildaDogani
      @HildaDogani 11 місяців тому +1

      It's mister not mrster

  • @plaizoo5448
    @plaizoo5448 11 місяців тому

    🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿

  • @MerosNkurunziza
    @MerosNkurunziza 11 місяців тому

    Leo nimepend❤

  • @sirajially576
    @sirajially576 10 місяців тому

    Feminine (Feminini) sio feminaini

  • @hillaryphilip4323
    @hillaryphilip4323 11 місяців тому

    Dressing cord ndio shida tu

  • @JastinYusuph-py5sx
    @JastinYusuph-py5sx 11 місяців тому

    Mm jastin kutok mwanza mr lait katisha

  • @FarajaFrance
    @FarajaFrance 9 місяців тому

    Magoti ya nini tena

  • @barakarashidy2997
    @barakarashidy2997 10 місяців тому

    Sasa nani alichukuliwa apo mnaboa bhana