MR RIGHT ASHINDWA KUVUMILIA ATOA CHOZI | MREMBO AMCHAGUA LICHA YA KUA MUUZA MITUMBA | MR RIGHT S5E02

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 89

  • @HRashidMsigwa
    @HRashidMsigwa Місяць тому +5

    Nimefurahishwaa sanaa na hawa watu kwa kwer Mungu awabarikii sana tn sanaa.ila mwamba nampa ushauli ampe mda wa kutosha uyo binti najua watainjoy life❤

  • @kiiorhodah5123
    @kiiorhodah5123 2 дні тому

    Mungu akubariki Sana kwa upabanaji wako na pia kuwa mkweli..
    Mume WA maana

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا Місяць тому +5

    Huyo rajabu mhuni huyu mlevi😅

  • @FrancisMliga-pp7cp
    @FrancisMliga-pp7cp 12 днів тому +2

    Punguzeni Back ground music

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 23 дні тому

    We dada mweupe na wewe unavisa 😂😂😂😂😂 unamfanyiaje mr right ivo

  • @magrethjulius4059
    @magrethjulius4059 18 днів тому +2

    Hv garab nkiitaji kujoin nafanyeje naomba maelekezo

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570 13 днів тому +3

    Mhmmmm je wanauzwa hao au n bure

  • @nasrajamaldin5505
    @nasrajamaldin5505 21 день тому +1

    natamani kujua muendelezo wa wao Kwa kweli

  • @SCHOLASTICAMJAMESJAMES
    @SCHOLASTICAMJAMESJAMES 11 днів тому

    Mm Mr Right nmempenda kwa sabubu ya has zake

  • @Djpopular-rk6vx
    @Djpopular-rk6vx Місяць тому +2

    ila Aaliyah jamanii kazuri kweli hakakeri kuangalia yani Dah 🥺❤️

  • @luxerydecor
    @luxerydecor 19 днів тому

    Barnaba popote ulipo tunaomba ututungie wimbo mwingine wa Mr&Mrs right ❤

  • @musondolirobert3922
    @musondolirobert3922 Місяць тому +5

    Jackie mwenyezi Mungu awabariki congratulations

  • @SahilMtumba
    @SahilMtumba Місяць тому +1

    Waongo hawa

  • @InnocentNasson
    @InnocentNasson 11 днів тому +1

    Mwamba mpambanaji sana af mkwer

  • @Djpopular-rk6vx
    @Djpopular-rk6vx Місяць тому +1

    Jacky mrembo sana jamanii

  • @natungaikiakiwilfred5511
    @natungaikiakiwilfred5511 21 день тому

    Uwiii hawa wameniliza 😢😢😢😢😢😢

  • @janeisrael1003
    @janeisrael1003 Місяць тому +1

    Jamani tunaomba mwendelezo wa hii cup

  • @RithaMosses-wu4fe
    @RithaMosses-wu4fe 13 днів тому +2

    Huyu Dada anaeitwa Jacky nimesoma nae secondary

  • @StellahDaniel-d9w
    @StellahDaniel-d9w 18 днів тому

    Dah nimecheka sana mshkiji wangu niwewe uyo sungu sungu ama nimeskia vibay😂

  • @Awlo-g6d
    @Awlo-g6d Місяць тому +2

    Wow

  • @christinajisena2634
    @christinajisena2634 Місяць тому +2

    Marudio hua ni lini?

  • @KisinzaNewton
    @KisinzaNewton 20 днів тому +2

    Biti la wimbo please anaejua aniambie

    • @AmossKabanda
      @AmossKabanda 2 дні тому

      @@KisinzaNewton Mr right barnaba

  • @RichardKigeso-i2y
    @RichardKigeso-i2y 6 днів тому

    Kwel or movie

  • @Djpopular-rk6vx
    @Djpopular-rk6vx Місяць тому +5

    ila muonekano wa Mr Right mbona kama anakunywa pombe kali sana 😂 tena za vienyejii

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 11 днів тому +1

    Hiv hiki kipindi huwa nkwel ama wanaigiza

  • @djanfarmoulay6865
    @djanfarmoulay6865 Місяць тому +2

    Nauza mafuwa Kwa bei nafuu 😢 tena ni Yale makalii 😢😢😢

    • @ZaituniNyanje
      @ZaituniNyanje 14 днів тому

      We chini kweli 😂😂😂😂ume nifanya nicheka kama mjinga

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh 8 днів тому

    Hamna wagane

  • @HassaniSimba-o4g
    @HassaniSimba-o4g 9 днів тому

    Nafikaje hapo

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 Місяць тому +1

    Kuna wakati mwengine ukitaka sita,hiyo sita inazinguwa lazima uwondoke na hiyo ndo imekubalika

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 Місяць тому +14

    Wanaume tunaishi na mwanamke anaetupenda sio tunaempemda sisi

    • @Djpopular-rk6vx
      @Djpopular-rk6vx Місяць тому +2

      kwann?????

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 Місяць тому +2

      😂😂😂😂😂sasa humpendi unaishije nae? Mbona wanaume ndio wanaopenda aisee? Lkn tunatofautiana mtazamo

    • @issaomari5297
      @issaomari5297 Місяць тому +4

      @@hellendaniel3809 kiuhalisia Ili mwanaume atoboe maisha anatakiwa Aishi na mwanamke asiyemtetemekea kivile mara sijui kaenda sokoni hofu kashika simu hofu hitoboi ila ukiishi na yule ambae anakupenda sana ww hutokuwa na wasiwasi maisha yatasonga kiulain sana

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 Місяць тому

      ​@@issaomari5297😂😂😂😂. Mm kwakweli mwanaume asiponipenda zaidi simuelewi. Akinipenda Mm nitampenda zaidi na kumheshimu automatically

    • @ElizabethNyabu-q1x
      @ElizabethNyabu-q1x 24 дні тому +1

      We wawap mwanamke Kaz yake kwako n heshima WW ndy wakumpenda

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Місяць тому +4

    Sauti inachelewa

  • @FikiraniRamadhani
    @FikiraniRamadhani 24 дні тому +1

    👏👏👏👏👏👏

  • @kulatesinda8250
    @kulatesinda8250 8 днів тому

    Kunautofauti Kati ya mwana ume na mtu wa kiume mwamba ni mwanaume umetuwakilisha vyema

  • @MariaMsigwa-mr4ev
    @MariaMsigwa-mr4ev Місяць тому +6

    Cjapenda mnamcheka😢

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 25 днів тому +3

    Nyie mnipeni mawasiliano ya huyo Radjabu Hassan niwasiliane nae

    • @StellahDaniel-d9w
      @StellahDaniel-d9w 18 днів тому

      @@antoinekatembo8520 nirafkiangu uyo namba yake ninayo vp nikupe

  • @michaelgibson8741
    @michaelgibson8741 3 дні тому

    Uyo zarish ata mwaka alikuepo

  • @DavidScolastica
    @DavidScolastica 18 днів тому

    Nmefurai mcmamo wa mwanamke ila nmeumzwa na hctolia ya Mwanaume kiukweli imeniuma coz ata mm ilnikuta tena kwa mke wangu na nlpolwa mke koukweli inauma cjui km wanaoumiza mioyo ya wa2 hua wanajua kua 2naumia an m2 ghafra mke na mtoto wote Co wako Dah!

  • @MwenyeporiBarakaMatumaini
    @MwenyeporiBarakaMatumaini 14 днів тому

    Kweliii awa ni wanawake wenye ukweli ??????

  • @benjaminzakaria3356
    @benjaminzakaria3356 17 днів тому

    Huyuu sii Jose malume umebadili jina unaitwa rajabu na umemkataa Rey kwamba sio mwanao duuuuh dunia hi

  • @FikiraniRamadhani
    @FikiraniRamadhani 24 дні тому

    Mwamba alitisha sana

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 Місяць тому +2

    Mnazoza nini sasa

  • @FikiraniRamadhani
    @FikiraniRamadhani 24 дні тому

    💥💥💥💥💥💥

  • @MenTPL
    @MenTPL 20 днів тому +1

    Huyu dada Mungu awe naye Siku zote, na milango ya rizki iwe wazi kwao kila mara,
    Wasichana wa Siku hizi ni vigumu kukubali mtu wakati hana kitu.
    Ila huyu ni mfano wa kuigwa, ongera sana.

  • @HabibaNSENGIYUMVA
    @HabibaNSENGIYUMVA Місяць тому +2

    Natak namb za garabb

  • @TrezaPeris
    @TrezaPeris 2 дні тому

    Why do the hosts dress indecently 😢

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 Місяць тому

    wamependeza jack na rajabu

  • @mpawenayodenis4010
    @mpawenayodenis4010 Місяць тому +1

    Siamini

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 Місяць тому

    ❤❤❤

  • @ChenChen-i8c
    @ChenChen-i8c Місяць тому

    Hii mbona ni muda mrefu halafu mwandishi umezingua

  • @AthumaniAyubu-i8h
    @AthumaniAyubu-i8h Місяць тому

    Inafanyikaga ukumbigani hii

  • @mwitamtete3440
    @mwitamtete3440 Місяць тому

    Huyu Dem ni mtu ishi nae kaka

  • @ReychoMc
    @ReychoMc 18 днів тому

    Kwan hii jman kweli au matani?

  • @shetijay
    @shetijay 7 днів тому

    Oeee hebu angalieni maswala ya sound coz its realy boring when u can't hear sh*t.

  • @bobmatira
    @bobmatira 25 днів тому

    Msimu mwingine mbadili mfumo muwalete senior bachelor wadada nao wapambanie goli

  • @FidolinJoseph
    @FidolinJoseph 10 днів тому

    Uongo mtupu

  • @FikiraniRamadhani
    @FikiraniRamadhani 24 дні тому

    Three hours in only life

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x Місяць тому +1

    Tbt yetu hii nzur😊

  • @edgarrich9895
    @edgarrich9895 15 днів тому

    Wakati wa mwisho watu wengi watafanya biashara zenye kupongeza uasi dhidi ya Mungu. Hawa watu kazi Yao ni kutia kuni kwenye dhambi ya uasherati na dhinaa.

  • @Dy.and.T
    @Dy.and.T Місяць тому

    Tunaomba follow up ya hii couple.

  • @mpawenayodenis4010
    @mpawenayodenis4010 Місяць тому +1

    Swali yangu hivi hizo ndoa zinadumu kweli, pili , hizo ni kweli au ni maigizo

    • @HappySanga-s6u
      @HappySanga-s6u Місяць тому

      Kweli

    • @DevotherMament
      @DevotherMament 20 днів тому +4

      Huyu kaka naamini kabisa anamaisha mazuri haswaa lkn alitaka mwanamke wakumpenda jinsi alivyo kama nawewe umeamin ungana nami twende pamoja

  • @jemshidkhamis6158
    @jemshidkhamis6158 Місяць тому

    ila jacky ww ndie unaetafuta mtu wa imani na amani yko ase kuacha wenye hela ni kpaji