TAZAMA WAREMBO NANE WAKATALIWA NA MR RIGHT MWENYE SWAGGER | AMCHAGUA CHEUPE - S05E09

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 9 днів тому +3

    Nikiwa Drcongo Lubumbashi ❤
    Yeah brot anatulia kama Mukongo kweli,hashituki kitu kutoka kwa hawa mademu.. makofi kwako mdogo yangu

  • @ClarisseMartine-b3w
    @ClarisseMartine-b3w 20 годин тому

    ❤❤❤❤❤ napenda kazi yenu

  • @Platymoh17
    @Platymoh17 16 днів тому +4

    This is my best show since i started watchin mr.right show.❤

  • @ManziPeter-i4o
    @ManziPeter-i4o 19 днів тому +5

    Urimwiza cyaneeeeeee❤❤❤❤❤

  • @mariamabraham-q5x
    @mariamabraham-q5x 19 днів тому +4

    Hivi johar alikubaliwa au kaamua kwenda kula Christmas 😂😂

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 15 днів тому +3

    😅😅😅katuwakilisha vyema mr

  • @ثامركعبي-ي1ق
    @ثامركعبي-ي1ق 6 днів тому +1

    😂😂😂wanawake kusu maokoto nhtr

  • @jemshidkhamis6158
    @jemshidkhamis6158 3 дні тому

    second best cuple of mr right show for me

  • @hawababy120
    @hawababy120 15 днів тому +1

    Wanapendezana mashaallah ❤

  • @NasmaKibayasi-o6s
    @NasmaKibayasi-o6s 13 днів тому +3

    Alf leo naona hawajasema wanamtaka mwenye hofu ya mungu

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا День тому

      Yanı mtu miaka 22 au 23 anasema anataka mume au mke kweli mi naona wengi wanakuja hapa kutaka tuu kuonekana mtandaoni

  • @mariamabraham-q5x
    @mariamabraham-q5x 19 днів тому +3

    Tunaomba tuwe tunaona live hii kitu jamn 😂😂

  • @AnoldMhule
    @AnoldMhule 13 днів тому +1

    Mwamba umetisha

  • @bernardmlenda9800
    @bernardmlenda9800 16 днів тому +2

    Nice couple 🎉

  • @SellinaMorris-p1j
    @SellinaMorris-p1j 15 днів тому +1

    Duuuuh Mr wine Yuko vizuri anajiamini na anajielewa❤

  • @Issaamchriss
    @Issaamchriss 11 днів тому +2

    Jameni tunamuombea kaka huyo mwandalie zawadi yakutoka wakwanza kwa kuvunja record ya taa.tunawapata kuto Burundi rumnge.eliza leo kamufie😂😅natamani angekuwa mimi niwe na Eliza namupenda sn

  • @esthermalamsha2847
    @esthermalamsha2847 14 днів тому +1

    Aaliya yuko smart sana!❤❤❤

  • @stellamrema8994
    @stellamrema8994 15 днів тому +3

    Nice 😂

  • @ShedrackEmmanwel
    @ShedrackEmmanwel 15 днів тому +2

    Wame mechi🎉

  • @MathiasMwibeleca-f8n
    @MathiasMwibeleca-f8n 19 днів тому +1

    Big up sana brow,

  • @EnezerMarithanga-ks6rv
    @EnezerMarithanga-ks6rv 11 днів тому +2

    hii video nimekua nikiiangalia zaidi ya mara 3 mr right anafundisha jinsi ya kujibu maswali

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 9 днів тому +2

    0scar mtu mwenye Malengo sana

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 9 днів тому +1

    Kikubwa zaidii Mr Right yupo smart,na ni mtu mweye kujielewa kbs
    Kuna mudaa munatuletea wa Mr Right ambao hawaji elewi,mudaa mwengine seule linashangia kikubwa

  • @EnezerMarithanga-ks6rv
    @EnezerMarithanga-ks6rv 11 днів тому +2

    sidhani kama anaweza kutokea mr right mwingine wa kuvunja record ya huyu jamaa inaonekana mpaka anapanda kwenye stage ya mr right alishajipanga vzr unaniinspire sana bro

  • @hawababy120
    @hawababy120 16 днів тому +7

    Hivi Eliza kweli alipata mtu na mdomo wake ?😂😂😂

    • @NiyonkuruJuvenal-k8u
      @NiyonkuruJuvenal-k8u 15 днів тому

      @@hawababy120 sijuwi kweri kamarifanikiwa Eliza hatamimi

    • @NiyonkuruJuvenal-k8u
      @NiyonkuruJuvenal-k8u 15 днів тому +1

      Jamani mimi nimukazi waburundi iraniriwahi kuishi Tanzania 🇹🇿 ♥️ miaka 21 kwahiyo niipenda Tanzania jewa nawarundi wanaruhusiwa Kuja kwa kucaguwa?

    • @HappinesMbhanyasima
      @HappinesMbhanyasima 14 днів тому

      Wow gud and nice couple 🥰🥰

    • @ValerianaMsigwa
      @ValerianaMsigwa 8 днів тому

      Mipia najiuliza

    • @Yusra-mi7mm
      @Yusra-mi7mm 2 дні тому

      Hujambo wewe tuwe marafiki ​@@NiyonkuruJuvenal-k8u

  • @majaliwamussa1343
    @majaliwamussa1343 16 днів тому +2

    Alyaaaa katisha

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 14 днів тому +3

    Wanaume wakihehe wanatuwakilisha vyema mahandsome wetu

  • @lavidaloca_255
    @lavidaloca_255 11 годин тому

    Aaliyah amependeza sana🎉❤

  • @leeboy4814
    @leeboy4814 14 днів тому +2

    KACHA NYASHI YA NEY KWELI🥹
    #NIMELIASANA😢

  • @bujabestonlinetv
    @bujabestonlinetv 15 днів тому +1

    Nice one ❤

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 17 днів тому +2

    Nimempenda huyu kaka siwez ish bila yeye

  • @patrickalfred3680
    @patrickalfred3680 14 днів тому +2

    Kaka uwage anaangalia macho .sasa hata havui miwani kweli....ukimkuta na jicho moja

  • @KIDNESS1178
    @KIDNESS1178 17 днів тому +1

    Uyu jamaa ana ngusa Dawa sio bure 🤧🤧

  • @AgnessWlk
    @AgnessWlk 12 днів тому +1

    Kwa hiyo mahusiano yao yamefikia wapi?

  • @mmungfunnytv.
    @mmungfunnytv. 14 днів тому +2

    Mbona ma gay awajihumo? Kwani nawao siyo warembo?😂😂

  • @Thatgurl-l8n
    @Thatgurl-l8n 12 днів тому +1

    😢😢kwangu its a NO

  • @MarryJoshua-x5v
    @MarryJoshua-x5v 10 днів тому +1

    Eliza hajapataga tu mpka leo

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 5 днів тому

    MNA CHEMKA MNAMBANA SANA MSHUA..MNAHARIBU

  • @khamisdaniel4383
    @khamisdaniel4383 12 днів тому +1

    Kiukwel navutiwa sana na hiki kipindi,,swal langu kujahapo kuchangua mwenza kiingilio ni kiasia gan?????

  • @NadzuwaKilaga
    @NadzuwaKilaga 15 днів тому +3

    Asikwambie mtu mwanaume mwenye malengo uta kula mara mmoja kwa siku

  • @shadrackmaximilian1693
    @shadrackmaximilian1693 День тому

    Pindi hili nimependa

  • @AsiaHassani-t1g
    @AsiaHassani-t1g 15 днів тому +1

    Nilichogundua hiv visichana vinapenda kudanganywa sana

  • @NiyonkuruJuvenal-k8u
    @NiyonkuruJuvenal-k8u 15 днів тому +1

    Baturi muzuribwanaweeee

  • @beatricemorice9269
    @beatricemorice9269 12 днів тому +2

    Huyu kaka mm kwangu naona redflag jamani😂😂😂

  • @Wildnature-255
    @Wildnature-255 2 дні тому

    Yamelala blaa duh

  • @Itambu
    @Itambu 10 днів тому +1

    Mahusiano sio ngonjera

  • @JosephStima
    @JosephStima День тому

    Walev

  • @SadaHamis-ry1fm
    @SadaHamis-ry1fm 8 годин тому

    Sasa shule yamsingi kuna mapenzi gani uyu mbona anatuchanganya

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا День тому

    Hiki kipindi wengi wanakuja ili waonekane tuu humu mtandaoni ila wengi wanakuja sio waoaji yanı kijana miaka 22 au 23 kweli inaujia kichwani anataka mke. Sangap kajipanga kama sio kutaka mtu wakuzuga nae

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 5 днів тому

    ,MASUALI MENGI KWA MSHUA ,PUNGUZENI SHOBO

  • @RamaYahya-v5y
    @RamaYahya-v5y День тому

    Mr right yuk straight san

  • @eddyson26
    @eddyson26 15 днів тому

    huyu jamaa mimi mtupu ..katisha kinoma

  • @Itambu
    @Itambu 10 днів тому +1

    Huyo jamaaa ngonjera nyingi anawateka wanawake wajinga mm cjaona point

  • @paulmutailuka2417
    @paulmutailuka2417 15 днів тому +3

    Jamaa katuwakilisha vyema sana wanaume tunaojielewa. Hongera Mr.Right Oscar umepata mtt mkali na ww upo smart kichwani brother. Kila la kheri.

    • @AgnessWlk
      @AgnessWlk 12 днів тому +1

      Tatizo moja hapo kupata mke ni ngumu sana, huyo dada alisema jamaa anaonekana ana hela sasa huyo hehe ajipange maana kazi anayo

  • @ManziPeter-i4o
    @ManziPeter-i4o 19 днів тому +1

    Aaliyah uko muzuri sana

  • @NiyonkuruJuvenal-k8u
    @NiyonkuruJuvenal-k8u 15 днів тому

    Rita naebwana