VITU 4 VINAVYOJENGA MAHUSIANO - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 50

  • @jamilaabdul5481
    @jamilaabdul5481 Рік тому +7

    Mahusiano yanaumiza sana Yan hata ukimpenda mtu ukimweshim haon me naona Bora uwe single waiiii

  • @anithanithaa2651
    @anithanithaa2651 Рік тому +5

    Nadhan tu sjapata tunaeendan inaumiz sana Na inavunja moyo sana 😢

  • @BenjaminRajabu-xk7mc
    @BenjaminRajabu-xk7mc Місяць тому

    Kaka mm mahusiano yanaumiza sana ❤

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 2 місяці тому

    Pamoja na uwaminifu na kuheshimiana na kujaliana na kuhurumiana

  • @jn_mustonez7842
    @jn_mustonez7842 Рік тому +6

    Narudia mara ndio nielewe vizuri

  • @JamesJohn-ly3xt
    @JamesJohn-ly3xt Рік тому +4

    Wa kwanza leo like zenu

    • @mussaathumani7595
      @mussaathumani7595 Рік тому

      Asante bw joel mausionaa kitu kubwa share knowledge experience pande zote mbili not one side kama upande moja itakuwaje?

    • @hammytototundu9292
      @hammytototundu9292 Місяць тому

      ua-cam.com/video/O0eOXHA6LM8/v-deo.html

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 2 дні тому

    Be blessed

  • @eliamartine4720
    @eliamartine4720 Рік тому +2

    Kaka umeongea point za msingi sana ukizingatia ni ukweli na ni kanuni nzuri sana za mahusiano boraaaa

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Рік тому +4

    Nikweli mawasiliano yakipughuwa katika mahusiano hapoupendho hakuna hatakidogho

  • @tumainingoinei5013
    @tumainingoinei5013 Рік тому +3

    Asante sana kk Joel mahusiano yanatuumiza sana kwa upande wa wanaume unafanya kila kitu hadi inafika mahali mtu hutamani tena kuwa na mahusiano jmn

  • @teacherd
    @teacherd Рік тому +2

    Mawasalinao ndo tatizo kubwa ka vunja mahusiano

  • @Funnychannel-eb4zj
    @Funnychannel-eb4zj Рік тому +2

    Asante kaka Joel nanauka kwa somo lako mungu akusimamie kwa Kila hatua upigayo 🙏

  • @YotememaNuhu-vt4qh
    @YotememaNuhu-vt4qh Рік тому +1

    Daaa! Joel naona kama umenimulika Mimi na mahisiano yangu , nafikiri point ya mwisho inahusu mahisiano yetu. Much thanks broo

  • @monicajohn6270
    @monicajohn6270 Рік тому +1

    ❤😂niliacha kila kitu kisa mawasiliano duni

  • @abuumnokotha
    @abuumnokotha 10 місяців тому +1

    Nikweli ila hawa wanawake wanatawaliwa na mihemko

  • @hildakayun6445
    @hildakayun6445 3 місяці тому +1

    Kaka Joel Kila siku unanisemaga mm tu jaman mada karibu zote

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 Рік тому +2

    Wengi wanalia kwa sababu ya kukurupuka nakuangalia mafanikio usiojua chanzo chake

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 Рік тому +1

    Naomba urudishe ule ule wimbo wa zamani

  • @abuumnokotha
    @abuumnokotha 10 місяців тому +1

    nikweli ila hawa wanawake niwasumbufu sana

  • @yoshuasaiba4652
    @yoshuasaiba4652 Рік тому +1

    Asante kaka Joel

  • @user-dc1cu7xn2v
    @user-dc1cu7xn2v 6 місяців тому

    asante mwalimu joel nanauka

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 Рік тому

    Mausiano yanaitaji mungu akupe mtusahii wakuendana

  • @claramrosso2566
    @claramrosso2566 Рік тому

    Kaka Joel Unadarasa lizuri mno Mungu akubariki

  • @rehemasekoyo9973
    @rehemasekoyo9973 Рік тому

    Jumbe nzuri sana hio

  • @bichwaboika
    @bichwaboika 2 місяці тому

    mkuu naomba mawasiliano yako

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 Рік тому

    Mungu akupe MTU wa levo yako muanze wote

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Teacher Joel 📝🙏

  • @swalhaomar9963
    @swalhaomar9963 Рік тому +1

    Thanks Mr. Joel

  • @yussufamani7995
    @yussufamani7995 Рік тому

    Kutokupatikana ndio biggest challenge for each people to become much busy

  • @MagrethJames-fx8nj
    @MagrethJames-fx8nj 11 місяців тому

    Nimekuelewa sana

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 Рік тому

    Ahsante sana 🙏🙏🙏

  • @ChristinaSaimon-qi5in
    @ChristinaSaimon-qi5in Рік тому

    Hmmm yaani kwenye mawasiliano nishida nanichanga moto sana

  • @baboudeira9249
    @baboudeira9249 Рік тому +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🏻

  • @sarachipando5391
    @sarachipando5391 Рік тому

    Asante sana life coach Yan umenigusa zaid kwenye swala la mahusiano mawasiliano nijambo ambalo ni Bora na zaid kama me nilikuwa na mpenz wangu anitafuti Hadi naanze mimi nikimtafuta anambia nilikuwa keep bise nikaona sina mda wakuendelea Kuwa nae

  • @psalmistchristiankawaya
    @psalmistchristiankawaya Рік тому

    Asante sana kabisa

  • @sadathally3533
    @sadathally3533 Рік тому

    kunakitu nimechelewa kukijua lakin siombaya nimejua asante kaka

  • @shabanjoseph3620
    @shabanjoseph3620 Рік тому

    Umenisaidia sana kwa hii video

  • @hardgooboy9483
    @hardgooboy9483 Рік тому

    Nakufatilia Sana kaka

  • @user-qj2lo1tk2i
    @user-qj2lo1tk2i 9 місяців тому

    hapo mm naona kuendana ndo changamoto kubwa kwenye love

  • @user-uk6qs5jd3q
    @user-uk6qs5jd3q Рік тому

    Compatibility ndo tatizo

  • @janviervenasi
    @janviervenasi Рік тому

    Ndiyo

  • @abelhilonga1095
    @abelhilonga1095 Рік тому

    Sijui nisemeje tuache tu nini

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +1

    Asante sana

  • @adventinahevaristo9558
    @adventinahevaristo9558 Рік тому +1

    Kaka joeli sorry nisaidie ,,,hakuna wale anaekua anakupenda ndyo lknii anatngwa sana kaznii maybe mnawasiliana asubuhi na jioni to vle anakupgia cmu hamuwasilian vle kla mara ,,,,hyo ipoje

  • @AbuutwalibHamadUmar-po9jn
    @AbuutwalibHamadUmar-po9jn Рік тому

    Hi Bro Nanauka :
    Mimi Ni Muajiriwa Takriban Miaka 3 Asaiv Lkn Kwa Kweli Sina Tena Hamu Ya Kufanya Hii Kazi Kwn Imani Yangu Inaamin Ni Mda Wa Kubadilisha Hiki Ninachokifanya ~ Lkn Cha Ajab Sina Wazo Lolote La Biashara Wala Taaluma Yeyote Km Ndio Niizifanyie Kaz Nipo Nipo Tu. Asa Nilikua Naomba Unishaur Kitu Gan Cha Kufanya?