VITU VYA KUANGALIA UNAPOACHANA NA MTU - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 84

  • @doreenkissia1087
    @doreenkissia1087 Рік тому +15

    Yeah sasa hivi ninaweza kujisimamia kwa sababu mme wangu alinifundisha vitu vingi sana na kunipa uwezo mkubwa wakufanya mambo makubwa pia kukabiliana na mambo makubwa eeh mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi. 😭😭iam more stronger than yesterday. 😭😭

  • @younghero6767
    @younghero6767 Рік тому +2

    Ameniachia maumivu makali sana, mpaka sasa hivi najuta kwanni alikuja kwenye maisha! Yangu! Ila Namshukur sana, amenifundsha! Kupambana sanaa Mungu ampe maisha marefu kwenye ndoa yakee😢

  • @user-lj4pz4pv8o
    @user-lj4pz4pv8o 15 днів тому

    Barikiwa Sana menter wangu

  • @jonathanjeremiah3570
    @jonathanjeremiah3570 Рік тому +2

    Naamini watanzania wengi watakubaliana na hili soma wakimkum buka Magu

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 Рік тому +2

    Shukrani Ndugu Nanauka ukweli mtupu 📚📚📚 🎙️

  • @joliapantaleo349
    @joliapantaleo349 Рік тому +1

    Mwl nimejifunza vizuri Kwanza kujua muda niliopoteza na watu niliopoteza kwaajili yake

  • @hasanithabitisengenge9496
    @hasanithabitisengenge9496 Рік тому +1

    mAmb kama haya nd nilikua nahitaji Mungu akubariki sanaa kakaaaa

  • @ummuwawili
    @ummuwawili Рік тому

    Allah kher nashkuru aliyekuwa mume wangu aliniachia tabia nzur nying na nlijifunza mambo mengi mazuri kuptia yeye kubwa zaidi alinifundisha kuwasamehe watu wote walioikoea kabla ya kulala hilo siwez kulisahau na kila cku namuombea Dua ........japo tumeachana naamini rizki yamimi nayeye imeisha tu lkn aliishi namimi kwa wema Allah amzdishie

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    🙏🔥👌🏽 Yani 🤦🏿‍♀️ sitaki kusema iyo Yq kwanza 🙌🏿 Ubarikiwe nanauka 💕

  • @jumamgimwa757
    @jumamgimwa757 7 місяців тому

    God bless your the gifted boy,hakika wew ni tunu iliyotoka kwa mungu,good resson to me and us.

  • @gressluhimbo1020
    @gressluhimbo1020 Рік тому +1

    God bless you, kaka Umekua faraja sana kwangu mwenyezi mungu akupe umri mrefu uzidi kuwafungua watu akili 🙏

  • @nurdininanjota4056
    @nurdininanjota4056 Рік тому

    Bando langu natumia vile inatakiwa unatuonesha njia sahihi, wapo walio kosa mzazi awe baba mama pindi anakosa direction akuna wakumsawazisha your re-prsmnt after parent God bless you 🇹🇿🙏.

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 Рік тому +2

    Mengi tu nimejiufunza

  • @kalebumashamba5556
    @kalebumashamba5556 Рік тому +2

    Kwa kweli nilijua ni kwa kiasi gani nilimpenda kuliko cho chote maishani mwangu aliniachia maumivu makali sana yaliyo ambatana na majuto

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 Рік тому

      Namshukuru Mungu kwa uwepo wako nikweli mahusiano yanaumiza unakuta mtu ana kuwa mubinafi hajati hata akisafiri anaonfoka haagi haachi chochote na anajua kina watoto Ila upande mwingine anahudumia kwa kweli mtu Kama huyu hata nikichukua maamuzi ya kuachana sizani Kama no tajuta😮😮😮😮😮 kuleamtoto pekee yako mwanaume yupo inaimiza jamani hajali watoto

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 Рік тому

      Yataisha na utasahau

  • @user-qo3zl4fi6u
    @user-qo3zl4fi6u 7 місяців тому

    Kaka joel nanauka aisee umebarikiwa sana na mungu ase

  • @prospermaro8800
    @prospermaro8800 Рік тому +2

    See you at the top! Thank you for good lesson.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Рік тому +1

    Asante sana my brother from another mother

  • @sarachipando5391
    @sarachipando5391 Рік тому

    Nashukuru mungu baada tuu ya kuachana nae nikagundua Kuwa Kuna vitu nilikuwa najinyima ilikumfurahisha yeye

  • @marylinegoodluck-fj1zc
    @marylinegoodluck-fj1zc Рік тому +1

    Mimi niliona Kama nilitua mzigo mzito Sana japo baada ya Mimi kukaa mbali nae yeye ndo anatamani kurudi Hali Mimi Sina muda nae Tena na ninaendelea na Maisha yangu kwa amani kabisa

  • @washhjojo4840
    @washhjojo4840 Рік тому +1

    Asante kaka Joel Nina Imani hii video itawasaindia wengi mungu azidi kukuweka ili uzindi kutufunza mengi

  • @MosesFikiriIbrahimu
    @MosesFikiriIbrahimu 14 годин тому

    🎉AMEN ❤❤

  • @neemakutandikila8555
    @neemakutandikila8555 Рік тому +1

    Live Long kaka Joel ✨
    Mtwara Tunaona Fahari sana kuwa na wewe

    • @neemakutandikila8555
      @neemakutandikila8555 Рік тому +2

      Kati ya vitu nimegundua baada ya kuachana na huyu mtu ni kuona ndoto zangu na career yangu ilikua inapotea Taratibu pasi mwenyew kutambua

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  Рік тому +1

      Ahsante sana Neema🙏🏼🙏🏼

  • @BoniphaceNuru-ek4gr
    @BoniphaceNuru-ek4gr Рік тому

    Mtumishi ,Kama Kuna somo umefundisha na limegusa Maisha yangu Mungu akubariki Sana

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Рік тому

    Ndugu MUNGU akubariki🙏nimeyaishi mafunzo ,

  • @lydiaseventy5509
    @lydiaseventy5509 Рік тому

    Asante kila wakati nabarikiwa na kujifunza kitu kipya Asante kwa masomo mazuri sana sana

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 Рік тому

    Mm nimeachana na Baba watoto wangu saizi nimekuwa na amani na fuha nanimejifuza mamba mengi sana

  • @MariamChidaga-cf4rg
    @MariamChidaga-cf4rg Рік тому

    Ahsante sana kaka joel unazidi kunivusha

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 Рік тому

    Kaniachia wema. Alikuwa .mwema sana sana

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Рік тому

    Asantesana mwalimu,nikweli miminimenyanyaswa sana kwenye dowa kilanikifanya biashara sikuwa na faida juu watoto wagheniteghe mimi,lakinisahii nimejifunza hatamimi kujiwekea kasevigh kidogho juu ya kuwA mbali na mwanaume asiniteghemee tena mimi.

  • @daudmsigwa4860
    @daudmsigwa4860 Рік тому

    Mungu azidi kukutumia

  • @husseinsalehe9511
    @husseinsalehe9511 Рік тому +1

    ... Mi nna usingizi... nitasikiliza vizuri kesho kaka Jo

  • @kayombo4730
    @kayombo4730 Рік тому +1

    #AhsanteJoel

  • @jonathanjeremiah3570
    @jonathanjeremiah3570 Рік тому

    Nimekukubali sana kaka,du naumia sana kukumbuka watu kadha wakadha ambao mimegundua sana umuhimu wao baada ya wao kuondoka maishani mwangu.

  • @jescadeogratias5292
    @jescadeogratias5292 Рік тому

    Hakika Kaka J umeongea vitu vya maana sana.Ila Mimi katika maisha nimejifunza kutafakari kwamba,je huyu niliyenaye kwenye mahusiano Nina gain au napoteza.
    Mtu atafakari mapema,achukue maamuzi mapema,maana Ni maisha yake .
    Mtu una ndoto zako,mtu anaziharibu kwa sababu zake.Simamia ndoto zako.

    • @fransiscamrema5369
      @fransiscamrema5369 Рік тому

      Kaka nashukuru kwa SoMo nzuri umenigusa Sana maana Mimi nilifungwa Kama mbuzi. Ila Sasa hivi Niko na amani tele maana alikuwa ananikosesha amani hataki hata uongee na jirani.

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge Рік тому

    Safi mzee baba nimekupata vizuri sanaa

  • @salumzungu9299
    @salumzungu9299 Рік тому

    Hakika alipoondoka nimejisikia faraja sana mana nimejihis uwepes sana na kufanya v2 vyang na moyo wangu umekuwa 2li

  • @husseinkessy5656
    @husseinkessy5656 Рік тому

    Kwa kweli wakat nadate na yule mpuuzi nilijikuta nampa Zaid ya nnachoingiza.yani natumia chote bila kubaki hata na akiba lakin sas hv nd naona kwamba nilkuwa najinyima sana.naishia hapo nikisema nielezee ntajaza hata page 5.ila sas hiv nayafurahia maisha yangu umenibadilisha sana kiongozi.mungu akubariki.

  • @abuhaydatomar8607
    @abuhaydatomar8607 Рік тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 you are really good, precede teaching us

  • @christinen8291
    @christinen8291 Рік тому +4

    Nashukuru sana Mungu, kwa kuachana na mme wangu😂

  • @muhidinussi6353
    @muhidinussi6353 Рік тому

    Nashukuru sana mwalimu Mungu akubariki

  • @linacharles3583
    @linacharles3583 Рік тому

    Asante sana...imekuwa useful Kaka Joel

  • @abuujuma9653
    @abuujuma9653 Рік тому

    Nimekubali kiongozi

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 Рік тому

    Ahsante Sana kwa elimu hii

  • @essaukumburu3414
    @essaukumburu3414 Рік тому

    NI KWELI BAADA YA KUACHANA NA MKE WANGU YALIIBUKA MAMBO MENGI SANA KWANI MKE ALIANIKA SIRI ZANGU ZOTE HADHARANI !

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 Рік тому

    Mungu akubariki sana brother.

  • @FelistaMollel-x3j
    @FelistaMollel-x3j 10 місяців тому

    Baada ya kuachana na mume wangu nilipata amani kubwa nikatawaliwa na furaha ambayo niliikosa kwa miaka mingi

  • @shamhamood755
    @shamhamood755 Рік тому

    Maneno yako kweli kabisa So. Nini cha kufanya nini nipate niliopoteza

  • @MiriamMichael-bj1ey
    @MiriamMichael-bj1ey Рік тому

    Thank you babaa

  • @HadijaKayanda
    @HadijaKayanda Рік тому

    Nikwel....mda mwingine usihuzunike mtu anapokuacha😢

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Рік тому

    Asante Sana kaka 🤝

  • @Jackie_TZ
    @Jackie_TZ Рік тому

    Me too i used to think tha tulikua tunapendana na uyo mtu kumbe hell no ni mimi ndo nilikua nampenda but the day I learned how much I’ve sacrificed myself for him nilitoka kwenye hayo mahusiano bila kugeuka nyuma🤣🤣🤣ubarikiwe kaka hope others will learn from this✌️

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Asante sana

  • @PhillipoHaule
    @PhillipoHaule Рік тому

    Niliona maumivu sana

  • @jamilaabdul5481
    @jamilaabdul5481 Рік тому

    Kaka Joel kila nikishamaliza kufungua biashara hua naingia kwenye page yako ili nikusikilize unatutia moyo sana kaka mm niliachana na mme wangu lakin kwa maisha niliyoish nae nilikua Mara nyingi natafuta furaha yake Zaid lakin baada yakuondoka nimegundua mambo mengi sana had nashangaa maana ananisema kwa mabaya sana na siku mbaya kwake japo sijasimama sana lakin naiman nitafika mbali pamoja na changamoto za kulea watt kusomesha lakin nimekua jasir sana kaka.

  • @MickyFundy
    @MickyFundy 4 місяці тому

    M nimoja wap ambaye nilitokewa najamb hilo

  • @user-si9fs6ui8j
    @user-si9fs6ui8j Рік тому

    Istoshe familia yao wnaniamn san tu il kuanza sasa nimeon bora niwe mbal naye

  • @abeidmbarouk6280
    @abeidmbarouk6280 Рік тому

    See u at the top

  • @julianachesco1620
    @julianachesco1620 Рік тому

    Yaan umeongea karibia yooote ndio yalinikuta

  • @sospeterjuma9723
    @sospeterjuma9723 Рік тому

    Kiukweli sasaiv sioni kituchochote mkewangu aliondoka kwenda nyumban akasema anaenda kusalimia kisha nakuludi nyumban kipindi bado yuko nyumban nilkuwa nampa kileanacho kitaka mpaka nilkuwa balala njaa ilitu mkewangu apate kileanacho kitaka na mwanangu ilipofika talehe 28/2/2023 aliomba nauli ya kulud nyumban kwake nikamtumia akanambia baada ya skutatu atakuwa amefka kwangu lakin akawa anasema ntakujatu skuyoyote mpaka leo chaajabu nikiulza kosanini linalo kufanya usilud kwako ninini hasema wakat nmeshafanya hatuazote zinazotakiwa kwenye ndoa kiukweli naumia sana nabado nampenda sana najalibu kusahau lakin ndo kwanza naumia mwenyewe nmengi alinambia lakin ayoanayo nambia siyo makosa makubwa yakufanya asilud kwake nateseka sana naumia sana kafanya mpasuko wa moyo kwangu kafanya niwaze kiasi kwamba nataman nitoweke tu nisionekane kabsa 😭😭😭 naomba ushauli wako maana ndoa yangu inamiaka minne tu lakin sasaiv sielew nikitugani kimemkumba mkewangu maana nikituma sms anajibu anavyo taka yeye ukipga akipokea haongei mala anaelekeza cm kwa mwanangu nashindwa kuvumilia nmengi anayo nifanyia mpaka nashndwa nianzie wap JOEL NANAUKA naomba msaada wako sioni mwangu kwamkewangu mdawote kiza sion pakutokea napia sion pakushika atandugu zangu wakimpgia cm hapokei mpaka inafika seem naumia naishiwa nguvu kabsa naomben msaada maana ndo ndoayangu ya kwanza JOEL NANAUKA naomba msaada please🙏🙏

    • @getrudykitomary6390
      @getrudykitomary6390 Рік тому

      Pole Kama Kuna Jambo ulishawah kumfanyia baya la kumuumiza muombe msamaha ila Kama hamna jipe songa mbele utamsahau ucteseke Ivo pambana kutfta pesa usiuwe malengo yako kw a sababu ya mtu

  • @georgekaiche4489
    @georgekaiche4489 Рік тому

    Mr. Naomba niulize ili nifaham yupo mpenzi wangu wa zamani ambaye yeye aliomba kuachana nami hilo nikakubali lakn kwasiku za karibuni ananianza yeye kunitafut na kuniambia nipo kimya sana, nina roho mbaya simtafuti, amenimiss anatak kunion lakini Leo amenitafuta na kuniulizia hali ya mama yangu ambaye hamjui ila anajua ninaye mzazi wa kike nakusema alitaka tu kujua hali ya mama yangu mwisho akasema hakuwa na shida na Mimi lakini hapa najiuliza kwanini kila wakati unitafut Mimi na kunizungumzia mabaya kuwa nina roho mbaya yote haya uletwa na nini maana nakumbuka tulipo achana alisema amepata mtu wa kumchukulia uwangalifu na mwenyeuwezo wa kumpa pesa za kutosha na kila anachotaka nili dumu naye miaka 3 lakini yeye amekuwa kero sana tatizo ni nn Mr ?

  • @lucashenry2406
    @lucashenry2406 Рік тому

    Nlipotez san muda na hela baada ya kuachana nae ndo nikajua kumbe alikuw after money ila kipind nipokuw nae nlikuw km na upofu aseee

  • @user-si9fs6ui8j
    @user-si9fs6ui8j Рік тому

    Vep kak mm nilishi na mwnamk km rafk il sjawh kumvunjia heshm at ck moj nimemsidi sana.mengn wla hayasemek sas hv ananifnyi visa unanishaur vep

  • @Georgemorisiamani-oy3hf
    @Georgemorisiamani-oy3hf Рік тому

    Mtumishi nipoa na mpenzi wangu kila kitu ukimwambia yeye ndio ushauli ana nakuta naumiza akili pwkeangu nifanye nn

  • @Francoiskasangala-gc8vx
    @Francoiskasangala-gc8vx Рік тому

    apo umefunika kilakitu. Kaka du niya mapitotu

  • @markmwakyusa1368
    @markmwakyusa1368 Рік тому

    😎😎

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Рік тому

    Nimejifunza vingi sana mtu muhimu anapoondoka kwenye maisha yako, sio rahisi sana bali itachukuwa muda kuanzisha kitu kimya na moyo ukakubali hicho kitu

    • @theresiachacha5180
      @theresiachacha5180 Рік тому

      Kiukweli nipo kwenye mahusiano na mtu ila ndani mwangu Sina Raha Wala amani naye kabisa

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 Рік тому

      @@theresiachacha5180 pole

    • @thabitjadi
      @thabitjadi Рік тому +1

      Asnt Sana brother kwa elim mzuri naamini saiv nitakuwa napata mafunzo baaad ya mtu kuondoka

    • @edithmwasulama7005
      @edithmwasulama7005 3 місяці тому

      Amani eanza kuikosa lini. Kwa nini ulimkubali yaani kwa nn uliingia​@@theresiachacha5180