naona kwamafunzo yako ujuziwako uwezaidi utupe njiya yaku patanisha watu waju na wachini asante 🙏 mungu akubariki zaidi neno sijawai ku ona hivi wewe niwa kwanza kupana funzo hapa chini yajuwa congratulations 👋
Thanks brother. Ila kwa nyongeza point nyingine epuka kupokea offer iwe ya chakula, kinywaji, lift n.k na hasa siku ya kwanza maana offer zingine huwa ni za mtego kwako.
Sir Joel,kiukweli nimevutia sana na Maelekezo yako hasa yamenifanya kubadili maisha na kupata matumaini ya mafanikio kunako maisha ya kesho. Nanilikua nashindwa kujua wapi nianzie tena baada ya kufeli kwa mara kadhaa ili kuanzisha mipango yenye kunipa mafanikio hasa pale ninapo ahirikiana na watu wasio sahihi Asante sana kaka❤
Kaka Joel nayafurahia sana mafundisho yako,nimekuwa nikiyafuatilia sana. Napata mafunzo mengi sna. Hili la kishikashika simu linatusumbua wengi,lkn nimeanza kubadilika. Ubarikiwe sn kwa kugusa maisha ya wengi.
Brother Joel,,,habari yako,,,,kwa kweli nimekuwa nafatilia sana video zako,,,,,mimi nimewahi kosa mke kwakusemea cm yake na kucha tuu,,,,,,,yani sikuamini kilicho nitokea,,,,ahahaa
Kweli kabisa niliitwa na watu wawili kuongea nao niliwaona wa ajabu San walikuwa busy na simu zao wote mmi yangu niliuweka serince kwa kweli niliondok na nikawaambia kuwa siitaki kukutana nao tena wkiwa na shida nami wanipigiee ..kwa kweli kaka MUNGU AKUBALIKI KWA KUTUEMIISHA
Mimi nakushkuru sana yani Sina mda mrefu tangu nianze kufuatilia videos zako Ila binafsi naona mimebadirika sana tena sana asee Mungu akuzidishie icho ulicho nacho na akilinde 🙏
Yaani mimi nimeshaharibu point tatu zote zinanihusu,maana kuna mahali nimehamishwa kituo cha kazi, nilipoulizwa kuhusu boss wangu wa zamani,nikajibu simpende,nilipoulizwa kuhusu mazingira mapya nikamwambia boss wangu yaani sipapendi hapa,hata kidogo,duuu asante sana mentor wangu maana umenifunza kitu cha msingi sana
Joel nimekuelewa vzr Sana mm nina ushuhuda Kuna mtu ambaye had Sasa n rafik kwa sababu tu nilipokutana naye kwa Mara ya kwanza nilionyesha kumsikilza kwa makin Hilo tu lilinipa point kubwa Sana na aliniambia kuwa watu weng hawana hiyo
Umenena vyema kaka. Hata mimi nilimfurahia sana jamaa mmoja nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, wakati tunaagana alitaja jina langu vizuri sana kuliko mtu yeyote niliewahi kukutana nae.
Nimejifunza mengi ikiwemo kumsifia mtu (kum-compliment, au kum-appreciate) ni kitu napenda sijui kama kuna kosa kumwambia mtu, mfano. you look nice, and beautiful, I am happy to meet you...... (Msaada hapo kiongozi)
kwanza mungu ajalie sote tuwe na afya njema ili tuweze kupewa elim tukiwa na afya njema nashukuru xana tangu nilipo anza kuku fuatiria kuna mengi nime jifunza kutoka kwako pia miaka 3 iliyo pita nili fuaata elim yko kweri nili weka nizam ya pesa hadi kubadili pare nilipo kuwa hadi wa tofauti baada ya hapo mwaka ulio fata nilikuwa wa tofauti na marengo yare pia nime pata mazara mno nashukuru elim yko ina nipa somo kubwa naanza mwanzo nikiwa wa tofauti sana niritupa marengo marengo yaka nitupa hivi akili imekuwa na nita simama tena mungu akupe afya njema ili uweze kutupa elim
Hi Joel, I'm your neighbour from Uganda.I came across your link on UA-cam. Thanks for advising people and all your points are absolutely right. May God bless your work 🤲🤲🤝🙏🙏
Dah mungu mwema yote hayo sijawahi kufanya makosa na spend mtu nikutane nae ayafanye kwenye jina apo ume patia ata me napenda mtu ataje jina langu vizur napenda mtu ajari muda wangu sio tunaongea Yuko busy na sim spend atu mweny misifa mingi . asante kwa kunikumbusha
Siongezi kitu hapo juu ya somolako, ila nimepata kitu kizuri nmecho jifunza wewe Roll model wangu, tangu 2019, hua siifungui UA-cam bila kupita kwako, na hivi Sasa najipanga kuanza kununua Ebook zako zakutosha maana Umekwisha niosha akiliyangu na Mungu kaongeza kuyafumbua machoyangu pia. Asante Kaka Joel Nanauka. Mungu azidi kukutunza.
NZURI SANA JOEL ,LIMBUKO LIKIWA JEMA NA DONGE LOTE LINAKUWA JEMA .NA HAPO UMEZUNGUMZIA NAMNA TUNAPOKUTANA NA WALE AMBAO TUNAWEZA KUPATA FURSA TOKA KWAO INGAWA KILA MTU NI FURSA LAKINI JE KWA MARA YA KWANZA TUNAPOKUTANA NA WATU WANAOHITAJI FURSA TOKA KWETU NI YAPI YA KUEPUKA .SALUTE SIR JOEL.
Aisee umenena jambo la kweli kaka mm bwana n mtu kuongea sana nnapo Kutana na mtu mala ya kwanza na nahis inafika hatua mtu kama smpi nafasi mpaka najishtukia yan
Nafanya Kaz kweny mpesa nakubaliana na hilo la kutaja jina lake vizur..coz nikisoma majina ya wateja wang hua wanasema wow umelitaja jina lang vzr na anaweza kuomba nirudie
Ayoooooooooo yoteee ni makosa yangu amabayo nafanyaga muhay mimi na sifa zangu 😂😂😂😂 uwiii. Thanks alot kwa kunielimsha my motivation Joel Mungu akuweke weee Baba 🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
Joel nanauka wewe ni mtu muhimu sana na Mungu azidi kukuinua
naona kwamafunzo yako ujuziwako uwezaidi utupe njiya yaku patanisha watu waju na wachini asante
🙏 mungu akubariki zaidi neno sijawai ku ona hivi wewe niwa kwanza kupana funzo hapa chini yajuwa
congratulations 👋
Nashukuru Niko makini Kwa yote uliongea mungu akulinde sana we jembe
Thanks brother. Ila kwa nyongeza point nyingine epuka kupokea offer iwe ya chakula, kinywaji, lift n.k na hasa siku ya kwanza maana offer zingine huwa ni za mtego kwako.
kama amekupa bila kumuomba ukakataa wakati mwingine inaweza kukuharibia pia
Mtengenezee ahisi km unashida(muhitaji) ila hauombi means unaweza zimudu ila akitoa ishi nayo pia ni kumheshimu

Kila siku napata kitu kipya kutoka kwako brother mungu akubariki sana
Hapana pokea kwan ukikataa utakuwa negative side
Nakuelewa sana , kaka joeli❤ , point zote nimezielewa mnoo ila ya MWISHO ni Nimezielewa zaidi.😊 ,God bless u broh
Kabisa hii kosa ya 5 iko deep sana mtu umekutana naye wewe umetingwa na simu... kitu kinakera SANA.. asanteeee kwa elimu na kutukumbusha haya
Sir Joel,kiukweli nimevutia sana na Maelekezo yako hasa yamenifanya kubadili maisha na kupata matumaini ya mafanikio kunako maisha ya kesho. Nanilikua nashindwa kujua wapi nianzie tena baada ya kufeli kwa mara kadhaa ili kuanzisha mipango yenye kunipa mafanikio hasa pale ninapo ahirikiana na watu wasio sahihi Asante sana kaka❤
Asante kaka umenifungulia dunia
Kaka Joel nayafurahia sana mafundisho yako,nimekuwa nikiyafuatilia sana.
Napata mafunzo mengi sna.
Hili la kishikashika simu linatusumbua wengi,lkn nimeanza kubadilika.
Ubarikiwe sn kwa kugusa maisha ya wengi.
kwakweli makosa haya tunayafanya mara nyingi yamkini somo hili limekuja kwa wakati kutusaidia asante sana mtumishi nakuombea mafuta zaidi
Ni pointi muhimu kuzijua kwa sector tofauti tofauti za kimaisha..
Ahsanteee kwa kutuzindua mr nanauka..
Ahsante sanaa
Brother Joel,,,habari yako,,,,kwa kweli nimekuwa nafatilia sana video zako,,,,,mimi nimewahi kosa mke kwakusemea cm yake na kucha tuu,,,,,,,yani sikuamini kilicho nitokea,,,,ahahaa
Daaah...🥺😅
Ubarikiwe kwa darasa kwa kutoa elimu nzuri katika maisha. Ila mimi mtu akiongelea Timu ambayo siipendi siwezi hata kujizuia
Kweli kabisa niliitwa na watu wawili kuongea nao niliwaona wa ajabu San walikuwa busy na simu zao wote mmi yangu niliuweka serince kwa kweli niliondok na nikawaambia kuwa siitaki kukutana nao tena wkiwa na shida nami wanipigiee ..kwa kweli kaka MUNGU AKUBALIKI KWA KUTUEMIISHA
Wwe ni best Kila wakt,, endelea kufundisha jamii,.
Thanks sana,nimejifunza kitu may God akuzidishie.Nakufatilia nikiwa kenya 🇰🇪
Shukrani sana brother joel nanauka yana dah naamini kwakazi yako malipoyaduniani ayakutoshi unafanya kazikubwa sana
Huwa napenda nikitulia sana nikuskilize maana Kila neno unaloongea kwangu ni thaman tupu,Mungu kakubariki sana,, endelea kutuelimisha kaka
Ahsant sana kaka kwa darasa,, je ni vitu gani vya kuepuka endapo mtu atahitaji fursa kutoka kwako..
Mimi nakushkuru sana yani Sina mda mrefu tangu nianze kufuatilia videos zako Ila binafsi naona mimebadirika sana tena sana asee Mungu akuzidishie icho ulicho nacho na akilinde 🙏
Yaani mimi nimeshaharibu point tatu zote zinanihusu,maana kuna mahali nimehamishwa kituo cha kazi, nilipoulizwa kuhusu boss wangu wa zamani,nikajibu simpende,nilipoulizwa kuhusu mazingira mapya nikamwambia boss wangu yaani sipapendi hapa,hata kidogo,duuu asante sana mentor wangu maana umenifunza kitu cha msingi sana
Ukuhitaji kufundishwa kujibu hayo maswali kiusahihi, ulitakiwa kutumia akili yako vzr tu,,
Daah nakoseaga sana Ila asante kwa elimu nzuri mwalimu Leo nimejifunza ktu cha muhimu
Joel nimekuelewa vzr Sana mm nina ushuhuda Kuna mtu ambaye had Sasa n rafik kwa sababu tu nilipokutana naye kwa Mara ya kwanza nilionyesha kumsikilza kwa makin Hilo tu lilinipa point kubwa Sana na aliniambia kuwa watu weng hawana hiyo
Uhalisia hapo nikuepuka kuongea sana Ahsante kwa ujumbe mkuu😐
Duuuh ndo naingia nahis statoka huku,kaka thanks umenifunza vitu vingi leo
wow Ahsnt sana leader 🙏🏻
Umenena vyema kaka. Hata mimi nilimfurahia sana jamaa mmoja nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, wakati tunaagana alitaja jina langu vizuri sana kuliko mtu yeyote niliewahi kukutana nae.
ABAHADIIIIIIIIIIIIIII
Hongera sana kaka mana hii ndo njia nzuri ya kutumia mitandao ktk kutoa elimu.Asante
Asante sana kaka joel lakn mm point ya 4 inanihusu apo cjui ntajizuiaje
Nimejifunza mengi ikiwemo kumsifia mtu (kum-compliment, au kum-appreciate) ni kitu napenda sijui kama kuna kosa kumwambia mtu, mfano. you look nice, and beautiful, I am happy to meet you...... (Msaada hapo kiongozi)
kwanza mungu ajalie sote tuwe na afya njema ili tuweze kupewa elim tukiwa na afya njema nashukuru xana tangu nilipo anza kuku fuatiria kuna mengi nime jifunza kutoka kwako pia miaka 3 iliyo pita nili fuaata elim yko kweri nili weka nizam ya pesa hadi kubadili pare nilipo kuwa hadi wa tofauti baada ya hapo mwaka ulio fata nilikuwa wa tofauti na marengo yare pia nime pata mazara mno nashukuru elim yko ina nipa somo kubwa naanza mwanzo nikiwa wa tofauti sana niritupa marengo marengo yaka nitupa hivi akili imekuwa na nita simama tena mungu akupe afya njema ili uweze kutupa elim
Asante kaka Joel kwa kutuelimisha nimekua nikifanya makosa mengi nikijua nipo sahihi,, imebidi nitazame Mara mbili video hii ili kuelewa zaidi.
Hi Joel, I'm your neighbour from Uganda.I came across your link on UA-cam. Thanks for advising people and all your points are absolutely right. May God bless your work 🤲🤲🤝🙏🙏
Thank you so Much Musa, lets keep on learning.
Leo ndo nimeanza kukujilua umekuwa rolmodel wangu
Dah mungu mwema yote hayo sijawahi kufanya makosa na spend mtu nikutane nae ayafanye kwenye jina apo ume patia ata me napenda mtu ataje jina langu vizur napenda mtu ajari muda wangu sio tunaongea Yuko busy na sim spend atu mweny misifa mingi . asante kwa kunikumbusha
Thanks teacher yote uliosema yanatuhusu Kwa nija moja au nyingine
Me pia napenda mtu ataje jina langu vizuri
Shauri yako
Niyamuzuri saana kaka
Nimejifunza kitu kaka
Asante,,nlichokua nakosea nikujieleza maisha ,hapo umenielemisha,from kenya in Saudi 🇸🇦
Thank you brother you can improve me my mind.so God bless you❤
Najifunzavitumighi sana kwako mughuakupe ufahamu zaidi
Nafuatilia sana hadi nifikie pale
Siongezi kitu hapo juu ya somolako, ila nimepata kitu kizuri nmecho jifunza wewe Roll model wangu, tangu 2019, hua siifungui UA-cam bila kupita kwako, na hivi Sasa najipanga kuanza kununua Ebook zako zakutosha maana Umekwisha niosha akiliyangu na Mungu kaongeza kuyafumbua machoyangu pia. Asante Kaka Joel Nanauka. Mungu azidi kukutunza.
Ameen ahsante sana
uko vizuri ushauli wako ni mzuri asante
Ahsante sana kaka kwa elim
Habari joel ninaneno yakuuliza unaeza nipa nafasi
Thanks for your wise word Sir, tunajifunza vitu vingi kwenye mafunzo yako. From 🇧🇮
Iyo kutamka jina brother imenigusa sana
Nzuri hii imenifungua, kazi nzuri hongera
Asante sana.
umefundisha kitu cha muhim sana.
NZURI SANA JOEL ,LIMBUKO LIKIWA JEMA NA DONGE LOTE LINAKUWA JEMA .NA HAPO UMEZUNGUMZIA NAMNA TUNAPOKUTANA NA WALE AMBAO TUNAWEZA KUPATA FURSA TOKA KWAO INGAWA KILA MTU NI FURSA LAKINI JE KWA MARA YA KWANZA TUNAPOKUTANA NA WATU WANAOHITAJI FURSA TOKA KWETU NI YAPI YA KUEPUKA .SALUTE SIR JOEL.
Shukrani ndugu umetoa elimu muhimu kabisa, itasaidia hakika.
Hujazungumzia point nyingine demu kukuomba nyingii kisa tu umeonyesha kumpenda,pesa unayoombwa ni kama umetozwa faini ya kumpenda
Duuuuh Safi sana....Mimi sio mara ya kwanza ata sasa mtu namchukia nkiwa naongea nae na call ye anaongea namimi uku ana chat pia namchukia..
Kuomba pesa ni vibaya Sana...
Joel mwana wa nanauka unatisha
Shukrani Sana mkubwa mungu hawe nawe
“kuongea sana/ Ujuaji” mbaya sana hii.
Mungu Akubariki na kukuinua zaidi my brother💕💕💕💕
Boy from Shangani PS. Proud bro.
Thanks. Bro kwa ujumbe mzuri
Kila mara nipo pamoja nawewe bro na nimejifunza mambo mengi sana mungu akuweke zaidi kwa faida ya wengine
Mungu akulinde
Aksante kwa mafunzo mazuri kaka
Sehemu ya nne ishawahi kunikuta
Najifunzaaaaa🙏
Aisee umenena jambo la kweli kaka mm bwana n mtu kuongea sana nnapo Kutana na mtu mala ya kwanza na nahis inafika hatua mtu kama smpi nafasi mpaka najishtukia yan
Una creativity jamaa angu
Nafanya Kaz kweny mpesa nakubaliana na hilo la kutaja jina lake vizur..coz nikisoma majina ya wateja wang hua wanasema wow umelitaja jina lang vzr na anaweza kuomba nirudie
Wewe ni mwalimu bora
Asante sana my mentor nimeongeza kitu kwenye safari yangu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Video bora ya mwaka
Asante sana kaka Joel
God bless you Joel 🙏
Ahsante kaka Joel Nanauka
Uko vzr bro
Asante sana tuko. Pamoja
Hongera mkuu 200K subscribers na mimi nimo humo🤝
Thanks Brother Joel .. makosa yote hayo . Am there You help me alot 🙏🏽
Nimekupata brother,, thanks
mm nlikuwa napenda .msema vit nisvyovipenda
Nimekupta sana bro joel kutoka iringa mafinga
Asante Sana kwa somo zuri Kaka Joel
Asante ndugu kwa ushauri, barikiwe.
Hongeraa snaaa
Thanks so much, may good Lord bless you 🙏
GOD bless you abundantly
Joel nanauka nimependa mafundisho yako polofes
Ayoooooooooo yoteee ni makosa yangu amabayo nafanyaga muhay mimi na sifa zangu 😂😂😂😂 uwiii. Thanks alot kwa kunielimsha my motivation Joel Mungu akuweke weee Baba 🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
Wewe masipota punguz sifa 🤣🤣
GOD BLESS YOU JOEL
Great content, keep it up 😊
Ubarikiweee
Ushauri kwa wasiokukubali ndio tatizo kubwa
Very very informative
Thanks for your lecture sir am always there listening and learning.
Nimejifunza kitu hapa barikiwa Sana mentor wangu
Safi sana kaka
Nakumbuka tu kua mkuu wetu wa shule alikua mama Nannauka
Mimi ni mwanafunzi mzur yani umekiwa furaha kwangu asante kaka