Vyanzo 4 Vikubwa Vya Migogoro Kwenye Mahusiano Na Namna Ya Kuviepuka.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 141

  • @ELINAZEFRINI
    @ELINAZEFRINI Рік тому +1

    Barikiwa

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 Рік тому +1

    Aiseee namba 3 do inanichoshaa kwa kwelii

  • @ELINAZEFRINI
    @ELINAZEFRINI Рік тому

    Barikiwa sana

  • @nasrmuhednasrmuhed-e7n
    @nasrmuhednasrmuhed-e7n 7 місяців тому

    Hongera

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 6 місяців тому +1

    Hakiamungu mm ukiniambia nikuelekeze ujue tu umepotea 😂😂😂😂😂

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 5 місяців тому

    🙏🙏

  • @marykavyega6602
    @marykavyega6602 Рік тому

    Asant sana

  • @stephanmpangire4741
    @stephanmpangire4741 2 роки тому

    Asante kwa somo

  • @kizazijeur7518
    @kizazijeur7518 2 роки тому

    Somo zuri kk j

  • @juhudiacademy2170
    @juhudiacademy2170 3 роки тому +9

    Kwa kweli point ya communication na resentment imenipa changamoto kubwa mpaka sasa nachukia mahusiano. Thanks for the wonderful knowledge Mr. Joel

  • @yusuphmwaigomole3104
    @yusuphmwaigomole3104 Рік тому +1

    Resentment na expectations Ni vitu ambavyo vinasumbua zaidi

  • @frankmsangi
    @frankmsangi Рік тому

    Asante san brother Mungu akubariki sana somo zuri sana na limenigusa sana🙏🔥🔥🔥

  • @esteralex6408
    @esteralex6408 2 роки тому +1

    Nimeelewa sana tena SANA jaman

  • @ireneallen1236
    @ireneallen1236 Рік тому

    Shukran kakaangu Mungu akubariki kwa zawadi hii Leo nimekuwa mpya msongo wa mawazo umepungua

  • @kassimhilal6635
    @kassimhilal6635 3 роки тому +10

    One among my best teacher, Thanks broo unasaidia san. God bless you

  • @faustinokilian1276
    @faustinokilian1276 2 роки тому

    UBARIKIWE

  • @IbrahLikolo
    @IbrahLikolo 5 місяців тому

    Maturation kaka ni muhimu mtu Akwambie baada ya mahusiano unatarajia muhishi vp Nnimeipenda saana hiyo Mada mungu Akupe upeo mkubwa saana.

  • @hellenismail4351
    @hellenismail4351 3 роки тому +10

    Wewe ni mtu wa muhimu sanaa kaka Joel...ur the best always ❤❤

  • @najmaomar5523
    @najmaomar5523 Рік тому

    Zoote

  • @simawaziri8647
    @simawaziri8647 2 роки тому

    Asante Sana najifunza kutoka kwako

  • @ronaldomselleronaldomselle6238
    @ronaldomselleronaldomselle6238 3 роки тому +6

    Nimebarikiwa sana na somo lako la leo kaka Joel nanauka mungu akubariki

  • @tusajigwekanemela2864
    @tusajigwekanemela2864 3 роки тому

    Asante sana

  • @FREDRICKMMUOJI
    @FREDRICKMMUOJI Рік тому

    Yaani jitu kingine kinachochagia migogoro ni mwanamke akichelewa kuzaa ni tatizo.

  • @mohamedsuleiman7215
    @mohamedsuleiman7215 3 роки тому +2

    mi ndo nashukuru mungu naona amenibariki mi niko straight to the point ninapotaka jambo ama kama sitaki si zunguki mbuyu na sijali kama utaniacha au hatuniacha.na hata kama ukiniacha lakini huwa nafurahi umeniwachi kwa sababu umenielewa nini ninataka na nimemaanisha...na nikikuona sikuelewi elewi mi huwa nakueleza bayana kama hujisikii furaha kuishi na mimi una uhuru wa kuniacha...mi huwezi kunikutiya niko na stress za mapenzi hata siku moja mi stress zangu wapi nitaipata PESA!.

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 2 роки тому

    Brilliant.......narudia narudia....

  • @samsonkiyeyeu8646
    @samsonkiyeyeu8646 2 роки тому

    Asante sana ndugu yangu mimi hapo umenigusa mahusiano yanamgogoro mwenzangu si mtu wa kunisikiliza ni jeurijeuri

  • @gracejuma388
    @gracejuma388 3 роки тому +3

    Nimeipenda hii 😂❣️❣️,,najengeka

  • @christinakiswaga6831
    @christinakiswaga6831 Рік тому

    Mm changamoto ninayo kutananayo Sana rafiki yangu huwa habari kabisa maumivu yangu na Mara nyingi ananitafuta tu akiwa na shida zake nifanyeje? Niachanaye

  • @jumabakari8212
    @jumabakari8212 3 роки тому +3

    Napenda sana show zko hivi hauna group ukaniunga ili nifaidike zaidi

  • @hapsaally1860
    @hapsaally1860 3 роки тому +2

    Mie napenda kuongeza hapo kwenye point ya selfish pia katika maendeleo mmojawapo anafanya jambo kama kufungua mradi,ama kununua viwanja na kujenga bila kumuusisha mwenzi wake mke/mume na kutotaka mwenzake asijiusishe na ivovitu atakidogo na endapo akatokea kuulizwa hatoi jib dhabit,hukasirika yaan kwakifup añakuwa na mipaka ataki mwenzie ajue undan wa ivo vitu

  • @bsrabbitfarm
    @bsrabbitfarm Рік тому

    Bro Kama umeniona vile ile suala la resentment linanigusa sana

  • @raummoshi4372
    @raummoshi4372 2 роки тому

    Barikiwa sn kaka joe

  • @goodluckjoshua5102
    @goodluckjoshua5102 3 роки тому +1

    Kuelekeza kwa hasira

  • @meshackmwakajwanga8349
    @meshackmwakajwanga8349 3 роки тому

    Point y pili

  • @zuhurakisozi8912
    @zuhurakisozi8912 3 роки тому

    Shukrani Sana kaka kwa somo ila hapo kwa kuangalia wazazi waliikuwaje kwenye mahusiano unadhaini nitasaidia kuwa Na mahusiano mazuri hasa kwa wale ambao unakuta mmoja hana Uhuru kwenye mahusiano kwa kuogopa wazazi

  • @murundikazitvlyditiffahruk8954
    @murundikazitvlyditiffahruk8954 3 роки тому

    Kwel kabisa

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому

    Asante sana my brother from another mother kwa hakika nakiri kwa macho ya nyama umenitoa mbali sana kaka yangu

  • @lwisekweka8321
    @lwisekweka8321 3 роки тому +2

    The more I listen to you the more I fall in love with you. More blessings sir🥰🥰😍

  • @manumbucharles655
    @manumbucharles655 Рік тому

    Kitambu cha kuboresha mahusiano kinapatikana kwa shi ngapi na wapi
    Mwanza

  • @herychavdy1372
    @herychavdy1372 3 роки тому

    Good

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 3 роки тому +2

    Mawasiliano ndo changamoto kubwa Sana tuashindwa kuelewana

  • @dschtvtz.
    @dschtvtz. 3 роки тому

    Nice J

  • @johnstephen3488
    @johnstephen3488 3 роки тому +2

    Nasumbuliwa Sana na point ya mwisho kwenye matarajio yaani umeongea Kama umejua vile napitia wakati mgumu Sana kwakweli

  • @hon.kabalo1960
    @hon.kabalo1960 3 роки тому +5

    On point 👏👏

  • @dnenterprises4240
    @dnenterprises4240 Рік тому

    Shida ni wa Mama wakwe kuwa na Amri nk bilakujali mwanae nimke wa mtu.

  • @rimepeter789
    @rimepeter789 3 роки тому +3

    Glory be to God,awesome message ❤🙏

  • @adelickinyasi8972
    @adelickinyasi8972 2 роки тому

    Good lesson

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 роки тому +2

    Mwalimu Nanauka mbona hujibu comment zetu basi hata kulike pia hufanyi hivo

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому +1

      Ahsante,najitahidi Ila huwa zinanizidia

    • @samoocoolingsystem93
      @samoocoolingsystem93 3 роки тому

      @@joelnanauka ni kweli kabisa hata mimi naona pole sana

  • @CharlesJoseph-yo5xg
    @CharlesJoseph-yo5xg Рік тому

    Naweza kukipataj hicho kitabu Cha fedha na mahusiano

  • @gshbnz4368
    @gshbnz4368 3 роки тому +3

    Naomba namba ya huyu kaka jamani

  • @nuhujuma2970
    @nuhujuma2970 2 роки тому

    Yan haya ndo yanayonikuta ktk mahusiano yangu ,mm ninampenzi nampenda pia najitoa kadr niwezavyo kwake naanayajua maisha yangu kiundan sabab nina malengo nae sjataka kumficha chochote ,Ila shida nikimwamba kitu kwamfano asivae nguo zakumbana Sana kiukweli mm spendi Ila majibu ananijbu kua nisimpangie kufanya anachotaka yeye au kuvaa nisimpangie ikiwa Mimi sio Kama nampangia Ila hua napenda aonekane vizur nasio ajichoreshe ,by shahfah

  • @kendricgeorge603
    @kendricgeorge603 2 роки тому +1

    selfishness point imenigusa sana ki ukweli mimi nipo hvo ila ningeomba kupewa ushauri au hata kitabu chenye topic ya hivo huenda kikanisaidia

  • @tandachaya6327
    @tandachaya6327 2 роки тому

    Umeniumbua najirekebisha huwa nalalamikiwa sana izo hasira hasante kaka

  • @eliaspetro8263
    @eliaspetro8263 2 роки тому

    Mtumishi no 1 namna ya matamshi hii mm hunipaga shida sana pale unapowasiliana na mwenzi wangu

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 роки тому +4

    Thank you my brother Joel 🙏

  • @happymaghobe7275
    @happymaghobe7275 3 роки тому

    Nimejifunza kitu kikubwa thanxxx

  • @felixibrahim7126
    @felixibrahim7126 3 роки тому

    Asante sana kaka nimejifuza kitu

  • @idrismzee9294
    @idrismzee9294 Рік тому

    Naweza kupata soft copy nipo Nairobi na jee ntapata kwa shilingi ngapi za kenya pdf nahitaji hicho cha boresha mahusiano yako

  • @felixjoachim9482
    @felixjoachim9482 3 роки тому +2

    Nimekuelewa sana kaka joel, tupo pamoja

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 3 роки тому

    Nkwl ndugu nmepata elimu kubwa kupitia mahusiano ndoa Kila siku lazima upate elimu sawa na chuo lazima upate elimu Kila siku wanawake asili yao ni kudeka ndo maumbile yao thanks

  • @josephkiwovele7806
    @josephkiwovele7806 Рік тому

    1communication
    Wife anasema niña majibu ya mkatomkato sana

  • @magrethmushi9731
    @magrethmushi9731 3 роки тому +3

    Kaka mawasiliano na expectations imenigusa na nimeelewa

  • @khadijaomar7529
    @khadijaomar7529 Рік тому

    Yani hapo kwenye ubinafsi ndio umeshikilia nafasi kubwa sana kwenye maisha ya ndoa utaskia mtu anakwambia anakupenda but maumivu yako wala changa moto zako haji husishi nao

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 роки тому

    🙏

  • @emmanuelernest8832
    @emmanuelernest8832 2 роки тому +1

    Mawasiliano ni kichomi🙌

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому

    Kwel kabisa hasira husababisha kuvunjika kwa mahusiano

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 3 роки тому

    Fundi Joel,,,, moto ule ule

  • @saraphinajosephaty2723
    @saraphinajosephaty2723 3 роки тому

    Shukran sana Kaka maana napata vit muhim sana kuboresha mahusiano yang

  • @karimabdoul7619
    @karimabdoul7619 3 роки тому +4

    Asante Nanauka.
    Ni me jifunza kitu :ukiwa na maarifa una fika mbali zaid ambapo wengi wameshindwa kufika.
    Mahusiyano yanaharibika kila leo kwa sababu ya kukosa marifa kama haya thanks 🙏 JOEL.

  • @pugnaagrifood7282
    @pugnaagrifood7282 2 роки тому

    Mungu akupe kila hitaji lako kaka,

  • @edwintheresphor2915
    @edwintheresphor2915 3 роки тому

    KAKA somo zuri sanaaa nimejifunza kitu

  • @paulinaalvin9567
    @paulinaalvin9567 3 роки тому

    Thanx for the lesson brother

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 3 роки тому +1

    Ujumbe mzuri

  • @nevagasmsamba5060
    @nevagasmsamba5060 3 роки тому

    Speech nzur mr.

  • @fundamengo7970
    @fundamengo7970 3 роки тому

    Asante kaka

  • @elizabethgeorge8587
    @elizabethgeorge8587 3 роки тому +1

    Daaa Kaka nikushukulu Mana umenigusa Mimi Sana kila ulichoongea Kama uliniona na unanijua ndio unanianbia shukrani nna mke nnaenpenda Sana Ila migogolo imekua kila week naumia najishusha Ila bado tunagonbana

  • @mwanaidihassan5868
    @mwanaidihassan5868 3 роки тому +1

    Expactation is among because of family background

  • @nungularais7253
    @nungularais7253 3 роки тому

    Hii

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 3 роки тому

    Somo zuri

  • @aishamaulidi4679
    @aishamaulidi4679 3 роки тому +1

    Absolutely my brother Joel

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 3 роки тому

    Safi Sana kwa darasa huru

  • @eliasbufula2482
    @eliasbufula2482 3 роки тому +2

    Umenigusa sana Joel.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому

    My brother 📝

  • @sophieswold6983
    @sophieswold6983 3 роки тому

    Mawasiliano Communication

  • @nzumbimussa9511
    @nzumbimussa9511 3 роки тому +1

    Mim naona karibu aina zote zimechangia kuharibu mahusianao yangu,. Hasa kwa pande zote kwangu na kwake hasa nilikua naomba ushauri kwako

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 роки тому +4

    Hapo kwenye mawasiliano ndo shida tupuuu,hasa mtu kutoa taarifa nusu nusu. Unakuta wote hamuelewani kila mtu anatoa taarifa nusu kila mtu anashindwa kumuelewa mwenzie. Usiri mwingi hadi huelewi hii ikiwa familia inakua na rangi gani mweeh😁😁😁

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 3 роки тому +1

    KAKA NANAUKA MBONA UNANIGUSAGA KILA TOPIC MKUU.....DUUUUH!!!!!!!KAKA HATARI SANA HII..........

  • @Abdourahman345
    @Abdourahman345 11 місяців тому

    Kitabu nitazipata vipi

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 2 роки тому

    Kabisaa kaka angu mtu anarudinga vitu moyoni daaa

  • @habibismael4937
    @habibismael4937 3 роки тому

    Waow good job kwangu ni iyo ua mwisho

  • @Muka_26
    @Muka_26 3 роки тому +3

    Tar 12/7 ukafanya tena 😂😂😂

  • @edderedderrichard3112
    @edderedderrichard3112 3 роки тому

    Kinauzwa bei gani na takipaje na hard copy au soft copy

  • @marthajuma8411
    @marthajuma8411 3 роки тому

    Me naona zote zinanizunguka kwenye ndoa yangu na imekuwa ni changamoto kubwa hadi nataman kiikimbia aisee

  • @mafanikiohalisi196
    @mafanikiohalisi196 3 роки тому

    ✊✊✊👋👋👋on point

  • @dynam1488
    @dynam1488 3 роки тому

    🤲 shukrani bro

  • @judithjoseph5868
    @judithjoseph5868 3 роки тому +1

    Ndugu yangu mi hapo yote ,,hadi naona ndoa haifai

    • @judithjoseph5868
      @judithjoseph5868 3 роки тому

      Kukusanyiwa makosa ya nyuma mi kawaida,,masiliano ndo kabis hakuna,,nikihitajika ndo nitasalimiwa nakupewa pole,,ukiumwa MTU haamin kama unaumwa,,

  • @omisamjr4864
    @omisamjr4864 3 роки тому

    Bro your genius

  • @justinacosmas3902
    @justinacosmas3902 3 роки тому

    Me changamoto nilioipata naona zote Kaka joel

  • @_benytz1573
    @_benytz1573 3 роки тому

    Uncle leo umenipa majibu kwnn mahusiano yang mengi yalikuwa ovyo.....kupitia leo nimejua shida ilikuwa ni nn na nn cha kufanya ili kuboresha....

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 роки тому

    Sitaki kabisaa kusikia kitu mahusiano