Mkate wa kusukuma AKA Chapati kiswahili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 575

  • @njh3230
    @njh3230 6 років тому +5

    A good woman is one that can cook well and keep her home with a welcoming feel for her returning family from work and school. As women are also going out to work these days, it's harder for a woman to be all of those things but she still does it! A house is not a home without the nurturing of a woman.

  • @elizabethmnapatikanawapiny5307
    @elizabethmnapatikanawapiny5307 7 років тому +7

    Napenda mapishi yako pia unafundisha vizuri sana
    Hongera sana kwa darasa LA mapishi

  • @sihammohamedthabit9832
    @sihammohamedthabit9832 2 роки тому

    Mashallah umejaliwa Allah akuzidishiye uzidi kutupa ujuzi

  • @halimamshami3279
    @halimamshami3279 5 років тому +4

    Najivunia kuwa mpishii bora kwa jamiii yangu, through you Allahibariqfiii Umenifunzaa mengii..yahafidhuu akuhifadhii na wapendwa wako♥♥♥..

  • @davieskamanda6622
    @davieskamanda6622 4 роки тому +1

    The most complete chapati recipe video I've ever watched.Asante💖

  • @azhakesanpillai
    @azhakesanpillai 6 років тому +3

    Wow amazing.. thanks for posting... I am an Indian.. I don't understand your language.. but I like yours method of making chapati. Big salute to you..🙏🙏🙏

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      You are most welcome. Here's the English version of the same video
      ua-cam.com/video/yCWPBnTb-1M/v-deo.html

  • @nwele
    @nwele 8 років тому +4

    Thank you so much!!!!!!!!!!!! Now I understand how to make them flakey. Thank you again!

  • @fadhili88
    @fadhili88 6 років тому +2

    Mashallah ukhty shukran nimejifunza mengi kutoka kwako

  • @wasitaraf.m.7590
    @wasitaraf.m.7590 7 років тому +1

    Mzuri sana mkate wa kusukuma,
    jina lake brawuta ama chapati .
    shakran

  • @aminamohamed3916
    @aminamohamed3916 3 роки тому

    Salàm alekum mashallaah napenda sàna mapishi yàko mm Amina yaro kutoa Kenya

  • @williamrees9928
    @williamrees9928 7 років тому

    Ahsante, nilipokuwa Tanzania sikujifunza kupika chapati, na vyakula vyengine. You are a big help.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      Aww you are so sweet , thank you am glad niweza kukusaidia

  • @ayshahayaty8650
    @ayshahayaty8650 8 років тому +2

    Allah Ayilinde mikono yako na Akupe Afya tuzidi kufaidika

  • @marekanijulius2620
    @marekanijulius2620 7 років тому

    Ilitakiwa ufundishe shuleni unaonekana ni mwalimu mzuri sana
    Asante kwa somo zuri.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Ahsnate sana kwa huo ushauri ni kitu ningependelea sana kwani nakiota kila siku x

    • @marekanijulius2620
      @marekanijulius2620 7 років тому +1

      Upo vizuri mnooooo

  • @matildaneligwa3730
    @matildaneligwa3730 7 років тому +1

    Nimeyapenda an mapishi hakika umenikumbusha mbali. Nami hupendelea mikate ya aina hii kutengeza Kwa family yangu. Bigup sn.

  • @nadusohrab1691
    @nadusohrab1691 5 років тому +5

    Always the Best Aroma of Zanzibar Ma"Sha"ALLAH

  • @aishawanjiru4861
    @aishawanjiru4861 7 років тому +2

    i like your cooking keep it up

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 8 років тому +10

    Am also good with chapatti but i watch this to lean more tanks sister

  • @CKay703
    @CKay703 7 років тому +6

    Tried your method this Easter. I slayed. Thank you lady!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Yeeeeh!!!!!, am so excited for and thank you for letting me know that ...enjoy your chapatis dear

  • @selinabubakary6196
    @selinabubakary6196 Рік тому

    Masha allah napend san mapishi yako huw napend kujifunz unajua kumfamish mtu pia napend unavyoo ongea

  • @fatmawakanai3463
    @fatmawakanai3463 8 років тому

    Thanx aunt nimejarbu na nimeweza uzidi kubarikiwa

  • @LeodegardJerome-wo8gs
    @LeodegardJerome-wo8gs 9 місяців тому

    Umenifundisha kupika vyakula vingi sana. Allah!! Akujaalie kila jema inshallah🙏

  • @mrsmrshassan7473
    @mrsmrshassan7473 8 років тому

    Maasha Allah , , shukran sana , Wallahi mapishi yako matam , Allah akutakabalie swaum zako

  • @munaahmed6021
    @munaahmed6021 8 років тому +1

    MashaAllah really liked ur chapatis hasa nine learn something new na unapoweka tabaki

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому +2

      Shukran, you are welcome x thank you for your support dear

  • @AmuRa606
    @AmuRa606 2 роки тому

    Raha sana kutengeneza chapati,, I’m from Lamu, chakula kitamu Asante

  • @aminamkwawa6620
    @aminamkwawa6620 7 років тому

    ahsante sana zamani nilikuwa napika chapati ngumu sana,ila kwa mafunzo yako nimepika laini mashallah

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      Homgera kwa jitihada yajo pia, mashallah endelea tu

  • @simonkimwaga510
    @simonkimwaga510 6 років тому

    Mapenda mapishii sanaaa hongeraaa mama.

  • @maulidmalik5364
    @maulidmalik5364 2 роки тому

    Mashallah nakupenda dada sjawahi kukuona sura yko

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  2 роки тому

      Ahsante sana, mbona nimefany alive kidogo, nipo instagram sana

  • @janemichael4193
    @janemichael4193 4 роки тому

    Ur the best nimejifunza vingivkutoka kwako

  • @dieterfenn6773
    @dieterfenn6773 4 роки тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍hizo chapati ni smart

  • @yasminrawji5424
    @yasminrawji5424 Рік тому

    I like your way of speaking Swahili.
    I am from Tanzania.
    But grown-up at Burundi.

  • @bridgitinthekitchen
    @bridgitinthekitchen 8 років тому +68

    Napenda vile unaongea kabisa, makes it more fun while watching!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому +1

      Thanks

    • @nkeshimanaemmanuel5031
      @nkeshimanaemmanuel5031 7 років тому

      which one the people like so much between chapati na aandazi ? You try my sister, your swahili is heard well

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +4

      Nkeshimana Emmanuel Thank you so much they are the same , in my house my children love Maandazi more

    • @nkeshimanaemmanuel5031
      @nkeshimanaemmanuel5031 7 років тому

      This video causes me to ask my wife if she can make some chapati, i love chapati sooo much

    • @johnutenga1838
      @johnutenga1838 7 років тому

      254 Upishi

  • @aunties5798
    @aunties5798 7 років тому +1

    Watching you from Canada. Asante Saana for showing me another better way of making Flaky Chapatis.

  • @andrewmashika3756
    @andrewmashika3756 3 роки тому

    Safi sana,... nitajaribu wiki end.

  • @zullyfarida881
    @zullyfarida881 7 років тому +1

    Asante ,good presentation, napenda sana mapishi yako dadangu .

  • @hanadialabed8635
    @hanadialabed8635 7 років тому +2

    Warab wanaita kubuzi ngumu km gozi la papa ukifanya lang'oa jino hahahaha uuuiiii kubuzi hooyeeee MashaAllah mumy uko vzr

  • @emanuelissaya1079
    @emanuelissaya1079 7 років тому +1

    uko vizuri Dada angu honestly nimejifunza kupika mkate wa kusukuma

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      Ahsante sana nashkuru kuweza kukusaidia

    • @lapidothswai1777
      @lapidothswai1777 7 років тому

      Aroma of Zanzibar samahani Dada naweza kuona Aina ya Unga unaotumia kupika chapati

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Sawa mimi natumia unga kutoka India unauzwa madukani ya wahindi unaitwa CHAKI ATTA na nimechannganya na unga wa ngano mweue x mimi siishi Tanzania kwa hivyo niunga tofauti ninao nunua mie lakini unga wowote mzuri utafaa

    • @lapidothswai1777
      @lapidothswai1777 7 років тому

      Aroma of Zanzibar OK Asante Sana dada

  • @mamiechous.m67
    @mamiechous.m67 8 років тому

    allah akubariki nazaidi shukrani nakupenda snaa

  • @abrahim4861
    @abrahim4861 8 років тому +1

    mashaalh nataka kupika kila kit unachopika unanitamanisha ..moza

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому

      Moza you are welcome, one at at time ;) shukran

  • @lutfiaaziz1144
    @lutfiaaziz1144 4 роки тому

    Ma Sha Allah ,Mimi nakupenda Sana ,mapishi yako, mazuri n simple, Allah akubariki

  • @MohamedHassan-tp2wf
    @MohamedHassan-tp2wf 7 років тому +1

    thats so nice it looks so sweet .woow my mouth is watering soooo much .well done my teache r

    • @MohamedHassan-tp2wf
      @MohamedHassan-tp2wf 7 років тому

      wish you could come to somaliland to train us on how to cook .You so grate thanks once again today I will try it out

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Thank you so much for the wonderful compliment , these are good and easy. Enjoy your cooking and let me know how you like them

  • @AdamAdam-nj8kg
    @AdamAdam-nj8kg Місяць тому

    Umenikumbusha mbali.
    Ni kweli
    Bibi yangu akiuti mkate wa kusukuma.

  • @eustarmwambanga5131
    @eustarmwambanga5131 7 років тому +7

    you are the best...communication perfect

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +3

      Thank you dear, am trying my best so you all can get perfect results x thank you for your support

    • @eustarmwambanga5131
      @eustarmwambanga5131 7 років тому +2

      Aroma of Zanzibar most welcomed thanks again

    • @aishanaiga5252
      @aishanaiga5252 5 років тому

      Eustar Mwambanga q

  • @misky0581
    @misky0581 7 років тому +1

    masha Allah I like the way you do it we use to do back home then we be came so lazy noways omg I have to go back to this thanks sister jzk

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 8 років тому

    Ahsante kwa kushare nasi...nimefurahi pia kukuona.
    Unaeleweka vizuri.
    Ramadan Karim..

  • @marieassoumani5143
    @marieassoumani5143 2 роки тому

    Shapati nzuri sana😘

  • @mamumoh1402
    @mamumoh1402 7 років тому +2

    thank you Dada mungu akuweke tuzidi kupata ujuzi

  • @khadijanaif490
    @khadijanaif490 6 років тому +1

    Chapati & Parata Story 😀 Nimependa... Thank You - Khadija Naif

  • @rahmasalum6705
    @rahmasalum6705 4 роки тому

    Mashaallah mkate wakuskuma mzuri nimeupenda

  • @ayshahayaty8650
    @ayshahayaty8650 8 років тому +2

    Ma sha Allah wakunja design mpya kwangu

  • @siriyamwanamkemkakamavu
    @siriyamwanamkemkakamavu 7 років тому +8

    I lov this Woman. Thank you.😚😚

  • @janeyoj8228
    @janeyoj8228 4 роки тому

    Nmeipenda style yako ya ku roll na kukunja
    😍😍😍😍😍
    Asante sana
    Barikiwa dada

  • @gloryfrenk5770
    @gloryfrenk5770 8 років тому +1

    Aksante sana aunt,nimependa hii coz wengi wanaweza Fanya hivyo,(simple)

  • @andrewmwakibolwa8600
    @andrewmwakibolwa8600 6 років тому +8

    Na kweli mwanamke anaejua kupika chapati ndo make mzuri

  • @vmnyambura
    @vmnyambura 7 років тому +1

    jikoni magic said i should see how you make chapati. very nice

  • @mbonikajembe4989
    @mbonikajembe4989 8 років тому +1

    Hongera na Ahsante sana

  • @pendodidas2898
    @pendodidas2898 7 років тому +1

    Nakupenda sana Dada umenifunza mengi

  • @bakeandcookwithhabibaj5317
    @bakeandcookwithhabibaj5317 5 років тому +2

    MashaAllah napenda sana recipes zako😍

  • @nailakhanbadat2480
    @nailakhanbadat2480 4 роки тому

    I love ur style ur amazing

  • @maryamjey6340
    @maryamjey6340 5 років тому

    Ur class always the best. Allah akupe afya na uzima utujuze ziada

  • @38wahida
    @38wahida 7 років тому

    Nakumbuka mama anapika ivi Chapati lakin generation yetu tume. Vumbua njia nyengine za kufanya Chapati, but ilove it nzur sana

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Mashallah, mie bado old fashion x shukran dear

  • @aishabigset
    @aishabigset 7 років тому +1

    MashaAllah nazipenda sana video zako, sauti nzuri

  • @kishadafour8307
    @kishadafour8307 8 років тому

    Asante kwa mapishi ya mkate wa kusukuma (chapati). Hizi ni chapati za kizanzibari. Chapati zinapikwa sehemu tofauti duniani sio India pekeyake ila kila sehemu zinakua na upishi wake. Nitajaribu.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому

      +Kishada Four Sawa sawa, chapatizinaliwa dunia nzima. Inshallah ukipata nafasi ya kupika nijulishe matokea, ntafurahi kwani kila mtu ana mkono wake

    • @goldenqueen7979
      @goldenqueen7979 7 років тому

      fanya usiongee english maana wazazi wetu hawafahamu😜
      love u

  • @victorbernard6638
    @victorbernard6638 7 років тому +2

    yaaan unavyongea tu..very interesting

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Lazima niwafanye watazamaji wa enjoy kidogo , kwani video ndefu au watalala lol,

    • @wnext-nx2mb
      @wnext-nx2mb 7 років тому

      very nice

  • @abdalaramadhnibizimana3462
    @abdalaramadhnibizimana3462 8 років тому

    mungu akuzidishie unauzowefusana

  • @shiskasaaibmawali4923
    @shiskasaaibmawali4923 7 років тому

    Mashaalla mungu akubarik habibti shukran sana

  • @rhalbarwani
    @rhalbarwani 8 років тому

    Zanziba Oyee!! nipenda sana fikra zako zamapishi Ramadan mubarak

  • @dianarosesulley9840
    @dianarosesulley9840 8 років тому

    thanks a lot.mi Niko arusha so unga wa badia tunanunua ama wa dengu au unga wa kunde.kuna tofauti ukitumia unga na kusaga mwenyewe kama ulivofanya.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому

      +dianarose sulley Unaweza kutumia dengu ukasaga , pia na chooko ukasaga ni tofauti na nga ready made ule mlaini sana . Unaweza kufanya badia za unga wa dengu tayari lakini niladha tofauti

    • @dianarosesulley9840
      @dianarosesulley9840 8 років тому +1

      Waoooo thanks.nimekuelewa uzuri.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому

      +dianarose sulley Happy cooking!

  • @abc41
    @abc41 8 років тому +3

    mashallah ...napenda recipe yako ndio mwanzo nakuuona ...ramadhan mubarak .x

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому

      Shukran, Ramadhan mubrak to you too, you are very welcome

  • @zulfaibrahimszulfa3559
    @zulfaibrahimszulfa3559 6 років тому

    MashaAllah nashukuru kwa mafunzo yako sasa naweza kupika chapati sawia

  • @gracefoya4609
    @gracefoya4609 2 роки тому

    Asante kwanmafunzo. Tunaimba vipimo vya unga, mafuta, chumvi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  2 роки тому

      Vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box

  • @Bisekoson
    @Bisekoson 6 років тому

    wow! u r amazing, nitajaribu kupika mkate wa kusukuma tena, maana wiki mbili zilizopita nilipikia unga wa brown peke yake mikate haikutoka uzuri nilivyotegemea. nitajaribu njia yako ya kumix unga mweupe na wa brown. Shukran sana kwa mapishi mujarab

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому +1

      Unga wa brown ni upishi tofauti , hope it works out better for you next time

    • @Bisekoson
      @Bisekoson 6 років тому +1

      yeah i noticed that nlitafuta sana recipe ya brown peke yake sikupata.. nilijaribu mkate ulikubali ila mkate wa kusukuma haukutokea vizuri.

  • @aminaaboudou4718
    @aminaaboudou4718 7 років тому

    So happy you use the real name of mkate wa kuskuma,

  • @cafiifaabdulkarim4826
    @cafiifaabdulkarim4826 8 років тому +1

    masha Allah nice sis pia wa somali zikuwezi tuta kula kuwanza mimi ni miss aki thnkz sister

  • @yousafabdullahali5636
    @yousafabdullahali5636 6 років тому

    Mashaa Allah unekanda kizamani kweli, nilkua nikimuona mamangu 2007 akikanda hivyo.

  • @mamaruqayya7726
    @mamaruqayya7726 8 років тому +1

    mashaalla habibty nakufatilia sn ktk recipe yako na napika kila unachotuwekea naomba utuwekee na visheti plzzzzz

  • @zubedachao3970
    @zubedachao3970 5 років тому

    Chapati tamu.na ujue kupika asanti sana.

  • @marieassoumani5143
    @marieassoumani5143 2 роки тому

    Ça doit être bon uuuummmm 😘

  • @alicezawadi2362
    @alicezawadi2362 7 років тому +1

    merci nimepiga yangu kufwata this measurement and my husband love them, thabks a lot sis

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Thank you for your support, glad it worked well for you and thank you for your feedback

    • @alicezawadi2362
      @alicezawadi2362 7 років тому

      i should be the on thanking u, u such a sweetheart, i found your site from victoria david

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Not at all, we all need to thank Victoria David, you are welcome sister anytime

  • @FatumaAli-e6n
    @FatumaAli-e6n 8 місяців тому

    Mikate hiyo kwa mchuzi wa mabenda ni tamuu shukran

  • @mbarakahmed3305
    @mbarakahmed3305 8 років тому +1

    uko juu mashallah leo ndio nnajua kupika chapati😆

  • @dianarosesulley9840
    @dianarosesulley9840 8 років тому

    hongera kwa mapishi mazuri.nimejifunza kupika urojo so happy.nauliza badia ukipika kwakutumia unga wa dengu nisawa na hizo ulizotengeneza wewe?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому

      +dianarose sulley Ahsante nimefurahi sana that you are so happy, badia za unga wa dengu ni tofauti na za kunde lakini zinalika pia

  • @cathrinevans28
    @cathrinevans28 7 років тому +3

    I love cooking but am still learning and with your channel will learn more am from Kenya n i can see that our cultures have common dishes. Thank you also for i requested for a pilau recipe and u gave me a reply.I will cook Chapati with ur recipe. I LOVE your cooking and am here to learn from you, God bless you and your family.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +3

      Catherine thank you so much for your love and support , yes our cultures are similar. Enjoy your chapatis and please come back and let me know your experience

  • @balqisnjuki
    @balqisnjuki 7 років тому +1

    i lv ur videos Aroma of Zanzibar

  • @23568982
    @23568982 7 років тому

    Asante nitajaribu ziwe kama hizo. Ni nyororo sana.

  • @perischarles2121
    @perischarles2121 8 років тому +1

    asante aroma kwa ku upload naipenda sana.

  • @sanahrusso2811
    @sanahrusso2811 7 років тому

    Mi Ouzipiha Ndro, Cha Mi Kazivendzé Hata Hata Mi Kandza. I'Am From COMOROS

  • @letrat7021
    @letrat7021 7 років тому +8

    chapo zangu hazina shape.. bora iko na nutrients

  • @fatmaalabri7304
    @fatmaalabri7304 6 років тому

    Natamani nikuone 😘

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      Mie hua nafanya live video mara kwa mara, bonyeza hapa utaniona lakini video sio nzuri sana ua-cam.com/video/6mx7rZcusdY/v-deo.html

  • @marhaban2012
    @marhaban2012 4 роки тому

    Masha Allah thank you so much, Arôme of zanzibar, Ramadan mubarak !!!

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 років тому

    nimezipika leo zimetoka za kunyambuka asanteeee .from mexicoo

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому +1

      Karibu Texas

    • @alizahranmohd4095
      @alizahranmohd4095 5 років тому

      @@aromaofzanzibar asante sana.nipo masomoni mexco.ila nipo apa chini y california(mexicali)nikipat visa ntakutembelea

  • @LetsDoEnglish1
    @LetsDoEnglish1 4 роки тому

    Loved watching this style of making bread.

  • @gaudensiamalongo5639
    @gaudensiamalongo5639 7 років тому +1

    asante sana dada kwa mapishi murua, naomba mapishi ya egg end meat chop kama itawezekana

  • @shadyamsami5703
    @shadyamsami5703 7 років тому

    jazallah..asante kwa kutusomesha

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 7 років тому +1

    Thank you so much for your daily cooking l love chapatti

  • @mwihakimuthoni9868
    @mwihakimuthoni9868 7 років тому +1

    nimependa channel yako.Awesome teacher

  • @wahidanasser5824
    @wahidanasser5824 8 років тому +1

    mashallah umepasi kwa mapishi Sis

  • @wardhiigley1031
    @wardhiigley1031 6 років тому

    MashaAllah I love the way your making

  • @christinangossi4669
    @christinangossi4669 7 років тому +1

    Asante sana ...nimeweza kupika dear

  • @jojojo7956
    @jojojo7956 8 років тому +9

    My next chapati will be softer like yours.I usually cook hard chapati. Thank you for the video.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому +1

      You are welcome, thank you for your support

    • @maryamali8252
      @maryamali8252 7 років тому

      me too wallahi

    • @HassanAli-tx2wu
      @HassanAli-tx2wu 7 років тому

      Aroma of Zanzibar nilikuwa nauliza je huwezi kukanda na mayai?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +2

      Hassan , samahani ndio kwanza naona hii comment yako. Unaweza kukanda na mayai kama utapenda

  • @7428tony
    @7428tony 8 років тому +20

    Jikoni magic sent me here!!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 років тому +1

      How sweet, karibu sana

    • @7428tony
      @7428tony 8 років тому +1

      Shukran!!

    • @maggymm7302
      @maggymm7302 7 років тому +1

      comin from the same road too..

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +2

      Thank you Maggy unakaribishwa

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 7 років тому

      Aroma of Zanzibar Asante sana dada, huwa napenda sana mapishi yako