Whoever is watching and reading this, may God bless you and your family and may He give you wisdom, health and wealth and successful life be your portion in Mighty Name Amen
Asante dad tunashukuru sana kwa mkate rahisi amba umatufindisha lakini nauliza kwa wale ambao wana jiko la umeme tu watafanaje kuupika mkate huu asante ubarikiwe
Pika ivo ivo si kuna plate,tena hiyo itakaa poa zaidi,sababu plate tayari moto wake umesambaa. Jiko hilo lina oven ama LA?pika kwa oven hiyo,kama halina tumia mkaa,video ya mkaa IPO hapa... Ama angalia video hii ua-cam.com/video/FS3bOxeXblk/v-deo.html Ukiwa makini unaweza kupika hivi na kama sio mwoga
Nimepika dada angu huo mkate mashaallah umeisha vzr japo nimepika kwashida Sana maana nimepikia jiko lamkaa ila umeungua kidogo china ila nashukuru MUNGU umeiva tu vzr MUNGU akubaliki Sana
Woooow leo nimetengeneza mkate kwa kufuata maelekezo haya, Aisee umetoka mtamu huo mlaini sana hope nikutumie uonje😊😊👍👍😋😋, natamani hata nikutumie ka video uuone, naelekea kwny keki sasa😍😍🔥🔥👏👏👏💕💕
MashaAllah 🙏🙏girrrrl love you more😘😘😘you made my day.. Congrats sana..I loooove loooove positive feedback,its food to the soul..thank you my new subscriber..X.O
This is Beautiful..Mashaallah Mashaallah Mashaallah..Shukran soo Much for sharing,Simplicity @its BEST👍🏾No fancy Gadgets n Rocket Science Reciepes..I thankyou soo much👍🏾👍🏾👍🏾..Just became your new subscriber😘
Nlitengeneza ....nzuri sana❤
Kiswahili chako kinapendeza sana...Thanks for recipe.
Mkate mzuri sana na mtam sana. Asante kwa kutufundisha jinsi ya kupika mkate.
Ahsante kwa somo zuri....nlikuwa najiuliza kila cku unachomaje mkate kwa gesi leo nmepata somo... thank you very much
Mpenzi wa nani huyu??? Wa mimiiiiiiii🤤🤤 sivyo unavyonitoa mate love.. Asante sana kwa kunipa new technique hio ya blenda shukran ❤️❤️
😂😂😂😂😂umeanza hadija😂😂😂ila wewe..
Nashukuru mpenzi,thanks for being here..
@@kekiplus1andonly najuwa nisipokueko wanimiss😂😂😂badae tukutane mtaa wapili😝
@@HadijaSheban 😂😂😂kweli nakumiss..badae lazima tukutane😂
@@kekiplus1andonly hahahaaa nasubiri urushe kikali ujue kuanzia weekend sipatikani😂😂
nmejaribu nmewwzaaaaa😋😋😋😋😁😁😁😁😁
Wee kwel😮😅
Whoever is watching and reading this, may God bless you and your family and may He give you wisdom, health and wealth and successful life be your portion in Mighty Name Amen
Amen
Amen
iiiipp
@@abdulyrashid4768 I wish u successful life
@@abdulyrashid4768 I wish u successful life
Asante sana mwaya nami pia nitajaribu😆😆😆😆❤❤ kupika mkate huu.
Dada umenifudisaha vizuri sana. Asante kwa kushare ujuzi wako.
Karibu
Wow!! Very easy ...I love it
A very straightforward method, no complex ingredients and no need for oven. Amazing! Thanks for the video.
Thank you so much for supporting,am glad you liked the video
Mi2. Najitahidi nakula
So nice yaani simple but sure mkate mzuri haswaaa
Alhamdullillah dear,😚
Pambe 👌 nimepika aiseee Asante 🙏
Wow thanks,, Talenta ya Aina yake
Asante dad tunashukuru sana kwa mkate rahisi amba umatufindisha lakini nauliza kwa wale ambao wana jiko la umeme tu watafanaje kuupika mkate huu asante ubarikiwe
Pika ivo ivo si kuna plate,tena hiyo itakaa poa zaidi,sababu plate tayari moto wake umesambaa.
Jiko hilo lina oven ama LA?pika kwa oven hiyo,kama halina tumia mkaa,video ya mkaa IPO hapa...
Ama angalia video hii
ua-cam.com/video/FS3bOxeXblk/v-deo.html
Ukiwa makini unaweza kupika hivi na kama sio mwoga
@@kekiplus1andonly so unawezaa tumia oven?
Simple recipe and affordable ingridients .Thanks mamii
Sauti nzuri,roho safi,kazi nzuri mkate mtamu.may God bless you .
Aaaaaw MashaAllah🙏🙏😘😘😘🎉🎉asante sana dear,Amen,God bless you too
Nilijaribu lakini ikaugua chini next time nitajaribu sana thanks for the vidio
Tewx
Nimejaribu kupika zmeiva vzr ila zmegandia chini ❤❤
Nicely explained and simple. Will try to make it. 👍Ubarikiwe!
Asante kwa recipe ...nimepika zimetoka vizuri sana
Asante nilijaribu na ikatokea vizuri sana
Woooow mashaAllah, hongera sana..na shukran sana kwa mrejesho
Picha nzuri sana na maelezo yako fasaha hongera sana. Nataka maelezo juu ya upishi wa keki
Alhamdullillah, asante sana..video za keki zipo nyingi hapa..karibu
Unataka au unaomba???????? Kuwa mstaarab basi
Nimepika dada angu huo mkate mashaallah umeisha vzr japo nimepika kwashida Sana maana nimepikia jiko lamkaa ila umeungua kidogo china ila nashukuru MUNGU umeiva tu vzr MUNGU akubaliki Sana
Amen..
Mungu akubariki pia.
Thanks for the recipe. Clarity of the highest level ❤ I bake my own bread nowadays. Blessings.
Asante kwa hii video imenifurahisha na nimeelimika Sana
Iko mwaaaa❤️ barikiwa kwa kushare knowledge
Daaaah nmekuelewa sana MUNGU akubariki sana
Mungu akubariki pia
Thanks for that Video. I will soon prepare some bread for my family.
Thanks for de recipe I will try it to see the results ed tyme spent to it
Ma Sha Allah naomba tu kuuliza hiyo sufuriya ya chini yake unaweza maji au ni tupu na hawezi unguwa
This is amazing.. real solutions to everyday issues.. you're the best sis- keep up
Thanks dear,nikujaribu.
🍻
Asante kwa ujuzi.nzuri sana
Wow njia rahisi kumbe Barikiwa
Amen,barikiwa pia
Asante sana nimejatibu imetoka bomba leo siku ya 3 na bado lainiiiiii♥️♥️♥️
MashaAllah 😘
Maashallah
Mapishi ni mazuri na rahisi. Asante nimependa
Umenifurahisha sana mkate simple kabisa ewa! Namba hiyo hongera
Asante dada kwakufundisa mimwenyewe nimekuelewa sana ubarikiwe
Ubarikiwe dada angu
MashaAllah....asante kwa elimu nzuri dada
Asante,karibu sana
Asante sana kwa video hii na maelezo ya waziwazi
You have made cooking easy 👌 kazi nzuri
Asante sana,enjoy
Mashallah kesho nitajaribu kupika nione kama nitaweza
Woooow leo nimetengeneza mkate kwa kufuata maelekezo haya, Aisee umetoka mtamu huo mlaini sana hope nikutumie uonje😊😊👍👍😋😋, natamani hata nikutumie ka video uuone, naelekea kwny keki sasa😍😍🔥🔥👏👏👏💕💕
Aaaaaw mashaAllah dear,Asante sana kwa mrejesho..Mungu aendelee kukuinua.
Nitumie insta kekiplus.youtubechannel
Thanks alot mummy, videos zako ni very understandable
Tried it and it worked for me..thankyou
Woooow congrats sana
Jamoniii nimependaa
Mungu akubariki mkate mzuri na laini sana asantee
Thanks will do it for my family , please upload this video in English I missed out on some point s
Wow nimejua leo thanks
Masha Allah dadaangu..mungu abariki mkono wako
Amen dear,Mungu akubariki pia
So nice 😍👌
Asant sanaaa nimejifunza mengi kupitia wewe. Nimefurah sanaaa
Karibu sana dear,na asante sana kwa sapoti yako,pia nimefurahi sana kama umenufaika😍
Nimependa ntaanza kupika asante.sana dada
Asanteee sana mm huwa natumiaga mkaa nataka nijaribu hii ya gesi
Jaribu dear,ni rahisi pia kama mkaa
I am in love with your videos, you make everything look easy
Aaaaaw thank you dear,you're too wonderful.
I only try,am humbled..
Karibu sana
Woww very useful tips
Karibu
Yan upo direct kwenye point vizur sana, ubarikiwe
Asante sana,Amina ..ubarikiwe pia
Woow kweli hii watoto wataenjoy hii nitajaribu nikiwa nawanangu
inshaAllah
Asante kwa ujuzi mzuri
❤
Woooow...
Napenda
Asanye my, kwamangi hawanioni tena!!! Barikiwa sanaaa
😂😂😂😂💯watakuonaje na mambo ni pambe👌👌👌🎊
Amen dear,barikiwa pia.
kwa mangi utaenda kununua unga WA ngano
Nimejaribu... Asante sana.
safi sana nimeupenda ulishonifurahisha zaidi umepika kiusafi kwani una makucha marefu kama wengine safi sana
Aaaaaw😍😍😍😘asante sana dear...barikiwa
Asante sana kwa elim dada umetumia unga wa fraulo
Ahsante sana kwa kutuonesha mapishi mazuri sana ya mkate.
Ahsante sana madam
Hii video ni nzuri sana. Nimependa kazi yako
Shukran sana dear😘😘😘😍
@@kekiplus1andonly nitajaribu hii recipe lazima.
Mm hupika lkn juu huwa sipaki mafuta napaka ute wayai rangi inatokezea kamayachini juu barikiwa sana
Ahsante love nitajaribu
Mashaallah kesho Inshaallah nitajaribu na mimi kupika niwaletee mule kwa UA-cam au vipi ndugu zangu
Nimejifunza asantee my
Karibu
ASANTE SANA MPENDWA🙏👏
Thanks a lot. Your recipe works well for me. 😘😘
Nzuri nimeipenda
I Love you Gal ..yani nimejaribu For the First Time and IT worked.nime subscribe to your Channel already
MashaAllah 🙏🙏girrrrl love you more😘😘😘you made my day.. Congrats sana..I loooove loooove positive feedback,its food to the soul..thank you my new subscriber..X.O
So Nice,😍😍😍😍😍😍😍
Love it❤
Very nice..roti👍😊
Thanks dear
Best bread ever just eating it now with family 😋
I love your recipe 😋
Masha'Allah safi sana 👌
Alhamdullilah🙏🙏🙏shukran sana kwa kufika hapa kwangu kipenzi😘😘😘na shukran sana kwa sapoti🙏🙏
Kazi mzuri,,mashaalla
Hii nimeipenda rahisi, Asante
Great.I will try now
Ntajaribu kiukweli nimevutiwa sana
Wow!!!!splendid💪💪💪💪👏👏👏
This is Beautiful..Mashaallah Mashaallah Mashaallah..Shukran soo Much for sharing,Simplicity @its BEST👍🏾No fancy Gadgets n Rocket Science Reciepes..I thankyou soo much👍🏾👍🏾👍🏾..Just became your new subscriber😘
Hahahahaha...yeah its just cooking,don't make it hard...I get you..lol
Thanks for supporting dear.
asanteee daad nmepata kitu hapo
We dada nimekupenda buree
Nimekupenda pia dear,hahaha..hoja yako juu ya wanawake wengi SKU izi eti hawajui kupika hata chai..hahaha
Wow it came out so well . Nitajaribu aki
Pliz jaribu,its super easy to handle.
Thanks for supporting love
Hamnaizi
Amonaizi
MashaAllah made to perfection❤
Thank you lovely
@@kekiplus1andonly
Your welcome dear
Mungu akubariki dada!
Nimeupenda nitajaribu na mm
Hello nimependa maji nusu
Mzuri ila juu haujaiva vizuri
I love your recipes and how you explains makes everything look easier.
maji y vuguvugu n kiasi gani
I like your cake2
I love u so much. Ur the best
Wow amazing
mashallah nitajaribu pia mm
Where have you been all my life, ujengewe sanamu lako pls😂.
Hahaha nijengewe tu😍😍😍😘😘😘asante sana kwa support dear