Shukran sana Kwaku nii raisishia mapishi ya chapati ni nzuri sana na laini Ma Sha ALLAH naomba kwa jumla tuwe na usafi sana jikoni izo kucha kama wewe ni mpishi Kata izo kucha haipendezi na Nyele tuzifunge na kitambara.
😂😂😂 hatutaki kabisa kupoteza muda. Asante kwa kuangalia, karibu uangalie na zingine. Naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana.
Thank you so much, please don't forget to subscribe and click on the notification bell so that you're notified whenever i upload, also please follow me on insta @bmagickitchen for more interesting videos, thank you👏
Kupaka rangi kuna shida gani? Naomba unieleweshe. Na unaposema kama zitakuwa na ubora una maanisha nn? Rangi ndio inatoa ubora? Nashukuru kwa kuangalia na karibu tena🙏🏾
Sasa shoga upishi huo na makucha ya kubandika vipi? Maana kawaida hygiene muhimu kwenye mapishi kawaida kucha zikiwa ndefu zinabeba uchafu, hoteli za kimataifa huruhusiwi kuwa na kucha ndefu, hio sio sawa kabisaaaa shoga yangu.
Salam jaribu utuandikie vipimo halafu chapati zikiwa nene kama blanket ukila haja kubwa inakua tatizo bora nyembamba ndio international kila sehemu zinakubalika hasa zaidi kwa watoto halafu ifanye chapati iwe brown upande mmoja.
@@MsBupe mmmh naona umemind sana hadi umenijibu kwa pressure. My dia usafi ndio mambo yote u can cook well bt watu wasikule juu ya uchafu so it's just apiece of advice mapishi yako nakupa 👍👍
My dear wala mimi sio mtu wa kumind, inawezekana nimeidraft msg vby ila siwezi kumind. Isipokuwa nilikuwa nakwambia mm nafundisha kwenye UA-cam hkn anayekula chakula changu isipokuwa mimi mwenyewe na familia yangu kwa hiyo huna sababu ya kuwa na wasiwasi maana wanaokula hawana shida na wala hawajawahi kulalamika, asante tena kwa support yako🙏🏾❤
Dada wee ni mpishi mzuri nimeelewa balaaaa asante sana ❤❤❤
Asante kwa mapishi ila kucha ndefu sipendi.
Safi sana
Shukran sana Kwaku nii raisishia mapishi ya chapati ni nzuri sana na laini Ma Sha ALLAH naomba kwa jumla tuwe na usafi sana jikoni izo kucha kama wewe ni mpishi Kata izo kucha haipendezi na Nyele tuzifunge na kitambara.
Nashukuru my dear kwa support👏🏾 nimekuelewa mumy, karibu tena.
mbona mm nikipik chapat zinakuwa ngum nakosea wap
Fuatilia video halafu pika tena na tena mpaka uweze, asante kwa support yako🙏🏾❤
Waooooo nzur kweli nakupendaaaaaa lovely sister
Angu
Awwww!!! 🤗 Asante sana my dear na pia nakushukuru sana kwa suport yako🙏🏾❤
Daaaaah nimeinjoy saaaaana...congrats
Asante sana na ninashukuru sana kwa support yako👏🏾
Ukichangany na mayai je itakuw nzuri au
Dada ake asante nimepika leo chapati ni nzur balaa yaan asant❤
Safi tamm🎉
B's magic upo vizur umetupa njia rahis ya kupika chapati.. much love, thanks 🤗
Asante sana, much love to you too❤
Asante kwa mafunzo mazur kipenz ❤❤❤❤
Always you are the best. Thanks
Aaaawww!!!🤗🤗🤗 thanx babe and thank you again for your support🙏🏾❤
Mamajusi choir
Nimefata maelekezo yako aisee zimekuwa laini na tamuuuu hatareeeee... big u B's Magic kitchen..
Asante sana, endelea kuangalia Channel yangu kwa mapishi mengine.
@@MsBupe sawa ntafanya hivyo..
Next time fanya kebab na sambusa
@@webbytjthomas9851 sawa nitajitahidi...
Safii sana dear, kupika mbili mbili kumenikumbusha kwa mama tulikuwa tunapika mpaka nne nne...🤗
😂😂😂 hatutaki kabisa kupoteza muda. Asante kwa kuangalia, karibu uangalie na zingine. Naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana.
mashaaAllah really nice,and soft ukiangalia tu
Asante my dear👏❤
@@MsBupe karibu☺😊
Lovely ❤
Nzuri love
Asante kipenzi na ninakushukuru kwa support yako dear👏🏾❤
Dadangu nakupenda bure💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖endelea vivyo hivyo kunifundisheni
Asante sana my dear🙏🏾❤❤❤
Safi sana dada Mimi nilikua nakosea
I love it
Thanx my dear, and thank you so much for your support👏🏾❤
Nimeipenda iyooo❤❤❤❤
Nimeipenda hii recipe
Tunashkuru sana sasa mtu akitia mayayi na maziwa itakuwa sawa
Nilijaribu kukufatili juz kwa utube jaman nilipika chapati nzur sijaamini Asante Sana
Asante na wewe sana kwa support yako🙏🏾❤
Salam alekum mm amina kutoka Kenya napenda mapishi yako mshallaah
Asante sana Amina, nimefurahi kujua kuna mtu kutoka Kenya anaenjoy mapishi yangu🤗 Nashukuru sana kwa support yako👏🏾❤😘
🥰🥰🥰🥰🥰🥰asant sana
Krb sana my dear na ninakushukuru na wewe kwa support yako👏🏾❤
Hongera.! Sana.
Asantee mdada kwa darasa mpaka mate yananitoka
Asante sana na wewe kwa support yako🙏🏾
Nice one B's magic
Thank you so much, please don't forget to subscribe and click on the notification bell so that you're notified whenever i upload, also please follow me on insta @bmagickitchen for more interesting videos, thank you👏
It's okay...Thanks sanaaa
Jamani na hizo kucha si uchafu
😁😁😁😁😁😁😁😁😁et achaneni na ilo komwe la kwenye chapati yangu mm kesho napika likitoka komwe nakuambia😄😄😄
Nimestafid. Nimejifunza na nimeprnda.asante dada
U so good😍
Thank You👏❤
ningependa ukatupa na vipimo ili tuweze kufanya vizuri shukran kwa msaada wako
Daaa mapat uwanafeli kinoma
Pole, zidisha juhudi tu.
Nzuur
nice
Thank you🙏🏾
Kucha sio kwa kupika punguza ku kucha sio afya
Mbona mm zinakuwa ngumu kiasi kwamba ukipigiwa usoni lazma uvimbe😂
Dada nauliza mafuta uliyokandia yalikuwa ya baridi au uliyachemsha??
Ya uvuguvugu my.
Yamoto
Tamu hizo mbona zangu katikati zinakywa ngumu shida ni nn
Mbona umepaka kucha rangi? zitakuwa na ubora tena? au hizo niza kuku?
Kupaka rangi kuna shida gani? Naomba unieleweshe. Na unaposema kama zitakuwa na ubora una maanisha nn? Rangi ndio inatoa ubora? Nashukuru kwa kuangalia na karibu tena🙏🏾
Mbona ww huchemshi mafuta? au cio lazima
wow😘
🙏🏾❤
Sasa shoga upishi huo na makucha ya kubandika vipi? Maana kawaida hygiene muhimu kwenye mapishi kawaida kucha zikiwa ndefu zinabeba uchafu, hoteli za kimataifa huruhusiwi kuwa na kucha ndefu, hio sio sawa kabisaaaa shoga yangu.
Wew km hujui kupik chapati angalia mafunxo sio kuangalia kucha umbea tu na yasio kuhusu
Axant kwa upixhi ili nimeon hapo komwe kweny chapat😂😂
😂😂😂 shosti weee, achana na hilo komwe kama speaker za Msondo. Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Salam jaribu utuandikie vipimo halafu chapati zikiwa nene kama blanket ukila haja kubwa inakua tatizo bora nyembamba ndio international kila sehemu zinakubalika hasa zaidi kwa watoto halafu ifanye chapati iwe brown upande mmoja.
Ukianza frympen jikon unaweka na mafuta au bila mafuta na ukianza kupika unasubir had zibadilike rangi ndo upake mafuta
Had ibadilije rng
But next time uanze na moja moja then ndo uoneshe mbili kama hivyo au zaidi ili watu waelewe zaid
Ipo video ya moja moja dear angalia utaiona. Asante sana kwa support yako❤
Nimependa sana maana nina shida kwenye kupata chapati laini,pia naomba utuwekee ya kupika chapati moja moja maana kuweka mbili hvo nachanganyikiwa
Usijali mumy, nitaifanyia kazi haraka iwezekanavyo, naomba uendelee kuangalia Channel yangu kwa mapishi mengine zaidi.
Natamani kuona moto unaotumia
Upishi mzuri ila mikuja yako hapana
Angalia tu mapishi ndugu yangu mengine hayakuhusu. Nashukuru sana kwa support yako dear🙏🏾❤
@@MsBupe mmmh naona umemind sana hadi umenijibu kwa pressure. My dia usafi ndio mambo yote u can cook well bt watu wasikule juu ya uchafu so it's just apiece of advice mapishi yako nakupa 👍👍
My dear wala mimi sio mtu wa kumind, inawezekana nimeidraft msg vby ila siwezi kumind. Isipokuwa nilikuwa nakwambia mm nafundisha kwenye UA-cam hkn anayekula chakula changu isipokuwa mimi mwenyewe na familia yangu kwa hiyo huna sababu ya kuwa na wasiwasi maana wanaokula hawana shida na wala hawajawahi kulalamika, asante tena kwa support yako🙏🏾❤
Samahani Mafuta Yako Umeyachemsha Kwanza Au?
Hapana dear, naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana.
Sawa Asante
Ndio
Nini hufanya chapati kuwa ngumu , ama kuwa na kama layers 😢
Mafutaa yamotoo au
Vuguvugu my.
Moto inafaa kuwa ya juu ama medium ama chini?
Medium ndugu yangu, nashukuru kwa support yako👏🏾
Chapati poa Ila hiyo mikucha dada yangu, imekukata max Siku nyigine uvae mifuko milaini iliyoruhusiwa,
My dear sijaelewa hii mikucha yangu inakusumbua nini? Chapati ni za nyumbani kwangu, nakula mwenyewe. Shida iko wapi mamaa?
Ila wkt mwingne usipake Rangi mkono wa kulia
Kwa sababu gani?
@@MsBupe kama umesomea mapishi utakuwa unajua sababu
@@MsBupe tena hata wa kushoto usipake utakuwa mpishi safi na bora!
Nice chapat
Thanx dear👏🏾❤
Kila siku nasahau..
Dada aiseee kupika chapati unatumia unga upi?
Derrick Thedon wa ngano
@@shannonabubakar6160 poapoa dada asante
Umesahau sugar
Sijasahau my dear, mimi huwa siweki.
Maji ni ya moto ama, zangu baada ya kupika huwa ni ngumu nakosea wapi siz
Ya baridi my dear tumia.
Mafuta unaweka yamoto ya baridi
Ya vuguvugu, nashukuru sana kwa support yako🙏🏾
Ukichangany na mayai je itakuw nzuri au