BIRIANI YA NYAMA YA MBUZI - KISWAHILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Mahitaji ya kuoreka nyama:
    Nyama pound 2 /907 gms
    Vitunguu pound 2 /908 gms red
    Kifungu cha kotmiri 1
    1/4 kifungu cha majani ya nanaa
    Vijiko 2 vikubwa thom ilosagwa
    Kijiko 1 kikubwa tangawizi mbichi
    ilosagwa
    Vijiko 3 vikubwa nyanya nzito ya
    kibati
    Kijiko 1 kikubwa pilipili ya manga ya
    unga
    Kijiko 1 na 1/2 kkikubwa bizari ya
    Biriani
    Kijiko1 kikubwa chumvi
    Kikombe 1 yogurt/mtindi
    Zaafarani -
    Vijo 2 vikubwa mafuta ( ulokaangia
    vitunguu
    Mahitaji ya wali
    Pound 2 / 907 gms mchele wa
    Basmati
    Viungo vya bizari nzimaikwa kiasi
    Kijiti cha mdalasino 1, Karafuu 3 , hiliki
    za kijani 5 green, majani ya bayleaf 2
    Hiliki nyeusi kubwa 1
    Chumvi kijiko 1
    Maji ya mawardi vijiko 2
    Zaafarani
    Pound 1 /450 gms mbatata kama
    utapenda
    Majani ya kotmiri
    Bizari za biriani • Bizari za biriani - ki...
    Samli • Clarified Butter/ Ghee...
    Kachumbari • Kachumbari - Kiswahili
  • Навчання та стиль

КОМЕНТАРІ • 272

  • @andrewmwakibolwa8600
    @andrewmwakibolwa8600 6 років тому +7

    Naipenda Aroma of Zanzibar because its all about the food. Yani naona pishi step by step sio MTU anafundisha kupika anajionesha yeye video nzima... Keep it up

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому +2

      Ahsante sana, mie naona star wa hii chanel ni mapishi sio mimi

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 7 років тому +3

    Hongera sana yaani Biriani ndio chakula ninachokipenda sana na mara ya mwisho kula Biriani nzuri kama hiyo uliyopika ilipikwa na wahindi nilijilamba saana,Recipe yako ni nzuru na simple nitapika siku moja,Nitakwambia imekuwaje,bado sijapika Dumpling ila nimeshanunua mahitaji yote....mda tu nizipike...keep it up tufundishe mama mwanamke jiko bwana.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Ahsante, hii ni mchanganyiko wa kihindi na Zanzibar so the best of the best..au vipi, take your time usisahau kurudi na matokeo vipi x

  • @salmahassan6809
    @salmahassan6809 7 років тому +1

    maashaa allah. Biriani hii nimeipenda. Ntajaribu jumapili nione. sooo excited!

  • @nyanzalakaporo4219
    @nyanzalakaporo4219 7 років тому +1

    nime furahia sana hii recipes asante sana kwa kunipatia ujuzi, mwenyezi mungu akubariki sana aunt kwa kutoa ujuzi wa watu wengi.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Nashkru sana kwa kujiunga na mie, ahsante kwa dua njema. Amin kwetu sote

  • @muroki7676
    @muroki7676 5 років тому +2

    I love the way they make great Biriani, Mungu akubariki

  • @langskitchen4332
    @langskitchen4332 6 років тому +4

    So nice greetings from kenya am going to try this. Asante sana

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 7 років тому +3

    Asante ddaty birhan ya mbuzi nilikuwa naingoja kwa hamu shukran sana Allah akupe afya amiin😘

  • @aimanali8612
    @aimanali8612 7 років тому +5

    asante my mungu akuzidishie iman yako uzidi kututowa kiza cha macho

  • @TheOneManArmyTv
    @TheOneManArmyTv 7 років тому +6

    thanks for the information it is really educative

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 10 місяців тому

    Asantee kipenz allah bariq ❤

  • @aminadaku2960
    @aminadaku2960 5 років тому

    Asante,video nzuri.. na naomba video ya biriani ya ng'ombe

  • @mwanaisha522
    @mwanaisha522 4 роки тому

    Mashaallah chakula kizur sn naipend znz kwa mapishi

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 років тому +7

    Perfect timing! lol! Thanks madame!

  • @abc41
    @abc41 7 років тому +2

    sante sana kwa recipe yako ..tajaribu ..inshaallah..plz tuweke recipe ya chatne kama ya nazi na ukwaju ...inshallaah.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      Shukran, chatni ya ukwaju sijafanya lakini ya nazi ipo hapa kwenye hii link ua-cam.com/video/iNVW_rsDeak/v-deo.html

  • @hildahekima6980
    @hildahekima6980 6 років тому +1

    nakupenda we we Dada ubarikiwe sanaa

  • @khadijagovella3193
    @khadijagovella3193 7 років тому +1

    Mashaallah,nimependa sana hii.Barakillahu fiyk. Nitaifanyia kazi inshaallah

  • @nwele
    @nwele 7 років тому +4

    thank you so much for sharing this recipe! Allah akubariki sana! Shukrani tena!

  • @dewdropinn4
    @dewdropinn4 7 років тому +2

    Fathiya, you've just created my twin's birthday dinner! My son wants this! 😊

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      dewdropinn4 Aww that's wonderful x be blessed and Wish him a happy birthday

  • @erickenneth1512
    @erickenneth1512 6 років тому +1

    wow inaonekana nzuri haswa,

  • @gidaninga1740
    @gidaninga1740 6 років тому +1

    Asallaam alykum. Nimepika upishi huu. Chakula kilikuwa kizuri. Shukran

  • @dorisandfarook
    @dorisandfarook 7 років тому +2

    Recipe nzuri sana, Asante.

  • @rachelrotich7268
    @rachelrotich7268 7 років тому +1

    Asante,kwa kweli nitaijaribu mimi hii recipe. Naipenda biriani.

  • @nectarblue
    @nectarblue 5 років тому

    Tafadhali usifanye video ukiwana homa. Inaharibu ladha. Video zako nazipenda.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому

      Sikua na homa hizi video huwa na record may be 2 to 3 weeks ahead of time before I do a voice over, I must have had a cold when I did a voiceover

  • @fatmajezan6812
    @fatmajezan6812 7 років тому +1

    mm mm mm . delicious thanks for sharing

  • @hamidasa683
    @hamidasa683 7 років тому +1

    shukran sana habbty nimepika mchana very yummy ubarikiwe mamy

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      Mashallah , mambo fasta fasta hapo. Shukran kwa kunijulisha nimefurahi umeipenda

  • @Layla-vi8yx
    @Layla-vi8yx 7 років тому +1

    JazakaAllah swry....wallahi i have been waiting for this😘😘😘

  • @harithxd9735
    @harithxd9735 7 років тому

    Ahsante sana kwa mapishi mazuri.

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 років тому +1

    Masha allah shukran jazzakallahu lkheri

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 7 років тому +4

    MAASHAaallah

  • @simplehomechannel
    @simplehomechannel 7 років тому +1

    mashaAllah shukran simple nimeona Leo this recipe and I truly like them.

  • @rayahumoud909
    @rayahumoud909 5 років тому

    Shukran habibty ramadhani Mubarak tuletee mapishi mapya

  • @ramadhanmustafa2441
    @ramadhanmustafa2441 6 років тому

    Shukran Aunty......Kwa kusambaza hiyo elimu.

  • @shamimabdullah5118
    @shamimabdullah5118 7 років тому +1

    Asalamu aleykum warahmatulahi wabarakatu mashaaAllah nzuri sanaaa 👌👌👌shukraaan habibty Allah akubariki na kila la kheri akujaaliye amiin

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 років тому +1

    Jazaaki Llahu Khayran!

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 7 років тому +1

    MashaAllah shukran mpenzi

  • @bettykajuna9071
    @bettykajuna9071 4 роки тому

    Ahsante kwa mapishi mazuri je mchele wa kyela unafaa kwa pishi la biriani

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 роки тому

      Kwa kweli siufahamu huo mchele ndio gani, unaweza kutumia pishori

    • @bettykajuna9071
      @bettykajuna9071 4 роки тому

      @@aromaofzanzibar basmat haupatikani pishori pia haupatikani mchele wa kawaida ninamaanisha Ahsante

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 роки тому

      @@bettykajuna9071 pole dear basi kama huna ndio itabidi utumie wa kawaida tu

  • @38wahida
    @38wahida 7 років тому +1

    Napenda sifuria zako unanunua wap plz, masha allah, napenda Sana unavyo pika

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      Shukran, sijui wewe unaishi wapi lakini mimi nimeletea kutoka Oman yanauzwa kwenye TV commercial kutoka KOREA , yanapatikana kutoka Amazon pia jina lake ni HAPPY CALL

    • @38wahida
      @38wahida 7 років тому +1

      Aroma of Zanzibar mm naishi London, Amazon? 😳 Bas nitacheki in shaa allah, Shukran aunty allah akubarik kwa juhud zako za kutufundisha ujanja wa jikoni 😘 😘

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      Amazon London utapata pia , you are welcome dear x be blessed

  • @zobida22oman6
    @zobida22oman6 7 років тому +1

    thnk u anty Allah akubariki

  • @colinehelmas5802
    @colinehelmas5802 5 років тому

    Napenda mapishi yako Mara kwa Mara hujaribu na kupata kitu kizuri ila nakwamishwa na majani ya giligilani,hiriki ya kijani,na binzari,kuipata ni shughuli,ukiomba sokoni binzari wapewa masala je vina mwingiliano

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому

      Soko gani unakwenda dear kama ni dar na Zenji vitu vyote hivyo vipo kariakoo nimeona spices zinauzwa zimefungwa mbali mbali

  • @lubainausi8595
    @lubainausi8595 7 років тому +1

    Nice

  • @muhmahahmshaibrahim3109
    @muhmahahmshaibrahim3109 7 років тому +1

    asante..just shukran

  • @rahmaabdallah2053
    @rahmaabdallah2053 5 років тому

    Allah akulipe kher kutufamisha akuzidishie ujuz zaid

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 5 років тому

    Tamu Sana.Nilizoea kupika wali kando na rojo kando Sasa nitapika hivyo Shukran.

  • @shamimabdullah5118
    @shamimabdullah5118 7 років тому

    Naomba utufundishe vileja vya tende habibty inshaaAllah

  • @salmayusuph6404
    @salmayusuph6404 7 років тому +1

    mashallah shukran dadat

  • @mwakatembotatu8257
    @mwakatembotatu8257 7 років тому +1

    Thank you ma it's help alot😍😘

  • @mamanmaman4902
    @mamanmaman4902 5 місяців тому

    Aroma of zanzibar

  • @zennaabdullatwif7718
    @zennaabdullatwif7718 6 років тому

    Shukran swrylove Aroma of Zanzibar

  • @prinahnathan337
    @prinahnathan337 7 років тому

    asante Sana dada... nitajitahidi nipike kwenye sikukuu hii ya eid...

  • @aishaabdallah8531
    @aishaabdallah8531 7 років тому +1

    nyc

  • @simplehomechannel
    @simplehomechannel 7 років тому

    mashaAllah... ur truly an amazing.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Thank you dear, just sharing what I know and love

  • @hanifaali7922
    @hanifaali7922 6 років тому +1

    mashaallah

  • @margaretmwachari
    @margaretmwachari 3 роки тому

    jamani so wonderful, ingredients za kisawhili ziengine zanipita, kotmiri ni nini

  • @mimamkassy6563
    @mimamkassy6563 7 років тому +4

    Yumyum

  • @salmaseif8755
    @salmaseif8755 4 роки тому

    Mashaa Allah ukuweka mtindi kwenye mchuzi wa biriani? Au sio razima

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 роки тому

      Nimeweka na ni lazima ndio unaleta ladha ya mchuzi wa biriani

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 7 років тому +1

    Shukran

  • @aimanali8612
    @aimanali8612 7 років тому

    nimeweza asante sana my

  • @khamisisuleiman4315
    @khamisisuleiman4315 7 років тому +1

    masahaallah nimepnd

  • @dianakinyasi7487
    @dianakinyasi7487 4 роки тому

    wooooah delicious

  • @lipymuscat4779
    @lipymuscat4779 7 років тому +1

    woow

  • @abubakarlungo3302
    @abubakarlungo3302 6 років тому

    Masha Allah

  • @hadksam4744
    @hadksam4744 4 роки тому

    Ur the best

  • @samiraalrajhy7693
    @samiraalrajhy7693 7 років тому +1

    Salam aleikum anty ,Habibty ukiwa na nafasi tufundishe mandazi ya kubake ok.shukran

  • @sallynznas6461
    @sallynznas6461 7 років тому +1

    thanks habbty

  • @amenaamena2283
    @amenaamena2283 7 років тому +1

    thenk you

  • @aminamusa9720
    @aminamusa9720 4 роки тому

    Shukrani my dear 😍

  • @mdachimdachi4408
    @mdachimdachi4408 6 років тому

    shukrani mamy

  • @dusturhalaqa
    @dusturhalaqa 4 роки тому

    Thanks dear, nime try hii recipe, ila biryani yang imekua chachu, sijui nakosea wapi?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 роки тому

      Kwa kweli sifahamu , labda viungo ulotumia vimesababisha

  • @mwanashaabdallah3638
    @mwanashaabdallah3638 6 років тому

    Mashallah tafadhali daa naomba unandikie hivo vitu vyote hili nivijue nikienda kununua nijue nitachukua nn hususani hayo majani ndo siyajui yanapatikana wapi mi mkenya natamani kujua kupika lkn siijui kabisa plz reply 2 me

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      Viungo vyote na vipimo niandika hapo chini kwnye description box chini ya tarehe

    • @mwanashaabdallah3638
      @mwanashaabdallah3638 6 років тому +1

      Aroma of Zanzibar ahasante sana dadangu wacha nijaribu

  • @nancysfaustian6603
    @nancysfaustian6603 6 років тому

    Aroma of Zanzibar

  • @husseinkipaji7810
    @husseinkipaji7810 6 років тому

    mambo ni motoo...

  • @fatmahuseni972
    @fatmahuseni972 7 років тому +1

    ongera kwa mapishi mazuri

  • @saadamoha
    @saadamoha 5 років тому

    Masha Allah nimependa, naomba recipe ya zarda

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому

      Zarda nido kitu gani

    • @saadamoha
      @saadamoha 5 років тому

      Mchele tu but hua inasukari na bizari nyembamba kama sijakosea, siijui kwa jina ingine

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому

      Sijawahi kuona

  • @A-saysitasitis
    @A-saysitasitis 5 років тому

    Quite a technical dish to cook.

  • @luluw1469
    @luluw1469 5 років тому

    aroma your great in what you do but ingredients in english. will help as alot.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 років тому

      Thank you dear, please note that all my videos are in both languages and you will find the list of ingredients in the description box, here' the English version ua-cam.com/video/Vk6fUQUJbRo/v-deo.html

    • @rosemarymalechela5090
      @rosemarymalechela5090 4 роки тому

      Nzuri

    • @rosemarymalechela5090
      @rosemarymalechela5090 4 роки тому

      Nzuri

  • @abdallahmwipi2990
    @abdallahmwipi2990 6 років тому

    Hongera Dada mm Niko Zanzibar nanichef pia ktk hotel naweza pata darasa zaid nakuona live nakwavitendo? Brigita naitwa.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      Sorry dear mie nipo Marekani siishi Zanzibar but naweza kukusadia nitakvyoweza kama una maswali au any tips uliza tu

  • @xaummusa5593
    @xaummusa5593 6 років тому

    Yummy yummy

  • @shaviercharvinho9380
    @shaviercharvinho9380 6 років тому

    Wewe mkali sana kuliko wengine hawatowi maelezo kwa kina

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      Sasa kama mtu hatoi maelezo haina faida kufundisha mapishi ni maonyesho tu

  • @zeddysale217
    @zeddysale217 4 роки тому

    Mashaallah

  • @upendonsemwa8461
    @upendonsemwa8461 5 років тому

    Naomba kujua jinsi ya kupika Sambaro ile pilipili ya embe na pilipili ndefu kwaajili ya biryan

  • @takyafrancis3746
    @takyafrancis3746 6 років тому

    Mashallah yummy tuweke na chains rais please

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 років тому

    Mashaallah!

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 6 років тому

    Mapishi tunapenda unyonge unaturudisha nyuma ukipata jiwe huna chikichi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      Nafahamu lakini hivi ni vyakula vya kinumbani hamna kiungo cha kigeni humo hata kimoja

  • @saadsalim9136
    @saadsalim9136 3 роки тому

    Aroma of zanzibar nauliza marination yako ni lazima uweke kwa refrigerator?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  3 роки тому

      Mie naweka kwenye fridge kwasababu ilikua moto sana sitaki chakula kiharibike na hasa kea vile nna marinate kwa mda mrefu

    • @saadsalim9136
      @saadsalim9136 3 роки тому

      @@aromaofzanzibar Thanks from Nairobi

  • @ummuasmaa2255
    @ummuasmaa2255 6 років тому

    Thanks Darling mob love from Kenia

  • @susanw8926
    @susanw8926 7 років тому

    tafadhali ongea kiswahili nanaa,Thom,kotmiri ninini hizo,upishi wako uko juu saana

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      I think nina zungumza kiswahili kitunguu thom au wengine wanaita saumu, kotmiri nimesema pia inaitwa giligilani, na majani ya nanaa ndio hivyo hivyo sijui jina jengine dada

    • @susanw8926
      @susanw8926 7 років тому +1

      Aroma of Zanzibar asante mum kwa kazi njema unafanya nashukuru

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому +1

      Ahsante kwa kua namie

  • @asiaissa5431
    @asiaissa5431 5 років тому +1

    Yani hata kama hujui kupika pilau ukiingia UA-cam tuuu unaweza mara moja lakini uwe na kichwa chepesi

  • @muhmahahmshaibrahim3109
    @muhmahahmshaibrahim3109 7 років тому

    tofauti ya black cardamom n green ni ipi?zote ni iliki ama?hiyo ya black ipo unguja?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Aswadikul Amin Zote ni hiliki hizi black cardamon zinatumikana sana kwa mapishi ya kihindi , hii black harufu yake tofauti kama ya ukali hivi sina uhakika kama inapatikana Zanzibar , kama huna it's OK

  • @yuugachannel6117
    @yuugachannel6117 4 роки тому

    Aroma naskia nja

  • @zobida22oman6
    @zobida22oman6 7 років тому

    salam aleikum mashaallah unafudisha vzr anty ht mm napenda sana kupika samahani anty unaweza kunipata no yako

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Alkm salaam, mimi siwezi kutoa number yangu hapa nifate intigram kwa jina la aroma of zanzibar au niletee email aromaofzanzibar@gmail.com

  • @mercymiwa7976
    @mercymiwa7976 7 років тому

    could we please have the ingredient in english/kiswahili for future recipes???thank you

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Mercy all my videos are in both languages, here's the link to the English version ua-cam.com/video/Vk6fUQUJbRo/v-deo.html

    • @mercymiwa7976
      @mercymiwa7976 7 років тому +1

      Thank you..i love your recipes

  • @fatmahamad1715
    @fatmahamad1715 7 років тому

    asalam alykum warhmatullah samahan Mamy iyo yoghart unayotia kweny birian ni ya aina gani kwasababu zipo nyingi?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Tafuta ilokua nzito tu inafaa yoyote inategemea na brand huko ulipo

    • @fatmahamad1715
      @fatmahamad1715 7 років тому

      Aroma of Zanzibar asante Mamy mi nipo Dar es salaam ukiulizia yogat wanakupa aina nyingi sana na ladha tofauti tofauti mfano ya vanilla nk je hizo zinafaa?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Usininune zenye flavour kama za vanilla au zenye sukari nunua plain kabisa ilokua haina kitu

  • @aimanali8612
    @aimanali8612 7 років тому

    my mm keki bado inanisumbuwa

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Pole sana, kitu gani hasa kinasumbua , kuna video nimeeleza kwa urefu jinsi ya kuoka cake, zipo 3 tafuta humu kwenye profile yangu "baking basics" zipo Kiswahili na english pia

  • @a.856
    @a.856 7 років тому +3

    hmmm tasty thx

  • @joanolisa1
    @joanolisa1 6 років тому

    What is girgirani in English? Thanks for all you do

  • @mtridakalulu1291
    @mtridakalulu1291 4 роки тому

    Hizo mboga za majani kwa jina jigine zinaitwaje anaye juwa naomba plzzz anambie

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 роки тому

      Viungo vyote nilivyotumia nimeandika hapo chini kwenye description box

  • @maryamame9817
    @maryamame9817 4 роки тому

    Namis kufundishwa jisy ya kupik vitumbuw

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 роки тому

      Pole lakini mbona recipe ya vitumbua ipo zamani sana au sijakufaham

  • @trendingvideos6651
    @trendingvideos6651 7 років тому

    Mama mi napendelea nyama ya ngo'ombe sasa hilo papai bichi nawekaje? Na pia kwa sie tuliopo nje unaweza nisaidia majina ya hizo ingredients in English please 🙏

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 років тому

      Tracy, papai bichi una grate or use food processor , English version of the video will be on the link and all the ingredients will be in the description box ua-cam.com/video/Vk6fUQUJbRo/v-deo.html

  • @husnaismail9886
    @husnaismail9886 6 років тому

    asalaam alehkum.mm naitwa husna Ismail niko mtwara.naomba kukuuliza swali mama yangu,rose water inatumika katika chakula coz tunabishana na wenzangu

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      Rose water inatumika na chakula has vyakula vya asili ya kihindi na kiarabu na pia mie natumia as toning kwa uso. Sio rose oil yaani mafuta ni tofauti

    • @husnaismail9886
      @husnaismail9886 6 років тому +1

      OK thanks

    • @husnaismail9886
      @husnaismail9886 6 років тому

      nashukur sana maana unanifundisha vitu vingi sana nashukur sana

  • @sarahatieno1511
    @sarahatieno1511 Рік тому

    Niulize hii nyama ukiiweka pembeni masaa sita unaiweka kwa fridge? Ama pembeni yamanisha kitchen table 😅

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Рік тому +1

      Inategemea na hali ya hewa kama ni joto basi ni vizuri kuweka kwenye friji isiharibike