Note: Unaweza kutumia recipe yoyote unayopenda wewe. Mimi sisemi kama recipe yangu ni bora kuliko nyengine. Lakini maana ya video hii ni kukuonyesheni kama si lazima ku kanda unga. Hata kama unga wako hauna samli au mafuta, uki acha unga ukae, una lainika kama unavyokua ukiwa umekandwa. Muda wa unga kukaa mpaka ulainike inategemea na kiasi ya maji uliotia ndani ya unga. Asanteni sana
Ty so much my dear Swahili spice!! For the awesome lovely leard chapati, recipe n supper results, mostly ur speaking explaining A 2 Z slowly but surely to understanding. Wow from Tanga Tanzania
Quarantine brought me here. Thanks for this recipe, I followed it and mine came out soft. This has to be the easiest recipe I've stumbled upon on the interwebs. Thanks
Ahsante Sister kwa upishi murua. Ningependa tu kukwambia pale unapopanua mkate uwe mkubwa panua kabla hujatia samli haitokuwa mess utakuwa mkubwa na mpana unavyotaka kisha paka samli yako na kukunja madonge yako.thnx
So good to hear 😀 I’ve paused with the video making for a little while as my life is super busy right now, but I hope you’ve subscribe so you don’t miss out on the many ideas and creative/easier ways of cooking that I’d eventually love to share with you. Happy cooking and munching!
Ekselenti sasawa. Chapati zako zimenitia njaa, na sauti chako kwa Kiswahili chapendeza. Nimeiwatchi hadí mwisho juu ya lugha. Job nzuri ijapokuwa ningereduce matumishi ya mafuta kidogo chini. Kazí laini kweli... Nasabskraibi❤️
Asante sana, jana nimepika kwajili ya Eid, nime chnaganya unga asubuhi mapema, nime acha masaa. Nilivorudi unga mlaini. Chapati zimetoka first class yani! Jaribu, huto rudi kukanda bure 😄
My dear ahsante sana kwa mapishi kwakweli siku hizi mpaka napenda kuzipika chapati baada ya kunifunza bila kukanda unga zamani nilikuwa nakanda mpaka basi na chapati bado ngumu daaah siku ya kwanza tu siku ya pili huwezi kuila😊 but now zimekaa siku tano na bado laini nashukuru sana Habbibt Hapo cha kuongezea mie baada ya kuuwacha unga nusu saa nikashakunja madonge yangu kama ulivyoelekeza nikimaliza sichomi muda huo huo yani nawacha tena madonge yangu kwa muda wa nusu saa tena then ndio nachoma M/Mungu akubariq akupe uhai na afya Tele ili uzidi kutupa mbinu nyingine rahisi rahisi kama hivyo
Jamani Zenna nimefurahi saaaaana kusoma comment yako 😄. Yani nimefurahi kwamba nime affect maisha yako kama hivi, in such a positive way. Yani ume acha kazi zako kurudi hapa kunipa asante. Ndio hivyo nilivotaka, nilivo discover hii njia, nikasema ni lazima ni shea na kila mtu. Na wewe pia asante kuniambia ile step nyengine baada yaku kunja. Hiyo yani of course chapati zita zidi kuwa laini. Amina kwa dua zaku na nashkuru sana na asante tena! 🙏🏽😄
@@SwahiliSpicE kiukweli chapati ndio kitafunwa cha kwanza ninachokipenda lakini ndio hivyo zilikuwa zinanishinda kupika ili ziwe nzuri na laini but now Alhamdulillah tangu nisubscribe😚 nikafuata maelekezo ulivyoelezea nikipika so mwaaaa Kila nikizipika chapati kiukweli nakushukuru sana I wish unione vile nafurahi kupika kitu nikipendacho yani najidai mpaka basi😍
Umenichekesa ulivyosema vile unajidai mpaka basi 😂 Nimefurahi sana tena leo. Endelea hivo hivo Zenna. I’m sure chapati zako tamu kama nini 😊 Insha’llah siku moja nitapata kuonja 🙏🏽❤️😄
I love your video and the different techniques you've shown. I look forward to more videos from you. Nina furahia ninapo tazama wana East Africa wakijitokezea kwenye UA-cam,hongera dadangu na Mola akubariki.
Note: Unaweza kutumia recipe yoyote unayopenda wewe. Mimi sisemi kama recipe yangu ni bora kuliko nyengine. Lakini maana ya video hii ni kukuonyesheni kama si lazima ku kanda unga. Hata kama unga wako hauna samli au mafuta, uki acha unga ukae, una lainika kama unavyokua ukiwa umekandwa. Muda wa unga kukaa mpaka ulainike inategemea na kiasi ya maji uliotia ndani ya unga. Asanteni sana
Swahili SpicE Aunty yale maji ya kuchanganyia unga hujatueleza ni ya baridi au vuguvugu ??
Asante sana
@Chayo Gasperi ilimradi maji yasiwe ya moto wala baridi sana. Nnahisi maji ya uvuguvugu hayato haribu mapishi
Swahili SpicE Asante sana bidada , be blessed .
Maji vuguvugu ama baridi
Ni nzuri nimejifunza namna ya kukunja
great job
Maashaallah tumejifuunza. Ila samli ndo ishu
Asante kwa mapishi yako matamu ya kuvutia
Nimekupenda bure. Dada hongera sana kwakweli unajua sana
Hongera sana,napo kwenye kukunja njia yako poa,ninikuwa nakunjia upande mmoja👌👌👌
Congrat juu ya mapishi ya chapo
Upo vizur mama hongera
Nice one
Cc tunajifunza mashallah
Ty so much my dear Swahili spice!! For the awesome lovely leard chapati, recipe n supper results, mostly ur speaking explaining A 2 Z slowly but surely to understanding. Wow from Tanga Tanzania
This made my day! 🤗
Mash'Allah!!! Akhasante Kwa kushea nasi
Asante mamy ❤️
Ma Sha Allah did you’ve made it so simple and looks delicious
Nyce one, waaooh
NI nzuri minina penda chapati sana hongera
Asante sana!
Asante sana dada
Hongera nimependa pishi hilo saana
Asante sana cct
Mashalah nambeda chapati yako muzuri
Asante sana
Quarantine brought me here. Thanks for this recipe, I followed it and mine came out soft. This has to be the easiest recipe I've stumbled upon on the interwebs. Thanks
Love that you came back and commented after giving it a go 😀
Stay safe and best wishes
Nakushukuru sana. Upishi nzuri nitajaribu, ume eleza vizuri sana. Mashaa Allah, allah akuzidishiye afia.
Maji moto au baridi
Maji ya baridi yana faa
Very nice I like it
Thanks its yummy 😋 ningependa if you tried whole meal au mixed grain flour na pengine kupunguza mafuta
Very clean
Dada etu chapati zako Safi sana tunaomba mapishi zaidi
Thanks for sharing
Mashaallah ❤
Nice one kiswahili chako kizuri usijali na chapati zako nzuri sana asante
Asante sana, you are so kind. Karibu 😄
Very good
daah hongera dada
Ahsante Sister kwa upishi murua. Ningependa tu kukwambia pale unapopanua mkate uwe mkubwa panua kabla hujatia samli haitokuwa mess utakuwa mkubwa na mpana unavyotaka kisha paka samli yako na kukunja madonge yako.thnx
Hongera Dada nimependa mapishi yako
Nimefurahishwa na upishi wako. Chapati nyororo sana
maashaalah.nimependa
Asante sana 😄
Masaah Allahu! wewe mwalimu bora zaidi.
Francis Obiero ni mashaAllah
Yammy nimependa sana asante kwa kuleza vizuri nitajaribu
Asante sana 😄
Asante kwa mpishi na mafunzo
Asante napenda chapani laini leo nimejifunza
Asantee sister ..tunaomba na mapishi ya donuts
Asante
This is a simpler method of making Chapatis..thanks👍
I feel blessed to be able to share it with so many people. Thank you 😄
Thanks... Very nice
Thank you 😄
Asante nimefunza na nimeelewa vizuri
Asante, umenifurahisha sana 😄
Asante. I did this and for the first time I had great chapatis.
So good to hear 😀
I’ve paused with the video making for a little while as my life is super busy right now, but I hope you’ve subscribe so you don’t miss out on the many ideas and creative/easier ways of cooking that I’d eventually love to share with you.
Happy cooking and munching!
Shukran mungu akuhifadhi
Thank you ❤
Thanks you! Appreciate your support ❤️
Hi ni mara yangu ya kwanza kuona hii video nita pika chapati kesho Mungu akipenda😘😜💋😍
Karibu Swahili Spice! 😄
Quarantine thanks you made me seek this page of how to make chapati. Kesho am buying chapti pan
asante nimejifunza kupika chapati laini
Asante kwa video hii. Nimependezwa nayo sana
Asante sana, na shkuru sana 😄
Asante dada yangu maji uliyekadia niyabaridi
Ekselenti sasawa. Chapati zako zimenitia njaa, na sauti chako kwa Kiswahili chapendeza. Nimeiwatchi hadí mwisho juu ya lugha. Job nzuri ijapokuwa ningereduce matumishi ya mafuta kidogo chini. Kazí laini kweli... Nasabskraibi❤️
Asante sana sana! Nimekusikia kuhusu swali ya mafuta. Karibu Swahili Spice 😄
Masha Allah nimependa
Asante 😄
Dah hii style nimeipenda maana mim kukanda nashindwa thanks
Asante sana, jana nimepika kwajili ya Eid, nime chnaganya unga asubuhi mapema, nime acha masaa. Nilivorudi unga mlaini. Chapati zimetoka first class yani! Jaribu, huto rudi kukanda bure 😄
uko vizuri
Ahsante kwa mafunzo dada
Nitajaribu kupika chapati. Nimeona hii video
Wonderful Chapatis
thank you
Ningependa kuona uso wako
Yammi yammi. Hhm...masha allah
Thanks so much I tried with your style and it worked keep going mwaaaah
Thank you so much, it means a lot when viewers like yourself come and comment after actually trying the method. Puts a smile on my face, literally 😀
Nimejifunza
Asante Hawa 😄
Asante sana nimependa mapishi yako
Asante sana 😄
wow v nice 💕💕
Nice😊
Very nice
Ahsante sn my dear nimeongeza maujuzi
Shukran 😄
Mashalla nzuri Sana
Maashaallah. Nimejifunza
Asanteni sana @Hajra Mohamed na @Dogo mwapea ❤️
iko sawa
Asante kwa mafunzo nitapikia familiar yang soon
nimepanda sana lov
Asante sana 😄
Hongrra pishi la chapati nimelipenda hakika nimejifunza.
Ongea kwa kupika vizuli nimejifunza
unazingatia usafi Jikoni Bigger up mwanadada...
Asante sana 😄
Mashallah
Asante sana kwa ilo nilikua nimetaka kujua jinsi ya kupik capati leo najifunza kbsa thx so much from burundi
Nashkuru sana ❤️
mnzuri sana napenda chpt
Asante sana nimezipenda na nimependa unavyojishusha kwamba wewe sio expart bado unajinza safi sana
Asante sana 👌🏽😀
Upo vizuri chapati zinapendeza sana hongera nimi pia nitajitahdi napenda sana mapishi
This is good way of preparing chapati I like it..Good job.
Thank you 😄
Thanks so kind..my first time will try in my kitchen
My dear ahsante sana kwa mapishi kwakweli siku hizi mpaka napenda kuzipika chapati baada ya kunifunza bila kukanda unga zamani nilikuwa nakanda mpaka basi na chapati bado ngumu daaah siku ya kwanza tu siku ya pili huwezi kuila😊 but now zimekaa siku tano na bado laini nashukuru sana Habbibt
Hapo cha kuongezea mie baada ya kuuwacha unga nusu saa nikashakunja madonge yangu kama ulivyoelekeza nikimaliza sichomi muda huo huo yani nawacha tena madonge yangu kwa muda wa nusu saa tena then ndio nachoma
M/Mungu akubariq akupe uhai na afya Tele ili uzidi kutupa mbinu nyingine rahisi rahisi kama hivyo
Jamani Zenna nimefurahi saaaaana kusoma comment yako 😄. Yani nimefurahi kwamba nime affect maisha yako kama hivi, in such a positive way. Yani ume acha kazi zako kurudi hapa kunipa asante. Ndio hivyo nilivotaka, nilivo discover hii njia, nikasema ni lazima ni shea na kila mtu.
Na wewe pia asante kuniambia ile step nyengine baada yaku kunja. Hiyo yani of course chapati zita zidi kuwa laini.
Amina kwa dua zaku na nashkuru sana na asante tena! 🙏🏽😄
@@SwahiliSpicE kiukweli chapati ndio kitafunwa cha kwanza ninachokipenda lakini ndio hivyo zilikuwa zinanishinda kupika ili ziwe nzuri na laini but now Alhamdulillah tangu nisubscribe😚 nikafuata maelekezo ulivyoelezea nikipika so mwaaaa
Kila nikizipika chapati kiukweli nakushukuru sana
I wish unione vile nafurahi kupika kitu nikipendacho yani najidai mpaka basi😍
Umenichekesa ulivyosema vile unajidai mpaka basi 😂
Nimefurahi sana tena leo. Endelea hivo hivo Zenna. I’m sure chapati zako tamu kama nini 😊 Insha’llah siku moja nitapata kuonja 🙏🏽❤️😄
@@SwahiliSpicE in shaa Allah Allah atukutanishe salama utaonja then utakula kabisa
Nafurahi sana dada nimeendezwa sana na nitajaribu
Asante sana, nimefurahi kusikia hivo 😄
Very nice chapati yummy
Nimelipenda Sana naenda pika leo
Uta enjoy basi kupika na kula 😄
amazing one. thank you
Asante kwa mafunzo yako mazur
I like your cooking
napend kujifynz
Thanks so much!
Wo nice😘
Good job
Thank you 😄
Amazing
Haya mams
Mashaa Allah 👌😋
Asante 😄
Mashaallah Dada nimependa Leo na mm napika leo
Asante sana 😄
Unanitamanisha, sijui na mimi nipike leo 😋
Hawa Malebo mmm
nice
Thank you dear 😄
Samli ya kukunjia nyingi sana!!!
Ndo mi navopenda. Unaweza kuendelea unavopika wewe, lakini maana yake hii video ni kuonyesha jnsi yakupika chapati bila ya ku kanda unga.
Halafu zile zetu za kawaida ni nzur zaid
nzuri
Asante 😄
Asante dada
debora meshack Asante sana
Sisi tulizoea kutafuna mihogo mibichi na viazi vibichi Leo nitakula Chapati laini ubarikiwe sana dada
Nimependa mapishi yako dada...Hongera sana.
Ila kuna kitu sijaelewa,mafuta ya samli ndo mafta gani??msaada tafadhali
Belinda Steve mafuta ya ng’ombe
@@samirabryson4057 ahsante jamn...uuwiii nlikuwa cjui☺☺☺
Asante Belinda Steve 😄 mafuta yanaitwa ghee kwa kihindi. Wahindi wanakua wana tumia sana katika mapishi yao
Ni mafuta yanayotakana na maziwa..kama ukiona mtu anandaa maziwa kuwa mtindi juu yake hukaa samli.....sasa kitaam huitwa ghee.....
Uko muzuri
MashaAllah nimeipenda mapishi yako..very simple kwanza ya vitumbua
Asante hun 😄
Nimependa mapishi yako ya chapati njia nyepesi sana
Nimependa mapishi yako ya chapati njia nyepesi sana
Asante sana @Sophia M
Zinaonekana ni tamu sana
Nimepata faida thank you
Nimefurahi sana, thank you 😄
I love your video and the different techniques you've shown. I look forward to more videos from you. Nina furahia ninapo tazama wana East Africa wakijitokezea kwenye UA-cam,hongera dadangu na Mola akubariki.