KILICHOMKUTA MAKONDA BAADA YA KUKATAA KUOMBA MSAMAHA KWA WACHAGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 434

  • @honesternanyaro2106
    @honesternanyaro2106 5 років тому +11

    Dr Bashiru is not only intelligent but also clever

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 років тому +3

    That was humble in the part of Makonda. God bless you sir..the up and coming president of Tanzania!!!

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 5 років тому

    No hug whatsoever!! This is good to see people taking out what's in their hearts for a good will. Tutakuenzi Dr. Reginardi daima, upimzike kwa amani

  • @deodatieugeni624
    @deodatieugeni624 5 років тому

    asante katibu B. Ally, busara yako ndio msingi wa ujenzi wa ccm mpya. asante Mwenyekiti F. Mbowe kwa kutokuwa mnafiki, lingepoa lingepita bila kukemewa. asante Askofu Shoo, kazi yako ya upatanishi tumeiona japo imeonyeshwa dharau umetimiza wajibu wako. R. I. P doctor Mengi. tukukumbuku daima.

  • @petrosanga1366
    @petrosanga1366 5 років тому +1

    Mimi pia nampenda sana makonda hasa kwa sababu kazi nzuri anayofanya.ulimi hauna mfupa wote tumekutana kumuaga KAMANDA wa vita 'mzee wa I must' tumsamehe bure

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 5 років тому

    Ni kweli kamsifia mchaga hajakosea, be strong Makonda hujakosea ni tafsiri zao zimekwenda mbali ndio maana, kama unavyosema, Zidi kumuenzi mzee wetu, Allah amrehemu

  • @mathewlive77
    @mathewlive77 5 років тому +6

    Watu walisahau kwamba wapo msibani, shangwe na vigelegele kama vyote. Asante Mungu mana umewasamehe wote katika jina la Yesu .

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 років тому +1

    Kweli nimeamini ni Mungu pekee ndio anajua yaliyomo mioni mwetu coz cdhani kama Mh. Makonda alikuwa na nia mbaya yakuongea vile ila fikra na mitazamo tu ya watu Ndio imemtafsiri vibaya jamani, binafsi yangu namkubali sana Mh. Makonda na namuona kama kiongozi wa zawadi kwa Tz ila wengi wa watanzania hawalitambui hilo, I love u, I respect u and I salute u Sir √

    • @chachamagoti2400
      @chachamagoti2400 5 років тому

      Hassan Kihonde We ndo uliku myoni mwake au we n mwerevu kuzd wtz ambao hawakupendezwa nayo.

    • @hassankihonde1275
      @hassankihonde1275 5 років тому

      @@chachamagoti2400 uzuri ni kwamba nipo chanya zaidi na ndio maana nimemuelewa kwa upande chanja na hasi kama wengine,

  • @starmpogoro8044
    @starmpogoro8044 5 років тому +31

    Nyie Nikwer wabinafsi Tunawajua Minidreva tunawaona kwenye kampany Wakiwa wachaga kwenye kampany Kuingia kabila lingine Nishida Sana

  • @scayroad8500
    @scayroad8500 5 років тому +13

    HIZO NI ROHO YAKO MBAYA KWA MAKONDA MM NI MLEMAVU NI KWELI HAKUNA KAMA MENGI HAIJAWAHI KUTOKEA KWANI NI UONGO

    • @gracedismas1108
      @gracedismas1108 5 років тому

      Unatamani kila anaekuja kukusaidia awe anajitambulisha kabila lake mnaongea ujinga ndio maana Mungu analipa kwa njia yake embu nitajie mkabila mwingine unayemjua anakusaidia kila siku kama sio muumba wako ulimi unatuponza watanzania

    • @gadsentz6519
      @gadsentz6519 5 років тому

      Scay Road alishawah kukusaidia uyo mengiii ? zaid yakumsikia kwenyenredio

  • @stevelayda8555
    @stevelayda8555 5 років тому +10

    Kwa Mara ya kwanza leo nimeipenda kauli ya kiongozi ccm. Bashiru uko juu kweli we ni msomi.

  • @georgemhalla3515
    @georgemhalla3515 5 років тому +7

    Iko hivi wachaga weng no mabahiri thus huwa wanafanikiwa Sana , ndomana makondo alichosema, kwamaba anashangaa kumuona mchaga anasaidia masikini!!! BT ala in all ,makonda me namuona alikua sahihi! Wala hakumaanisha kama vile mbole alivyokua amemaanisha!!! Tukutane 2020!!!!

  • @jaffarmguwa5566
    @jaffarmguwa5566 5 років тому +25

    Kama ungemsifia msukuma kisha ukawaponda wachaga hapo lingekuwa kosa....lkn umemsifu.mchaga na ukawataka wachaga wengine wawe kama doctor mengi....ukweli siku zote unauma

    • @ikupamwaisoba7379
      @ikupamwaisoba7379 5 років тому

      Umeona eee yaani ni shida hizo ni siasa tu lkn amewakomesha sana tafsiri mbaya yao

    • @tikokibila7220
      @tikokibila7220 5 років тому

      Nyinyi mamaku acheni ushabiki jamanii.

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 5 років тому +4

    Wachaga wabahili kweli na mchungaji wao pia ni mchaga ndio maana kawaka 😂😂😂

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 5 років тому +3

    Dr. Bashiru himself msomi wa kweli na ukweli umemukuweka huru nakupenda sana mpenda haki wakati fulani. Makonda unyenyekevu ndio mtaji wewe sio malaika. We love you.

  • @justinemathiasngwandu7715
    @justinemathiasngwandu7715 5 років тому +3

    Asikofu na bashilu mnalenu Jambo siyo bure, nikipi ambacho Makonda alikisema kibaya? Asante Makonda kwa hekima.

    • @aminabakari3799
      @aminabakari3799 5 років тому

      Alivyosema mengi kasaidia walemavu na watu maskini utazani yeye so mchaga, kasema mchaga kutoa pesa yake kwakumsaidia mtu ni ngumu,

  • @alimakaba6170
    @alimakaba6170 5 років тому +11

    Kiongozi anaNAFASI kubwa na huenda akawa anaruhusiwa kuongelea mada yoyote kutokana na mazingira husika au hata mifano kuhusu sehemu au mtu katika mazingira husika lakini tu kisiwe kitu kiendelevu..hapa Unahitajika uwe na ufahamu mzuri kidogo ili kuweza kuligundua hilo la sivyo utakurupuka kuwasilisha reaction yako. Mfano kama kijiji kina fanya mazuri mengi kiongozi anaweza akasema nawapenda sana watu wa kijiji hiki ni watu wazuri sana.. Lakin haimaanishi kama vijiji vingine anavichukia au anaweza hata akasema watu wa kijiji hiki ni wabaya sana kama kukiwa kuna mambo yasiofaa yanaendelea humo, lakin pia hajaimaanisha watu wakichukie kijiji hicho, sasa alivyo sema sio rahisi kumuona mchaga anasaidia watu walemavu hakumaanisha wachaga wabaguliwe au kumlaumu marehemu ila ametoa mfano huo kama kuongeza hadhi kwa marehemu. Sijui kama labda mimi ndo sijaelewa vizuri.!!!

    • @ikupamwaisoba7379
      @ikupamwaisoba7379 5 років тому +1

      Yaani wewe ndo uko sahihi sana kuliko mbowe na askofu ubarikiwe mpendwa

    • @nanaimgeri8587
      @nanaimgeri8587 5 років тому +1

      Ali Makaba so smart

    • @margretlukindo413
      @margretlukindo413 5 років тому +1

      Ndivyo

    • @gloryngomuo127
      @gloryngomuo127 5 років тому +1

      Ni ukabila huu.......ukisema w2 wa kijiji hiki ni wazur cjui nn n sawa coz wote n wa2......ss ukianza kutaja makabila haipendezi........

  • @rajabumlawa6209
    @rajabumlawa6209 5 років тому +15

    Nimekuelewa sanaaa katibu mkuu dr bashiru ally

    • @vicentjoshua7507
      @vicentjoshua7507 5 років тому

      Kwanini kwenye misiba wanasiasa na wasanii ni shida

    • @rajabumlawa6209
      @rajabumlawa6209 5 років тому +1

      @@vicentjoshua7507 yan cjui wapi tunafeli maana ule ni msiba mbowe alipaswa aliseme tatizo nje ya msiba

  • @yohanakidugala1332
    @yohanakidugala1332 5 років тому +5

    Asante saana Katibu mkuu CCM.... upo vzr saana Ongera saana

  • @andrewmwita119
    @andrewmwita119 5 років тому +1

    Duh Jamaa anakiburi yani alikuwa anataka kukataa kwenda kuomba msamahani tena msibani na kanisani!!!!!

  • @danielmgogo6484
    @danielmgogo6484 5 років тому +5

    MAKONDA UMEOMBA MSAMAHAA TU WAKATI ULISEMA UKWELI UMEWAGUSA SAAANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA ANACHUKI BINAFSI NA MAKONDA MAANA ALIUTAKA UKUU WA MKOA WA DAR NDIO MAANA AMEANZA KWA KUMSHAMBULIA MAKONDA HADHARANI AMEONYESHA CHUKI ZAKE WAAZI

  • @gidionmlwae3282
    @gidionmlwae3282 5 років тому +1

    Bashiru aliingizwa chaka mbowe yupo kisiasa ameona amemkomesha makonda hahahaha makonda alikua sahihi

  • @alexbaynet3426
    @alexbaynet3426 5 років тому

    Hiyo ndo kazi ya kanisa. Pia nafurahi sana kumwona mwalimu wangu wa lugha ya alama akitafsiri kwa lugha ya alama mwalimu Protas Mwalongo

  • @amariaelieneza1854
    @amariaelieneza1854 5 років тому

    Nimekuwa nikifuatilia speech za huyu kiongozi. Mara nyingi amekua akikosa mtiririko wa mawazo mazuri mwishowe kuwakwaza watu. Awe anaandaliwa speech

  • @stephenhosea1113
    @stephenhosea1113 5 років тому

    Mmemdhalilisha Makonda bure shida ni kwamba mmemtafsiri vibaya maana yake haikuwa kuwakosoa wachaga ama kuwadharau na kuwakejeli kulikuwa hakuna haja ya kumuita mbele huo ni udhalilishaji tu kama tayari mlimtangazia msamaha basi mngemuacha atulie sasa mmeleta siasa na hila zenu juu yake kanisani sio vizuri

  • @vinmilez5739
    @vinmilez5739 5 років тому +16

    Makonda sio mtoto,hadi aje aseme kua huu msiba co wa wachaga,lazma watakua walimbagua,ila ndo kawahiwa hana namna

    • @f.a6043
      @f.a6043 5 років тому

      😁😁😁

  • @magneticfootballtz1607
    @magneticfootballtz1607 5 років тому +2

    Mimi sio muumini wa siasa kabsa lakini hapa Makonda kama anadhibiwa kwa visasi tu ametoa sifa katika tafsiri ambayo waliua wanasubiria ateleze waanze manyanyaso tu

  • @elieshishamy9902
    @elieshishamy9902 5 років тому +4

    Kirikuu!!! Chokoza nyuki ukule asali

  • @godhelpkimaro6742
    @godhelpkimaro6742 5 років тому +1

    Mungu akubariki Sana Askofu Shoo,hakika Mungu azidi kukutunza Baba,hiyo ndio kazi Bwana Yesu alikuja kufanya Hapa Duniani UPATANISHO!!!!!

    • @imanuelmtui6619
      @imanuelmtui6619 5 років тому

      Sioni makonda alipo kesea tuache siasa za kijinga mbowe hatukuelewi

  • @seifmwinshee3593
    @seifmwinshee3593 5 років тому

    Makonda ajakosea sema mnapenda kukuza maneno.wachaga nao tatizo kama mengi ni wachache sana

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 5 років тому +8

    Makonda upo sawa hujakosea kitu hapo hao wachaga hawajui kiswahili ndo shida

    • @tibrucemushi1735
      @tibrucemushi1735 5 років тому +2

      wewe hata katibu mkuu wa ccm anamwambia ukweli halafu kijambo kama wewe unakurupuka hapa.....

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 5 років тому

      @@tibrucemushi1735 we mkundu tulia

    • @angelswaum8435
      @angelswaum8435 5 років тому +1

      TIBRUCE MUSHI kwani katibu mkuu ndo nani au ndo mingu sasa

  • @japhetmlungu762
    @japhetmlungu762 5 років тому +2

    Viongozi wa hawamu hii kweri awajaandaliwa. Katibu wa wachukua chako mapema umesema ukweri wako. Wengi awana kauri nzuri, wengine uwasema maneno Makali kwa mtu ambae ni sawa na mzee wake, babu yake au kaka yake. Bila kueshimu umri. Huu ndiyo udhaifu ulioogelewa na Cag.

  • @agnessjosephath4330
    @agnessjosephath4330 5 років тому +20

    Kwa mfano kama Makonda asingekuwepo mgeongea nini Makonda kamsifia mchaga katikati ya wachaga

  • @innocentpaulchillu1512
    @innocentpaulchillu1512 5 років тому +23

    Nyny ndo wabaguzi,wapi makonda alimbagua mtu,mnaleta kuchomekeana na visasi Hadi msibani.shem on you guys.

    • @daviseliona3507
      @daviseliona3507 5 років тому

      Hahahs

    • @godsfinalwarninggfw6492
      @godsfinalwarninggfw6492 5 років тому +3

      Wewe labda hujui kiswahili ndo maana hujaona kama amaleta ubaguzi. Lakini wenye akili kama vile Dr Bashiru, Dr Shoo walielewa kuwa huo ni ubaguzi. Wewe tu ndiyo hujaelewa, siyo tatizo lako, ni uelewa tu!

    • @godblessmwanri80
      @godblessmwanri80 5 років тому

      hekima ni muhimu sana ...

    • @aminabakari3799
      @aminabakari3799 5 років тому +3

      We ulitaka aambiwe kwenye sherehe hali yakua amekosea msiban, au unajitoa ufaham

    • @thomaselibarick8058
      @thomaselibarick8058 5 років тому

      innocent paulchillu una akili ndogo fala mkubwa

  • @chrissimbeye208
    @chrissimbeye208 5 років тому +22

    Mbowe ni mchonganishi sana makonda yupo sahihi nikweli wa chaga ni wagumu sana hawawez kujitoa kama alivyo kuwa mzee mengi tunajua wapo wengi sana wachaga wenye pesa lakin wenye moyo wa kusaidia hawapo

    • @jacklinechengula4933
      @jacklinechengula4933 5 років тому

      kabisa

    • @simulizizakiroho2674
      @simulizizakiroho2674 5 років тому +1

      upuuzi unawaza kwani wachaga tu wenye mali nyingi tanzania mbona wao hawajasaidia walemavu kwa kiasi cha Mengi

    • @mussaabdiel9797
      @mussaabdiel9797 5 років тому

      Chris Simbeye mchanga anasaidia ndugu zake tu

    • @chrispinemallya2420
      @chrispinemallya2420 5 років тому

      Kwa taarifa yako wapo wachaga wengi wanaosaidia katika jamii pasipo kujulikana.. Ndio maana sehemu yenye wachaga lazima pana msukumo mkubwa wa maendeleo. Nashindwa kuelewa kwann wachaga wanachukiwa! Wakati wanajitahidi kutoa huduma za kiuchumi zinazobadili maisha ya jamii ya eneo walipo.. Mungu ibariki Tanzania.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 5 років тому

      Kuna mchaga kasema wazi kuwa wagumu kutoa kutokana njia wanazotumia kuipata hiyo pesa
      Nyingi so halali

  • @mussaabdiel9797
    @mussaabdiel9797 5 років тому

    Mchaga au mpare ukimtoa mengi marehemu RIP mungu akulinde uendako baba, mchanga mwingine yeyote yule ukifiwa au ukiwa na sherehe atakuchangia ila sasa mtoto akiungua moto au kurudishwa ada ya shule atakukopesha ,

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian358 5 років тому +17

    mh makonda amefedheheshwa kauli ile haikuwa ya kubeza wachaga Bali hapa uchanganuzi wa sentence ndio ulileta shida ,yeye alimaanisha wachaga ni watu wanaojua pesa sana ,na kila mtu anajua hilo .Mbowe yeye anasumu yake moyoni aliamua kutema nyongo madhabauni ule sio uwanja wa siasa kaka hakuna kiongozi shupavu kama RC makonda mtasubili sana achana na jembe apige kazi msimfanyie demolization.

    • @masagakasunzu7824
      @masagakasunzu7824 5 років тому +1

      Boaz Sebastian mmmmh mmmmh mmmmh mmmmmmh ukikosea kubali no one is perfect

    • @beatricegondwe2726
      @beatricegondwe2726 5 років тому

      Nonsense

    • @justinemathiasngwandu7715
      @justinemathiasngwandu7715 5 років тому +1

      Hata mie sijaona kosa la Makonda, Nimefatilia kauri zake toka msiba umetokea sioni Kama neno lile lilikuwa la Kubebea bakuri namna ile. Lakini Sasa nagundua hapa nikweli kabisa hawa jamaa wanaubaguzi choyo naroho mbaya. Hakika Makonda kwa hili wamemfedhehesha na huyu bashiru sijui tu, hapo Kuna kitu tuache ishabiki wa kisiasa na chuki, eti unamchukia mtu hata huna kisa naye,🤔 hiyo ni Roho ya kishetani kabisa.

    • @jenniferdominic6128
      @jenniferdominic6128 5 років тому +1

      yan wamekuza jambo balaa

    • @faidamashala8933
      @faidamashala8933 5 років тому +1

      Wamemkosea makonda,ndo tatizo LA siasa

  • @dillisalum2384
    @dillisalum2384 5 років тому

    Makonda analogic sana ndicho namkubalia, good boy

  • @jamalimtima6176
    @jamalimtima6176 5 років тому +17

    Kwa hili,Makonda yuko sahihi tu Wachaga wana ubaguzi mno

    • @nkubapaul8531
      @nkubapaul8531 5 років тому

      Watu hawakumwelewa makonda kwa sababu wanamchukia

    • @simulizizakiroho2674
      @simulizizakiroho2674 5 років тому

      sio kweli ndugu,mbona Moo dewji hata misibani hatumuoni usiwe shabiki tu

    • @gracedismas1108
      @gracedismas1108 5 років тому +1

      Mijitu mingine haijielewi mchagga mchagga sishangai ila wewe unaesema mchagga mbaguzi je ulishawahi kumsaidia hata mtoto wa nduguyo au ndio hivyo tena ufahamu kwisha

    • @jamalimtima6176
      @jamalimtima6176 5 років тому

      Getruda Msaki .Tunaishi nao,2nawajua.Njoo mbezi au maeneo yaliyojaa wachaga,hakuna mchaga ambae anaweza kununua hata nyembe dukani kwa m2 ambae cyo mchaga mwenzie

  • @sadockjoseph4555
    @sadockjoseph4555 5 років тому +1

    Du! Ndo viongoz hawa sasa.....Mungu atawaumbua sana tu acha tusubir ipo cku ujinga wao utawaisha tu

  • @barakanyambele4673
    @barakanyambele4673 5 років тому +15

    Hii ni sehemu ya ibada ya kuaga mwili wa marehemu, sasa haya mengine yanatokea wapi

    • @dottonatha3770
      @dottonatha3770 5 років тому

      Baraka Nyambele 🇲🇺

    • @lamekisimoni2809
      @lamekisimoni2809 5 років тому

      Kwenye wengi pana mengi Ila makonda nae kazidi kwa nini kila kitu ni yeye tuu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 років тому

    Huyu Mpaka Mh Bashiru anamsema hadharani, Anawakera kwa mengi sana, Tunayobahatika kuyasikia ni yale anayoyaropoka kwenye Kamera.

  • @theobarddimoso8835
    @theobarddimoso8835 5 років тому +1

    Vijana tupo wenye heshima na maadili tumelelewa vyema na wazazi wetu na JKT imetupa uzalendo mkubwa tu lakini mmetusahau na kutuona sisi chapa vumbi hatufai lakini tunazidi kuwaombea hao mnao waona wanafaa ili taifa letu lizidi kuwa salama.

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 5 років тому +43

    Makonda kaongea points Sana,amesema nimemsfia mchaga katikati ya wachaga that's point hakuna shida n wivu tu🤣🤣🤣🤣

    • @malasimuhidin9510
      @malasimuhidin9510 5 років тому +7

      Kaka pale hakuna mchaga pekee. Kuna viongozi na makabila tofauti yanayoishi huko MOSHI na Arusha. Bado tunahitaji viongozi waliofundwa kama Dr. Bashiru alivyosema

    • @twahashekimweri3024
      @twahashekimweri3024 5 років тому

      Angemuita tu. Na sio kuumbuana. Busara itumike

    • @twahashekimweri3024
      @twahashekimweri3024 5 років тому

      Alafu bora wangeongea ayo mambo baada ya maziko. Mbowe nae hana busara

    • @hamisikabwe3980
      @hamisikabwe3980 5 років тому +1

      Umemsifia mchaga kati ya watu wote Makonda kuwa mkweli na ukubali kukosolewa,hapo walikuwepo watu wengi na hata vyombo vya habari viliipeleka sauti yako mbali dunia nzima,hivyo hukustahili kuongea vile.

    • @mussaabdiel9797
      @mussaabdiel9797 5 років тому

      Yp

  • @priscasiame9179
    @priscasiame9179 5 років тому +2

    Kwenye misiba ya watu maarufu.watu maarufu waliozimika wanapata nafas yakukiki sasa kosa lake lipi hapo mh makonda?hila si vema asaivi mnamuandama sana cheo icho wanakitaka takecare kaka makonda uliokalbu nao ndo wabaya kwako

    • @gracedismas1108
      @gracedismas1108 5 років тому

      Kosa lake liko kwenye mdomo wake mwenyewe

  • @godhelpkimaro6742
    @godhelpkimaro6742 5 років тому +1

    Barikiwa Kiongozi,hakika una maneno ya hekima mh mbowe,pia Katibu barikiwa Sana

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 5 років тому

    kanisa ni kanisa ,serikali ni serikali ,ya Mungu mpeni Mungu na Kaisari mpeni yalio yake,alipaswa kuomba toba kuvinywea divai vyombo vya hekaluni ni madhabahuni pale amewasha moto mgeni ni hatari

  • @ikupamwaisoba7379
    @ikupamwaisoba7379 5 років тому +3

    Umekwazwa nini wewe!!! daaah pole bwana mdogo Paul Makonda kweli unachukiwa lkn naamini kbs wewe ni mti wenye matunda nilikufatilia sana pale karimjee kauli yako wala haikuwa ya kuwakwaza watu ht katibu bado sijamuelewa hapo kwanini alisema hivyo alikosea wapi? Km alikosea huko simiyu ok mimi sikuwepo lkn karimjee loh na watu eti wanasema kbs bwana asifiwe kwenye siasa zao yupi asifiwe,lkn nimetambua uchagani si ndo pipoo..wamekulazimisha dogo lkn bado uliwapiga kwa neno zuri kuwa tafasiri haikuwa njema maana ulimsifia mchaga mbele ya wachaga hahahaaaa nakukubali bwana mdogo hakika Makonda jembe

  • @sulejiTv
    @sulejiTv 5 років тому +2

    Uyu mzee mbowe ana heshima sana nime hamini utu huzima dawa.

  • @devothasanga9228
    @devothasanga9228 5 років тому

    Mi sijaona kosa hapo mnamuonea kijawa wamungu jamani kasema kile anacho kiona huyo sio mtoto mdogo aseme tu kitu asicho kifaham nimekwazika hatali misamaha bongo kwenden kule

  • @ndhindilomachibya5514
    @ndhindilomachibya5514 5 років тому

    Iv makonda angewasifia wachagga kweli haya yangetoke.?...watu hawatakagi ukweli ...et ukabila...narudia...ata mm sijawahi kuona mchaga anatoa msaada kwa waremavu....vimbeni ila ukweli ndo huo ..nosense nie

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 років тому +3

    Hapo Mbowe umeingiza siasa wala Makonda hakubagua, sifa ya Wachaga ni ubahiri kwenye pesa, hawana mchezo na pesa hilo lipo wazi, hamkumwelewa, umetumia ubabe kwenye madhabahu.

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 років тому +1

    Ktk maisha ukiwa una kauli uchafu basi kila mahali hautakua na thamani

  • @kilosasofadesigner6218
    @kilosasofadesigner6218 5 років тому +1

    Kweli nimeamini Malipo ni hapa hapa duniani Mbinguni hakuna Banki iyooooo!!!!?? #Pierelikwidi_bwana🤣

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 років тому +2

    Makonda usiombe msamaha
    Uko sawa kabisa

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 5 років тому +5

    mchaga na mnyamwezi utani umetokea wapi uwache kuropoka mwanangu kutenda kosa si kosa bali kosa kurudia kosa.

    • @maremidundo6997
      @maremidundo6997 5 років тому

      Nani kakudanganya mnyamwezi uyo hujui uriza

  • @iambaizo
    @iambaizo 5 років тому +5

    mbowe ni mchonganishi kwani ni uongo wao si wabahili

  • @beatricengonani4640
    @beatricengonani4640 5 років тому

    Mboye anabivu na Jamaa na sio vngne huwez kumfanyia makonda HVO msiban hapo watu wanaomboleza siasa weka kando

  • @tarickadam7294
    @tarickadam7294 5 років тому +6

    Kwan uongo!!! wachaga awawezi sahiidia walemavu
    Makonda yupo sahii

    • @gracedismas1108
      @gracedismas1108 5 років тому +1

      Wewe umewasaidia wangapi

    • @minjashose2159
      @minjashose2159 5 років тому +1

      Tarick Adam me naona ni chuki binafsi na usiasa mpk msibani mimi mwenyewe kukusaidia lbd unkute nakula tule wote so nkupe pesa or

    • @tarickadam7294
      @tarickadam7294 5 років тому

      @@minjashose2159 kweli kbx

    • @joelsamson6840
      @joelsamson6840 5 років тому

      Yupo sahii makonda tatizo nikuambiwa ukweli

  • @piijey7977
    @piijey7977 5 років тому +9

    Lipo nililojifunza hapa. Kiongozi usitanie watu. Nilichodhani wakati RC Makonda anasema maneno yale pale Karimjee Hall, alikuwa anamsifia Mengi kuwa ni Mchaga tofauti sana na wachaga wengine, na alifanya kutania kwa kusema aliyoyasema. Mimi binafsi niliona ni utani tu. Kumba haikuwa hivyo. Hilo nimejifunza namimi.

    • @aishahassan1179
      @aishahassan1179 5 років тому +2

      Kweli kabisa akuwa na nia mbaya

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 5 років тому

      Hats hivyo msg sent ni kweli hawasaidigi kama wewe sio mchaga mwenzie
      Utani ulio kweli

  • @ashahassan4032
    @ashahassan4032 5 років тому

    ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upangaa.... alichomfanyia pieree

  • @mako331
    @mako331 5 років тому +8

    Unnecessary drama in the house of God, baba askofu ungezuia hili

  • @frankmakeula4506
    @frankmakeula4506 5 років тому +2

    Mkuu wa mkoa hakuwa na maana mbaya mheshimiwa Mbunge ndio tatizo acha siasa msibani

  • @bro.thobiassilas421
    @bro.thobiassilas421 5 років тому +1

    Umefanya vizuri sana mr mbowe.Makonda elimu ni mdogo akapewa nafasi katika utawala.Yaani umemweza .

  • @vinmilez5739
    @vinmilez5739 5 років тому +5

    Wanasiasa wanafki sana

  • @keita.wallet6984
    @keita.wallet6984 5 років тому +4

    Ninja sometimes unazingua japo kuwa cheo dhamana

  • @bintihussein502
    @bintihussein502 5 років тому +10

    Makonda umeonewa tu..kwani kusema ukweli nishida looh!

    • @hhonest9553
      @hhonest9553 5 років тому

      Binti Hussein unajua unachokisema au?? Mbona serikali ikiambiwa ukweli inakua shidah??Double standard ww.

    • @bintihussein502
      @bintihussein502 5 років тому

      HHS hs nakijua nannamaanisha.

    • @bintihussein502
      @bintihussein502 5 років тому

      HHS hs alafu kumbuka Mimi sio wewe hivyo kamuulize kama nawewe unaakiri zakushikiwa unikomeee

    • @hhonest9553
      @hhonest9553 5 років тому

      Binti Hussein najua kama wewe sio mm.Comment yako tu inaonesha huezi lingana na mm ata mara moja.Lapili mimi siingii period.So yah,we are soo different.Go find yaself job.U seems u gat nothing to do.Au kapike japo maandazi ramadhani hii.

    • @bintihussein502
      @bintihussein502 5 років тому

      Uliona wapi shoga akaingia period?? Mungu aniepushie

  • @barbarajoh7603
    @barbarajoh7603 5 років тому +24

    Makonda hajatambua kosa lake mpaka sasa

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 5 років тому +3

    Makonda ni mkuu wa mkoa msimfanye kama mtoto

    • @kyekwew3216
      @kyekwew3216 5 років тому

      Novatus Abond ... then he should have acted as an adult,when someone acts foolishly then they are fools. When you apologize you don’t use the same breath to defend your actions.

    • @salmahsharifu7096
      @salmahsharifu7096 5 років тому +1

      Mbele za mungu haswa madhabauni hamnaga mtu kubwa wala mdogo ndo maana uliona hata rais magufuli alikusnywa sadaka mwenyewe mbeya bila kujali cheo chake

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 5 років тому +25

    Ukikosolewa ukubali tu kuwekwa sawa.

    • @mussaabdiel9797
      @mussaabdiel9797 5 років тому +1

      Madam Rose makonda yupo sahihi sana kamuongelea mchaga katikati ya wachaga ukabila wanaleta wao

    • @adelaidedaycareprenurseryk6324
      @adelaidedaycareprenurseryk6324 5 років тому +1

      @@mussaabdiel9797 Hapana sio kwamba Makonda ndio mdhambii No! But uisikilize vizuri ile speech kuna mahali alithibitisha ukichunguza utagundua kwa nini Katibu Mkuu wa CCM aliamua kuomba msamaha kwa niaba ya. Makonda mimi ni shabiki wake no 1 na ninamfuatilia sana napenda huduma yake sana tu. Anasaidia sana wagonjwa hasa wale wa kipato chani kama mimi kwa mfano Pascal Cassian muimbaji wa Gospel. Makonda ni jiwe la kujikwaa watu wengi hawamuelewi but mimi nakwambua yupo hapo kwa kusudi la MUNGU. Kumbuka yeye si malaika bado anawezakosea tu na huo ndio unyenyekevu.

    • @mussaabdiel9797
      @mussaabdiel9797 5 років тому

      Madam Rose apo ukabila aupo bali ni mtazamo aujuae yeye kama yeye kwan awa watu tunaishi nao na tunajuana vzr

    • @esa_traveller
      @esa_traveller 5 років тому

      Makonda hakua na nia mbaya tatizo watanzania hata tukiambiwa ukwel tuna mind

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 років тому +3

    MAKONDA UTABAKI KUWA JUU💪💪💪💪💪

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 5 років тому

    nikweli hata Mimi namuunga mkono makonda kwanini tufichane hata nyerere alisema kuna makabila yana ubaguzi natusipo semana tutakuwa tunafuga ujinga

  • @amiriabud6521
    @amiriabud6521 5 років тому +3

    Makonda hana kosa mbowe ndolinakosa lijibaba lakini likiambiwa ukweli halitaki limekaa kisiasa siasa tangia nizaliwe sijawahi ona mchaga akimsaidia mremavu zaidi ya Dr. Mengi tu

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 5 років тому

    Hahaaha mung wanh Tanzanie kweli iyi ni haya kweli.
    Mbona alikuwa amekata

  • @hajiharun3587
    @hajiharun3587 5 років тому

    Kumbe madhabahuni suruali za stahili ile mbele ya hafla kubwa kwa Mtu mwenye heshma ktk Taifa unamuaga kwa Vazi lile, Dr. Bashiru nimekuelewa.

  • @mariacassian2738
    @mariacassian2738 5 років тому

    Muungwana akivuliwanguo hasimami huchutama lakini huyu makonda kajivua halafu anapiga sarakasi huku anajiona mshindi

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 5 років тому +4

    Anaharibu na anabembelezwa, yani kama yai

  • @barnabasstanslaus6895
    @barnabasstanslaus6895 5 років тому +1

    Palipo na wengi kuna MENGI pia ila yote yote mungu ndo anajua#

  • @lilianurio9781
    @lilianurio9781 5 років тому

    Kaka angu makonda hao ni wachaga, ingekuta ni mmasai au mmeru baba dhuu.

  • @mussaabdiel9797
    @mussaabdiel9797 5 років тому +3

    Wachaga mkiambiwa ukweli mkubali wachoyo sasa ninyi wabahili wakubwa ni mengi tu mtoaji mnasaidiaga ndugu zenu tu

  • @innocentamani1453
    @innocentamani1453 5 років тому +2

    Naamini makonda hajielewi kabisa nguo gani kavaa kama kiongzi mkubwa wa mkoa

  • @emmanuelmerick5936
    @emmanuelmerick5936 5 років тому

    Mdomo na ulimi ni kitu kidogo ila usipoutunza na kuitumia vyema inaweza kukuharibia mfumo wote wa maisha

  • @esa_traveller
    @esa_traveller 5 років тому

    Daaaaa af makonda alimind sanaaaa ila hakua na nia mbaya

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 5 років тому

    Dah aisee Had mazabahun hamuon aibu jaman kwny ishu nyet km hyo #ripmengi

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 5 років тому +2

    Kama utani ungesema kama mzee magu anavyo semaga watani zangu. Sasa we umenyooka kama rula umekosemea sana sana. Usiwe mbishi kubali yaishe tu

  • @sondanzingulasondasam4029
    @sondanzingulasondasam4029 5 років тому +15

    Sasa makonda alibeza kabira la kichaga kiaje huyoo Mbowe nimeamini Hafai kuwa kiongozi Vitu vidogo kama Hivi unalopoka hovyoo kweli kuwa kiongozi unatakiwa uwe makini na busara

    • @deusmauka9626
      @deusmauka9626 5 років тому

      Mbowe kachemka kwa kweli, wamelishupalia kweli hilo.

    • @chachamagoti2400
      @chachamagoti2400 5 років тому

      Sonda Lolela Wewe hovyo zaidi ya makonda. Makonda na mbowe nani hayuko makin.

    • @kassimmkemae1533
      @kassimmkemae1533 5 років тому

      Mbowe kakulupuka na lengo lake amzalilishe Makonda lkn kwa nilichoelewa mm nothing bad for Makonda

    • @salomekyando428
      @salomekyando428 5 років тому +1

      Sonda Lole
      la

    • @gracedismas1108
      @gracedismas1108 5 років тому

      Nyumbus kwa kufata mkumbo

  • @kaaweemwenyewe2872
    @kaaweemwenyewe2872 5 років тому +3

    Sema nae ndugu yetu huyu huwa anakurupuka sana cjui ni kwanini. Mda mwingine ukiona huna cha kuzungumza uwage unashukuru kwa mikono tyu👏 cyo kujitia aibu utafanya mpaka tunao kupenda tushushe vyeo vyako na kukuona wa kawaida... 🙄

    • @lukindofloriani4452
      @lukindofloriani4452 5 років тому

      Wote mnaoponda makonda mnakurupuka kaeni kmy mm n mmoja wa watu wanaotokea Kilimanjaro ila mengi huwez kumfananisha na mtu yeyote wa Kilimanjaro

    • @reganmartin5485
      @reganmartin5485 5 років тому

      Makonda hajakosea popote Mengi ni zaidi ya wachaga Wala hakuna mchaga was kulingana na mengi

    • @daniobrey3718
      @daniobrey3718 5 років тому

      Shielding told

  • @wilsonboniface6482
    @wilsonboniface6482 5 років тому +4

    Hapo amelazimishwa tu kuombana msamaha kwa vile ni kanisani mbona aligoma hadi kashawishiwa na msaidizi wake hilo funika kombe tu

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 5 років тому +6

    Siasa msibani, siasa kanisani siasa siasa

  • @denishamka8657
    @denishamka8657 5 років тому +3

    Kweli bwana wachaga niwachache wanao toa misaaa Dr mengi ndio shujaaa wa misaaada

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Je nyie wengine ambao siyo wachagga mnaongonza na nini ? Tuambieni

    • @happynnko9370
      @happynnko9370 5 років тому

      Nikabila gani linalotoa misaada sasa !!??kila mtu anatoa kwa wakati na kwa nafas yake

    • @emmanuelmoses7382
      @emmanuelmoses7382 5 років тому +1

      Alosema makonda nikwel lkn kakosea ktamka adharani

    • @samwelyngowi6670
      @samwelyngowi6670 5 років тому +1

      asilimia kubwa ya wasukuma wapo moshi wameajiriwa. mnataka wachaga watoe misaada gani??

    • @habibumdetele6530
      @habibumdetele6530 5 років тому

      Wazaramo wanaongoza kutoa mimba tu na sio misaada.
      Mkoa ambao wananchi matajiri wamejitolea kujenga shule binafsi zinazosaidia kuondoa ujinga wa nchi hii ni Kilimanjaro.
      Na hata huko Dar ni hawa watu wanaofanya uchumi wa nchi hii ukue, kwa mfano tu kafanye tafiti Kariakoo au China kujua idadi ya wafanyabiashara wanaoliingizia taifa hili kodi kati ya hayo makabila mnayojivunia.

  • @elisantemrita3582
    @elisantemrita3582 5 років тому +7

    Chezea wachaga wewe wachaga ni moto
    Tumekusamee
    Ila mbowe Acha kutafuta kk msibani
    Kwahili mwakani kura hupati

    • @seifmwinshee3593
      @seifmwinshee3593 5 років тому

      Wakutafuta wachaga kama mengi nao makonda yupo sahihi sana sema watu awampendi tu makonda komakaaa

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 5 років тому +3

    Kama kijana makonda anandaliwa kuwa kiongozi afai kwanzia sahivi

  • @kechbowcech3325
    @kechbowcech3325 5 років тому

    Mimi nimsukuma.... wachaga si watani wetu jamani....
    mbona mnachukulia serious Sana.... au humumpendi makonda

  • @scayroad8500
    @scayroad8500 5 років тому

    MAKONDA HAJABAGUA NYIE NDO WABAGUZI HIZI NI CHUKI HAKUONGEA VIBAYA HIZI NI CHUKI TU MAKONDA CHAPA KAZI

  • @robertmshana8730
    @robertmshana8730 5 років тому +2

    Nilichokisema mwaka Jana ninakusimamia hichohicho.

  • @emmanuelmsangi645
    @emmanuelmsangi645 5 років тому +2

    Kweli bashiru nikiongozi bora

  • @peterluoga458
    @peterluoga458 5 років тому +1

    Mbowe sio mtu mzuri nimemzarau kuanzia leo

  • @consalvakileo8205
    @consalvakileo8205 5 років тому

    Mi binafsi sioni kosa hapo,ni kweli hakuna mchaga Tena atakae mfikia mengi kwa wema wake,hata mbowe hawezi.

  • @paulonima6947
    @paulonima6947 5 років тому +3

    Makonda acha kujikweza Umekosea ulimi hauna mfupa Msukuma mwenzang

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 років тому +6

    MAKONDA = TRUMP