Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2017
  • Askofu Gwajima wa kanisa la Ufufuo na uzima ameongea na Waandishi wa habari baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya na mkuu wa mkoa Paul Makonda.

КОМЕНТАРІ • 181

  • @festokalengela4176
    @festokalengela4176 7 років тому +4

    Bishop Josephat gwajima Mungu awe upande wako kikubwa zaidi Nyenyekea chini ya mkono wa Bwana tupo pamoja Baba yangu

  • @christsflowe.r
    @christsflowe.r 7 років тому +3

    Good job Gwajima Mungu yupo nawe

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 років тому +1

    safi,sio kuomba tu na kufanya kazi na kufungua miradi

  • @bernardkuloba2993
    @bernardkuloba2993 7 років тому +2

    Safi sana Mchungaji, nimekuelewa sana wewe ni kichwa na kamwe usikubali kuwa mkia.
    Huyu jamaa ni.................

  • @elishajoshua4892
    @elishajoshua4892 7 років тому +2

    I love this Man.

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 7 років тому +13

    Hili jipu.. linalojificha kanisani. Wasiwasi wake ni kupoteza wachanga michango kila jumapili .. Kama hana hatia ya nini makelele? Kama kuitwa polisi ni kosa mshitaki Makonda mahakamani .. Kutaka Makonda abadilishwe kazi maana yake you have something to hide.. ! Makonda sjhikia chini hao mbwa.. hakuna cha Mchungaji wala nani..!

    • @fredrickisaiah4444
      @fredrickisaiah4444 7 років тому +4

      Lazma uongee upuuz...Mi nadhani unaitaji akili ata mbwa anakuzidi akili wewe!! Gwajima oyee

    • @diplomatic_justice.
      @diplomatic_justice. 7 років тому +1

      Joseph Gomalo u must be an idiot

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 7 років тому

      Hivi ni watu wangapi wamekusaidia hadi ukaandika huo ung'eng'e aisee?? LMAO..!!! Kuhojiwa na polisi ni suala la kawaida. Mimi sioni shida hapo. Gwajima hayuko juu ya sheria kama mtu ye yote yule. Kama mapadri wanakamatwa wakilawiti watoto ..! Maana yake hao ni binadamu .. na binadamu hufanya makosa au kuvunja sheria..including Gwajima.. You motherfuckers who think only coz Gwajima is a church minister .. and that should guarantee his sainthood.. you are gravely mistaken.. Muuza unga ye yote mwenye akili huwarubuni na kuwatumia au kuwalazimisha (blackmail) watu na kutumia sehemu au njia ambazo vyombo vya dola havitazami au kukagua; kama ziara za wanamichezo na watu wa dini, makanisa, misikiti au majeneza kama maficho ya madawa.. Wewe endela na imani ya kijinga inayokufanya kipofu.. Makonda knows what he is doing..! And you are simply a fucking dickhead ..!

    • @diplomatic_justice.
      @diplomatic_justice. 7 років тому

      i didn't say he was above the law ila your being disrespectful with thing that you dont have any knowledge on brother what if it was you ahh there your laughing your ass off like seriously

    • @diplomatic_justice.
      @diplomatic_justice. 7 років тому +1

      Joseph Gomalo keep trying bro the only one being insulted here is you simply youu

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 років тому +3

    We nenda ukweli utaukuta huko huko ww unamjua mungu na unamuabudu hasa mtangulize mungu mbele nenda kasikilize wito

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому +19

    😆😆😆😆
    maumivu yakizidi kamuone daktari🙈🙈🙈

  • @amadeusmrope4953
    @amadeusmrope4953 7 років тому +3

    good Ngwajima asikofu

  • @nicojonas9375
    @nicojonas9375 7 років тому

    movie continue, let wait and seee,naipenda sana tanzania kwa burudani kama hizi maana ni burudani tuuuuuuu

  • @moureenjude3802
    @moureenjude3802 7 років тому +2

    wacha tuisome namba bwana weee😜😂

  • @andrewmlamba
    @andrewmlamba 7 років тому +10

    Sasa picha zima nimelipata,wale wa kwanza kina TD na kina Wema nikafara,mtu anayepigwa vita ni huyu askofu Gwajima,kisa na maana alimsupport Lowassa.Kucheza na akili za wabongo kila siku mikutano na waandishi wa habari kumbe muna chuki zenu za kisiasa mwataka kulipiza kisasi

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 років тому

    i love that movie

  • @bianaramadhani5406
    @bianaramadhani5406 7 років тому +1

    tunasubir season. ya ngap vile?

  • @ashleypetertv5894
    @ashleypetertv5894 7 років тому +1

    If at all you are innocent man of God , you don't need to panic...

  • @nestorymashishanga4810
    @nestorymashishanga4810 7 років тому +1

    hongera sana mkuu Gwajima

    • @husseinsanda681
      @husseinsanda681 7 років тому +1

      Nestory Mashishanga hongera kwa kuchangia kuharibu vijana

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 7 років тому

      Hussein Sanda acha chuki

  • @ezekielitengeneza1613
    @ezekielitengeneza1613 7 років тому +5

    ccm Mbele kwa mbele....

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      Ezekieli Tengeneza oyeeeeeeeeee

    • @sambae925
      @sambae925 7 років тому

      Ezekieli Tengeneza teinaa.........

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +1

    jmn me naona hapo anajifagharisha tu mara namilik ndeg mara ktu gan cjui usiingzie sias hapo me nasubir kesho c ndo ijumaa

  • @kizimkazi3443
    @kizimkazi3443 7 років тому +2

    kwa jinsi anavyojitahidi kujielezea naanza kupata mashaka sasa

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 7 років тому

      kizi mkazi anajibu maswali anayoulizwa kwa taarifa yako

  • @christianluvanga2673
    @christianluvanga2673 7 років тому

    Siasaa nje njee

  • @daybrelimite7039
    @daybrelimite7039 7 років тому +1

    Jaman mbn...Mbowe aongei?....

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 7 років тому +1

    kwahiyo hii nchi ukiwa unapesa ww unauza unga sasa mbona wenye mapesa wengi

  • @daybrelimite7039
    @daybrelimite7039 7 років тому +5

    duh huyu makonda ni gumzo sasa! Makonda ndo Habari ya mjini! Hamna cha njaa tena

  • @boniphacelaurian3847
    @boniphacelaurian3847 7 років тому +2

    Gwajima subir makonda afanye uchunguzi usipaniki

  • @bashiryahaya3795
    @bashiryahaya3795 7 років тому +1

    gwajima atari sana

  • @juliusnyonyi9616
    @juliusnyonyi9616 7 років тому

    hii match raha sana

  • @christinadevic9432
    @christinadevic9432 7 років тому +1

    huyu MTU MTU kweli simwezi wasukuma wamekutana Kwa kweli,ila mungu akutenze baba akili ya maendeleo uliyonayo ni kubwa sana kila hatuwezi kukuelewa,

  • @rajabomary5280
    @rajabomary5280 7 років тому +2

    duh! kama movie ya kihindi vile

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 7 років тому +3

    gwajima uko sawa,hata usipomjibu huyo jamaa

  • @veilamoshi9302
    @veilamoshi9302 2 роки тому

    Na ndani ya Yesu Kuna utajiri usio pimika na bodo Watazidi kuwa matajiri wa Kiroho na kimwili pia Mia ya Mia hapa baadaye Mbinguni

  • @mamarama6360
    @mamarama6360 7 років тому +1

    mapovu yann nenda kaitike wito ukatoe mapovu kwa Siro

  • @winnifridannko4890
    @winnifridannko4890 7 років тому

    Safi sana baba!!!!

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 7 років тому +4

    picha linazidi kunoga kudadeki

  • @sameeradam4696
    @sameeradam4696 7 років тому +1

    We mzee ucjipe shda ww unaxema hawez kuongoza mkoa kixa kakuita huko Pollice mbn Hjaxema kitaambo km huwz we fny uende mngne yatajulikana hukohuko.....

  • @jahrean-tc8561
    @jahrean-tc8561 7 років тому +2

    hakuna cha lecture wala nini cha msingi wewe unadhaniwa nenda maneno mengi ya nini sasa ndege sijui nn si zinatuhusu nini

  • @jahrean-tc8561
    @jahrean-tc8561 7 років тому +1

    tumechoka na madawa ukiitwa hata njian popote nenda na hadi unatajwa kuna wahusika wapo centro wakutaja na sio makonda sasa vita hii si ya Makonda ni watanzania wote pia hata uwe na fedha au umaarufu huwezi kuwa juu ya sheria

  • @hassanovajunior3006
    @hassanovajunior3006 7 років тому +6

    mbona unababaika wewe unauza tu wacha kelele za chura

    • @fredrickisaiah4444
      @fredrickisaiah4444 7 років тому +2

      Nyie waislam lazma mmuchukie atazidi kuwanyoosha!!!!

    • @diplomatic_justice.
      @diplomatic_justice. 7 років тому +1

      Hassanova junior mmh poor youu

    • @user-rl1vr1fd1r
      @user-rl1vr1fd1r 7 років тому

      mwambie makonda aje alite vyeti aache kulialia hapa, arudi atoe vyeti

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 3 роки тому

    Hahahahaha..askofu upo vzur Sana na umemuonyesha kwamba wewe ni mkubwa kiakili zaidi yake...sasa meli imepinduka juu chini

  • @jumamchalaganya8761
    @jumamchalaganya8761 7 років тому

    katika taarifa taarifa imesema kuna watu walioitwa kusaidia taarifa, wanaohusika kwa shughuli kufanyika katika maeneo yao, kushiriki kutumia, n.k hivyo hujatajwa upo kundi lipi. nenda kawaone vyombo vya habari kwa ajili ya biashara ndio wanalileta kwa mtazamo ambao inaonekana kama ni kutuhumiwa kuhisika moja kwa moja

  • @allybububu9757
    @allybububu9757 7 років тому +2

    alafu mbona anajisifia Sana muhaya nini?

    • @zackysambo5800
      @zackysambo5800 7 років тому

      ally bububu
      Ni msukuma huyo, kama alivyo mheshimiwa Paul Makonda.

  • @ahmedalshammari9372
    @ahmedalshammari9372 7 років тому

    wa tz mnamambo haya pia cc wakenya tuko na letu

  • @happybraysoni7373
    @happybraysoni7373 7 років тому

    Subiri uchunguzi

  • @kharidyblauda7046
    @kharidyblauda7046 7 років тому +1

    unajitetea nin sasa we vp,,,,!?

  • @consolathashayo7499
    @consolathashayo7499 7 років тому

    haija tangazwa mtandaon ona hata ww hujui ndo mana unauliza mxeeeeee ongelea social sio individual upo.......

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому

    jmn mbowe bado me napenda kwl kufuatilia hawa mapapa hao akina recho tupa kule

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому

    Alafu serikal msicheze na iki kichwa iko kichwa nimoto jmn akiogopi wala halina wasi wasi

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому

    Mkuu WA mkowa WA ss ivi ajui kz amekuwa chawa WA wasani ndo maana mondi uwa hamsikilizi

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому

    heee ktk dunia hii kuna watakatifu jmn

  • @chyzoman7264
    @chyzoman7264 7 років тому +1

    wachane mzee

  • @juliusnyonyi9616
    @juliusnyonyi9616 7 років тому

    unaonekana unajiamini sana lakini sijui mungu akutangulie

  • @emmanuelaggery6877
    @emmanuelaggery6877 7 років тому +1

    kwa gwajimaaa wanakazi

  • @kulwajames855
    @kulwajames855 7 років тому +2

    makonda ashafeli, ataftiwe kaz nyngne

  • @josephemmanuel9009
    @josephemmanuel9009 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂askofuuuuuuuuuuu

  • @didaskimario4444
    @didaskimario4444 7 років тому +2

    kudadadeki

  • @annaracheldaniel5132
    @annaracheldaniel5132 7 років тому +6

    jamani mm nazunguka kusoma comments tuu, maana kwenye comments ndio kuna uhondo zaidi
    tiririkeni jamani wenye madukuduku

  • @ahmedalminshad1211
    @ahmedalminshad1211 7 років тому +5

    😂😂😂😂 wee nenda umeitwa bahna

  • @fatmaalrashdi1577
    @fatmaalrashdi1577 7 років тому +1

    makonda anataka kusaficha uchafu unao.haribu vijana wa tz na hao nyoka kelele tupu

  • @jacquelineadrian7041
    @jacquelineadrian7041 7 років тому

    Sasa nilikuwa na heri kopter nikageuza herikopta ndo nini sasa nan hajui una herikopta

  • @user-xe3fo1bh5s
    @user-xe3fo1bh5s 9 місяців тому

    Kwaiyo wewe papa tapeli mkubwa wewe unawatapeli watanzania hata shule yako ni ndogo sana unapenda sifa sana ngwajima

  • @ummusahili6399
    @ummusahili6399 7 років тому

    Kwanza ilo lakuuliza?? Waumini wako unaohao apo wengine wanalala na njaa sukuma twende ndio mlo wao tena Mara moja kwanini mipesa ulionayokwanini atamwaka Mara moja mbona hatukuwahi kusikia???kwaiyo nenda zogo lanini?

  • @mzeejuma8237
    @mzeejuma8237 7 років тому

    Ok

  • @masaudmasaud4084
    @masaudmasaud4084 7 років тому +1

    askofu wewe nenda katangaze dini jela mmezoea kuharibu vijana nyie pesa mnapata wapi pesa nyie mtaropoka sana mwakaa huu

  • @benjaminpatrick6364
    @benjaminpatrick6364 3 роки тому

    Now umekuwaaa mwanasiasaaaaaa

  • @daybrelimite7039
    @daybrelimite7039 7 років тому

    Weka mbali na watoto!

    • @charlesmagere9020
      @charlesmagere9020 7 років тому

      Gwajima unajilinganisha na papa....hivi hujui papa ni mkuu wa nchi na anaongoza dunia....!!!? hahahaaa....

  • @hassanrashid9775
    @hassanrashid9775 7 років тому +1

    picha limeanza kama movie ya solomon

  • @aishabashiru4850
    @aishabashiru4850 7 років тому

    tobaaaa comment zane zimenitia nguvu nilukowa na homa maana mh !

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 років тому

    daras wambie waache mnano meng waend policy

  • @veronicalucas580
    @veronicalucas580 7 років тому

    hakujui huyooo amuulize jk

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому

    atamnyoosha nani mtu kama ngwajima. anakunyoosha wewe binafsi labda unamtegemea ktk maisha yako. waislam tunamtegemea mmoja tuu aliyenyanyua mbingu saba basina kua na nguzo. khaaaa ya ngwajima huko huko hayatuhusu.

  • @Simeonesaph13
    @Simeonesaph13 7 років тому

    😂😂😂😂 baba gwajima

  • @ummusahili6399
    @ummusahili6399 7 років тому

    Sasa kwani kumeombwa ushauri?? Au umepewa taarifa Wende polisi? Zogo la nini? Ndugu zetu wanazidi kuteketea kwamadawa zogo lanini benk ndege umeulizwa?? Wewe nenda bwana wee

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 7 років тому

    gwaji umetisha kinoma hahah

  • @sebprincemalunde9536
    @sebprincemalunde9536 7 років тому

    Gwajima hata simuelewi anachojaribu kukisema.
    Inaonekana amebaha

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 7 років тому +1

    bravo

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому

    mh hatar

  • @lugendodaniel5266
    @lugendodaniel5266 2 роки тому

    Fanya kazi ya BWANA

  • @ibrahimsimsokwe450
    @ibrahimsimsokwe450 7 років тому

    angekuwa babako ndo katajwa ungejickiaj..

  • @sambae925
    @sambae925 7 років тому

    umwambie rahisi amfukuze kazi ww kama nani? hiyo nikazi yake pia na ndio mana kasema anadili na dar tu coz ni ikochini yake dar hata hao poli wapo chini yake

  • @thabitithabiti8789
    @thabitithabiti8789 7 років тому +1

    😆😆😆😆anaongea vitu vingi dah

  • @hajihamisi5212
    @hajihamisi5212 2 роки тому

    Ppl

  • @fredyjulius6933
    @fredyjulius6933 7 років тому

    hatutaki kelele nenda kaitike wito

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому

    David Thomas+acha unafiki na upumbavu. unasema waislam wanamchukia ngwajima? Kwani aliyemuita police ni mwislam? ohooooooo''unayaka eeeee. pool makonda ni sheikh au ustaadh huyo aliyesema ngwajima aende kituo cha polisi.??? jiangalie sana. angeitwa na waislam huyo ngwajima wenu ungesema waislam hawampendi.

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 7 років тому

      Rahma Shaban ndio mko negative ndio maana kama una macho utaona majina ya negative comments ni kina nani

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 років тому

    mmmmmmh

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому

    kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji. eti makonda hawezi kazi hahahahaha

    • @flova7022
      @flova7022 3 роки тому

      Kama anaweza Yuko wapi leo hahahahahaha

  • @ibrahimharuta7333
    @ibrahimharuta7333 7 років тому +4

    umepanic sasa kesho ww nenda tuu

  • @vjabnassir0017
    @vjabnassir0017 7 років тому

    ume panic braza😂😂😂😂😂😂😂

    • @fredrickisaiah4444
      @fredrickisaiah4444 7 років тому +1

      Miislamu ndo inakuja kumponda Gwajima atawanyosha...Pelekeni upuuz wenu mecca

    • @vjabnassir0017
      @vjabnassir0017 7 років тому

      mwengine ka panic😂😂😂😂😂, we mwenyewe wataka mtu akufundishe, ati lecture ya kidini Japan ,na kizungu hicho

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому

    unaham eeh nawe

  • @eliudijastin1597
    @eliudijastin1597 7 років тому

    ipokazi @millardayo

  • @ramlak_dramafans8807
    @ramlak_dramafans8807 7 років тому

    wenendatuu hatutaki maelezoo

  • @jescajonas5247
    @jescajonas5247 7 років тому

    hekaheka

  • @stvchannel1639
    @stvchannel1639 7 років тому

    gwajima unaongea sanaa naisii kunakitu inside apo kanisani. why you people mnasingizia mambo ya kanisa iyo ni personal issue ww unatumia madawa au utumii baci cyo kureta taarabu apo kanisani. na unaudaktari wwote. makonda kashasema uko japani kunakitu na tutakijua 2. mkono wa mungu ni mkubwa

  • @consolathashayo7499
    @consolathashayo7499 7 років тому

    kama uliweza kulala na mke wa mtu.. je??? utashidwaje kuuza madawa ya kulevya?????? kukuamin ww ni vigumu baba pambana na hali yako........

    • @goldmansun8983
      @goldmansun8983 7 років тому +2

      baba ako unajua amelala na wake watu wangap??? mbona unamuamini, je mama yako, una uhakika we sio mtoto wa mume wa mtu, mbona bado unamuamini

    • @joshuakwelimoto6494
      @joshuakwelimoto6494 7 років тому

      dingi yako mwenyewe kicheche humkatai kuwa sio dingi yako

    • @fredrickisaiah4444
      @fredrickisaiah4444 7 років тому

      Yaani unaongea kama ulikuwepo vile utapigwa pigo kwa kumsema mtumishi wa mungu ww..afu utabak umesema umelogwa

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому

    Gwajima ni kichwa. Ndo mwana magufur qlimtaka uyu mtu

  • @mangumbamnyili6033
    @mangumbamnyili6033 7 років тому

    Nihatari kitete tupu

  • @kelvin_papaa_ya_warembo8313
    @kelvin_papaa_ya_warembo8313 7 років тому

    huyu jamaa ni msanii sijawah ona asee

  • @godwinmpazi1560
    @godwinmpazi1560 5 років тому

    Wewe unaonekana una ngoma wewe.

  • @venmason1949
    @venmason1949 7 років тому

    hahaha

  • @JohnNjengaCOCO
    @JohnNjengaCOCO 7 років тому

    This guy is reacting like a guilty man would

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 7 років тому +1

      Njenga John hujui unachoongea wewe

  • @sajidabakari9809
    @sajidabakari9809 7 років тому +1

    sasa kama mtu ulikuwa biz na hukupata taarifa kwenye media, nn kinafanyika?!? makonda anahitaj uchunguzi
    gwajima baba, namm nahitaj hizo millions

  • @joshuakwelimoto6494
    @joshuakwelimoto6494 7 років тому +2

    waeleze wajinga hao