Worry out Mr Nacha u're me I'm u ,so we've to support each other in order to show the respect of our African culture , keep doing these music kind I really like them as an African root
Hallo Nacha, have looked for your m-pesa number for so long .Your lyrics are very precious to Kenyatta mother country... I wannah reward you bretheren. Playing and sharing your music isn't enough .Thank you.
Hii nyimbo ina ujumbe mkubwa sana kwa nchi yetu ya tanzania tutafute skills kwa ajil ya kujituma wenyew kwa sabab serikal haina uwezo wa kuajiri watu wote na hasa sisi tunaotoka katika familia za kimaskin tunaamin sana katika elimu na tunasahau kujituma wenyew. 🙏
Kuna dear msomi mmoja kitaan kwetu alinitesa sana kisa elimu yake ila siku hizi nikipitaga mitaan kwao ananiambia niache kujidai, sijui kapitiwa na nn yan
Mkwawa ndio John Legend wa Bongo sasa hivi.Na sijui kwa nini mpaka sasa wanahiphop mahiri kama Nacha na Stamina wanakuwa underrated licha ya kuwa na uwezo mkubwa.Tatizo ni kuwa media nyingi na promoters wengi wako kimaslahi zaidi ya kuimarisha mziki mzuri ndio maana utaona wasanii kama Nacha na Stamina wanajaribu kusend message lakini nafasi yao ya kutoka zaidi ya uwezo wao ni finyu.Ila big up kwa ngoma kali sana.One day yes!
Dear msomi huu wimbo aise wizara ya ELIMU Tafadhali msifanye kama hamjasikia tufudisheni stadi za kazi masomo mengi ajira chache hatuwezi kufika kwa wakati
KAZI nzuri Sana..... Kila mmoja Katendea Haki...Ila Stamina Bhana...... Mtoto ndevu,Mkubwa ndevu Watu wamesoma Ila elimu haiwasave,,Mtu Ana degree ya Ufugaji ilà Anaishia kufuga ndevu............
Kama unamkubali Stamina na nacha nipe likes zanGu
Love from 🇧🇮
Please Watch & Share DEAR MSOMI link 🙏🙏
Worry out Mr Nacha u're me I'm u ,so we've to support each other in order to show the respect of our African culture , keep doing these music kind I really like them as an African root
ua-cam.com/video/l3-6SDdJ6Kc/v-deo.htmlsi=-v6wB4QVlz6nh-cv
Kipaji ni kama zawadi !! Nacha nmiongon mwa wasannii wenye zawad hiyo..❤ big up sana.
Mafanikio sio zawad Bali ni matokeo dear msomi gonga like apa
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
DEAR MSOMI NOW AVAILABLE IN ALL DIGITAL PLATFORMS
PLEASE WATCH & SHARE LINK
#DearMsomi
#NyasubiNdaniYaMbanyu 🙏🙏🙏
❤ ema mzalendo hapa nakukubali Sana nacha.
DEAR MSOMI SIO SABABU UKO SHULE UKAVIMBA KICHWA…KUNA ALIEKUZIDI AKILI YUKO BUSH ANALIMA MCHICHA
Hallo Nacha, have looked for your m-pesa number for so long .Your lyrics are very precious to Kenyatta mother country... I wannah reward you bretheren. Playing and sharing your music isn't enough .Thank you.
Big up br. Naamm one day yes
Kama umerudia maranyingi kama mimi tujuane kwa like hapa ❤
Please Watch & share DEAR MSOMI
Uwa aukosei mwanangu kutoka congo nipe like zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nacha ni Darassa Tosha kwa jamii, Mungu Akubariki Kwa Kazi Yako Kubwa ikupe vibunda amen
WATU WAMESOMA ILA ELIMU BADO HAIWASEVU/
MTU ANA DEGREE YA UFUGAJI ILA ANAISHIA KUFUGA NDEVU
Nyasubi finest tuko pamoja sana
Nomaaa 😂😂
Nikweli thaman ya Elimu ipo chini Sana cha muhim ni kupambana
Hii nyimbo ina ujumbe mkubwa sana kwa nchi yetu ya tanzania tutafute skills kwa ajil ya kujituma wenyew kwa sabab serikal haina uwezo wa kuajiri watu wote na hasa sisi tunaotoka katika familia za kimaskin tunaamin sana katika elimu na tunasahau kujituma wenyew. 🙏
Watch n share DEAR MSOMI
Stamina ni mwanahipop halisi.. tumpe maua Yake jamn🎉🎉
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Uhalisia kabisaa ya mambo ambayo nayapitia maishani sahizi...
Hiz ndizo Miziki yenye ujumbe na mantiki na kuelimisha acha Miziki ya mapenz hongera sana kijana
MAPAMBANO YANAANZA MORNING SISI HATUNA MORNING SPEECH
😂
SMG
Hii ni elimu bila dawati
Elimu isiyo na chaki
Elimu popote huipati
Hata usome darasa la wapii
Iaoo iyaooo iyaa
Msomiii
Dear msomi nataka ufahamu
Please Watch & Share DEAR MSOMI link 🙏🙏
Kiitikio kikubwa kaka iko
@@meddymontana1291 Kali mnooo
Dear msomi... Ukimaliza shule haimaanishi utapata kazi...
Felt this one from Kenya.
Please Watch & Share DEAR MSOMI link 🙏🙏
Dear msomi like zangu 100
Please Watch & Share DEAR MSOMI link 🙏🙏
Sijui sisemeje🤔ila huu wimbo umenigusa sana, makali kinomaaa wote mumetisha big up👍👍👍
Dear msomi
Kama ww ni dear msomi kama mm mungu akubariki
Please Watch & Share DEAR MSOMI link 🙏🙏
KUNA MAISHA BAADA YA SHULE SIJUI MNAJUA?
Tunajua kaka. make watu tumesoma lakin hatuna kazi
Ni kweli.
Kuna dear msomi mmoja kitaan kwetu alinitesa sana kisa elimu yake ila siku hizi nikipitaga mitaan kwao ananiambia niache kujidai, sijui kapitiwa na nn yan
Please Watch & share DEAR MSOMI
Kaka hii nyimbo inatakiwa iwe no 1 ila sisi wabongo hatusapoti vitu vya maana
Stamina ft nacha hawajawahi Ku fell🔥🔥
Kama una mkubali stamina na nacha kwenye rap naomba likes zangu
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Hongera kwa kuwa na ngoma za kufungua upeo wa vijana wenzako...Bless you.
Nyimboo imenibariki 🤗hatari nimerudia mara ishirini sasa na kila asubuhi ndiyo ngoma yang mezani
Wakenya mnaopenda nacha na stamina nipeni likes..mkwawa kaua sana kwenye chorus
Please Watch & share DEAR MSOMI
NyasubiNdaniYaMbanyuu🏆
Hizi ndo nyimbo Zinatakiwa full ujumbe big up young bro good music🎤🎶🕺🎤🕺🕺🕺🎶💯🎤💥💥💥💥💥
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
Itakuwa hatar sana hiyo ngoma bila shaka, maana nacha haujawah kukosea
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
DEAR MSOMI SIO SABABU UKO SHULE UKAVIMBA KICHWA…KUNA ALIEKUZIDI AKILI YUKO BUSH ANALIMA MCHICHA
💯💯💯✍✍
Nyasubi ndani ya nyumba
Ox BELOX naipata Dear Msomi from Australia, Haki sasa vijanaaa (Nacha, Stamina, Mkwawa) hamjawahi niangusha kwenye kazi zenyu.
Please Watch & share DEAR MSOMI
Mashaili ya mana Ila katika production (beat)wameiga kidogo ngoma ya lafouine inaitwa tous les même kama nawey umegundua hio lpiga like nione
Please Watch & share DEAR MSOMI
Umegundua how?
Hatutaki sisi tunataka hii Dear Msomi 😂😂😂😂
Nacha ukizeeka ni kishimba mtupu
Please Watch & Share DEAR MSOMI link 🙏🙏
ADAM MMHAMEDI Nasha ajuabana 🎙️ 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 rwanda nyimboyikomtaani
Please Watch & Share DEAR MSOMI now available in all digital platforms
Nakuombeaga ufanikiwe bro kwenye kutafuta kwako,unajua sana.mistari yako ni elimu tosha kwa mwenye busara.
Best song in this year 👏maan nyimbo inaelezea uhalisia wa maisha ya sasa
Please Watch & share DEAR MSOMI
Mkwawa ndio John Legend wa Bongo sasa hivi.Na sijui kwa nini mpaka sasa wanahiphop mahiri kama Nacha na Stamina wanakuwa underrated licha ya kuwa na uwezo mkubwa.Tatizo ni kuwa media nyingi na promoters wengi wako kimaslahi zaidi ya kuimarisha mziki mzuri ndio maana utaona wasanii kama Nacha na Stamina wanajaribu kusend message lakini nafasi yao ya kutoka zaidi ya uwezo wao ni finyu.Ila big up kwa ngoma kali sana.One day yes!
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Mad love outta 254.......true definition ya mwafrika
Please Watch & Share DEAR MSOMI now available in all digital platforms
Kutoka Drc🇨🇩 nipo tayari kwa mzigo💥💥
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
mungetuwekea kick na snare bana this is sooooo deeeeeeep🔥🔥🔥🔥
Dear msomi sio eti uko shule ukavimba kichwa Kuna mtu alie kuzidi akili Ako bushi analima mchicha 🥺💔#nyasubi ndani ya mbanyu#Shorobwenze on this one
Watch n share DEAR MSOMI
Hivi vichwa vilivyo husika hapa naona 🔥🔥🔥🔥🔥 utawaka❤🎉
Namba 1 munione
Nakubali sana kaka mkuu wangu kazi yako naipenda ❤❤
Please Watch & Share DEAR MSOMI now available in all digital platforms
Dear msomi huu wimbo aise wizara ya ELIMU Tafadhali msifanye kama hamjasikia tufudisheni stadi za kazi masomo mengi ajira chache hatuwezi kufika kwa wakati
Please Watch & share DEAR MSOMI
Like kwa mkwaw katisa namna alivyoanza, ila stimina we ni mtu nusu ukishilikishwa ujawai kupoa...nacha umeweka vichwa
Stamina hatr, all in all ngoma kalii San Ni really life
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Achia jiweee
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Kama umelikubali Hili goma gonga like apa❤
stamina you are the king of hip hop umetisha
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Kazi nzuri mabrother naamini itaenda sokoni ni kubwa sana
Please Watch & Share DEAR MSOMI link 🙏🙏
Asante kwa ❤️ bro
kwani hujui watanzania wanataka komasava 😂🙌 ila hizi ngoma za akina stamina ni zawachache mzee
Wanangu Mmetisha sna bonge la ngoma ❤❤❤asanteni
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Dear hip hop ya wakenya ata muungane wasanii 50 Nacha tu hamumwezi na sijamtaja Stamina bado❤❤❤❤much love from Kenya 🔥🔥🔥💯💯💯🇰🇪
Fuvu lipumue lijiandae na kesho
Wasomi wote tukutane uko next level 😂😂😂😂😂😂💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Watch n share DEAR MSOMI
#SMGFamily4life #mrtrending once again 🎉🔥🔥🔥
🎉🎉
HISABATI HAZIFANYI UMILIKI KIWANJA UMILIKI BODABODA WATOTO NA NYUMBA YA KUPANGA DEAR MSOMI
Sio vyema kutoa matusi makari kwenye mitandao kama ivi hatakama amekosea..,,kutoa uchungu wake kwa kuimba ivi,,,tusimtukane hapana
MAFANIKIO NA ELIMU HAVIHUSIANI/
UNAJIKUTA DALALI NA ULISOMEA URUBANI
Huyu jamaa namu kubali Sana walai,I wish ninge kua na uwezo aki ninge fanya Jambo kwake but Acha tumu support kwa saana walai
Please Watch & share DEAR MSOMI
Penda sana huu wimbo❤️❤️
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Stamina mnyama huyu..hii kali
WASOMI WENGI WAKO BENCHI WANASUGUA
Kazi kubwa sana
Watch n share DEAR MSOMI
Noma Sana 2024 levels 🙌🙌
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Mwanangu sana!!; huna baya umetuona asee sema nini Mwanang Nacha unajua asee nipe Maua yangu
Please Watch & share DEAR MSOMI
Bonge la ngoma. Ila mwana wa chorus kaua sana ❤
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Ndani ya mbanyu🔥
Please Watch & Share DEAR MSOMI now available in all digital platforms
Umesomea ufugaji Cha ajabu utaixhia kufuga ndevu. Stamina sholobwenz
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Wapi like za stamina...❤❤❤❤
Please Watch & Share DEAR MSOMI now available in all digital platforms
NA MAIMUNA HAVUI KWA KIPEUO CHA PILI
Daah, STAMINA konyo sana wewe respect 🎉🎉🎉
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Hiiii ni ngoma kali kinoma an
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Nachaa 📌maimuna havuliwi kwa kipeo Cha 2
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Nyasubi ndani ya mbanyuu 🎉 hii content sana , pia mashbik nawaomba mpita na kwangu nina ngoma na stamina ,asantenii
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Kazi nzr home boy utafka mbaaaale
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Much respect 🔥🔥
Please Watch & Share DEAR MSOMI now available in all digital platforms
DUUUH HUU UKWELI SHEGAAA
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Nyimbo za kukomboa wasomi
Wa kinjikitile ngwale na maji maji war.
Maimuna havui kwa kipeuo cha pili
Dada Tekla kasoma chuo cha uvuvi lakini anavuliwa yeye samaki samaki na wavuvi.
Hizi punch line ni 🔥🔥🔥
Please Watch & share DEAR MSOMI
Hii sasa Kali 🔥
Please Watch & Share DEAR MSOMI now available in all digital platforms
Kbx Nacha na Stamina wanajua sana
Stamina kwenye kuelezea uhalisiaa huwaa ni hatarii mnooooo❤❤❤🎉
Home boy mmetishaaaa knoumaaaa✍️✍️✍️✌️✌️
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Dear wasomi ,, tuishi na huo muwaa
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Daah hiii ngoma imetulenga wanachuo
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Goma kali sana , nyanda wa NYASUBI
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Imeisha hyooo🎉🎉
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Bonge la Wimbooooooooooooo❤❤❤❤❤❤
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
.......elimu Ni funguo .......walituasa hakikisha unaoneshwa jinsi ya kufungua kitasa.......Dear.....
Please Watch & share DEAR MSOMI
Nacha ukifa utaachaa alama ndani ya nchi hiii❤
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
KAZI nzuri Sana..... Kila mmoja Katendea Haki...Ila Stamina Bhana...... Mtoto ndevu,Mkubwa ndevu Watu wamesoma Ila elimu haiwasave,,Mtu Ana degree ya Ufugaji ilà Anaishia kufuga ndevu............
Brothers nakubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Ousam🙌🙌🙌
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
very talented song salut @nachaxstaminadearmsomi
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Nacha binafsi nafrahishwa sana na uimbaji wako hususani nyimbo kama hizi ..nataman uwe unasikika mara zote ukiimba na ukitoa nyimbo mpya
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Unyama sana #tellaaxistz
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu
Nacha Nacha Nacha Hajawahi Nikosea
Likes zangu toka Congo✅🙏🙏
Please Watch & share DEAR MSOMI
Aya msomii kupata kaz ndo ni kaz pia
Please Watch & Share DEAR MSOMI now available in all digital platforms
Nyasubi ndan ya mbayu bby 🎉
Please Watch & Share DEAR MSOMI link
#NyasubiNdaniYaMbanyu