Kuna mda nshawahi kusema kwamba rapcha ni kijana ambaye hatumii nguvu nyingi kwenye kazi lakini akifanya anafanya kweli📌📌❤️Kama unaniunga mkono please twende pamoja
Wanawake tunazidi midomo sana, mwanaume unaona umemchoka bora uondoke , mwanaume kaumbwa kumiliki lazima ukiwa nae ujimilikishe shuka chini jinyenyekeze onyesha una adabu mbona maisha yataenda vizur, tujifunze kuheshim wanaume zetu maana tumeumbwa tutawaliwe sio tujitawale iko iyo maandiko yanasema.. sad ending though too bada jmn tusifikie uku. Rapcha Master j zaylisaa big up🙏
Thanks mamy, nyumba nyingi Zina vujika kwa hilo, yes Kuna wengine wavulana Wana kuwa too much, but mkee ana takiwa kutizama njisi yaku endelesha Familia
Video imefufua wimbo masterjay Ametendea haki uhusika majonzi yanarudi juu ya tukio la mwanza haya hebu namimi nipeni like sijui hata zinakazi gani ila LIKES TU
SIO KAWAIDA YANGU KUKOMENT KWENYE UA-cam LAKIN NAOMBA NISEME KUNA NYAZIFA ZA SANAA WAMEPEWA WATU AMBAOO HAWANA UTASHI. MASTER J NA MAJANI NYIE NI ZAID YA BARAZA LA SANAA. RESPECT LEGEND🎉
Jaman wanawake ambao mpo kwenye ndoa na pia katika mahusiano ya kimapenz ya kawaida kama unajua upo na kijana au mwanaume ambaye unamwona yup seriously na wewe na anakupenda sana kupita kiasi jitahid usichezee hisia zake kama ukiona humpendi bora umwambie mapema kuliko kuendelea kumfanyia vituko maana watu hao Huwa na hasira sana wanapochezewa hisia zao 😢😢😢
Once again...!!I ll never force my children to follow the same artist I like.The will have the total freedom to choose between following RAPCHA or leaving in my house..PURE TALENT EVER SEEN
Master J kumbe ana uwezo mkubwa ivi wa kuigiza? This is one of the best performances hadi nimefeel uhalisia wa nyimbo na video. Good job to Zaylissa too
Mapenz yanaumiza sana,😞jibu ni kukimbia,,lia ukiwa mbali na mtu anaekuumiza,,itachukua muda ila ipo siku utamsahau tu na utajua ulifanya maamuz yaliyosahihi 👏😔(bado yupo moyon mwangu na nampenda ❤ila its too late siwez kuwa nae)
Big up kwa master j umecheza sana hii video sijawai kutoa comments kwenye nyimbo yoyote ila Leo imenilazimu nitoe sifa rapcha unaandika sana bro p funk ajakosea kukusain bongo record 💥💥
Hii inanikumbusha said wa mwanza aliye mpigia mke wake more than 40 missed call akasema alkuwa kwamama akamshuti the same story km hii big up sana Rapcha
Asante kwa huu mziki umetuletea story ya kweli ya yule kijana wa mwanza na demu wake aliyekuta missed call zaidi ya 30 asante umetukumbusha mwanza na umetukumbusha salma r.i.p kwao
Rapcha ni rapper mwe ye story nzuri na zinazogusa jamii. anatiririka nazo kwa style ya kipekee na wala hafoki. napenda styke yk.hata mtu mzima hii anasikiliza na kuelewa vyema.keep it up bro
40 missed call, so poah ngoma kali sanaa naisikilizaga hii ngoma kwa kujirudia rapcha unaweza achana na izo zingne haziimbi bali n makelele ya jenereta
Kuna mda nshawahi kusema kwamba rapcha ni kijana ambaye hatumii nguvu nyingi kwenye kazi lakini akifanya anafanya kweli📌📌❤️Kama unaniunga mkono please twende pamoja
Naunga mikono sio mikono mmoja..Rapcha ni fire
Ni rapcha kaka not lapcha..and your right, anajua sana
Lapcha😂😂
Is true
King 👑👑👑👑👑 rapcha 😅😅🎉🎉❤❤❤
Wanawake tunazidi midomo sana, mwanaume unaona umemchoka bora uondoke , mwanaume kaumbwa kumiliki lazima ukiwa nae ujimilikishe shuka chini jinyenyekeze onyesha una adabu mbona maisha yataenda vizur, tujifunze kuheshim wanaume zetu maana tumeumbwa tutawaliwe sio tujitawale iko iyo maandiko yanasema.. sad ending though too bada jmn tusifikie uku. Rapcha Master j zaylisaa big up🙏
Real talk!
Thanks mamy, nyumba nyingi Zina vujika kwa hilo, yes Kuna wengine wavulana Wana kuwa too much, but mkee ana takiwa kutizama njisi yaku endelesha Familia
Ahsante
kabisa ccta love you coz unajielewa sure
your m-pesa number please!
"Najiona mnafki Kwa kumwaga Damu Kwa makosa ambayo moyoni najua na Mimi nafanya" 😢 ..... Hongera sna #Rapcha nyimbo nzuri sanaa
Ila huyu mwamba masta j,ameiwakilisha vzr jmn.good job brooo.uko vzr kwa kaz zako,❤❤❤❤
Hii ni historia ya Saidi .... kule Mwanza kama unakubaliana na mimi gonga like
Saidi ilikuaje boss
Video imefufua wimbo masterjay Ametendea haki uhusika majonzi yanarudi juu ya tukio la mwanza haya hebu namimi nipeni like sijui hata zinakazi gani ila LIKES TU
😂😂😂 ila likee
Hii song story inafanania na lile tukio la maharusi mwanza mume alomuua mkewe kwa risasi na yeye akaenda kujipiga risasi ziwani📌
TRUE STORY in MWANZA axeeeeee!!!!! Unajuaa kutupa Storey ❤
SIO KAWAIDA YANGU KUKOMENT KWENYE UA-cam LAKIN NAOMBA NISEME KUNA NYAZIFA ZA SANAA WAMEPEWA WATU AMBAOO HAWANA UTASHI. MASTER J NA MAJANI NYIE NI ZAID YA BARAZA LA SANAA. RESPECT LEGEND🎉
Uwakikaa kiogozii
Jaman wanawake ambao mpo kwenye ndoa na pia katika mahusiano ya kimapenz ya kawaida kama unajua upo na kijana au mwanaume ambaye unamwona yup seriously na wewe na anakupenda sana kupita kiasi jitahid usichezee hisia zake kama ukiona humpendi bora umwambie mapema kuliko kuendelea kumfanyia vituko maana watu hao Huwa na hasira sana wanapochezewa hisia zao 😢😢😢
Ambao tume rudia zaidi ya mala 3 huu wimbo naomba tujuane....🙏
😂
Once again...!!I ll never force my children to follow the same artist I like.The will have the total freedom to choose between following RAPCHA or leaving in my house..PURE TALENT EVER SEEN
😂😂
Hii ngoma acha tuipe mauwa yake ........walio angalia zaid ya mara mbili kwa ajil ya mashar matam pita hapa na like tuende sawa
10x a Day and still watching
Nimelal naiplay tu
Young men Big Mind Kama unakubali dogo kama anaandika sana gonga like
Hii ni historia ya kweli ilitokea Buswelu Mwanza, baada ya jamaa kumshut wife nayeye alienda kujipiga risasi ZIWA VICTORIA.
Master Jay (Joachim Kimario) ameua sana kwenye acting. I never thought he could be this best in acting. He needs a role in our movie industry
Kwani nikichelewa ndo sipati like kabisa😂😂
Kweli rapcha ni last King of 90's baby kama unamuelewa rapcha twende p1 weka like
Nimetafuta makosa kwenye hii ngoma naona umekuw mtihan mgumu....iko sawa kila kitu
Master J. Ametisha saana... Darasa kubwa sana wimbo huu na video yake
kam mnakumbuka jisa kilichotokea mwanza cha mchimba madin na mkewe basi master kapita mulemule
Sema ukiachana na miatari. Embu mchek masta j alivovaa uhusika. Oya wee masta igweeee🔥🔥🔥
My favorite song in 2023 to 2024 hii videoo ndio nmeionaa leoo january 29 2024 nmeaangliaa zaid ya maraa 10 master j kauvaa uhusikaa vizurii
Nitahakikisha 40 missed calls inafikisha views milion
VANILLA AMELIPWA NGAPI JAMANI SIO KWA KOLASI KALI HIIIIII🔥🔥🔥🔥
wanao sema Master na bidada ndio wameba hii sound niunge hapa mimi naona mtu mpka atazame kideo big up kwa masta zailissa rapcha
Video Kama ile story ya said wa buswelu na swalleha mwil wa said ulipatikana ziwan mwanza 2021 good idea yatuacha vibaya maamuz ya hasira
imefanana kilakitu
Cha ajabu ngoma kama hizi hazipewi nafasi kama makirikiri Yao, dope lyrics dope video dope casting.....hizi ndio materials tunahitaji Kwa industry
Acha na mistar mcheki master alivyo uwa kwenye uhusika Noma sana pia uyu shemej yetu nae kacheza sana Safi Heshima kwa director 🎉🎉🎉
binafsi master jay. ameonyesha u master wake
Master ni noma anajua kuigiza mno ila sema iki kisa kinafanana na cha mwanza
Master J kumbe ana uwezo mkubwa ivi wa kuigiza? This is one of the best performances hadi nimefeel uhalisia wa nyimbo na video. Good job to Zaylissa too
Mapenz yanaumiza sana,😞jibu ni kukimbia,,lia ukiwa mbali na mtu anaekuumiza,,itachukua muda ila ipo siku utamsahau tu na utajua ulifanya maamuz yaliyosahihi 👏😔(bado yupo moyon mwangu na nampenda ❤ila its too late siwez kuwa nae)
Pole sana
You will be fine
Big up kwa master j umecheza sana hii video sijawai kutoa comments kwenye nyimbo yoyote ila Leo imenilazimu nitoe sifa rapcha unaandika sana bro p funk ajakosea kukusain bongo record 💥💥
Hii inanikumbusha said wa mwanza aliye mpigia mke wake more than 40 missed call akasema alkuwa kwamama akamshuti the same story km hii big up sana Rapcha
Naomba like ZA vannila kutoka king's music aap
Master J kumbe ni mtu loyal tu
Hv master j ashajigundua ana kipaj cha kuigiza au bado
hii imafanan na ile stori ya mwanza . fulle respect from Chamazi,Dar es salaam🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎉🎉
Kweli
ndio
Vanillah umeua mzee colas Kali san
Asante kwa huu mziki umetuletea story ya kweli ya yule kijana wa mwanza na demu wake aliyekuta missed call zaidi ya 30 asante umetukumbusha mwanza na umetukumbusha salma r.i.p kwao
Master J is a good character inabi afanye filamu moja classic na mi niwemo
Tunaoangalia Mara kwa Mara ihi video gonga likes hapa❤❤
Anaitwa rapcha mchizi kutoka shi town......ngoma zake continuable......hazichoshi kusikiliza......salute senior
Master Jay is the good actor. Nimemkubali asilimia zotreee. Bg up sn
Huwa mnaesma ngoma tuh! Hii ni bonge kiukweli❤❤ hayaaaah nupeni likes basi
Vannilah hajaangusha pia...Mia kwa Mia kila sehemu...audio video..lyrical
Ngoma ni kali kama mpaka master kakubali kumsaport dogo🔥🔥🔥
True story of my life ooooohhhh 😭😭😭😭. Ni bora nifocus na pombe ni mpenzi wa kweli kwangu na pesa yangu tu
Mbali na kuujua mziki master J anajua na kuigiza very talented.
Alafu Vannila ni fundi sana aise.. Kings hapa waliangukia kifaa🎉
This song is poweful. there's a lot to learn from this. thanks Rapcha, vanillah and Master J for putting out such a masterpiece
Hivi ndivyomahusiano mengi yalivyo currently... Am sure Kuna some of us tuko missed call ya 50😂... Big up bro unatufunza through your songs
Vanilla may God bless u broo💯💯 💯💯 unyama mwingiii
Waaah nyimbo inafunzo sana watu waheshimiane na uaminifu uwepo
Dah ideas za hiv sjui zinatoka wap sijawah ona music full story af inaeleweka namna hii... dah 🔥
Mater J's Acting is going to cost peoples' jobs🔥
Jamani, ningekuwa nauwezo ningekupa ukongomani ili nikujivuniye wewe kwasana Rapcha..... Like zangu nyingi from🇨🇩✌️shabaki yako sana
Nimeamini kua master Jay ana vipaji vingi tutegemee akienda mbali sana kwenye kuigiza kama ataamua kua serious mchaga yule
Hii kaz ya rapcha n msuli sisimizi matokeo tembo daah yaan anatumia nguv kdogo alafu kaz n uhakika aseee big up bro rapcha
Huu wimbo ni simulizi ya yule kaka wa mwanza alie muuwa McEwen nayeye kujiuwa
Vanillah love from canada 🇨🇦
Hii si story ya kweli ya kaka said na swlha siku ya simba na yanga ngao ya jamii
Hii story sawa sawa na ile ya yule tajiri wa mwanza aliyemuua mke wake kisha nae akaenda ziwani kujiua
Hii story ni ya yule tajiri wa samaki wa Mwanza aliyemuua mkewe kisha nae akaenda kujiua ziwa victoria🎉
😂😂😂😂
Sahiii kabisa
Hakika
Ni story ya kweli.?
@@hafidhali5331 Ni story ya kweli kabisa ilitokeaga Mwanza
Feel the music,gonga like kama unamkubali Rapcha
Rapcha ni story teller mkali sana hajawah kutokea
Rapcha ni rapper mwe ye story nzuri na zinazogusa jamii. anatiririka nazo kwa style ya kipekee na wala hafoki. napenda styke yk.hata mtu mzima hii anasikiliza na kuelewa vyema.keep it up bro
Vanillah kauwa kwa kweli..
Ebhanae kumbe Hip hop si lazima ukamie kama ugomvi ni mpangilio tu wa sounds bonge la ngoma 🔥🔥🔥🔥
Huyo vanilla kanogesha wimbo
Yan naskliza zaidi ya Mara 10
Af watatoa tuzo zao waache ujumbe kma huu.....hiii kwang sio nyimbo t n darasa kabisa....kaz nzur sanaa kuanzia audio mpk video
Master piece 🙌 vanilla katisha sana namsikia Mario na vanny boy ndani ya sauti yake 🔥
Kwenye uhalisia master Jay umetisha sana kwenye hii video
rapcha mamae nataka kumaliza mb zang mimeliludia zaid ya mara 10
Mwamba nimemkubali kumbe uko vizuri ❤❤ nilikuwa kwenye sikufatilii saiv nakifuatilia sasa
Vanila mtu mbaya sana anajua kila ngoma
Dogo tukupe mauwa yako mapema sio sili kwa hii Ngoma umetisha sana
Jama hatumi nguvu.kama anafinya tonge to la ugali.RESPCT RAPCHA.
40 missed call, so poah ngoma kali sanaa naisikilizaga hii ngoma kwa kujirudia rapcha unaweza achana na izo zingne haziimbi bali n makelele ya jenereta
Everything amazing, master j 👏performance
I have never seen acting like this in tanzania master j umeua salute
Wanao sikiza hii ngoma na kusikia sauti ya vanny boi wapi like zake...😅
Based on true story tukio lilotokea mwanza.
RAPCHA IS GOOD WITH STORY TELLING RAP MPAKA BASI ASEEE
He is so good 🔥🔥
Master amefanya vitu vya kimaster San katuliaaa mnooo❤
Dooh watu wanagundua vipaji uzeeni,Master Jay katisha
This artist’s storytelling is next level. If you don’t understand the language, try Immersive Translate-it brings every word to life.
Yan hii nyimbo kuna tukio 2021 nafikiri or 2022 kuna kaka alifanya hivi huko mwanza na jina lamke lilikuwa hili salima umetisha mwamba
Napoona nyimbo kama hizi, naamini mziki bado unaishi!
Ngoma hii inaendana na kile kisa ambacho kilitokea kule mwanza 2022👍👍👍
Ukweli asie comment hapa atakuwa ni mchawi vers kali kideo kikali vanilla kolas kali nimeanza kukuheshim xx 🔥🔥🔥
Haya ndio maisha halisi yass wakezawatu wanaliwa san ukitumia hasira matokeo ndio hayo ujumbe mzr❤
Rapcha I'm your number one fan from Zambia 🇿🇲
Daah nmefurahi sanaa kumuona master
Vanillah maaamaezake huyu m mbwa anajua nyie😂😂🎉
wivu wa mapenzi/ na chanzo cha mambo mengi kweny jamii na zinaleta stress kubwa za maisha..Nyimbo nzuri/ video nzuri/ kaz kubwa director
Hii ngoma bora iwe ya ngoma bora ya mwaka 2023
Wangapi wanaisikiliza Tena hii Ngoma, 10 may 2024