Bando MC x Kontawa & Xouh - Segerea (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 11 жов 2023
- #NewMusic #bando #epicjourney #trending #newmusic
(C) Slide Digital
Bando MC Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/1kqop5
Audio Produced by @Jeydrama-wd4rl
Video Directed by #Billylenz
Written & Performed by Bando MC x Kontawa
Huu ni wimbo wa Hip Hop unaelezea na kufundisha kutokukata tamaa unapokuwa Gerezani, ni utunzi uliowakutanisha wakali wa mziki wa hip hop kutoka Tanzania.
Contact info:
EMAIL- bandomc0@gmail.com
INSTAGRAM: / bando_tz
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
PENGINE NIPENDE KUTANGULIZA SHUKRAN ZANGU ZA DHATI KWENU MASHABIKI ZANGU NYIE NDO MMEFANYA NIFIKE HAPA ✅✅✅
NA NYIE NDO MTAFANYA SEGEREA IKAFIKE NAMBA MOJA HAYA TWENDENI KAZI WANANGU
SEGEREA LINK
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.htmlsi=umEQQjiNUHGiMeIF
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.htmlsi=umEQQjiNUHGiMeIF
Kakaumetishaaaaaaa
@@BandoMC ❤ umetisha sana bro nakukubali nikiwa home shy town pande za ndala
Unyama bro ❤❤
Bando ni mnyama siku zote kama unamkubali piga hapa like 200 tufunge hiii kesi
Thanks fam
You such a looser man ,will you sell them likes ,we all like him that's why we here ,why do tanzanians fans tripping all day 😂💔
🎉
@@BandoMC thanks 🙏
Mwamba anajuaa
Kwamba Yesu hana haki kwenye utawala wa Pirato😂😂😂🙌🙌🤣🤣
Kama umemuona Ndaro na tx dura gonga like
Aiseee kaka Kwa tunzii sikuwez noumaaa sanaa umetshaaa respect my brother
Thanks
Umetisha sana bando mwaka huuuu ni wa moto kwako
🔥
Urafiki ambao utazidi TAKO na chupi
Umeskia hilooooo
Tawaaa chalii ya Boxer BadmaN pon dis mamae wao kina nani tusishike 1 on trending let's Go
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
Dah kwamba yesu alitembea na wanafunzi lakn hajafungwa😅😅😅😅
"Bongo ukitembea na mwanafunz unafungwa Ila yesu alitembea na wanafunz na hakufungwa". 🙌🙌🙌
Shule 😂😂😂
Kontawa Katisha mwingi hapo
😂😂😂😂
😂😂😂😂daaaa wasanii
Wajomba soon mnaenda kutishia hiphop ya Bongo keep it up 🔥💣
❤❤❤big up sana bando mix kontawa yesu alitembea na wanafunzi daaah😂😂😂😂
Masanja
Bando na kontawa wakishikana waneza leta chemestry flani ivi kali,wote wanyama sana,,,#segerea inaskika hapa kenya
Aaaaaah !!! Creativity ya hali ya juu!!!!! Jela unaingia ukiwa mwanaume ukitoka umesha left group 😂😂😂 Wajanja tushaelewa Much more love from 254🇰🇪
😂😂😂😂😂😂255
My name is Kontawa 🔥🔥🔥 huyu bando ni risasi
Umeendelea kutisha shytown boy❤
Sana
Kama umekubali ngoma bando mc ft kontawa usipo nipa like zangu basi mnazinguwa
Ayee
Sege dasii
Its a great day.Toka kwa Mr Nay,tunalandi humu I say.Ahsante
Kinoma
Kwenye hip hop saiv huwezi muacha bando
Nime hakiki hi ndio nyimbo bora ya hiphpo mwaka jana na mwaka huuu..
But nasikitishwa kuziliwa katika taifa lisilo na sikio la mziki mzur....endapo hii nyimbo iinge imbwa na wamrekani basi ingekuwa na tuzo zaid ya 1000..
Tishaaaa saan oyaaa ni nomaaq
😂😂
Unyama ndugu yangu ujawahi kuwa na kazi mbovu
Uyu jamaa ni very creativity kila ideal so good big up bro
Thanka
Never dissapoint NDARO, TXDULLAH, KONTAWA, BANDO + XHOUR Greatest collable
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.htmlsi=umEQQjiNUHGiMeIF
Anjaua atar
Afande Ndaro katisha😂😂😂
nakubali sana ngoma
Bando aachanwe naye kashindikana huyu🔥🔥
Saiv tunaenda on trending no 1
17
Oya weeeee ✊✊
🔥
Kumbe ni video kabisa bando keep it up
Kaja kivingine🔥
Sege kwa sege
Segw
Tuendelee kufukuzia ❤❤❤❤ mpaka tufike namba 1
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
Goma zuri ila muwape rostam maua yao ju goma mtindo yani kila kitu chatoka kwao vile much love from Kenya 🇰🇪
Naam
Hao ndio ndugu zetu wakati wa shida awakujui na wakati wa mavuno yako wao ndio wakulima wa mbele kujufanya wanakubebea mavuno😎..... 📌Usiposikiliza wimbo kwa umakini autauelewa BANDO kaimba Nini na utaona nyimbo ndogo Sana lakn this Song is Big 💥👐👐👐📌
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.htmlsi=umEQQjiNUHGiMeIF
Bando ❤❤❤
@@harunageorge1039 💥💥💥
Hao ndio binadamu
Tunamkubl huy ni mwambaaa
Kabsa
Hii ngoma ni nzuri sana
Sana
Goma ni #segerea unyanwez mwing 🔥🔥🔥🔥
Unyama
Umekaa zako Hauna hili wala Lile Mara paap Unabambikiwa Kesi Unakamatwa Unatiwa Mbaroni Haujakaa sawa Hukumu mahakamani Mara Unatupwa #segerea😢😢
KIDKIS
Umetisha sana broo hii ngoma ni kali sana yan umekuja tofauti sana na mashabiki zako tulivyo kuzoea hii ni suprize kwa mashabiki zako love so much broo bando hii ngoma kali sana broo umetisha sanaaaaaaaaaaaaa broo kazi nzuri let's goooooooo
Unyama
Harmtariii yaani✊✊
Wey nom brh naomba korabo gutoka burundi na bug fizzo
Unyamaaaaa mwingi goma tunalingojeaaaa🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aye
Aseh hii ngoma aki ya mom akuna yesu mwenye haki mble ya utawala wa pilato
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
Kama ume appreciate hii segerea nipe likes zangu hata 500❤
Hingoma ya bando segelea imenifuza mengisana 😊😅😮😢🎉
Shai Town boy ❤
Ukiona Mtu anaoga Ujue anaoga matusi...Naombeni like zenu jamn😢
Usikonde
Kuna maniga waliingia malijali. Wametoka wameleft group. Kontawa baba umeua yesu alitembea na wanafunzi na akufungwa🫡🫡🫡
Kabsa
Kama.kweli ww shabiki wa bando ngoja like hapaaa
Ewaa
Ewaa
Segerea
Arusha
@@BandoMC kisongo
Hapo kwa jela tumeumbiwa watu......
Bando unajua sanaaa mwanangu sir god aziid kukupa pumzi🎉
Nane
from kenya nipewe likes za bando🍾🍾🍾
❤️🔥📱
Fire kabisa, ww ni hazina iliyojificha. Ipo siku watakuelewa tu . Keep it up! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥but KONTAWA you're Genius mzeeee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
@@BandoMC damu yangu mchiz toka shy town mwanao toka kitangili shy segerea lazima itimbe no moja
😂😂😂
@@BandoMC kabisa blood 🤞, mioyo yetu bado inaamini kwenye ushindi bila kujali ni chini kiasi gani tu lipo sasa!!
Noma
Oyaaa bonge LA ngoma kubwa sana hii kwako na kwetu
Scaaa
fireee🎉🎉
Firewe
Tunawasubiri 🔥
Noma
Big up fam🔥🔥🔥🔥
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
🔥 🔥 🔥
Mastepiece🎉
watu au mashabiki wanapenda mtu ambae ni msikivu na mtoa mafundisho kwa people wote na kueleweka sisi tuseme wew ndo mwalimu wetu ambae kila siku unatufumbua mambo mengi kupitia nyimbo zako hatuna budi kuku sport na wew tutakua hatujakutendea haki...
Ayee
Sawa kaka hii🔥🔥🔥🙌🙌
Ewaa
Tunasubiri song la Taifa😂😂😂😂
Umekaa zako Hauna hili wala Lile Mara paap Unabambikiwa Kesi Unakamatwa Unatiwa Mbaroni Haujakaa sawa Hukumu mahakamani Mara Unatupwa #segerea😢😢
Tayali unaenda kuishi Segedance bila kosa asee🙌🙌
Motishaa na maishaa mbaka kufukaa juu bandoo nina believes ipo siku nitakufikia kuwani uña nipaa motishaa Tena kontwa kanipaa verse Khali ,🌹🌹🌹👑👑👑👑
Asante sana
Mtukakabwa na Tonge arafuanasingizia masera contawa 🔥
Ayee
I love the unity Tanzanians have all my favourites wako hapa tx Ndaro Kontawa bando❤❤❤
💯
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
😂
Ndaro bhana😂😂😂
Ndaro miyeyusho sana
Never Dissapoint Guys Kam Mnakubal Hili Goma Ni Kali Weka Likes Hapa Jamanii
Unyamaaa
Hataree
Tawa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaua
Vitu alivyoimba kontawa Kwenye hii nyimbo 90% havina maana kabisa...daaah
Best collabo🔥🔥🔥
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
Twendeni ontrending....🎉
Chap kidgo
Kaka
Oya we ngoma limetisha hili wote humu ndani salt kwao🫡🫡🫡🫡
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
Nakuona mbali sana content imeshiba nyimbo kali sana
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
🔥🔥🔥
Nom
🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️
Unyama
Unyama
Ngoma kali sana
🎉🎉 hii itafika mbalii sanaa
Nyimbo ya Taifa 🔥🔥🔥#Bando family
Jela jaman
Nyimbo kubwaaa
Nyimbo kubwaaa
FAMILIA🔥🙌
My g
Bro wewe unaweza 😢🙌🏽🙌🏽🙌🏽
hii ngoma sijui 2 mmgempa pin na #maarifa ni moto saana Naqbar wazazi
Bando🔥🔥🔥🔥🔥
Noma
Never disappoints my bloody hujawah kosea kwa sektaa hii love from Kenya
Kali
👊👊
❤😮
Kali sana hii
Duhhhh oyaaaaa kama umeniimbia mimi
Ayee
Kontawa is another level
Ewaa
Ewaa
❤❤❤Bando ma home boi ,appreciate Ninja,Kontawa kipaji hikijifichi
Asant snaa
Waoo good song wote mmeandika mistari mizuri verse na melod zimetulia sauti poa sana mmetisha sana ujumbe mzuri sana ipo ndani ya ngoma mmeonyesha kweli sanaa ni kioo cha jamii
Sumu
Yesu alitembea na wanafunzi alifungwa bana, yalisema mpeleken kwa pilato 🔥🔥🔥🔥kontawa nakubali
Kaua
Sana kaka
Never disappoints 😊❤❤❤Big up Bando Tz 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nomaaa
Uyu ni noma
Anatisha
💥🔥🔥🔥💥 another hit💪
Bando Mc
✊✊✊
Segerees🙌 mmeua kinyama kaka zangu
Ayee
Imeenda
10 bora🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Naan
Segerea💥🔥🙌
Yamoto
Ayeeeh!
go, go, brother, open the way for us, your little ones
Soon ontrending
Papa we we ni noma nimerudia iih ngoma mara ya tano now kaka keep fighting I love your work❤❤
Hii ni combination ya marapa wangu vipenzi so naenjoy tu ❤❤❤❤❤❤❤
User
@@BandoMC by zacky flavour
Bro Bando, tunamalizia kulichonga Sanamu lako huku❤❤🔥💯🔥💯🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯 🥰🥰
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
ua-cam.com/video/02mCy4_38IQ/v-deo.html
Kabisaaa😂😂😂
Good song 🔥🔥💥
❤❤❤❤
🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Kaka wewe unajua sana tena sanaaaaaaaaaaaa 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🎉🎉
Kaua
Nyimbo moja yenye ujumbeee mkali🙌
Ewaa
Nyanda liyanda on this one 🎉🎉
Segerea yamoto mno
Hatariii