Depression is real tumekunywa tukapingana tukakosana na family just bcoz of love bora pekee yangu kama unakubali nipe like😢😢😢😢
Mimi wa kwanza naombeni like zenuu hapaa❤❤🎉
Yaani jmn nakuombea utoboe🙌🙌. Kila nyimbo unayotoa inanigusa. Endelea hivyo hivyo. Kuna watu wengi wanakusikiliza. Hata kama hawacomment Wala ku like. Wewe jua Kuna mtu mahali amekaa anasikiliza nyimbo zako. Naamini one day utachomoa. Keep it Up. Never LOOSE 🙏
Centano mwana kilwa unajua Sana mpaka unaboa,unaandika Sana tatizo nyota ,naomba like tuliyo ikubali Ngoma hii👊👊👊👊
Nime post hii song kwenye status yangu mamangu akaniomba full song Wallah❤❤
Welcome bro ❤❤❤❤ likes kwa mama zetu🙏🙏
Kuna wengine watapuuzia huu ujumbe ila hongera zidisha mapenz kwa mama
Nadedicate moyo kwenye hustle mama aniombea mungu aniona wanapolala sisi tuko macho haya machungu ipo siku yatapona😭😭IPO SIKU
Usijal Centano harmonize anafanya kaz na ww soon naamini hvyo na utafikisha 39m viewers for the first time
duuh hakika kaka wimbo umetulia una maneno mazuri ya kunifanya nijikubali na kujiamini kua kupitia Mungu na maombi ya mama yangu nitatoboa hata pasipo hao marafiki pasipo hata mwanamke niliempenda na kunisaliti kisa kiwango changu hakijawa Cha juu kazi nzuri sana kaka Mungu akulinde
Kila la kher kwenye nyimbo zako mungu akusaidy tuu❤❤❤❤❤
Daaah sitasahau huu wimbo umeniliza sana nipo ktk wakt mgum sana mwanaume nilie mwamini nikampa pesa zangu za mirathi asimamie ujenzi kanifanyia ushenzi wanaume nyie apana sijui mpendwe vip milion 11 ananiambia amepoteza anatoka bank kweli😢😢😢😮😢😮😮😮
Pole sna dada tatizo unapenda sana ,unajali sana ....🎼🎶🎵🎵Bora peke yako 😂😂✌🏿🇺🇬
Wote ambao yashawai kuwatokea kumbuka kwamba sumu kwako ni dawa kwa mwingine kama huthaminiwi ulipo kwingine watona ubora na umuhimu wako kuwa duniani hivyo kuna yule atakae kupokea na kukupa vyote ulivyovikosa awali. Naomba mwenyezi mungu akurudishie miaka yote iliyoliwa na nzige😢
It's like you sung for me my situation every day 😢😢😢
Dah naandika kwa hisia sana, Mungu akubariki kijana, unajua sana tena sana. Kiufupi unajua, unaweza na kila kitu upo perfect kwenye nyimbo zako nyingi. Endelea kupambana, ipo day. Jaribu kutafuta collabo na wasanii wa juu kidogo ili wakuongezee umaarufu ili uende mjini zaidi.
kazi safi ,ngoma yazungumzia kisa changu ,Mungu akuzidishie baraka bro
Brother ngoma Kali Sana pamoja sn kuimba unaweza saanaa toa ngoma nyingne tenaa🎉🎉🎉🎉
Kk wewe ni star mkali sana nipo Congo ila nafatiliya mistari yako nimitamu tena ina mengi mawaidha shukran sana big
It’s like you know exactly what I passed through and my decision now👏👏👏👌
This song I heard at TikTok ,and I decided to follow up here , o my God amazing song ❤❤,let's surport this boy
Yan hii ngoma inanipa nguvu. Sana kipindi hiki Nimefanya. Maamzi sahihi
I am from Zimbabwe and I don't understand the language but this song I repeat it every day
Fame nayo ni mzuri this song deserves 1M no wonder people sell themselves to the illuminate to gain connection hence fame
I don't know why this song is underated...it's 🔥 I love it 🤩❤
How , how did you know my life bro ?! Jama anaimba maisha yangu kabisa ehhh 🫡🇺🇬👏
Flying Kenyan ❤
The song is hit 100/100 minus nothing 😊
Jah aendelee kukubless Kuna uhalisia flan hv wa maisha tunayoishi broh
daah tumekuwa na marafiki wanafiki ukiwa nacho wanakuja usipo kuwa nacho hawaonekan bora peke yangu na mungu juu
We na ni mcute ❤❤❤
Ama hakuna mwenye ameona kama mimi ndo naona vibaya
Bora Mungu. na marafika "wachache" mm Niko na marafiki wengi sana
Abarundi mukunda iyi ndirimbo Shaw love here🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nyimbo nzuri san Asante kwa wimbo huu bora nibaki peke yangu
Wow ❤❤ song,,imeenda shule kipaji kipo
Huu wimbo niliusikia kwenye bus, alooo kama unaniimba mimi wallah😢
Mzur sana uko vizur mana wimbo wako unagusa isia
Am really addicted to this dope sina chki sina wivu 🎶🎵🎼bola peke yangu🎼🎼✌🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏✌🏿
Damn…this is a serious piece !the message,the melody the flow…much love from254🇰🇪
Much Love from Botswana ❤🇧🇼
Umenikumbusha 2014 brother 🤜🤛 Bora peke yangu wimbo bora Duniani ❤
Bora peke yangu 😅😅😅, Love u so much & I'm pray for you ❤❤
I just love this song🇰🇪🇰🇪
Bro u are my favorite artist of all time....
Kaka unajua sana....niliposikiliza hii nyimbo imenifanya nijiskie hali flan ya kufarijika....
Keepit up bro❤...
Mimi watano nipe like zangu
Good song bro❤,inaeza kuwa poa ukifanya remix then kuwe n mse wa kurap😮jaribu mkenya ka papa jones the og uone vile itakua🎉
"Tatizo napenda sana najali napunguzaaa"😢
From kenya am sammy. Sure hii nyimbo iko juu sana
Am in love with this song even though I don't understand anything . Love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
I followed this song from TikTok so amazing ❤
Sending mu love from Zimbabwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah hii nyimbo napenda sana kuisikiliza enzii izoo nilivyokuwa depo ccp nilimwacha mpenz wangu dah nilivyo ludi ........
Ngoma yangu pendwa Sana haiwezi pita ck cjaickiliza❤❤❤❤
Hongera sana dogo kazi nzur, nlikuwa nmelewa nkajua Belle 9 ikabid niandike UA-cam Bora Peke Yangu ikaja peke yangu, sema fupi
From a Malawian,currently residing In South Africa,though I can't hear the Language,but deep down in my soul this song it gives me hope to not give up❤❤❤❤
From 🇰🇪 amazing song..
Much love from 🇰🇪
Am a ugandan but this song hits different 💕💕🥰🥰
My favorite song,,,guess what😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢🤷♂️💔
Support this guy because he can in reality 🙏🙏🙏
Good music from a good you.
Asante sana kwa muziki mzurii
Centano ngoma Kari Sanaa pamoja sanaaa🙏🙏
💪💪💪💪💪💪hiii nyimbo nilikuwa sijui kama ni yako kaka♥️♥️♥️♥️♥️
Kazi nzuri sana Tano
Bora pekeangu...
Nowadays there's no one who's better.
Depression almost finished me but this song reminded me to be myself ❤
Nipeni likes even if my cousin snitched to have my galfie 😂😂😂😂
unyama sana jamaa❤
Thanks for Good Music 🎶✍️🙏❤️ umenikumbusha maisha niliyoishi before na Kipenzi changu then akaniacha peke yangu daah tukiagana anaenda masomoni kumbe baadaya ya Masomo yake kampata Mwningine naww funga ndoa daah bro umenifnya niumie Sana ila nayakumbuka Maneno ya Mama angu ayanimaisha tu 💔😭😭😭
The lyrics were carefully written. What a beautiful song! Kazi safi sana
Respect my bro Munguakupe moyo wakuamini unachokifanya nakuonambali sana bro
Hongera sana kaka mungu ni mwema utafika mbali much respect
Kaka unajua sana sizana kama kuna mtu ayeimba kaka wewe kaka big apu sana kiujimla mm umenigusa san jimbo acha liende tena sanaa
Another kind of bongo version💯
From Norway i like your song i play music for every night and day is my favourite song thanks for everything brother ❤❤❤❤❤
i really like the vibes in your songs Omary coz they are educative...they bring out lessons in them😘🥰😇💫💥👊👊👍👍continue with the trend man
CENTANO....Much respect bro,unapatikana wapi? I have just been hearing your good songs,unajua sana endelea kukaza .
Anaimba ukweli. Wanakafiki wanaojifanya watu waukweli!
*Na dedicate moyo kwenye hustle*
*Mama ananiombea na mungu ananiona* 🤲🏿that part
I love this song plus the video everything is so amazing🎉❤
Hii ndio life yenye nimepitia hadi karibu ni give up.but i chose myself over everything.asante kaka
It’s like you knew exactly what I passed through and also my decision now. I love this song ❤❤❤. Good job👏👏👏👌
Na_dedicate moyo kwenye hustle, mama ananiombea na Mungu ananiona ❤❤❤❤❤❤
"The music lives forever "🎧☺️ 👏👏👏👏👏👏👏 Centanoboy hit song forever
Centano anajua kuimba cz anabadilika tatizo Tanzania mpk nyimbo zitambe mpk nyuma ya Pazia uwe na watu
Much love from zambia 🇿🇲
Listening on this from Namibia 🇳🇦💪🏽💯nice beats.
Am from Tiktok
Wanangu wenzangu wa Kenya Tum support kaka yetu hapa🎉 huyu kaka kama mimh mkenya hapewe Mau yake
Song kali sna broo
Keep up your good work Allah will rise up you🙏
Sent tano nimxanii anayeimba nyimbo zinazokubaliwa m mojawawapo broo pongezi nakukubalixana
Direct from tiktok gather here
wimbo mzuri sana congratulation mdg Wang
❤❤❤❤
I nyimbo ungemshirikisha mwana hip-hop mmoja akapita ingependeza sana
Nimefika na uku
This is a great song very inspirational I like it 🤩💥💥💥🔥🔥
KARIBU SANA 🥰🥰🥰
Kaka unaimbaa vizuri sana tena maneno yaa maanaa sanaa
Asante Sana 🎉❤
Kaka dah nime amini mziki hisia hiii ngoma toka asubuhi naiskiliza imenitachi sana 🎉🎉🎉sema kaka naomba mawasiliano yako kwa ajili ya kazi mi rapar from mbeya pigobaya
Bora pekee yanguuuu
Bro piga remex na belle9