MREMBO ANAYEKULA MENDE AFUNGUKA - "NIMEAGIZA GARI SABABU YA BIASHARA YA MENDE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2021
  • MREMBO ANAYEKULA MENDE AFUNGUKA - "NIMEAGIZA GARI SABABU YA BIASHARA YA MENDE"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 40

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 роки тому +7

    Dada mchafu huyu mende huku wanaishi kwenye mashimo ya maji machafu

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 роки тому

    Congrats lady!👏

  • @annnyakio7231
    @annnyakio7231 2 роки тому

    Ann from Dubai

  • @robertomadeje2129
    @robertomadeje2129 2 роки тому +3

    Nimeboreka ww kusema umeagza gar na uko na chumba kimoja cha kupanga daaah 😂

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 2 роки тому +4

    Anautafuta ustaa kwakula wadudu wa ovyo 😏😏

  • @wanjiramasau2887
    @wanjiramasau2887 2 роки тому

    Jongoo watam

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 2 роки тому +2

    Tafuta pesa mdg wangu chapa kazi

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 2 роки тому +4

    Safi sana mm nimekwelewa mdg wangu wa kufuga jmn sio wachafu anawatuza vizuli hao sio wa choni

  • @RAAJMELODY
    @RAAJMELODY 2 роки тому

    Mm BaDo nashangaa Mende kabsa

  • @amirikoshuma3039
    @amirikoshuma3039 2 роки тому +1

    Wala vya chooni mpoooooo

  • @fredmapunda
    @fredmapunda 2 роки тому

    Naitaji awo mende

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 2 роки тому +1

    Mende kama chakula hapana ila kama dawa tumekula wengi

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 роки тому +3

    Unaagiza gar wakat upo nyumba y kupanga Tena chumba kimoja

  • @cnm2976
    @cnm2976 2 роки тому

    Mchina?

  • @minahwachack9637
    @minahwachack9637 2 роки тому

    Jaman njo huku kwetu ni wengi adi wanakera

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 роки тому

    Mmhhhh

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 роки тому +1

    Ndugu yao wachina hao

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 2 роки тому +1

    Nahitaji kilo 5nazipataje jmn 🪳🪳

  • @khalidakambi390
    @khalidakambi390 2 роки тому

    Dada we umevaba ushapagaw hasa na hyo rangi rangi yko mchafu itakuwa we had nahs kinyaa

  • @robbyzacharia9961
    @robbyzacharia9961 2 роки тому +1

    Mende jamani khaa Dunia yetu ina mambo hiii sijawahi kuona mimi

  • @irakoze5268
    @irakoze5268 2 роки тому

    Uyu mwanamke ni shetani sio bure daah

  • @evewinny5798
    @evewinny5798 2 роки тому

    Dhu!

  • @kaumokaumop8131
    @kaumokaumop8131 2 роки тому

    Mh! Hiikalikuliko.

  • @lucybakari8335
    @lucybakari8335 2 роки тому +1

    Haki yamungu me nyumbani kwangu nna mende htr Wana nisumbua Sana Kama anaitaji aje achukue me siwataki kbsaaaaaaaaaaa

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 роки тому

      Mbegu hiyo ntakujaa kuchukua niaze kufuga iseee eti kaagiza garri kwa biashara ya mende siungo huo ghaa

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 роки тому

    Jini huyu mwanamke

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 2 роки тому

    Mende zinapesa usiombe 😂

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 роки тому

    Niliwaleta huku majuu kutoka bongo walijificha kwenye begi yaani hata kuwaua nilisikia kinyaa tena wale mende wadogo nikapiga simu kwenye shirika la kuua wadudu wakaja kupulizia dawa ndiyo wakaisha wote

  • @monicamwanjisi693
    @monicamwanjisi693 2 роки тому +2

    We mtangazaji KUWA mstaarabu kwani wanaopata laki saba NI walimu tu,kama ungesema mshahara wa mtumishi ungepungukiwa nini? Walimu tuna mishahara mikubwa tu kuliko unavyofikiria mfyuuuuuuu

  • @aishaseleman9334
    @aishaseleman9334 2 роки тому

    Muongo uyo

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi5048 2 роки тому

    Aje na huku zanzibar aonane na mm mana dukan kwang wananikera na kuniharibia mashine zang za photo coppy

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 роки тому +1

    Sijaelewa hao nyuma ni walinzi au?

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 роки тому

      Chawa haoo 🤣🤣

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 роки тому

      @@aminakipande5645 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @annnyakio7231
    @annnyakio7231 2 роки тому +2

    Ooo my God all is is looking money 🤮🙄🙄🙄

  • @samirbazaar2290
    @samirbazaar2290 2 роки тому

    Uchafu tu huo