UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 590

  • @NaitwaChongx
    @NaitwaChongx 2 роки тому +15

    Umeachwa wee Umeachwa..KUBALI KUBALI utampta wako mtapendana kwa dhati😂😂😂 Brother JOEL 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @isacknguvumali3445
    @isacknguvumali3445 2 роки тому +104

    Hii ilinikuta brother nilicho kifanya ni kufuta namba yake ya simu lkn pia hata yeye nili mwambia kama kweli ana niheshimu afute namba yang.Nashukur alifanya hivyo na hajawahi knitafta tena na nimeoa tayari.

  • @zaituniluboge8897
    @zaituniluboge8897 2 роки тому +7

    Uko sahihi Joel Ila nashukuru kufatilia video zako nimekua nikimove on ,,,,,,,asante kakka joel mungu akutie nguvu na pumz ndefu kaka

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +28

    Ahsante sana 😍Alfu kaka Uje kutu fundisha na, afya! Ya akili 🤦‍♀️maana ai wezekena' umpend mtu wakati 'Yeye a kupenda!??? 💔

    • @immanuelmwaipopo1605
      @immanuelmwaipopo1605 2 роки тому +1

      Kupenda sio jambo la akili

    • @bahatimallya32
      @bahatimallya32 2 роки тому +1

      Umenikumbusha kitu kweli kuna sababu kubwa sana ya kuitibu akili kila mtu ana sitaili yake ya ukichaa kwahiyo hilo somo lije maana atujielewi

    • @abdulyshabany8502
      @abdulyshabany8502 Рік тому +1

      Jaman mm Kuna kaka nampenda nimemueleza lkn naona Kam vile bd hajanielewa nfanyaj

    • @sarahsaimon4095
      @sarahsaimon4095 Рік тому

      ​@@abdulyshabany8502 Huyo akupendi alf unakubali vp ww kumweleza hisia zako wakati ni mwanamke?. Eeeb acha utampata wako tu. Huko nikujipunguzia thaman km mwanamke.

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 Рік тому

      ​@@sarahsaimon4095👀

  • @angasyegemwampulo2761
    @angasyegemwampulo2761 2 роки тому +10

    Nilikua na msongo wa mawazo hususani juu ya mada hii ya mahusiano lkn baada ya somo hili akili yangu kunakitu imekitua hakinitesi tena

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 роки тому

      Be blessed with this song
      ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html

  • @AnneTanzania
    @AnneTanzania 4 дні тому +1

    Mwenye mapenzi ya kweli aje kwangu am single hayo mambo yanatesa sana ,natafuta wa kuwa nae .mtu aliyepevuka akili

  • @patrickmathias9452
    @patrickmathias9452 2 роки тому +2

    Asante sana Kaka mimi pia ni muanga na hilo kwa somo lako naamini nimepata tiba halisi ubarikikiwe sana

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 роки тому +10

    Kabisa hasa kupenda kwa sana asiekupenda ni ngumu sana!!

    • @sarahsaimon4095
      @sarahsaimon4095 Рік тому

      Yani sana, kumpata mtu akupende nikazi sana. Mungu atusamehe sana

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 Рік тому +3

    Unanisaidia sana Joel, Mwenyezi Mungu akubariki.Unatusaidia sana kwa hizi elimu.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 роки тому

    Mzee upendo sio hisia.....marekebisho tu! Watu wengi wanachanganya hisia na upendo....hisia hua zinabadirika kila dakika.....na hubadirishwa na vitu vingi ndani ya mwili...so upendo sio hisia, upendo ni nguvu inayotoka ndani ambayo hutokana na maamuzi. Asante

  • @doricejovinig
    @doricejovinig Рік тому

    Ahsante sana Kwa somo lako hakika unatuponya wengi, mimi ilinitokea alionekana kunipenda ila baada ya mda aliniacha nkawa siwez kumsahau ila baada ya kuchukua maamuzi nkamua kufuta Kila chake , ila bado yeye aninitafuta na aliniacha , iyo Hali najikuta namrudia Bado ananiumiza na me nampenda Bado , kaka angu ili limekuwa tatizo kubwa sana kwangu

  • @CatheMunuo
    @CatheMunuo 2 місяці тому

    Asante doct ukweli mie nimesota sana niliachwa na ujauzito mpka nimejifungua hakutaka mazoea na mimi kabisa lakin nilijitahidi kumpotezea mpka saiv ndo naenda nikipona mara nyingi apenda kuangalia muv na kusikiliza music,,,dah ila namtoto wake ila sijalii naiman na kwa somo lako hili nitazidi kumwona wa kawaida tu..

  • @zawadisadick4323
    @zawadisadick4323 2 роки тому +3

    Duh , yaani mahusiano yangu Mimi na mpenzi Wangu yalipo fikia mungu nishahidi jamani.

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 2 роки тому +5

    Ahsante sana. Umefanya nicheke kidogo, " si Kila anayefanya maziezi anajenga afya ya mwili" wengine wanajenga moyo.... Congraturation

  • @OmaryNyamcha
    @OmaryNyamcha 28 днів тому

    Kaka kiukweli nam nimiongon mwa watu wanaopitia changamoto hii ila kupitia dara lako kunakitu nimejifunza,asante pia mungu akujalie upeo wakuelendela kutoa masomo kama haya adhim

  • @khalidmawele2687
    @khalidmawele2687 2 роки тому

    Njia nyengine ambayo huwa inasaidia kwa kiasi kikubwa ni kutafuta mpenzi mwengine na uzuri zaidi baada ya kuwa naye ni vizuri umuelezee huyo mpenzi wako mpya hali ulikuwa ukipitia punde tu baada ya kuingia na yeye kwenye mahusiano ili ajuwe vipi akusaidie kuondoa stress ambazo umekuwa nazo. Ni njia nzuri sana na mie ni mmoja ya waliowahi kufanya hivyo

    • @Switielie
      @Switielie 6 місяців тому

      Hapana, usijaribu kujiponya kwa kuanzisha mahusiano mengine, kwanza hayatodumu hataaa

  • @HarunaHaruna-l9v
    @HarunaHaruna-l9v 2 місяці тому

    Kuna ki2 nimejifunza thanks brooh halki kama iyo ilisha nitokea nimejua namna ya kukabiliana nayo.

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 2 роки тому

    Kaka, Mungu akubariki huwa najifunza vitu vingi kikubwa zaidi huwa unatoa elimu ya kuonya,kushauri na kunibadilisha.be blessed.

  • @HariethNdunguru
    @HariethNdunguru 10 місяців тому +3

    Kwa kweli maumivu niliyonayo nataman kubadilisha no ya simu l😢😢😢

  • @Lifeofkafoi
    @Lifeofkafoi Рік тому

    Habari jaman, hapa brother Nanauka ameongelea pale unapompenda mtu lkn yeye hakupendi,
    sasa kinacho nikuta mm Kwa sasa ni tofauti na hilo, mm ninampenda mwanamke na nimesha mwambia ukweli siku kadhaa zilizopita, alinikataa akidai tayar Yupo na mahusiano, lkn bado ananitafuta tunaongelea maisha na kadhalika, nahisi pengine haniamini lkn najiuliza nifanye nn ... Naomben ushauri

  • @nasrakiango5097
    @nasrakiango5097 2 роки тому +2

    Asante kwa ushauri wako kaka Nanauka, sasa kama upo nae ndani unafanyaje? Tafadhali

  • @officialbenben9148
    @officialbenben9148 2 роки тому +4

    Umenifurahisha sana hapo kwenye kusikiliza muziki

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 2 роки тому +5

    Mungu Asimame nawe Uzidi kutujenga mana unamchango Mkubwa SANA Katika hii Dunia Kaka angu

  • @HamisRamadhan-v5e
    @HamisRamadhan-v5e Місяць тому

    Nakukubali sana kaka unatufundisha vyema mungu azidi kukujalia maarifa na maisha malefu.

  • @letionlengima6299
    @letionlengima6299 Рік тому

    Mungu akubariki sana mafundisho yako yananipa kupiga hatua moja zaidi

  • @kulwalufungulo626
    @kulwalufungulo626 2 роки тому

    Asante mwalimu, nashukuru kwa saa hii nakaa makini katika hili,nisimuumize na yeye asiniumize

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 роки тому

      Be blessed with this one
      ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html

  • @salumsaid8515
    @salumsaid8515 9 місяців тому

    Nimekuwa nikisikiliza sana nyimbo na pia kufuta no yake vile kufanya mazoezi ila mazingira bado yamekuwa changamoto cjui unanisaidiaje

  • @dalilamohammed4929
    @dalilamohammed4929 2 роки тому +1

    Napenda unavoelimisha kaka.yalinikuta hayo uliosema yote nimefanya hadi leo mwaka a tano.sijaweza kumsahau.

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 2 роки тому

      Kama hayo ya kisaikolojia yameshindikana tafuta msaada wa kiroho MUNGU aweza yote.

  • @halimaanab8393
    @halimaanab8393 2 роки тому

    Asanti Sana nimefurahi atah Niko karibu kumweka block Kali sana 😂, uzuri nafurahi Sana Mimi sijawahi weka mtu 💯 kwa roho , because itakuja kukusumbua , Mimi Sina stress Niko free stress siwezi jipa pressure, namwomba mwenyezi mungu , asanti Sana kaka Mimi mwenyewe Niko kufikiria hivyo unavvyo sema , asanti Sana nimefurahi umetufunza Sana shukran

  • @PrinceSamdinhoJr7
    @PrinceSamdinhoJr7 Місяць тому

    Mim nilikuwa na mwanamke mmoja mzuri tuu nilikuwa nasoma nae chuo na nilimsaidiya vitu vingi sana tena sana tu na kumpa ushauri maana alikuwa alishaanza kukata tamaaa na nikamtafutiya hadi na field na kuniambiya haya maneno TRUSTLY I REALIZE THAT THE ROMANTIC CONNECTION I INITIALLY FELT WITH YOU HAS FADED AWAY niliumiya sana na kuniambiya tena THANK YOU FOR EVERYTHING but mim nikamwambiya KUNA MAISHA BAADA YA CHUO 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @zubedahongoa2229
    @zubedahongoa2229 2 роки тому +1

    Mume wangu akifanya kosa hajui kuomba msamaha,anakosea yeye ukimuuliza kistaarabu yeye ndo anakuwa mkali,ananuna,hapo nimeona upendo hakuna kbs,nifanye nn pls nisaidie!!

    • @JONSTONEJOHN
      @JONSTONEJOHN 4 місяці тому

      MME,we mvumilie ipo siku yake atajuta makosa yake

  • @sulexseif1531
    @sulexseif1531 Рік тому

    Tatizo langu mimi kila siku namuona na haliepukiki mana nafanya nae kazi sijui hata nifanyaje

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 2 роки тому

    Nilifanya mazoezi sana na kiukweli nilikaa nae mbali sana na nilikata kabisakabisa mawasiliano.

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 Рік тому +1

    Niko na zawadi ya sm niko na nguo pia nifanyaje natamani hata kujiua maana bado nampenda sana nikavichome moto au nivigawe 😭

    • @LilianM-fn1xf
      @LilianM-fn1xf Рік тому

      Ukivichoma moto utajipatia laana ww kitu cha kufanya vigawanye Kwa wedzako tuu

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 3 місяці тому

      Pole sana ,mapenzi Yana umiza sana

  • @abdhemed5470
    @abdhemed5470 2 роки тому +1

    Mungu akupe Uhai Mrefuu

  • @jamesimakasi9712
    @jamesimakasi9712 2 роки тому +9

    Bro umenigusa sana leo kwenye nyimbo nimeimba sana mpaka nyimbo za kwaya nimepona kiasi ila sijamsahau hadi leo mwaka wa 7 licha ya kuwa mbali nae bado namkumbuka bro

    • @BGHaule
      @BGHaule 2 роки тому

      It's like me,kuna mtu bado sijameahau kwa kweli,nimeoa na ameolewa

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 2 роки тому

      @@BGHaule mmmh alikupa mapenz ambayo huyapati kwa ulienae nazan

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 2 роки тому

      Mwaka wa 7 usimsahau MTU looo James wajina LA babangu acha uongo MTU yupo mlishaachana kwani alikupatia mapenz ambayo hujawahi kuyapata lol

  • @tausisalum4052
    @tausisalum4052 2 роки тому +8

    Ahsante kaka Mungu akubariki sana, umenifundisha nimepata kitu kipya kwenye maisha uangu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому +1

      Ahsante kwa kushukuru Tausi

    • @sule5716
      @sule5716 2 роки тому

      @@joelnanauka nahitaji namba zako za whatssap maana nimetuma 5000 kwa kutaka ofa ya watoto Afrika )muamala ntakutumia whatssap nikipata nambazko

  • @chundwatobias6672
    @chundwatobias6672 2 роки тому

    Anayependa na mwanaume, mwanamke hana upendo mwanamke anatii.

  • @MichaelPaulo-i7m
    @MichaelPaulo-i7m 21 день тому

    Dawa ni kumtaka rafiki yake na kusaka mapene sanaa

  • @MponelaSambala
    @MponelaSambala 2 місяці тому

    Hata mm limepitia maumivu makali xnaaaa tumefunga hadi ndoa ila ndoa yetu mwaka haikutimiza mwezangu alibadilika ghafla nimebaki n mtoto namshukuru Mungu kwa kunisimamia ila ngumu kumsahau ila niweza kutoka kwenye jeraha la moyo

    • @NuruChande
      @NuruChande 2 місяці тому

      Utampata wa kufanana na ww inshallah n swala la muda tu!.utasahau😊❤

  • @abuhaydatomar8607
    @abuhaydatomar8607 2 роки тому

    Ubarikiwe kaka yangu nilipitia iyo changamoto, kwakweli ukovizuri bro anae kuponda ni chuki zake tu

  • @kizazijeur7518
    @kizazijeur7518 2 роки тому +2

    Doctor hilo somo limenigusa mwaka flan iv nilikua ilinikuta hiyo

  • @zahramohammed7939
    @zahramohammed7939 2 роки тому

    Daaah big up brother Sabrina kwakweli kwaheri acha niwapokehee wanao nipenda nakupenda saaana ila now way

  • @babuvan7884
    @babuvan7884 2 роки тому

    Mungu akubariki sana baba.
    Naitaji kuongea Na wewe in box plz.
    I'm from Burundi

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 2 роки тому

    Hili lijamaa linaakili Sana limesalitiwa huko likatengeneza somo

  • @PiliRama-iy7oj
    @PiliRama-iy7oj Рік тому

    Mimi Niko kwaiyo Hali nampenda anipendi nateseka sana

  • @hagaingabo3435
    @hagaingabo3435 2 роки тому

    Ubalikiwe kwa mafundisho yako yanani saidia

  • @DanielSegeru
    @DanielSegeru 8 місяців тому

    Bro unatusaidia sana watu wengi tunapitia hiyo hali

  • @raiyanmsawira132
    @raiyanmsawira132 2 роки тому +1

    Mashallah Elimu ni nzuri iliyoitoa

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 роки тому

      Be blessed with this song
      ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html

  • @StephanoManyanda
    @StephanoManyanda 3 місяці тому

    mabarikiwa sana na elim yako brother 🙏

  • @rishmaamadi2615
    @rishmaamadi2615 2 роки тому +1

    Nimekuelewa sana kaka na nakuelewa sana, hapo katika namba 3 hapo kwenye umbali kama mna watoto inakuwaje?

  • @godfreyjameskabogo9823
    @godfreyjameskabogo9823 Рік тому

    Hii imetokea kwangu mimi najitahidi sana kufuta picha zake kwenye simu yangu lakini bado nakutana naye kila mara inaumia sana

  • @OthmanThabitJuma
    @OthmanThabitJuma 8 днів тому

    Mm napitia huu mkasa mgumu

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 роки тому +5

    Daaaaah umenifurahisha kwelii ulivo imba Apooo🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🙌🙌🌹

  • @johansenmax4784
    @johansenmax4784 2 роки тому

    Ahsante mwalim Kwa mafundisho yako

  • @mwanashahussein6829
    @mwanashahussein6829 2 роки тому

    Nilitumia hii naleo nimejua kua nilichukua uamuzi mzuri

  • @anethdaiman2089
    @anethdaiman2089 2 роки тому +28

    Nimejikuta nakupenda napenda kufatilia darasa lako kwa sababa unauponya moyo wangu🙏Mungu akubariki

  • @FelistaMollel-x3j
    @FelistaMollel-x3j 10 місяців тому

    Nimepitia kwa ugumu sana lakini niliamua kukaa mbali yeye

  • @christianbaba9971
    @christianbaba9971 2 роки тому

    unapompenda mtu sio lazima na yeye akupende, Kipende unachopaya

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 2 роки тому +3

    Detachment katika ulimwengu wa leo ni somo Muhimu.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому

      Ni muhimu sana

    • @johnmligo6966
      @johnmligo6966 2 роки тому

      @@joelnanauka if u can develop detachment kama unavofanya!

  • @rahmasika8480
    @rahmasika8480 2 роки тому

    Asante kaka unazd kunipa ujasir

  • @antonyjrc5792
    @antonyjrc5792 2 роки тому

    Asee umenigusa sana Joel mung akubarik sana

  • @MoiseTetema-yt6tp
    @MoiseTetema-yt6tp Рік тому

    Unanisaidia sana sheikh

  • @naturalherbsandlife610
    @naturalherbsandlife610 2 роки тому

    Asante sana nami nilishawahi kupitia huko na njia niliyoitumia ni kuwa mbali nae kwa mawasiloano kwa maana niliblock kuanzia yeye hata familia yake na marafiki zake kwa kwl ilinisaidia sana na sasa nimesha msahau

  • @lilianamukoya7156
    @lilianamukoya7156 Рік тому

    Nmejufunza mno,,imenisaidia

  • @HappyDirtBike-ud7je
    @HappyDirtBike-ud7je 8 місяців тому

    Asant sana kwa somo zury joel

  • @GerigaJoram
    @GerigaJoram 6 місяців тому

    Respect kwa maneno yako

  • @adampartson1625
    @adampartson1625 2 роки тому

    Asante brook ubarikiwe

  • @shamhamood755
    @shamhamood755 2 роки тому +1

    Nape da sana your topics

  • @zainabozainaty6188
    @zainabozainaty6188 2 роки тому

    Naomba ushahuri niko na rafiki wakiume na sasa nimyaka 6 tangia tufahamiane kwa kweli sikuwahi kuwaza kama ipo siku ntakuja kumpenda ila cha kushangaza sasa ivi naanza kuhisi kumpenda nikiona anaongey na mwanamke mwingine na jihisi kua na wivu nikilala na muota yani izi siku hakuna kitu ninachafanya zaidi yakumuwaza yeye nimejaribu hata kuwa mbali naye ila bado hisia zinanipeleka kwake na mimi sitamani kua naye katika mausiano kwa kua tuliwekeyana mipaka ya wurafiki wetu na sijuwi nifanye nini natesaka kabisa😌😌.Mishawaka pls🙏🙏

    • @AlkebulansTV
      @AlkebulansTV 2 роки тому

      Mwambie ukweli ajue kuwa unampenda.👍👍👍

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 роки тому

    Hapo kwenye gosple n mimi kabisaa yaaan

  • @QueenMollel-sh8rx
    @QueenMollel-sh8rx 2 місяці тому

    Mungu hazidi kuwapa mafunuo kaka

  • @BibiClassic-rl2jo
    @BibiClassic-rl2jo 11 місяців тому

    Kweli kabisa ulivyoongea hata mm nimetoa mapema energy kwa mazoezi na kusikiliza music na kucheza inasafisha kbsa moyo
    Nimeona nataka kuwekeza hisia zangu sehemu isiyo sahihi

  • @sophiacharles9721
    @sophiacharles9721 2 роки тому

    na kweli ,ila inauma kumpenda mtu yeye hakupendi,ilishawahi nikuta ,nilibrock,nikatupa vitu vyake alivyonipa leo hii nona miez sita

  • @jabirjabir4652
    @jabirjabir4652 2 роки тому

    Kweli ndugu unamsamini mtu kumbe moyoake unafikiria kwengine ukishamjua mtu huyu ishi nae tuu kwakua ukoa nae pia mtoe moyoni mwako ili usonge mbele

  • @ebenezermassawe8342
    @ebenezermassawe8342 2 роки тому +1

    Asante kaka

  • @NotasMakoye
    @NotasMakoye Місяць тому

    Nakukubali kk joel kwa salisafa zako

  • @MillicentRiziki
    @MillicentRiziki 10 місяців тому

    Nkweli ishanitokea inaumiza moyo sana

  • @olivanooraladin5436
    @olivanooraladin5436 2 роки тому +1

    Hapo kwenye mziki ndio kwangu

  • @patricksame1738
    @patricksame1738 Рік тому

    naweza kuonana na wew boss

  • @fatumanassir3085
    @fatumanassir3085 2 роки тому

    Sasa kaka Mimi Niko nae mbali sana,but mwawasiliana yake yako chini sana....mpaka nashindwa na Mimi napenda sana

  • @chieffofofoodinternational4102
    @chieffofofoodinternational4102 2 місяці тому

    haya na sisi tulio zaa watoto nao mtihani

  • @salilamsigwa9425
    @salilamsigwa9425 2 роки тому

    Yan ni mm kabisa nilihama na kumurudishia zawad zake zote alizowahi kunipa na kujiondoa kwenye group ambalo nilijua nitamwona

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 2 роки тому

    Me nimejaribu sana kufuta namba zake lakini ikipita mda kidogo nazitafuta tena cz niliwah kumtumia pesa Mara kadhaa sasa details zake zote zimebaki kwangu na hazifutiki so kila nikiingia kwenye hio app Yang lazm nione no yake na Sitoweza kuacha Kumtext

  • @leticiamajogoro4729
    @leticiamajogoro4729 Рік тому

    Nilitumia njia site ila sikuwa ninajua kuwa ndizo njia sahihi

  • @ebenmziwanda9212
    @ebenmziwanda9212 Рік тому

    Somo zuri sana kaka nashukuru

  • @brendahtinyari236
    @brendahtinyari236 2 роки тому

    Mimi Niko na Bibi yangu ni na mupenda lakini yeye anipendi

  • @Albaareh
    @Albaareh Рік тому

    Big up kbs j. Nanauk

  • @issayacoub1724
    @issayacoub1724 Рік тому

    Ur so bright bro keep it up

  • @levifoto.
    @levifoto. 2 роки тому

    so great bro you teachs for really

  • @Janeth-w5n
    @Janeth-w5n Рік тому

    Mimi na watoto nae nashindwa nifanye je??

  • @everlynemirumbi2163
    @everlynemirumbi2163 2 роки тому

    Nimejivunza sana

  • @NellyYuda-ev5ts
    @NellyYuda-ev5ts Рік тому

    Mimi nimeolewa nafanyaje hapo?

  • @jonathanvalentine9188
    @jonathanvalentine9188 2 роки тому

    Asant sana kaka nimekuelewa vizuri

  • @emmygoleho2191
    @emmygoleho2191 2 роки тому +1

    God give you long life

  • @levifoto.
    @levifoto. 2 роки тому +1

    You so great

  • @TrizahBhoke
    @TrizahBhoke 10 місяців тому

    Be blessed 🙏 kakangu

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Рік тому

    Kama umezaa nae itakuwaje

  • @venancechristian238
    @venancechristian238 2 роки тому +2

    Nimefanya almost kila kitu hapo,ila bado hatoki kichwani

  • @gracemhaya3707
    @gracemhaya3707 2 роки тому

    Iyo njia ya 2 nimeitumia Mara nyingi zaidi lakini mmmm Kusahau Ni ngumu