EXCLUSIVE: MAMA ANAEFUGA MENDE NA KUWAPIKA KISHA KUWALA "MMOJA NAUZA Tsh.1000, WATAMU SANA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 чер 2022

КОМЕНТАРІ • 92

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 роки тому +4

    Hata kama ni chuo cha MENDE UNIVERSITY KULA MWENYEWE

  • @edmundbuberwa153
    @edmundbuberwa153 Рік тому

    Mama, hongera kwa kazi. Ninaomba tuwasiliane nipate elimu hiyo. Asante

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 роки тому +2

    Weka mawasiliano, tuanze kufuga mende,tule mende kwa afya zetu.

  • @mahmoudmohad1278
    @mahmoudmohad1278 2 роки тому +3

    Mende ni mende awe wakufugwa au wa chooni hmm! Siwezi kula

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому

      Tanzania itasapoti huu ujinga na maradhi karibuni yatakuja Allah awahifadh wenye imani wasikaribie kula uchafu huu n

  • @mutetikadere1402
    @mutetikadere1402 2 роки тому

    Maajabu sana

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 2 роки тому +7

    Hivi nyie watz mbana wajinga hivyo? Hapo ni kwasababu mtanzania ndo anafuga ndo maana mnatoa maneno ya karaha, mbona mmeletewa mikuku ya maabara isiyopandwa na jogoo na mnafakamia? Acheni ushamba bwana.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому

      Umesema kuku sio mende na ww unasapoti inamana baada miaka kazaa watu wakianza kugonjwa mtasema wazungu wamewaletea maradhi kumbe mimende mnaokula mnaiga wachina sasa wakati mungu katubariki Tanzania kuna kila aina ya wanyama wakula eti mnakula mende si ujinga huo yakitokea maradhi utarudi kwenye comment yng kuikumbuka.

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 2 роки тому

    kazi iendelee

  • @petriciajohn1245
    @petriciajohn1245 2 роки тому +1

    Hahaaa mama mende anasisitiza uwii

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 2 роки тому

    Mungu amekushukia kwa mende😌😌hii dunia imefikia kikomo

  • @carolineotieno8154
    @carolineotieno8154 2 роки тому

    Jamani soko la mende inapatikana wapi ndio nianze niko 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sumayafissoo2192
    @sumayafissoo2192 2 роки тому

    Suphanallah siwezi kula

  • @mutetikadere1402
    @mutetikadere1402 2 роки тому +1

    Cijawi jua ikiwa mendes wanaliwa

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 2 роки тому +1

    Mmm mwisho mtatuletea.magonjwa.ya ajabu no.kweli

  • @pendoyese4452
    @pendoyese4452 2 роки тому +1

    Uwiiiii jamani anawala duu

  • @Farismabeauty
    @Farismabeauty Рік тому

    Wanaokula senene na kumbikumbi.........ata mende mnaweza kula bhana

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 роки тому +1

    Daah kweli Aisee hata appearance ya bi mkubwa inaonekana ilivyokuwa na nuru

  • @MisosimitamuC
    @MisosimitamuC 2 роки тому

    Mama katisha.

  • @Zahrazahra-ue7bp
    @Zahrazahra-ue7bp Рік тому

    Wewe mama nitakutafuta inshaallah

  • @wilsonemanuel9915
    @wilsonemanuel9915 2 роки тому +1

    Endelea mama Usisikilize ya watu Mama mm nataka kufunga Utanipa soko

  • @johntibeyemera3865
    @johntibeyemera3865 Рік тому

    Namba yako mama

  • @DpN-rk8xz
    @DpN-rk8xz 5 місяців тому

    No simu ya mama

  • @isamony58
    @isamony58 2 роки тому +2

    kwani wanyama wakufuga hawapo jamani

  • @Zahrazahra-ue7bp
    @Zahrazahra-ue7bp Рік тому

    Yupo morogoro seem gani

  • @zenjigreen5491
    @zenjigreen5491 2 роки тому +1

    Kila mtu na mtazamo wake.
    Hayaingii akilini hata kidogo

  • @GULF444
    @GULF444 2 роки тому

    Apo sipo mm.ata unipe bure shikamoo mama mende

  • @iladaharuna2533
    @iladaharuna2533 2 роки тому

    Mbegu umempata.wapi?

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 2 роки тому

    Tutaona mengi wallah

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 2 роки тому

    Mmmmmh kwako siwezi kula nisije hara🤣🤣🤣

  • @johntibeyemera3865
    @johntibeyemera3865 Рік тому

    Nahitaji mbegu ya mende napataje niko Kigoma

  • @mbwembwetvsaficomedy8246
    @mbwembwetvsaficomedy8246 Рік тому

    Mchawi

  • @Manoatzofficial
    @Manoatzofficial 4 місяці тому

    Kwaajili ya ela cyo nile

  • @sadmahossein9030
    @sadmahossein9030 2 роки тому +1

    Mama huo mwanzo ila soko likinoga mpka Wa chooni watauzwa masokoni waafrika htuna dogo.

  • @evancekimath7405
    @evancekimath7405 Рік тому

    Inatia hamasa daah.....!!

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому

    Ila wanavitamen. Mana hata paka 🐱 akiwa anakula mende ananenepa vizuri paka 🐈

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому

    MMMMH
    WACHINA KUMBE TUPO NAO !!!!

  • @hejopantumsifusimon21
    @hejopantumsifusimon21 2 роки тому

    mh m naua mende.nikimuon namuua stak at kumuona mende mimi

  • @agapepalangyo4316
    @agapepalangyo4316 2 роки тому

    Solo lake liko wapi? Yap wanaonunua mbegu baadaye watauza wapi?

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 2 роки тому

    Is she normal ?l can't eat cocroch, naweza fuga ni uze but siwezi kula.

  • @nelsonjonathan7660
    @nelsonjonathan7660 2 роки тому

    Kadiri ninavyoishi nazidi kuona mengi😂😂😂😂ule msemo wa kua uyaone ndo nayaona sasa haya mama kazi iendelee

  • @skynerabdulkadir6098
    @skynerabdulkadir6098 2 роки тому +3

    🤮🤮🤮🤮 unikome wee mama mende!!

    • @user-le9lb8oc8d
      @user-le9lb8oc8d 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣tena akome na uchafu wake cjui likabila gn nyoooooo

    • @skynerabdulkadir6098
      @skynerabdulkadir6098 2 роки тому

      @@user-le9lb8oc8d yaani dah!mijitu mingine sijui ipo vp...hata kama sio kwa fursa hiyo.

    • @firdausqutty2067
      @firdausqutty2067 2 роки тому

      Nikienda kwake hta maji sinywi

  • @abdufatuma9420
    @abdufatuma9420 2 роки тому

    Mmh ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni. Kuishi kwingi ni kuona mengi.. "kuweni muyaone" hayaa ya TZ ndio hayo ya Mende, ya kenya (wajackoyah) atatufugisha nyoka.!!!!! Tuendeleeni kuishii!!!!🤔

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому

    Na inaonesha ukitoka kijasho cha kwapa hapakaliki mana hao mende wana kikupuu cha ajabu

  • @prankandcomedytv8705
    @prankandcomedytv8705 2 роки тому

    Hila huyu Mama nimupambanaji kabisa.Mende kanenepa pia safi.apa anatumia pesa na usihisi nimchezo.

  • @missmwemba6094
    @missmwemba6094 2 роки тому

    Mimi nataka mbegu nifuge mama mende yakaa Hao watamu kweli

  • @doricesosthenes1714
    @doricesosthenes1714 2 роки тому

    Mende ni mende 2

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 2 роки тому +2

    Hawa ndo wanaleta magonjwa duniani...magonjwa ya mlipuko kila siku like why mende...wanyama wakuwala wapo wengi sana jmn
    Like WTF

    • @brendasimba7751
      @brendasimba7751 2 роки тому

      Maana yake apo kwanza ncheke

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому +1

      Kweli unayosema wakianza kuanguka kma wachina waseme maradhi wameletewa.

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx 2 роки тому

    Serekali iangalie hii maana hawa watatuletea maradhi makubwa kma wachina yaani wanyama wote mungu aliotubarikia Tanzania tule mende sasa .alafu watu wakianza kugonjwa museme mmeletewa maradhi na wazungu kumbe maradhi tunayatafuta wenyewe ikiwezeka hawa ni wakufungwa kabisa maana hya masoko yatakuwa mengi baadae dwa wenyewe hospital tabu siku wagonjwa wakiumwa watailamu serekali .

  • @katemachanda7035
    @katemachanda7035 2 роки тому

    Anapatikanaje huyu mama???
    Mawasiliano n.k

  • @mudymudy779
    @mudymudy779 2 роки тому

    Uyu chizi

  • @petriciajohn1245
    @petriciajohn1245 2 роки тому

    Mama mende uyo mmh

  • @UNDUIRE2023
    @UNDUIRE2023 Рік тому

    Duniani kuna mambo

  • @ostakiambilinyi1270
    @ostakiambilinyi1270 2 роки тому

    Haya tunaotumia vipodozi kumbe tunapaka mende

  • @mariamudotto5124
    @mariamudotto5124 2 роки тому

    🤣🤣🤣

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 роки тому

    Sa iv unao mende wangapi

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 роки тому

    Aise WACHINA NDIO WAMETULETEA BALAA HII hata maackrel nadhani nyoka

  • @hamadmhchande5633
    @hamadmhchande5633 2 роки тому +1

    Ila sisi makabila tuna midomo? Watu wanakula panya kusini huko na sijawahi kuona post hapa you tube. Ila mende tu au wapiga camera wote humu ni wakusini?

    • @chamimdesa148
      @chamimdesa148 2 роки тому +2

      Siyo panya tu mm nipo hap Masasi watu wanakula CHURA, sembuse Mendes? Kula mama nitakupa order nitumie

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 2 роки тому

    Mama mende,tahadhali tuheshimiane

  • @wilsonemanuel9915
    @wilsonemanuel9915 2 роки тому

    Kama utanipa soko nitumke Namba Nianza kufunga

  • @carolineotieno8154
    @carolineotieno8154 2 роки тому

    Kama mende ina tumika kutengeneza vipodozi basi mm na vipodozi kwisha yani niacha kabisa

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 роки тому

    Mawasiliano mimi nataka kufuga.

  • @sumayafissoo2192
    @sumayafissoo2192 2 роки тому

    Uchafu wtz mende tena

  • @onanimtemela37
    @onanimtemela37 2 роки тому

    Anajuaje huyu n dume au jike kwa anaowauzia maana nao wanataka wafuge.

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 2 роки тому

    Mbona wamenishawishi baada ya kukaangwa😋😋👌🤦🤦🤮🤮

  • @petriciajohn1245
    @petriciajohn1245 2 роки тому

    Kiranga komo ...looh uchafu tu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🙄🙄🤣😂💦

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 роки тому +1

    Mende anazaa watoto wangapi

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 2 роки тому

    Haram na pesa yake ni haram tu

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 роки тому +1

    Huyu ni mchawi tu, Mende ni frusa gani hapa duniani? Huo uchafu una hela gani? Kwanza ungekuwa ndugu yangu, Nisingekuja kukanyaga kwako! Mwanamke mchafu sana!

    • @georgematahimba5242
      @georgematahimba5242 2 роки тому

      Uchawi ni mwisho wa utashi wako wa kufikiri.
      Mende ni dili wewe!!!!
      Watu wanakula nyoka sembuse mende?
      KALAGA BAO😂

    • @leilajohn4600
      @leilajohn4600 2 роки тому

      @@georgematahimba5242 apo kwenye kalakabao 😂😂😂😂😂

    • @romanabasilswai1583
      @romanabasilswai1583 2 роки тому

      Mm nafuga kunguni Ila solo sijapata msaada waungwana

    • @nelsonjonathan7660
      @nelsonjonathan7660 2 роки тому

      @@leilajohn4600 😂😂😂

    • @nelsonjonathan7660
      @nelsonjonathan7660 2 роки тому

      @@leilajohn4600 hebu tulieni jaman mnatuvunja mbavu

  • @fanicelopez8301
    @fanicelopez8301 2 роки тому

    🤮🤮🤮🤮🤮