MPENZI WA BEKA FLAVOUR AGOMA KUBADILI DINI MPAKA NDOA "MAMA YANGU HAPENDI UISLAMU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 96

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 12 днів тому +8

    Beka umeokota dodo chini ya mpera,unamwanamke mzur na mwenye akili sana mashallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 11 днів тому +6

    Allah akuvushe salama happy wangu najua hapo unayopitia katika hali hii

  • @khadijasaleh898
    @khadijasaleh898 14 днів тому +12

    Beka una mwanamke mzuri sana hongera💕

  • @user-rs1bo1ic7j
    @user-rs1bo1ic7j 22 години тому

    Mwanamke amezungumza ukweli . Nivizuri kuwa mkweli . Kutoka kwenye ukristo nikutoka mojakwamoja kuelekea kwenye ndoa . Ni haki tena yuko na Imani na yuko na mapenzi ya kweli kwa mzazi mwenziye ❤❤❤❤ BEKA timiza kile ambacho Allah anatuwamrisha . Tayari mwanamke amesha kuweka nafasi ya kuwa baba na amekupa nafasi ya kuitwa mwanawume . Yuko tayari kuwa muislam lakini ikiwa ataishi kwenye ndowa . Mpe heshima fika kwenye wa zazi wake .Allah aweke wepesi❤❤❤❤

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 13 днів тому +7

    Kuzini tu tu muogopeni Mungu jamani na moto wakw😭

  • @hellenalex9541
    @hellenalex9541 14 днів тому +5

    My favorite couple 🥰

  • @rajah9328
    @rajah9328 13 днів тому +3

    Ukwel vile mnavyopendna watu wengi wanapenda couple yenu 100%. Beka wacha bangi zako Ndoa muhimu sana Dini zote

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 13 днів тому +6

    Muoe tu mtoto happy karembooooo❤❤❤❤❤

  • @Rachel-94tz
    @Rachel-94tz 13 днів тому +4

    Happy,usimwache Mungu kwaajil ya kituzbali acha kitu kwaajil ya Mungu,IMAN NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU,SHIKILIA IMAN AKO,,maan hata mbinguni hutoenda na mmeo,Bali nafsi Ako na IMAN AKO ndo itakuponya

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 12 днів тому +6

      Weww uislam ndio dini ya haki izo dini nyengine zoote haramuu

    • @Rachel-94tz
      @Rachel-94tz 12 днів тому +2

      @@nahlahassan-fd6le Masha Allah,,ko ukiwa muislam tu pepo yako!??

    • @Mtoto-ig5vw
      @Mtoto-ig5vw 11 днів тому +1

      @@nahlahassan-fd6le😂😂😂

  • @elizabethbigilwa6822
    @elizabethbigilwa6822 11 днів тому +1

    Wewe bi. Dada Mungu mmoja mtangazi Acha mambo yako

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 13 днів тому +5

    Mhm hapo mtihani.wakaka oeni wadada wa dini yenu .mpate kumjua mungu.wakristo ni wakristo,na waislam waislam.sasa mnachnganya dini afu kumbqdilshq mtu dini ataka mafunzo hasa apate kuingia miguu yte.sasa beka dini ya kislaqm imekukalia kushoto utaweza kumfundsha kweli happy.na happy kanaelekea kana khofu ya mungu.

    • @DM.2200
      @DM.2200 13 днів тому +2

      Umeongea kweli aisee au wafungr ya bomani ili kuondoa utata kila mtu kwake ila shida tena itakuja kwa watoto😢

    • @miniee_134
      @miniee_134 8 днів тому +1

      Kweli kabisaa 💯💯💯happy ataishia kupenda zaidi dini yake ya kikristo kwasababu beka mwenyewe dini ya kiislamu kashasema hapendi vitu hivyo,, Astaghfirullah, Allah awafungulie wote wawili mioyo Yao na waikubali na kuuipenda dini ya kiislamu.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 12 днів тому +1

    Beka unazingua😢😢😢 sana mwanamke amejitoa kwa lolote lakini unapuuzia

  • @Mtoto-ig5vw
    @Mtoto-ig5vw 11 днів тому +3

    Waowane kiislam alaf after apo kila mtu abaki kwenye dini yake basi 😊

    • @shakila3982
      @shakila3982 10 днів тому +1

      Atakuwa ameenda kinyume, Mwenyezi Mungu hafanyiwi njaja

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 днів тому

      Allah hachezewi

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 13 днів тому +3

    Nawapenda

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 13 днів тому +4

    Huyo mwanamke hafai inamaana mama yake ni adui wa dini yetu ya kislaam kwa mie akae na mwanaye tu huyo mtoto wake

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 13 днів тому

      Huyu mwanamme kwani unamuona mzima hana lolote

    • @clustermqsir9840
      @clustermqsir9840 13 днів тому

      Wewe ndio adui wa hiyo dini

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 12 днів тому +2

    Eti Nimebadilisha Dini Ila bado nna ka Ulokoke mana sijawahi kwenda maskini 🥹 Kama Pete imechukua myaka 10 Ndoa jee!!! Mpaka aniowe lililililiiiiiii 😂😂😂😅😅😅

  • @GladnessSamson-xk2ii
    @GladnessSamson-xk2ii 9 днів тому

    Hii couple naipenda mnooo❤

  • @Naju645
    @Naju645 13 днів тому +3

    Mwanaume anaonekana mjanjamjanja huyu atamzalisha paka watoto5 naasimuoe uislam haina Pete hiyo Pete zuga tu

  • @MwanaidiSephu
    @MwanaidiSephu 14 днів тому +1

    Nice😊

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 13 днів тому +3

    DAKIKA YA 9 NDO UKATHIBITISHA KUWA UNACHOKIFANYA NI HARAMU😊

  • @user-ih6ng6sf6o
    @user-ih6ng6sf6o 10 днів тому +1

    ❤❤❤

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 13 днів тому +2

    Naona huyu mwanamke anataka ndoa tu Na awe na uhakika na watoto wake watatunzwa Na apate mtelemko mjini ila huyu fala mwanaume inaonekana amependeza zaidi , mwanamke ni mrangi, mnyaturu, mwiraqw, mchaga au makabila ya tanga au mpare?

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 6 днів тому

    Muongo sana mwanaume, kubadil dini kwa ajil ya mwanaume huo ni ufala

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 8 днів тому +1

    Yani huyu mwanamke hajielewi kabisa ukiona mwanamke au mwanaume anabadilisha dini kwasababu ya mapenzi bc ujue wana mapungufu ya akili wote wawili m2 habadilidhi dini kwasababu ya mapenzi anabadilisha kwasababu ya kuamini dini alokua sio sahihi na kuamua kwenda dini nyengine

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 13 днів тому +1

    Ss mtapambana upate ndoa mbona mnazaa watoto mama anaangalia tu kuwa na msimamo.

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 13 днів тому +1

    Ushungi na nguo mikono kaoshi😂 yan waz😢
    Ila ushungi umekupendezaa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 13 днів тому +1

    Huyo mwanamke ni kabila gani ? Mwanamke anaweza kuliwa na wala usijue mkuu kuwa Na akiba ya maneno na mwanamke wa kitanzania kutaka kuolewa na wewe haimaanishi anakupenda mara ameona yuko mkono salama kiuchumi 😅

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 13 днів тому +1

    Bs ukiona ivo ata beka haswa
    Li

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 14 днів тому +2

    Subuhanna allha😢😢

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 днів тому

      Mtihani mkubwa sn wa2 hawajielewi unazaa njee ya ndoa tena kwa makusudi

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 14 днів тому +1

    😂 happy jamani hembu kua na msimamo kwenye dini unatuchanganya 😮

  • @HazinaElisha
    @HazinaElisha 11 днів тому +1

    Akitaka aache kuhama na limimba lakee hilo

  • @jacquelinekennedy5740
    @jacquelinekennedy5740 13 днів тому +3

    Presenter wakike try to be proffesional in just a good way .. kuna vitu unaongea they don’t have to be said there kama hapo kweny kubadili dini

    • @salomeraymond2051
      @salomeraymond2051 4 дні тому

      Achagui la kuongea kwenye media na lipi sio la kuongea

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 13 днів тому +1

    Huyo mwanamke ni kabila gani ?

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 12 днів тому +1

    Acha kutoa vipete nenda kwao katoe mahari tangaza ndoa usiri usiri na watoto ndo wanakuja ao

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 10 днів тому +2

    👍👌

  • @DM.2200
    @DM.2200 13 днів тому +2

    Fungeni ndoa ya bomani kiishe kila mtu abaki na dini yake coz wanaweza funga ndoa kiislam na dada akabaki kwenda church itakua haina maana ya kubadilisha din

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 11 днів тому +1

      Waislamu hatuna ndoa ya bomani ni uzinzi tu kama ni bomani ni Bora waendelee kazini hivyohivyo na uzinifu wao.
      Wasihadae walimwengu bure.

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 10 днів тому

    Huyu dada nampenda anamisimamo

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 9 днів тому +1

      Angekuwa na Msimamo angebeba mimba nyingine apo wote awajielewi wamekutana pipa na mfuniko 😏

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 днів тому

      Msimamo gani alokuonesha ukavutiwa nao

  • @mpalazotz7753
    @mpalazotz7753 14 днів тому

    Mtihan huo

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 14 днів тому +6

    Happy wala usijilaumu kuwa haujawahi kuenda mkitini wala kuswali uka jiona ww sio muislam kuna watu wamezaliwa waislam na hawapajui msikitini. Beka kama ulimbadilisha mtt wawatu dini inabidi umfundishe na umuelekeze

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 13 днів тому +3

      Kweli ila swala ndio nguzo ya Imani, na wala sio tu kuenda msikitini pekee

    • @chukijuma1321
      @chukijuma1321 День тому

      FC

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 13 днів тому +3

    Mkuu kuwa na akiba ya maneno hawajui wewe wanawake wa kitanzania wanawake wengi wanyenyekevu sana wakati wa uchumba ila ukimuowa wengi uwa wanabadilika kabisa

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 7 днів тому

    Mamako hapendi uislam lakin anapenda unavyozaa na kijana wa kiislamu bila kuolewa eeh 😂

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 13 днів тому

    Waiwane ila kilamtuue abakiye ku dini yake

  • @hanifaa1487
    @hanifaa1487 13 днів тому

    😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏

    • @najmasaid7057
      @najmasaid7057 10 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wanakuchefua

  • @RuwaidaBakar
    @RuwaidaBakar 11 днів тому +3

    Mundesley dini huyo dada uislam ndiyo dini yahaki

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 13 днів тому +13

    Mwanamme anaweza kuowa mwanamke wa kikiristo si haram lakini mwanamke hawezi kuolewa na mkiristo.

    • @clustermqsir9840
      @clustermqsir9840 13 днів тому +4

      Hehehe...kwahyo mwanamke hana dini??? Haramu iwe haramu tu 😂😂😂😂

    • @masumbukojames5134
      @masumbukojames5134 12 днів тому +4

      Ubàguzi wa waziwazi

    • @ce-08
      @ce-08 12 днів тому +1

      Hajapenda huyo

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 12 днів тому +3

      Si ubaguzi ila mwanamke atazidiwa nguvu na mwanamme ndo mana uislamu umekataza

    • @shakila3982
      @shakila3982 10 днів тому

      Inakatazwa usitupotoshe, Qur'an inasema msiwaoe wanawake washirikina,
      Qur'an 2 :221 inasema, WALA MSIWAOE WANAWAKE WASHIRIKINA MPAKA WAAMINI, NA MJAKAZI MUUMINI NI BORA KULIKO MSHIRIKINA HATA AKIKUPENDEZENI, WALA MSIWAOZE MABINTI ZENU KWA WANAUME WASHIRIKINA MPAKA WAAMINI, NA MWANAUME MTUMWA NI BORA KULIKO MSHIRIKINA HATA AKIKUPENDEZENI, HAO WANAITIA KWENYE MOTO, NA .MWENYEZI MUNGU ANAITIA KWENYE PEPO,NA MAGAFIRA KWA IDHINI YAKE, NAE HUZIBAINISHA AYA ZAKE KWA WATU ILI MPATE KUKUMBUKA,
      Hiyo ni Qur'an bishana, inakataza pande zote mbili kwani atakushawishi umfate,

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 13 днів тому

    Wanawake hawana dini wanabadilisha dini kabisa

    • @alphredinaalphonce7043
      @alphredinaalphonce7043 12 днів тому

      Imeandikwa wap ndugu

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 11 днів тому

      Muone huyu fuvu lake ebu tuheshim kidg jamn 😢

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 11 днів тому

      @@ukhutfatumah1154 hamna dini nyie hamna misimamo kwenye maslahi kokote mnaolewa Na dini mnabadilisha sababu maisha yenu ni watu tegemezi sana bila uwepo wa sisi wanaume nyie si lolote kabisa !

    • @user-ot3te6mj7b
      @user-ot3te6mj7b 8 днів тому

      Sio wanawake wote ni wale watamaa na wasio jielewa, kuna kijana mkiristo anataka kuniowa mm tena akasema atakubali kuwa Islam lakn mm bdo moyo wangu aujaridhia maan ajatambua muhimu wa dini yangu yy anajali mapenz... so usisime wanawake atuna dini ni hawo wasio jitambua na tamaa zao.

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 8 днів тому

      @@user-ot3te6mj7b huyo ni mwanaume mbwege tena mwanaume akibadili dini kwa ajili ya mwanamke huyo sio mume wa kuowa mwanaume ni kichwa Na mwanamke ndio anafuata dini ya mwanaume kamwe siwezi kufanya upuuzi huo kubadili dini kwa ajili ya mwanamke kwanza mwanamke hawezi kukuheshimu ukibadili dini kwa ajili yake , upuuzi huo ni wanaume wapuuzi wasiojielewa ndio wanafanya