PR.MAZINGE;-NILITAKIWA KUUWAWA | NILIKIMBIA SIO UOGA NISUNAH | KENYA WANAUHURU WA KUABUDU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @maninhocassamo1525
    @maninhocassamo1525 Рік тому +3

    Mashallam She Mazinge mungu akupe mwisho mwema she wetu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 Рік тому +1

    Shekhe weti mungu akuhifadhi wewe na waislamu na mashekhe wenzako mola awape umri na afya njema nyote

  • @eliaszakayo-sg1kv
    @eliaszakayo-sg1kv 6 місяців тому

    Mungu awabariki nyote

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 Рік тому +1

    Allaah Atawahefadhi watoto wetu kwa u jumlaa na kwa sotee.

  • @fadhilichai4414
    @fadhilichai4414 10 місяців тому +1

    Sheikh mazinge mmungu akupe mwisho mwema na familia yako kwa ujumla na Wana daawa wote ulimwengu mzimaa

  • @abdulahijuma541
    @abdulahijuma541 3 місяці тому

    Tafadhali sana sio Sara ya 7 bali ya 4 aya 157- 158.AlMaidah na sio Al A'araf.

  • @fadhilichai4414
    @fadhilichai4414 10 місяців тому

    wakina s, said Riko, Imani Petro, mmungu awarahamu, wakina sheikh kabunda, s said kinyogori s shafii s Habush, s mwaipopo, Ibrahim bakonzi, s mazinge junior etc

  • @bukuruyassini
    @bukuruyassini 5 місяців тому

    Mwamba mazinge

  • @barackamosi4116
    @barackamosi4116 9 місяців тому

    Mkubali mkatae YESU ni BWANA

  • @ahmedosman7698
    @ahmedosman7698 11 місяців тому

    Mawaidha yako shekhe mazinge nzuri lakini apo kwenye kusema Allah kasema ati makafiri wanaogopa waisilamu kuliko Allah mwenyewe apo nae umefanya kufuru al ustadh..Allah ndo wakuogopwa peke yake apo umekosea mzee

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 9 місяців тому

      Sayyidna Omar aliwaambia walevi wa makka kua kama hamumuogopi Allah mutaniogopa mm mja wa allah

  • @simonogaro6990
    @simonogaro6990 9 місяців тому

    Mbona unaogopa kanisa kwa sababu unajua kuwa uislamu ni uongo mtupu. Uislamu ni cult tu, qurani yenyewe kaandikwa na walevi vijana sita

    • @CavangaCavanga
      @CavangaCavanga 5 місяців тому

      Mungu atakulipa kwa maneno yako kafiri mkubwa ww