DAKIKA 45 ZA MAZINGE MASJID BUYENZI NCHINI BURUNDI .MADA BALAA LA WANAFIQ ULIMWENGUNI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 73

  • @hajathhajiselemani3019
    @hajathhajiselemani3019 3 роки тому +2

    Mashallah,,,,,professor mazinge Allah akupe umri mrefu wenye baraka tele uzidi kutupa Daawaa inshallah ,,,,,,,,,,, your lessons is so beautifully and nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @AbdullahiAbduba
    @AbdullahiAbduba Рік тому +1

    MashAllah Shehik mazinge

  • @muhammadfadhil9835
    @muhammadfadhil9835 3 роки тому +1

    Napata vingi kwako Mazimge Masha Allah Allah akujaze nuru duniani na akhera

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 роки тому +2

    Allahuma ameen yarabin allamin mola akuhifadh uzidi kutuombea dua akujalie umri mrefu uzidi kumtetea Manan pomoja na mtume wake Mohammed ( saw )

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 роки тому +3

    Sheikh wetu mazinge mungu akupe umri mtrefu

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 3 роки тому

    Jazakhallahu kheiri Sheikh Mazinge Allah akupe umri mrefu

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 роки тому

    Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 роки тому +2

    Mashallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @husseinguyo4379
    @husseinguyo4379 3 роки тому

    Masha Allah Mazinge Allah akupe umri mrefu mm natokea kenya

  • @rinompemba5926
    @rinompemba5926 3 роки тому +1

    Mazinge Allah Azidi kukuongoza sana in sha Allah

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 3 роки тому +2

    MashaAllah

  • @AbdullahiAbduba
    @AbdullahiAbduba Рік тому +1

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 3 роки тому +1

    Shukrni sna tuko pamja kutoka Kenya 🇰🇪

  • @jaffaryhamiddy8939
    @jaffaryhamiddy8939 2 роки тому +1

    inshaallah kwenye vita niwepo niipiganie dini ya Allah dini ya kweli 🤲🏾

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 5 місяців тому

    Kwahivyo raisi wetu marehemu moi ana pepo yake kesho ya allah

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому +1

    Docteur wamakafiri yuko buja waaawoooo

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 роки тому +4

    اللهم صلي وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 3 роки тому +2

    Walaikm salam warahmatulai wabarakatuh

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 2 роки тому

    Mashaallah 💓

  • @firdausmasinge74
    @firdausmasinge74 3 роки тому +2

    Mashaallah

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 3 роки тому +2

    Nmekupata vzur kumbe ayat moi alifnya insani wakati wa uongozi wke
    Allah amlipe bdala yke

  • @mrok284
    @mrok284 3 роки тому +2

    Wewe ni Professor mkubwa Sana.

  • @khalifahashimu5367
    @khalifahashimu5367 3 роки тому

    Masha Allah mazinge

  • @KH-on8pp
    @KH-on8pp 3 роки тому +2

    Mazinge kwa hivyo hata wewe ulivyo kama alivyosema watanzania na wakenda sio

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 роки тому +1

    Mashallah sheikh mazinge 😍😍😍😍🇴🇲🌹👌

  • @albalushiboy3233
    @albalushiboy3233 3 роки тому +1

    Good

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 роки тому

    MA SHAA ALLAH

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 роки тому +1

    😀😀😀 kuna visehemu nimecheka, 😂😂 sheikh mazinge bana

    • @rinompemba5926
      @rinompemba5926 3 роки тому

      🤝Anafuahisha kweli .mie nilipo skia eti waislam njaa njaa wale .waislam watanzania wabish

  • @truthspeaker2405
    @truthspeaker2405 3 роки тому +3

    na Bwana wetu Yesu Kristo Mungu wa Muhammad ajifunue kwenu mpate kumjua amen

    • @mrok284
      @mrok284 3 роки тому +2

      Pole. Njo kwenye uislamu Ndugu yangu. Hakuna kiumbe kinachoumba kiumbe. Yesu ni kiumbe amezaliwa na mama Maryam. Hebu tulia usome. Allah jalajalalu atukuonesha njia.

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 роки тому

      Wachekeshaaa kweli wewe hivi Mungu wako anapigwa na binadamu na kusulubiwa hadi kufa mungu uyo jiangalie wewe wajisahau

    • @truthspeaker2405
      @truthspeaker2405 3 роки тому

      @@mrok284 naelewa lazima utasema hivyo lakin najua pia utakiri ya kuwa Yesu yu hai Muhammad yupo kaburin anamsubir Mungu wake(Yesu) aje kumuhukum kwa kuwapotosha mamilion ya watu

    • @truthspeaker2405
      @truthspeaker2405 3 роки тому

      @@jei_Ibrahim kwan kwa mfano ww ni mfale alafu wakati ukiwa unatembea ukamuona mtoto wako unaempenda amedumbukia kwenye matope .. utaingia huko kumuokoa au utasema mim ni mfalme siwez ingia hivyo muache afe uko?

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 роки тому

      @@truthspeaker2405 ndio maana waisilamu tuna sema yesu hakufa hakusulubiwa kwa sababu Allah alimuokoa kutoka kenye balaa la binadamu akampaisha ila tatizo wewe sasa unaesema yesu alipigwa na mayahudi hadi kufa sasa uyo mfalme wako sasa hakumuokoa mwanawe kwa mujibu wako akafa alafu ww bado unarudi unasema uyo mwana wa mfale ni mungu si kichekesho hicho yaani uyo mwana wa mfalme ndie mfalme huoni kama unajichanganya

  • @rajeshnakubalikamandasanga5904
    @rajeshnakubalikamandasanga5904 3 роки тому

    Naam

  • @Junior-rl2hj
    @Junior-rl2hj 3 роки тому +1

    MAZINGE OYEEEEE

  • @Junior-rl2hj
    @Junior-rl2hj 3 роки тому

    Uislam oyeeee

  • @barnabasmajige8473
    @barnabasmajige8473 3 роки тому +1

    Et wamejenga kanisa ulitaka wajenge bar,chuki ni kitu kibaya sana ktk maisha?

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 3 роки тому

    Sura ya huyu jamaa ina giza vilee

  • @Junior-rl2hj
    @Junior-rl2hj 3 роки тому

    We thruth huna akili kabisaa