Alhamdulilahi Mungu akupe umri mrefu na Afya uzidi kutuongoza na kutupa Mawaidha mazuri yenye faida natuzidi kufarijika.Na Mungu kesho akujaaliye pepo yafirdausi.kwa sote ya rabi.
Asalaam alaykum warahmatunillah taala wabarakat alhamdulillah. Mashaa llah shukran kwa mawaidha mazuri na machungu tuombeane dua Allah swt atufanyie wepesi katika maisha ya dini
Allah akupe umri mrefu sheikh Othuman maalim NAKUPENDA xnaa ❤❤❤
Mashallah , Allah akupe umri upate kutuelewesha In Shaa Allah jaza yako kwa Allah
Allah atupe mwisho mwema insha'Allah, shukran Ustadh wetu kwa mawaidha yako mazuri
Alhamdulilahi Mungu akupe umri mrefu na Afya uzidi kutuongoza na kutupa Mawaidha mazuri yenye faida natuzidi kufarijika.Na Mungu kesho akujaaliye pepo yafirdausi.kwa sote ya rabi.
Allah atupe mwishon mwema
Allah akujaalie umri mrefu wenye manufaaa shekh Othman
Mimi natoka mombasa ila nafatilia sana mawaidha yako mungu akupe uhai na pumzi uzidi tuletea daawa ameen
Asalaam alaykum warahmatunillah taala wabarakat alhamdulillah. Mashaa llah shukran kwa mawaidha mazuri na machungu tuombeane dua Allah swt atufanyie wepesi katika maisha ya dini
Allah akupe mwisho mwema mwalimu wangu
ALLAH akuzidishie miaka zenye hamali . best for me
Allah akuhifadhi allahumma amiin
Allah atupe mwisho mwema sote sheikh insha alha❤❤❤
Alhamudullai nakuombea mungu akupe maisha marefu ili uzidi kutupa elimu
MashaAllah. Mawaidha yako ni yenye mafunzo mengi. Allah akupe kheri nyingi ktk maisha yako in shaa Allah
Shukran kwakutuelimisha na Allah atupe umri mrefu wenye mafanikio
Subhanallah Allahuakbar Alhamdulillah nashkuru mungu kua muislamu
Mungu akulinde usiku na mchana
ASSALAMU aleykum warahmatullahi wabarakatuhu,mimi nimkimbizi kutoka Dadaab Kenya Allah akuzidishe nguvu lnsha Allah
Masha Allah
Othman maalim sheikh best in the world🌍🌎
Jazakumllahu Khaira ❤
Insha Allah Mungu akulipe kila lakheri
Masha Allah ❤❤❤
Allah akupe umr prefu shekh letu
Shukurani jazeera sheikh
Mashaallah ❤
Jazzakumullah khairi
Allah akuhifadh
Yaani natamani nikutane na wote waadhiri wetu ndani ya pepo ya ALLAH. niwajue, tusalimiane ana kwa ana Nawapenda wote
Allah tujaalie mwisho mwema 🤲
Jazakallah khayran
Allah azidi kukupa siha njema amiin
ALLAHU AKBAR 😥 😥
Asalamu aleikumu warahumaturahi wabarakatuhu Asante
Kweli kabisa mm nikishiba nahisi kulala 😂😂😂😂😂 yaani nakua mvivu namba moja na pia ujinga nikishiba najua kila mtu ameshiba
Mungu atuepushe na motor wajahanam
BarikaAllah
❤
Ndevu ziko wapi sheikh Othman?
Kaziuza
Hii vedeo ya zamani sasa kanenepa na kaeka ndevu
Mashaallah ❤