MAZINGE AFUNGUKA KWA NINI MABALAA YALIWAKUTA MAHAKIMU MAPOLISI WOTE WALIOMFUNGULIA KESSY MIAKA HIYOO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

КОМЕНТАРІ • 48

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 3 місяці тому +13

    Moja kati ya masheikh wanao lingania Dini ya Allah ambae na mpenda kwa moyo wangu wa dhati juu ya hili basi ni sheikh Mazinge Allah amuhifadhi

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 3 місяці тому +2

    Mashallah Mazinge kofia mzuri akonaroho safi Allah akueke akufungulie yakheri na baraka Inshallah na nyote mulokuwa pamoja twa mpenda kwa Ajli ya Allah

  • @AliJuma-go4rc
    @AliJuma-go4rc 3 місяці тому +3

    Allah akupe umri mrefu Sheikh Habib Mazinge ❤❤❤❤

  • @AsiyaHamad
    @AsiyaHamad 3 місяці тому +2

    Nakupenda sheikh Mazinge kwa ajili ya Allah. Nakusukiliza from Cairo Egypt. Nakuombeya Allah muweza akubali dua yako na uende kuhiji.

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 3 місяці тому +1

    Sheikh Mazinge yupo vizuri sana kwa kazi ya dini

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo 2 місяці тому

    Babu Babu nakupenda kwajili ya mungu

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 Місяць тому

    Masha Allah❤❤❤

  • @MamaP-ro2xw
    @MamaP-ro2xw 3 місяці тому

    Assalaam aleikum mashekhe wetu ma shaa Allah mungu awastiri awajaalie jannatul firdaus ,sheikh mazinge njoo mombasa uwanja wa tononoka uwafunze hawa ndugi zetu kwa adam njia ha yaki na ya kweli mbele ya Allah shukran

  • @allyway999
    @allyway999 3 місяці тому +1

    Mazinge Allah amekupa IQ kubwa mno Allah akupe kila lakher wallahi

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 3 місяці тому

    Mashallah sheikh mazinge Allah akupe umri mrefu na afya njema

  • @zingzong3928
    @zingzong3928 3 місяці тому

    Maashallaah maashallaah

  • @kerosenealimasi8019
    @kerosenealimasi8019 3 місяці тому

    Safi

  • @zaharanituwano6615
    @zaharanituwano6615 3 місяці тому

    Namlingania shekh Mazinge aachie ndevu asizinyoe ndivyo 2me amrishwa na Mtume we2 s.a.w. nakuvuga ndevu ni (Wajibu)lazima nime shafikisha nanyi mkishieni..

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 3 місяці тому +2

    Kaka mazinge ukianzisha account ya mchango wako wa kwenda hija mimi wakwanza kukuchangia takacho jaaliwa ili mradi tu nipate dua zako.

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo 2 місяці тому

    Yahata mpe 2)13 Tito daa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 3 місяці тому

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jaystrongmagaboy1633
    @jaystrongmagaboy1633 3 місяці тому

    Sheikh Mazinge nakupenda bure.

  • @jafarimtimkuu
    @jafarimtimkuu 3 місяці тому

    Amaashaallah

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c 3 місяці тому +1

    Saimu masuali yako nimependa sana ila huyo ust mazinge akitumiwa pesa kidogo anaidharau mimi na mpenda na fatilia sana mapambano yake napenda ila hakuna alokosa kasoro

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 3 місяці тому

    Waislamu, tukumbushane kuwa tunapo zungumza mguso wa maswala ya DINI hapatakiwi mzaha. Rejeleeni aya ndani ya kitabu kitukufu Qur'an na maelekezo ya Mtume Muhammad s.a.w. huto ona penye ucheshi. Mazinge na Gwao. Maswala yanayo husu DINI hapatakiwi mzaha. Simulizi zote tulizo achiwa na Mtume, hakuna za kuchekesha the same kwenye Qur'an. Amesema Mtume kuwa. hakika mini Muhammad ni mfano wa Qur'an na matendo yangu, ukifuata matendo yangu utakuwa umeifuata Qur:an na ukiifuata Qur'an utatenda ninavyo tenda mimi. Muda umekaribia hebu angalieni ile nyota inayo andamisha mwezi je ipo?

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 3 місяці тому

    Mazinge

  • @Hgd-jk6lh
    @Hgd-jk6lh 2 місяці тому

    Professor hiyo kilemba au kofia😂😂😂😂mungu awape umri mrefu

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c 3 місяці тому

    Kumbe kwenda hija ni millioni 10 tu 😮

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo 2 місяці тому

    Babu Babu bwana

  • @BuruhaniAdamWawa
    @BuruhaniAdamWawa 3 місяці тому

    Professor DD, Tupo Maidha

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 3 місяці тому

    🤣🤣🤣🤣🤣 masha'allah sheikh wetu mpendwa

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 3 місяці тому

    Ndacha bado yupo tz

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 3 місяці тому +1

    Ww waambiea umekwenda hijjah lakn unamuhoji mazinge kifitna mambo ya Pete yahusu Nini ni hyo mada mnayoiongelea?mbona cc waislamu Bdo tuko nyuma?kw stayle hii hatufiki na hatutofika,mnapandikiza chuki wa wahadhiri na masheikh na waumini acheni hii tabia uislam usogee hta kidogo

  • @mirzah117
    @mirzah117 3 місяці тому

    Kwenye uchawa ndio mnaharibu

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 місяці тому

    😂😂shekhe mazinge hiyo baraka shee au soksi ya kuchujia chai😂😂😂😂😂

  • @Chemba67
    @Chemba67 3 місяці тому

    GWAO, MAZINGE HAITAJI KUANGALIA CAMERA KWAKUA MAZINGE NI MMOJA TU AFRIKA NA SAUTI YAKE INATOA TASWIRA YAKE HALISI NA INATOSHA.

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 3 місяці тому

    hata salam hajui, ....wabarakatihi. endelea kujifunza

    • @HUSSEINALLY-b7f
      @HUSSEINALLY-b7f 3 місяці тому

      Salamu gani we hasidi

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 3 місяці тому

      Subahna Allah binadamu mungu atuhidi

    • @Azza-o8c
      @Azza-o8c 3 місяці тому

      Huyo profesa eti hajui Salam wewe unamapungufu sibure

    • @sadathboutique6253
      @sadathboutique6253 3 місяці тому

      Acha ujuaji kwani wewe ujawai kukosea matamshi,we ni kajinga

    • @aliakrabi8321
      @aliakrabi8321 3 місяці тому

      @@sadathboutique6253 ukikosea kama una elimu unajirekebisha hapohapo, acha matusi

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 3 місяці тому

    Bendera chuma mlingoti chuma . Ccm

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 3 місяці тому

    Sheikh mazinge analeta mambo ya uchawa

    • @Azza-o8c
      @Azza-o8c 3 місяці тому

      Hana mambo hayo kabisa huyo labda humjui vizuri huyo ukimpenda atakupenda naukimuudhi anakurarua bila chenga

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 3 місяці тому

      @@Azza-o8c acha kutetea ujinga, sasa hivyo anavyofanya kuna tofauti gani na mwijaku anayewasifia watu ili anufaike?

    • @SaleheAmiry-mx1yn
      @SaleheAmiry-mx1yn 3 місяці тому

      Acha maneno machafu wewe

    • @HajiMasmenti
      @HajiMasmenti 3 місяці тому

      We ndo chawa bwege ww

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 3 місяці тому

      @@HajiMasmenti mapenzi yenu yasiyotumia akili kwa sheikh Mazinge yanawafanya muwe vipofu msiione hata haki, mtu anakosea lakini hamuoni. Hatari sana hii