MKULAZI KUANZA UZALISHAJI WA SUKARI MWAKA HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Kiwanda cha Sukari kilichopo Mbigiri Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro kiko mbioni kukamilika na kinatarajiwa kuanza uzalishaji mwaka huu. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Kampuni Hodhi ya Mkulazi.

КОМЕНТАРІ • 13

  • @gesambamaisori8781
    @gesambamaisori8781 Рік тому +3

    Kazi ya Magufuli the Great....viva the Legend.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому +1

    Kazi iendelee, Hongera SSH kwa kuendeleza miradi yote kwa umakini, Ubarikiwe saana na Mwenyezi azid kukupa Afya njema

  • @tashone7884
    @tashone7884 Рік тому

    Project kubwa sana

  • @jacobmsigwa383
    @jacobmsigwa383 Рік тому

    Well done

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 Рік тому

    Hongera kwa magufuli, alikuwa jembe kwa kubuni miradi na kusimamia utekelezaji

  • @aloycekarlum3702
    @aloycekarlum3702 Рік тому

    Hongera Eng. Flavian

  • @LisunguKipigapasi
    @LisunguKipigapasi 6 місяців тому

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 Рік тому

    RIP mzee baba Magufuli we ndio RAISI WANGU WA MILELE 🙏😭😭😭

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 Рік тому

    Ktk siasa tunahitaji uwajibikaji kama huu

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Рік тому

    Hii ni neema kubwa tuwe na ufanisi mzuri kikazi hongereni wote mliohusika

  • @gesambamaisori8781
    @gesambamaisori8781 Рік тому

    Viongozi ignition mfano ni lazima tuamue na tuwe na mkakati wa kukuza viwanda...badu tunahitaji viwanda...ktk kila sekta

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому

    Tanzania inaweza lisha East Africa na sadic ila watu wetu wavuvu wanafikili kuwa matajili kwa miujiza wakati ni ndoto za ajabu.

  • @LisunguKipigapasi
    @LisunguKipigapasi 6 місяців тому

    .