Mwanzo mwisho kilichotokea kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka na kuua watu 11

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 тра 2024
  • Kufuatia watu 11 kufariki kwa ajali ya Mlipuko wa bomba la kusafirishia Joto kwenye kiwanda cha kuzalisha Sukari cha Mtibwa kilichopo Morogoro Juma Ramadhan palamba Meneja wa umeme ambaye ni Manusura wa ajali hiyo ameeleza ilivyo tokea.
    Juma amesema walitarajia kuanza uzalishaji wa Sukari leo Mei 23 lakini wakati wanafanya majaribio ya Mitambo ndio ukatokea mlipuko huo.

КОМЕНТАРІ • 24

  • @TheFelipesniper

    🇧🇷🇧🇷🇧🇷 Olá irmãos, sou parente do brasileiro que perdeu a vida, infelizmente. Ore por nós e todas as famílias que perderam seu familiar nessa tragédia. 🇧🇷🇧🇷🇧🇷

  • @MashakaZacharia-if9pm

    Ndo maisha sie wanaume haki yetu kufa mapema

  • @paza_sauti_choirtz1738

    😢😢😢😢😢😢😢

  • @husseinazizi1275

    Hapo tunaelewa tu sisi mafundi

  • @davidsimbeye1548

    Yaani yeye aliondoka muda mfupi tu kabla ya ajali kutokea, mainjiniaa wote wawili wapigiwa simu kwa wakati mmoja halafu huku nyuma ajali ikatokea 😲😲😲 halafu hayo matengenezo yalifanywa na WA Brazil au wahindi? Mimi bado sijamuelewa

  • @joshuabahati13

    Kafara hiyo sababu sio za msingo

  • @hollymore4904

    MUNGU ndio anaejua

  • @markjason2035

    Hapo kuna kitu waliziba ikashindwa kucheua

  • @mathiaszakaria7052

    Hapo kuna uzembe umefanyika uchunguzi ufanyike

  • @ssaa7495

    Huyu baba ni muongo inaonekana muda wa tukio hakuwepo

  • @Burner_Acc

    Poleni sana 😢

  • @adolfufedinandi2534

    aliyemuelewa huyu injinia naomba anieleweshe na mimi da hivi na yeye ni muhanga na hana jeraha sehemu yoyote anasema mlipuko ulitokea na yeye yuko hapohapo then anasema alienda kuchukua maji akasikia mlipuko which is which

  • @adolfufedinandi2534

    inavyoonyesha hilo joto litakuwa lilitokea kwenye sehemu ya maungio kwamba aliyekuwa anafunga hapo hakukaza nati vizuri so presha ilivyokuwa kubwa ikafumuka na joto hilo kutoka na kuleta maafa na inavyoonyesha hiyo kazi hueda ilikuwa inafanywa kwa presha sana kwasababu wanasema walijaribu mchana ikashindikana ila wakasema wajaribu usiku kwa mara ya mwisho na ndio madhara yametokea

  • @Entertainmen_tv2024

    Ajali ni ajali

  • @songombingo108

    Ajali haina kinga. Mengine ni siasa tu

  • @user-kh1tn6yr8b

    Kiwanda chenyewe hakina ukarabati

  • @HsMtawatawa

    Poleni sana mungu atawapa moyo wasbila

  • @SGVBnewsSAMWEL

    Government boiler inspector yuko wapi kwanini hakuona weakness ya mtambo kinachoonekana safety valve imefail

  • @darajalakidatukilomgi2362

    Maelezo yake yanatosha kuelewa kilichotokea kwa uhalisia kabisa