LINA FEEDS: AISEE, Rais MAGUFULI ATAFURAHI Sana AKIWAJUA, Wamefanya MAPINDUZI ya VIWANDA Vibaya MNO!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • LINA FEEDS: AISEE, Rais MAGUFULI ATAFURAHI Sana AKIWAJUA, Wamefanya MAPINDUZI ya VIWANDA Vibaya MNO!
    LINA MILLERS ni kampuni mama ya LINA FEEDS ambayo inazalisha vyakula vya mifugo, Uzalishaji ulianza rasmi mwezi wa 1 mwaka 2021 ambapo kwa sasa tunazalisha vyakula vya aina tatu.
    AINA YA VYAKULA TUNAVYOZALISHA
    Kwa kuanzia tutaanza kuingiza sokoni bidhaa zote 3 ambazo ni za kuku wa nyama, kuku wa mayai na Nguruwe (Broilers Feed .Layers Feed .Pig feeds ).
    CREEP FEED
    Ni chakula wapewacho nguruwe wachanga wenye umri kuanzia wiki 2 mpaka wiki 5 ambapo hukaushwa. NB; Huu ni mlo kamili ambao hauhitaji kuongeza kitu chochote.
    WEANERS CONCENTRATE
    Hiki ni chakula ambacho hulishwa nguruwe walioachishwa kunyonya hasa hasa kuanzia wiki ya 6 mpaka wiki ya 12. Chakula hiki kina mchanganyiko wa protini, vitamini, madini na mafuta kwa kiwango kidogo. Hivyo basi hii humfanya mfugaji kupata wasaa wa kuongeza chanzo cha wanga katika mchanganyiko huu ili kuufanya kuwa mlo kamili.
    JINSI YA KUCHANGANYA WEANERS CONCENTRATE
    Chakula chetu cha Nguruwe walioachishwa kunyonya cha 25 kgs huchanganywa na pumba ya mahindi 70 kgs na hivyo kupata mlo kamili wenye 95 kgs.
    ZINGATIA;
    Haishauriwi chakula cha concentrate kulisha pekee bila ya kuongeza chanzo cha wanga kama vile mahindi paraza na pumba ya mahindi.
    MAWASILIANO:
    Mobile phone; +255786782111 (PHILIPO KOYAGE, Director)
    +255785403023 (LUCAS JOSEPH MKONO, Technical sales and Marketing Manager)

КОМЕНТАРІ • 5