Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

AIBU JAMANI!! RC SIMIYU AMGOMBEZA VIBAYA AFISA AFYA HUYU/TAZAMA MAMBO HAYA YA AJABU ALIYOYAFANYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Місяць тому

    😢kamloga loo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  Місяць тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @user-zt6re1dr5f
    @user-zt6re1dr5f Місяць тому

    Saw lkn unamnyooshea kidole mtu hadaran kumbe nae anayake ya kulawiti wanafunz, aibu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  Місяць тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e 7 місяців тому +2

    Naww RC kaz imekushinda. Unauliza kabila la mtu wakati tz hatuna makabila

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 7 місяців тому

      Jameni mambo ya ukabila Africa imetua gamiza ata kwetu Kenya ndio zaidi

    • @fauzibinzoo6563
      @fauzibinzoo6563 7 місяців тому +2

      Hajitambui huyo anataka sifa anazan atapewa uwaziri

  • @DinuZeno
    @DinuZeno 7 місяців тому

    AJIRA ZA WATU

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 Місяць тому

    Sasa nawewe yamekukuta
    Hizi shutuma zako niaibu kwataifa...

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  Місяць тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 7 місяців тому

    Njoo Geita nyankumbu soko LA asubuhi ni kipindu pindu kinatengezwa na afisa afya .. ni shida

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @iliyasabakari
    @iliyasabakari 7 місяців тому

    RC hana hekima, ilitakiwa amuite azungumze naye wajue nini changamoto, kwanini kashindwa kutekeleza majukumu.
    Katika mazingira kama hayo sio rahis mtu kujitetea kwa ghafla.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 7 місяців тому +1

    Tanzania suala la utawala ni shida,huu siyo utaratibu wa utendaji,huyu bw.afya ana wakubwa zake tena wengi tu,Rc mzima unasema huyo bw afya ahamishwe,apelekwe wapi?ndiyo sababu tunasema hizi nafasi za uteuzi tuachane nazo,watu wazifanyie usaili,angalia sasa,kiongozi huyu hafai,anaibisha waliomteua.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 7 місяців тому

      Eti kitovu cha mji vumbi hata lami hamuna

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 7 місяців тому +1

    Wacheni kufokea watu kama watoto wadogo.Kuna utaratibu wa kuwajibishana wacheni Ushamba huo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 7 місяців тому

      Wala wacha wafokewa kabisa tena angefukuza kazi kabisa watanzania sio wa kuchekeana ni wazembe sana ni kupelekwa kwa Magufuli style ndio mambo yanaenda Mama Samia anawachekea sana !

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 7 місяців тому

    Huyo RC ni mkeka wamm

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @TadeiMallya-lq4wk
    @TadeiMallya-lq4wk 7 місяців тому

    Yani serekali yetu inaviongozi kama comedi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 7 місяців тому

    Kwani afisa ndiyo asafishe? Huo ni udhaliliswaji unyayasaju unatafuta kk uchaguzi umekaribia

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @user-gw4vv5uh9z
    @user-gw4vv5uh9z 7 місяців тому

    Mfukuze kazi aende shule tena

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 7 місяців тому

    Maafisa afya hawafanyi kazi kila mahali

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @ramarite4841
    @ramarite4841 7 місяців тому

    😂😂😂hau atakuletea maradhi🙌

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 7 місяців тому +1

    Huyo Afisa Afya mmemkagua mara ngapi eneo lake la Kazi akaonakana ameshindwa kazil? Je alipewa karipio lolote? Je haiwezekana kumuonya katika faragha hata kama kweli amekosa?

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 7 місяців тому

      Faraga ya Nini wewe hamna kuchekeana hiyo ni sawa kabisa Magufuli style

    • @edsonisrael8996
      @edsonisrael8996 7 місяців тому

      Jamanii Kwan Hadi akaguliwe? Kwani yeye hajui majukumu yake? Atumbuliwe tuu ameshindwa kujisimamiaa

  • @user-tw9wu2gz4g
    @user-tw9wu2gz4g 7 місяців тому

    Uko anakoamishiwa anaenda kuongoza paka?

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 7 місяців тому

    Huyu ni mlevi au RC.!?? This is my Tanzania 🇹🇿 😂😂😂. Kwa hyo gamboshi huko ndo wapi au Uganda!!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @user-bl3go5yr8u
    @user-bl3go5yr8u 7 місяців тому

    Je wewe hujawahi kukosea?wakati kumfokeafokea TU nikosa hilo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 7 місяців тому +1

    Unataka sifa,mkosoe kiofisi hapo adharani ni Kiki,kwani hakuna wakaguzi China yako? Mpaka uje wewe? Huu ni udhaifu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 7 місяців тому

      Yuko sahihi kuoneana aibu na kuchekeana ndio umefanya Tanzania 🇹🇿 iwe masikini wa kutupwa ni nzuri hiyo Magufuli style !

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 7 місяців тому

      Inatia hasira watu wapo ofsini kama mapambo

  • @dativababu5042
    @dativababu5042 7 місяців тому

    😂😂😂😂maake hapo kwanza nicheke

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 7 місяців тому

    Sasa anabwata ya nini?
    Hovyo sana huyu.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 7 місяців тому

      Yuko sahihi kabisa watz ndio inabidi wapelekwe hivi kama enzi za Magufuli

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 місяців тому

    Dharau hizo ww Rc majaliwa kwanini ushindwe kufanya kazi ulioisomea na wewe hujitambui simamia kazi iliyokuweka hapo mjini kuwa mkali pasijelipuka magonjwa ya kipindupindu tumia vifungu vya sheria km ni baa au nyumba hazina choo funga kabisa tumia mamlaka uliopewa vifungu vya sheria sisi tulishafungaga hadi shule usicheze na kazi unatuabisha

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @opportunities2767
    @opportunities2767 7 місяців тому

    Kwanini umehamishe mtu mzembe atoke kuna vijana wako benchi wengi tu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @bellatrixblack4491
    @bellatrixblack4491 7 місяців тому

    Huyu rc mhaya

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 7 місяців тому

    Unapeleka uchafu wapi fukuza kazi uyo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 7 місяців тому

    Majaliwa😂😂bila kufokewa Tanzania kazi haziendi hata onekana yake tu ya kizembe. Unamhamisha wa kazi gani fukuza

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 7 місяців тому

    Huku ni kuweka saini ujinga wako I am sure this leader doesn't know even the definition of afya. Maana dhahiri hafahamu definition of leadership

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 7 місяців тому

    ILA KWEL HAO MAAFSA AFYA HAWAFANYAG CHOCHOT KABISA

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  7 місяців тому

      Asante Kwa Kutufuatilia