VIDEO: SPIKA TULIA ACKSON AKUTANA NA RAIS WA URUSI 'PUTIN', AELEZA WALIYOZUNGUMZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha amani Duniani.
    Kuhusiana na mgogoro unaoendelea baina ya Urusi na Ukraine, Dkt. Tulia amesema “Kabla ya kuzungumza naye tayari tulishazungumza na Maspika wa nchi zote hizo mbili na sisi kama Umoja wa Mabunge Duniani tumezungumza naye kama Kiongozi wa nchi katika sura ambayo tunaweza kuziweka pamoja nchi zote mbili na tutarajie kwamba IPU itatengeneza fursa ya Mabunge ya pande zote ili kuweza kuzungumzia amani katika maeneo yao ya utawala”

КОМЕНТАРІ • 480

  • @movingdiamonds5718
    @movingdiamonds5718 Місяць тому +62

    Wakenya si walisema hatujui English wamuone spika wetu anavyopasua yai sasa.........kama wewe ni Mtanzania like hapa

    • @user-wh7gj9ug9s
      @user-wh7gj9ug9s Місяць тому +2

      Wao ndio hawajui

    • @habibnjowele7751
      @habibnjowele7751 Місяць тому +2

      hata wakijua hiko kirengesa lakini mahindi wanafuata tz

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Місяць тому +1

      Acha hizo ,Unaleta vitu na watu wa hovyo

    • @alifbe4395
      @alifbe4395 Місяць тому

      Dah bro una akili finyu sana hivi waona walioserikalini hawajui kizungu

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 Місяць тому

      Sasa Kenya na kiingiresa Chao na kuandamana na masufuria kisa unga wapi na wapi sisi tulime tuwauzie wasije wakafa bure maana hicho kingereza pekee naona hawashibi MUNGU IBARIKI TZ

  • @Avith-lj2sp
    @Avith-lj2sp Місяць тому +218

    Oyaa kama unakubali putting alivyomkazia jicho spika wetu like hapa👍

  • @ludovicsaronganangawe2720
    @ludovicsaronganangawe2720 Місяць тому +11

    Congratulations on your great presentation Tulia Ackson. Tanzania TUNASABABISHA!

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 Місяць тому +23

    Mim naipenda urusi san na nataman urusi ije Tanzania kuwekeza kama nawew unaipenda urusi kuliko marekan gonga like yako hapo timu puttin tujuaje

    • @professorimmah
      @professorimmah Місяць тому

      U are not patriotic sometime i can say that u slave country my advice to u take of your slave u wanna to like your country

    • @ELIAMbise-sy5ue
      @ELIAMbise-sy5ue Місяць тому

      Napenda marekani na urusi50/50

  • @bashiruamri2167
    @bashiruamri2167 Місяць тому +32

    Kazi nzuri sana rais wa mabunge Duniani uko vizuri kwa hilo,lakini usipika wa Tanganyika/Tanzania sijakuelewa vizuri Inshu ya bandari Inshu ya mpina mbuge mzalendo msema kweli mtetezi Adui wa mafisadi na wahujumu uchumi ukamfukuza bungeni Daaaa Itanichukuwa mda kuelewa

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 Місяць тому +14

    Big up madam speaker,I'm proud of you❤

  • @HarunaMassamaky
    @HarunaMassamaky Місяць тому +14

    Hongera Mh Tulia.Big up!

  • @user-dk6rc9kb3f
    @user-dk6rc9kb3f Місяць тому +4

    Tanzania has gone far not only competitiveness revolution but political revolution 👍👍

  • @FredrickKabura-gd7hg
    @FredrickKabura-gd7hg Місяць тому +11

    Namuomba Mwenyezi mungu asimamie mahusiano mema ya TANZANIA na RUSSIA pia urafiki katika nyanja zote haswa kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni na kiteknolojia na mengine mengi Amina. 💗💕

  • @nickoemily8267
    @nickoemily8267 Місяць тому +2

    Big up our speaker Tulia Ackon,Tanzania tunajivunia sana kuwa na Kiongozi mashuhuri kama wewe.May our mighty God bless you.

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 Місяць тому +49

    Putin hapepesi macho, kayakaza balaa, naye tulia katuliza akili balaaaa🎉🎉

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Місяць тому

      Tunaomba tu asijichanganye maana uyo kiumbe nihatari asije akavigeuzia vinu kweny nch ytu ongea vzr mama

    • @josephngwega7398
      @josephngwega7398 Місяць тому +1

      😂😂hapo akizingua atamkimbiza

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Місяць тому +2

      Yaan tulia anajieleza weee mwamba bado anatafuta point ni ipi😂

    • @nimujocentre2173
      @nimujocentre2173 Місяць тому

      😂😂😂😂​@@FerdinandCharles-ko7de

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Місяць тому

      @@nimujocentre2173 😁😁😁 kweli

  • @jastinekyungai1023
    @jastinekyungai1023 Місяць тому +6

    Tz to the world superb sana @tulia

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 Місяць тому +25

    Mzee anaona kama anapotezewa muda2

    • @issaalfani1030
      @issaalfani1030 Місяць тому

      Ningumu Tulia ni Rais wa mabunge Duniani ndiomana lazima amsikilize

    • @objstv6976
      @objstv6976 Місяць тому

      🎉🎉🎉

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 Місяць тому

      Tulia akitaja IPU mwamba anazidi kukaza jicho 😅

    • @sheyosquad5755
      @sheyosquad5755 Місяць тому

      Acha wenge ww

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 Місяць тому +1

      Aya mambo bwana sasa uyu mama anamwambia nn putin

  • @erastozawadi8002
    @erastozawadi8002 Місяць тому +6

    Mm kama mm nnaihitaji Urusii kuliko Marekani Kwa sasa maana hapa tulipo tupo kama sehem ya influence ya America na EU so we can change mode of action

  • @francomkandawile8572
    @francomkandawile8572 Місяць тому

    Dada yangu Tulia Ackson nakupenda sana katika Bwana, God has created you with a lot of benefits for others. I real appreciate your efforts towards responsibilities.

  • @AlbertDickson-b9p
    @AlbertDickson-b9p 15 днів тому

    Hongera spika wa bunge la Tanzania

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 Місяць тому +30

    Putin aje Tanzania jaman naomba

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 Місяць тому +6

    Ungenda kwa Biden ungesikia Tulia must go😂😂😂

  • @samwelkulagwa861
    @samwelkulagwa861 Місяць тому

    Asante uwe na Mungu daima,,,,,kiongozi nakuona mbali sana katika nafasi ya siasa.Utakuwa kiongozi furani ivi pale juuuuuuuu

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 Місяць тому +29

    mwambie na ss tunataka awe mshilika wetu tuachane na machoko atujengee vinu vya nyuklia dunian akuna amani ww auwezi kumshauli chochote

    • @magesagambajr3546
      @magesagambajr3546 Місяць тому

      Kijana unataka Vinu😅😅

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 Місяць тому +3

      Waliomchagua unadhani hawajui uwezo wake, wewe kapuku ndio una jicho la tatu la kuona hawezi kumshauri chochote, ila umesahau akili za mwadamu huishi kwa kutegemeana, maandazi wewe

    • @evarimdecoration4256
      @evarimdecoration4256 Місяць тому

      Kweli hawezi kumshauri Putin chochote maana hilo jicho alilomkata daah

    • @evarimdecoration4256
      @evarimdecoration4256 Місяць тому

      Haaaaa haaaaa

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx Місяць тому +1

      Mheshimiwa spika mshauli Mzee putin mwambie aandae makombora ya nyukria Mzee wakuyavurumisha nipo nije nimchape mmarekani na washirika wake

  • @user-pt7lc4xu3d
    @user-pt7lc4xu3d Місяць тому +2

    Jaman dada yngu mungua akutunze

  • @CharlesMaganga-c6p
    @CharlesMaganga-c6p 12 днів тому

    Haki ya mungu sisi wabongo ni wajasiri,,, tulia katulia na anaongea sawasawa hongera kwake cheki sura la putin angekuwa mkenya hapo tayari kashasema luo hawatufai uwa wote kwa uoga tu wa sura ya putin lakini sipika wetu wa bunge❤❤❤❤❤❤

  • @joshuawenceslaus2466
    @joshuawenceslaus2466 Місяць тому +2

    Jamaa anasoma saikolojia 😂😂😂😂 this guy, is intelligent

  • @ErnestMhangwa
    @ErnestMhangwa Місяць тому

    I appreciate your work our leader Tulia Akson mungu awe nawe na akutie nguvu .

  • @user-dk6rc9kb3f
    @user-dk6rc9kb3f Місяць тому +2

    Hatua kubwa sana madam tulia

  • @greysondavid6445
    @greysondavid6445 Місяць тому +3

    Tanzania has to make a very strongly tie with russia.Tanzania has to make the right decision to trade and technological share.I urge all africa to tie and trde with russia.

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m Місяць тому +2

    ❤ madam tulia spika wetu mpendwa tunakuamini sana ila Mr putin hapepesi macho amekusikiliza kiumakini sana mzuri sana madam tunakupenda,kz iendelee

  • @user-yu2mb4bk8i
    @user-yu2mb4bk8i Місяць тому

    Mnyakyusa anaflow balaaa❤

  • @user-dk4iq5ct6r
    @user-dk4iq5ct6r Місяць тому +5

    Mweshimiwa kazi nzuri naomba zawadi ya kirussi mama

  • @allironjo2698
    @allironjo2698 Місяць тому +10

    Nimependa sana hasa ninapomuona Dr Tulia anaongea kwa heshima sana yani kama mwanafunzi wa darasa la pili kaitwa ofisini na mwalimu mkuu nimependa hongera spika wetu

  • @christopherkiswaga9270
    @christopherkiswaga9270 Місяць тому

    Asante sana kwa kazi ya kuleta amani . Heri kwa nchi yetu Pendwa kupata nafasi hii.

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv Місяць тому +1

    Hakika huyu turia kaenda kwaishugani jamani kama hatuuzwi mm chizi hawa wanatuuza😢😢😢

  • @thompsonkiputa6842
    @thompsonkiputa6842 Місяць тому +1

    Safi sana Mhe. Speaker 👏💯

  • @brother_majesty
    @brother_majesty Місяць тому +6

    noma

  • @MSAMBWANYAKUSOTA
    @MSAMBWANYAKUSOTA Місяць тому

    Congratuation Dr. Tulia Akson for repsenting our nation

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Місяць тому +3

    Big up to sipika Tulia Rais ajaee

  • @barakamwangeni6589
    @barakamwangeni6589 Місяць тому

    Hongera sana mh Tulia
    Tanzania 🇹🇿 tunakupenda umetuwakilisha vema.

  • @khalifaaliomar7989
    @khalifaaliomar7989 Місяць тому +1

    Asante

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd Місяць тому +9

    Putin ni hatari

  • @levispaultitus8623
    @levispaultitus8623 Місяць тому

    Well presentation for national ❤

  • @KELVINHENRY-j1k
    @KELVINHENRY-j1k Місяць тому

    Respect putting

  • @swahilitheafricantongue7041
    @swahilitheafricantongue7041 Місяць тому +1

    Hongera yako mwanamama. Mshukuru sana Mungu amekuona

  • @user-zr1ry5lm7d
    @user-zr1ry5lm7d Місяць тому

    Kiongoz kam kiongoz mungu akubariki san mweshimiwa spika upo na future san mungu akubariki katika harakat zanko🎉

  • @shaibukhamis863
    @shaibukhamis863 Місяць тому +5

    Jamaa jicho alichezi sio poa

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Місяць тому

    Hongera kwa kutuwakilisha vizuri.

  • @linusluka5358
    @linusluka5358 Місяць тому

    Asante Mungu kwakutupatia viongozi imara wacio na uoga na wenye hekima

  • @rashidkingazi3430
    @rashidkingazi3430 Місяць тому

    Top imemuangusha bahna imejikunja daaah ila sio mbaya tanzania❤❤❤❤

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue Місяць тому +1

    Uyu dada anajua aise

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 Місяць тому

    Mungu akujaze ujasili kwakazi mzuri❤❤❤

  • @SamsonLalika
    @SamsonLalika Місяць тому +3

    Hongera tulia mbunge wetu kwa kukutana na putin

  • @ezekiamyovela9407
    @ezekiamyovela9407 Місяць тому +1

    Mwamba yupo very serious

  • @mwarabukabandama3797
    @mwarabukabandama3797 Місяць тому

    Big up🎉

  • @edgarlinus2720
    @edgarlinus2720 Місяць тому

    Hongera sana Mh spika Tulia Akson

  • @AdamuIbrahimu-e9m
    @AdamuIbrahimu-e9m Місяць тому

    Safi spika wetu TULIA.

  • @GeradLeonard
    @GeradLeonard Місяць тому

    Hongera sana mh Tulia

  • @SilasKanunga
    @SilasKanunga Місяць тому +1

    Inapendeza sana

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 Місяць тому +1

    Ongera mauwa yako❤

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 Місяць тому

    RAISI wa umoja wa mabunge,cyo Tanzania,cyo Africa, dunian, hakika nicheo kikubwa sana hongera MH tulia🎉

  • @MuungwaMtwana
    @MuungwaMtwana Місяць тому +2

    Hongera dada usisahau kunoletea zawadi ya cm kutoka urus

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ Місяць тому +3

    Hongera Sana Spika wetu kwa kukutana na Raisi wetu wa Africa, heshima kubwa sana

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 Місяць тому

    Ur accent is fly for sure🔥

  • @EmanueliSimbwe-ru5fu
    @EmanueliSimbwe-ru5fu Місяць тому

    Asante Tulia Ackson

  • @ericktesha1668
    @ericktesha1668 Місяць тому +12

    Spika katulia sana

  • @rev.thobias2756
    @rev.thobias2756 Місяць тому

    HONGERA SANA MADAM MAAJABU YANAWEZA TOKEA TUKIAMINI MUNGU YUPO TANZANIA TUKIMWOMBA ANAWEZA YOTE LUKA 1:37 BY MAKAMU MWENYEKITI TAKURAWA DAR ES SALAAM TAASIS YA MAOMBI INAYOONGOZWA NA DR PETER RASHID DGF

  • @mbwanamtessa8607
    @mbwanamtessa8607 Місяць тому

    Wow....madame speaker congoreee

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Місяць тому +7

    Nataman siku moja Putin aje afanye ziara Tanzania ni mtu wa maana saana, kwanza ilifaa Tanzania tujiunge na umoja BRICS

  • @professorimmah
    @professorimmah Місяць тому

    Mh tulia your very brain I really likely your talking

  • @godmbise-gj9ug
    @godmbise-gj9ug Місяць тому

    Great Tulia Ackson

  • @neemakyando2579
    @neemakyando2579 Місяць тому

    Congratulation Tilia Ackson

  • @emanwelmsuya7320
    @emanwelmsuya7320 Місяць тому

    Mungu atuokoe na hiliwimbi la kinamama itafikia hatuatutaundiwa hakiza kinababa

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 Місяць тому +3

    Mnafikiri urusi kuna msaada?😂

  • @user-uh5rs7me2m
    @user-uh5rs7me2m Місяць тому

    Tulia akson🔥🔥🔥🥰

  • @rodamkunda9081
    @rodamkunda9081 Місяць тому

    Doctor. Tulia hongera sana kua kufafanua Marengo muhm ya kutaka amani dunian including Russia

  • @mwamvitamwebeyo5547
    @mwamvitamwebeyo5547 Місяць тому +1

    Anakushangaa rangi yakoooo..kuna sehemuu amecheka..
    Kwa kichwa😂😂

  • @herilello4
    @herilello4 Місяць тому

    Happening Macho

  • @AtupokleLusago
    @AtupokleLusago Місяць тому

    Hongela mama umetuwakilisha wa tz.

  • @AthanasFrancis
    @AthanasFrancis Місяць тому

    Long live African Queene!!

  • @NkwabiMasanja
    @NkwabiMasanja Місяць тому +2

    Anavyomwagalia. Jamaa ivi huyu ndo aliyemuonea mpna au nipite nae au nimxbil akirud

  • @Thobiaslucaskipara
    @Thobiaslucaskipara Місяць тому +4

    IPO KAZI

  • @eliudbeyanga8575
    @eliudbeyanga8575 Місяць тому

    Safi spika wetu

  • @Allybinamour
    @Allybinamour Місяць тому +10

    Nadhani speaker anazunguka mbuyu saaaana,putin yupo tayar kusitisha vita wakat wowote kwa sharti ukraine iache mpango wake wa kujiunga na NATO,ushauri mwengine wowote hauzingatii ndo akamtolea speaker jicho kali mana anajua hajawa tayar na anachokizungumza.

    • @drgeraldcubwa481
      @drgeraldcubwa481 Місяць тому +1

      Na hilo ndilo Spika anatakiwa kuwashawishi ma spika wote wamshauri Zelensky aachane na mpango wa kujiunga na NATO

    • @user-hq5qx1hu2x
      @user-hq5qx1hu2x Місяць тому +1

      Tulia NI kama zeelenziky tu
      Hastahili kukaa na putin

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ Місяць тому +2

    Nilijua kaenda kama mwakilishi wa Serekali kumbo kama kiongozi wa Mabunge😂😂😂

  • @igotv9978
    @igotv9978 Місяць тому

    Sawa

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo Місяць тому +2

    HONGERA SANA SPIKA WA KIMATAIFA. UAMBIE ULIMWENGU KUWA WAAFRIKA NI NANI! HAKIKA SPIKA WETU KWA MARA YA KWANZA WAONYESHE KUWA TANZANIA KUNA DEMOKRASIA ILIYOKOMAA. HONGERA Mh. SPika.

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Місяць тому

      Hamna kitu anaweza kumuelewa hapo anamuona kama kinyago cha maonesho tuu😅

    • @KelvinMauky
      @KelvinMauky Місяць тому

      Hakuna democrasia bongo bali uwoga na kutishiwa tuh

    • @Sh_Taqee
      @Sh_Taqee Місяць тому

      Wewe unaongelea Demokrasia ipi Tanzania? Kuiba Kura ktk Uchaguzi ndio Demokrasia?

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es Місяць тому +1

    Glory be to God kwaajili ya speaker wetu

  • @TimothyAlex-it2lm
    @TimothyAlex-it2lm Місяць тому

    Hongera Tanzania kwakutoa mtu kamili mwenye zamira nzuri na dunia Jamani TANZANIA ndiyo Taifa pekee lililo na fursa mbalimbali na ni Taifa ambalo limeteuliwa na kuandikwa kwenye VITABU vingi vya dini na vya farsafa za utawala asante Tulia Kama jina lako lilivyo tajwa na manabii wazazi wako tuliza kweli magomvi yanayotokea duniani by Engineer Mayala

  • @GabrielleMollel-iu9bd
    @GabrielleMollel-iu9bd 3 дні тому

    Ahaha anaonekana kama anapotezewa mda kwenda kwenye makombora

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv Місяць тому

    Hongera mama yetu

  • @malambamichael8565
    @malambamichael8565 Місяць тому

    👂👂👂👂👂👂👍👍👍🇿🇲🇿🇲Tanzania 💡

  • @joshuakitunzi9500
    @joshuakitunzi9500 Місяць тому

    Dingi alivokaza macho kikamanda,big up gentleman💪

  • @georgeherman5613
    @georgeherman5613 Місяць тому

    President Putin is so smart and well determined to success in every thing he tries

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 Місяць тому

    Nimependa Brics ❤

  • @JosephMayagila
    @JosephMayagila Місяць тому

    Hongera sana kwa Mama huyu

  • @Kakamkubwa3564
    @Kakamkubwa3564 Місяць тому

    Hilo jicho la mwamba linaweka kukutoa Kwenye mood 😂😂😂😂😂

  • @victorburetta2972
    @victorburetta2972 Місяць тому +1

    ❤❤

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy Місяць тому +10

    Tanzania tuna hazina kubwa ya viongozi wanaojiamini. Tuwaombee.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Місяць тому +3

      Wanajiamini kwa lipi kwa kuuza twiga zetu au?

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy Місяць тому

      @@ramadhanmahongole9293
      Tulia ni spika wa bunge la Tanzania. Ni muhimili pia.

    • @johnv6916
      @johnv6916 Місяць тому +2

      ​@TOUNDISELASSIE-xj8oy Binafsi sitawaombea nitaombea familia, ndugu na marafiki ila sio hao. Mhimili wa nini? Bunge la chama kimoja na zaidi ya 90% wameingia bila haki ata ukiwaombea ni kupoteza mda wakatubu kwanza kwa uporaji wa 2020.

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy Місяць тому

      @@johnv6916
      Siasa ni propaganda, unaweza kuwahadaa watu wote kwa mara moja, ila sio kwa wakati wote. Siku moja wakiujua ukweli wa propaganda zako, wanakukimbia ama kukukwepa. Kama alivyofanya mchungaji msigwa. Hivyo nakushauri jenga imani na viongozi waliopo madarakani. Waheshimu, waombee, lakini pia usiache kuwashauri. Tulia ni kiongozi mahili na imara.

    • @johnv6916
      @johnv6916 Місяць тому +1

      @@TOUNDISELASSIE-xj8oy siombei wezi wa kura mimi nitakua napoteza mda, pili uyo msigwa ni mchumia tumbo tu, tatizo lako unadhani mwanasiasa atabadili maisha yako ndio tatizo la waafrica, amna cha upunzani au chama tawala kitakachokuletea mabadiliko, nachokuambia pambania na ombea familia yako, nakuhakikishia ukiombea wezi wa kura hamna ombi lako litakalosikilizwa ni kupoteza mda.

  • @HABARIKATV-q3w
    @HABARIKATV-q3w Місяць тому +2

    Duh aise noma putin

  • @nyaturuboy1068
    @nyaturuboy1068 Місяць тому +1

    I hope tulia will be the second women to be tanzanian president, let's wait time will tell I swear to god

    • @nth3512
      @nth3512 Місяць тому

      Acha ujinga ww, hatuchagui mwanamke cc, ata huyo aliyopo kapita alternative way

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 Місяць тому

    Safii..welcome russia

  • @jastinmkandala5620
    @jastinmkandala5620 Місяць тому

    Jamaa lenyewe Kama halitaki vile