KWENYE KIKAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Barikiwa na wimbo huu unaopatikana katika dvd ya album yetu inayoitwa HAIWEZEKANI

КОМЕНТАРІ • 22

  • @yoshuakimguni9345
    @yoshuakimguni9345 2 роки тому +1

    Yesu alijitolea kwa ajili yetu yote kamaliza yote Ni pamoja na fedhea,hatia ya dhambi na mizigo yetu yote Sasa tupo huruuu
    Wimbo unamaana kubwa Sana ❤️ pata tafakar

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 3 роки тому +1

    Mungu awabariki sana watu wa Mungu yaan sauti mmepangilia vizuri sana zote zinasikika yaan had raha jaman

  • @yoshuakimguni9345
    @yoshuakimguni9345 2 роки тому +1

    Nimebarikiwa na huu wimbo maneno yamenigusa Sana moyo wangu ❤️ nawapenda bure

  • @kevinmessy3364
    @kevinmessy3364 Рік тому

    Nimekubali mko Vizuri wqnangu

  • @lewis80
    @lewis80 4 роки тому +2

    I'm an Adventist and I love your songs very much. Keep up the spirit. God bless you

  • @daud8785
    @daud8785 3 роки тому +1

    Mimi Ni muadventista msabato,kwa happy mmenifurahisha mno.

  • @florahsekidolima8970
    @florahsekidolima8970 5 років тому +2

    Jaman me huwa naisikiliza hii nyimbo Kila mara yan mmepangilia sauti vizur hadi raha nawapenda bure yan

  • @abdulramadhani6763
    @abdulramadhani6763 5 років тому +1

    Mungu wabariki sana nimebarikiwa Kwa hi nyimbo #keko juu

  • @daud8785
    @daud8785 3 роки тому +1

    Hapo vizuri MUNGU awabariki sana

  • @arnolddominic2949
    @arnolddominic2949 5 років тому +1

    Mbarikiwe sana kvk
    Mungu aendelee kuwatumia na kuwainua kwa viwango vingine

  • @estertujinyuda6217
    @estertujinyuda6217 5 років тому +1

    Nawapenda nyie watumishi nimezipenda nyimbo zenu

  • @daud8785
    @daud8785 3 роки тому +1

    Kwa happy Safi, MUNGU awabariki.

  • @fadhilngimilanga1828
    @fadhilngimilanga1828 4 роки тому +1

    Wimbo umenibariki sana

  • @janethkikali4128
    @janethkikali4128 5 років тому +1

    Mungu awabariki kwa nyimbo zuri

  • @lupakisyopeter2009
    @lupakisyopeter2009 2 роки тому +1

    Wapi Lydia na Caren Mwaipyana?

  • @betianamdesa620
    @betianamdesa620 3 роки тому +1

    hivi hamna cd ya hizi nyimbo nyie watu

  • @nisilem1516
    @nisilem1516 5 років тому +1

    Nawamis jamaniiiiii

  • @betianamdesa620
    @betianamdesa620 3 роки тому

    okey nitawatafuta