Sifa_Kwaya ya Uinjilisti Boko KKKT (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Sifa na Utukufu vyote nivyako Bwan,
Anga na viumbe vyote vyakusifu wewe,
hakuna aliye kama wewe ,
wewe ni Alapha na Omega yaani Mwanzo na Mwisho.
Audio Production JCB
Video capturing : JCB Studios
Video Editor: Joshua
Ninatafakari Uzuri wa Mbinguni
Song: Ninatafakari
(2023)
#UinjilistibokoKKKT#Sifa#Musicvideo
#audio #musicvideo #tranding
Hongereni Sana mnaimba vizuri Sana,pia unajua kuchagua mavazi mazuri yanayowapendeza Sana,,,pia nafurahi kumuona dada yangu Beatrice MEELa kuwa mmoja wa mwinjilisti katika huduma yenu ya uimbaji
Tusije kosa mji ule watumishi❤
Mungu awabariki nawapata nikiwa njombe
pongezi nyingi kwenu watu wa Mungu mmmetisha😂👊👊💪👏👏
Sifa na utukufu kwake aliye juu 🙏
Wonderful!!
Mungu awabariki nawafeatilia nikiwa Oman 🙏
Halaleya!!.
Hongereni sana
Mungu awabariki watumishi wake.
Kazi nzuri sana. Utukufu kwake Mungu.
Amina
Amen Mungu nimwema sana
Hongeren sana team❤Mungu awabariki
Amina
Sifa na utukufu kwake aliye juu 🙏