ALIONYESHA NJIA
Вставка
- Опубліковано 10 вер 2024
- Kwaya ya Vijana Keko KKKT - KvK
Wimbo: Alionyesha njia.
Kama wanadamu kuna wakati tunakutana na magumu yanayotuumiza mioyo yetu, lakini liko tumaini kwa Yesu maana ndiye mwongoza njia. Barikiwa na wimbo huu wa matumaini.
Km una wakubar Keko gonga like👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Hongeren Wapendwa Kwa wimbo mzuri Bwana awajalie zaidi vipawa vingi ili mumtumikie vyema
napenda nyimbo zenu kama wasabto vile mbarikiwe
Nawapenda sana ,alafu mna hekima na heshima
Ameen Ameen!
nyimbo nzuri sana imetulia masikion mpaka inatowa njaa
This is Keko barikiwa sana...kuna waimbaji wamenigusa mnoo mpk ivi ninavyotyping...nairudiarudia aisee ni noumaaaa
May God be with you ,,,,,huu uimbaji n mzur ,unafanya msikilizaji aconcetrate kusikiliza ,,mbarikiwe
Haswaaaaaa,wamejipangaaa
Safi kabisa
Hii ndio nili kuwa na isubiri kwa hamu
Good bless
Px p
Nimewapenda aisee..karibuni Usharika wa Mwanagati...mnakamua wacha kabisaaaaa
Usharika wa Mwanagati mnayo kwaya ya vijana?