Jicho la Tatu - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 гру 2019
  • Jicho la Tatu kutoka Kwaya ya Msasani KKKT iliwekwa wakfu na kuzinduliwa tarehe 8 Desemba, 2019

КОМЕНТАРІ • 487

  • @user-dz2xr9bc6g
    @user-dz2xr9bc6g 5 місяців тому +33

    Kama bado unaskiliza wimbo huu mpka 2024 gonga like apa❤

  • @bxqueez5729
    @bxqueez5729 Рік тому +22

    2023 tunaousikiliza huu ujumbee gonga like hapa twende kaziii

  • @nerryabel7512
    @nerryabel7512 2 місяці тому +4

    Naangalia hii nyimbo may 2024,sifa na utukufu ni kwa Mungu wetu 🙏

  • @upendoeliud6053
    @upendoeliud6053 2 роки тому +32

    Inabidi niushike huu wimbo wote, nisala nzito sana nilikuwa sijausikiliza vizuri❤ alie andika huu wimbo Mungu azidi kumuinua, Juu.🙌

  • @jaclinemoshi9851
    @jaclinemoshi9851 Рік тому +7

    Raise up your hand if your in love with this song like me💯❤

  • @matildachibuga
    @matildachibuga 5 місяців тому +2

    Good song be blessed more ❤❤

  • @lameckmutemi2858
    @lameckmutemi2858 3 роки тому +24

    Gonga like 2021 tunaozidi kusikiliza huu wimbo

  • @richardshembilu3292
    @richardshembilu3292 6 місяців тому +2

    Huyu dada wa solo naomba namba zake

  • @beatriceyosia1459
    @beatriceyosia1459 Місяць тому

    Huu wimbo unanihusuu kama vile nliwasimulia hostiria ya maisha yangu, kisha wao kutoa wimbo, asanten sana nimepata nguvu ya kuzid kuomba zaid jicho la tatu.

  • @mackiewilfredmguhi5859
    @mackiewilfredmguhi5859 2 місяці тому +2

    Naangalia jinsi ya kuileta hii Kwaya Songea mwezi Septemba 2024 nina jambo langu.

  • @wilfredmremi8274
    @wilfredmremi8274 4 роки тому +10

    Nafarijika mno mno nisikiapo hizi sauti Mungu azidi kuwatumia katika huduma ya kulitangaza Neno lake kwa njia ya Nyimbo Barikiwa mno mno watumishi wa Mungu

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy 11 місяців тому +2

    2023 still watching

  • @estermillanzi
    @estermillanzi 10 місяців тому +3

    🎉 naupenda sana huu wimbo❤ na pia nabarikiwa sana ninapousikiliza MUNGU awabariki wote

  • @user-sb5mc3pf6j
    @user-sb5mc3pf6j Рік тому +2

    Huu wimbo nakupenda Sana naomba kila wakat ad watoto nao wameushika nawakuta wanaimba huku wanacheza God bless them all

  • @evelynemhina76
    @evelynemhina76 4 роки тому +9

    Eeeh uyu dada anaeimba mungu naomba jicho la tatu ananikoshaaaaa

  • @user-mx3zl4mc9r
    @user-mx3zl4mc9r Рік тому +2

    mungu awabariki sana tena sana kwa huu ujumbe

  • @elizabethmanase1227
    @elizabethmanase1227 4 роки тому +15

    Jaman natamani huu wimbo uwe na mamilioni ya watu katika views coz huu wimbo ni mzuri mno na unabariki hasa cc vijana tumesha potea sana😎😗😗😗

  • @lilianamos7328
    @lilianamos7328 Рік тому +2

    Mumenibalik cn mung awap wepes wa Kaz yn 🙏🙏🙏

  • @user-ip6ls5ly9n
    @user-ip6ls5ly9n 4 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ jicho la tatu mungu atufanyie vitu katk jicho la tatu ambalo hatulion

  • @brysonmsuya3097
    @brysonmsuya3097 4 роки тому +7

    Hongereni sana kwa wimbo mzuri sana Mungu azidi kuwabariki mkaendelee kuitenda kazi yake ya kuhubiri kwa njia ya nyimbo kwa nguvu na akili zenu zote.

  • @MagrethMpuno-no9rw
    @MagrethMpuno-no9rw 6 місяців тому +1

    Mungu awabariki sana Kwa ujumbe mwema Kwa njia ya uimbaji

  • @alicealfred382
    @alicealfred382 Рік тому +2

    Gonga like kama bado unaangalia mpaka 2022

  • @user-wm5us4no6y
    @user-wm5us4no6y 11 місяців тому +1

    Hiiii nyimbo ninzuri mno napenda nikiwa nausikiliza mda wote mbalikiwe

  • @AngellaJoshua
    @AngellaJoshua 2 місяці тому

    Mbarikiwe watumishi wa bwana wimbo mzuriii mnoooo😊 nabarikiwa sana kupitiwa huu wimbo.

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 Рік тому +1

    Mwenyezi mungu nipe jicho la tatu

  • @mangowiloveness443
    @mangowiloveness443 11 місяців тому +2

    Mungu awabariki sana kwa sala hii ina ukweli ndani yake

  • @aghatamaziku6173
    @aghatamaziku6173 9 місяців тому +1

    Yaan kila mtu ndani kwangu anaimba wimbo huu...Mungu awabariki sana❤

  • @yudambowe8916
    @yudambowe8916 Рік тому +1

    Ninafarijika sana nikisikiliza huu wimbo Mungu azidi kuwabariki nyote

  • @faustinaalphonce3141
    @faustinaalphonce3141 4 роки тому +8

    Nimebarikiwa na ii nyimbo sana...Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @christophermanko5670
    @christophermanko5670 7 місяців тому +1

    Mnanibariki Sanaa Mungu awabariki Sanaa jmn!!!

  • @maymsigala8355
    @maymsigala8355 4 роки тому +3

    Mbarikiwe sana, leo hii ndo nimewaona kwa mara ya kwanza via Upendo TV. MUNGU azidi kuwabariki na kuwainua. Mnaimba ujumbe mzuri, mko smart na mnaimba mkifurahia. Viwango viongezeke zaidi, na mzidi kutofautishwa. YESU awe Kiongozi wenu na kuishi maisha ya Utakatifu ili mzidi kumuimbia MUNGU mpaka mwisho.

  • @samedward4211
    @samedward4211 3 роки тому +9

    Nimewasikia leo clouds radio..Nimewapensa sana..
    Siku hizi Kwaya zetu zinakua kimtazamo hasa kwa nyakati hizi tunahitaji kumkaribia Yesu namna hii..
    Abarikiwe mtunzi wa wimbo..
    Mbarikiwe waimbaji .
    Yesu asifiwe.

    • @evaristngurukizi3033
      @evaristngurukizi3033 3 роки тому +2

      Huu wimbo naupenda kuusikiliza wakati wote.
      Bwana Yesu asifiwe.

  • @SuperSamboh
    @SuperSamboh Рік тому +2

    Mko vizuri, utunzi,kumtukuvmza Mungu, classic

  • @annajephta1584
    @annajephta1584 4 роки тому +5

    Nimeupenda sana huu wimbo kweli Mungu atupe jicho la tatu Mungu awabariki sana kwaya ya ukombozi k kkt msasani

  • @theodorymfuse4220
    @theodorymfuse4220 Рік тому +1

    Aminaaaaa kubwa na mungu awabariki

  • @ruthmuna1264
    @ruthmuna1264 2 роки тому +2

    Munguuu kweli atusaidie tuone yaliyo mbele yetu jaman nmebarikiwa saaaana Mungu awainue

  • @dorcaskinyangadzi5093
    @dorcaskinyangadzi5093 4 роки тому +3

    Kwa mara ya kwanza huu wimbo nilipousikia upendo tv ukanibariki sana,🙏🏼 powerful song

  • @catherinekilawila8363
    @catherinekilawila8363 3 роки тому +2

    Bwana Yesu awatunze nmefurahi sana kuwasikia leo KKKT Kinondoni, Upendo endelea kusugua taji lako.👏👏

  • @user-ez4no2sk4o
    @user-ez4no2sk4o 4 місяці тому +1

    Wimbo huu hunipa utuliv ndani ya moyo wangu🙏🙏

  • @julianasingo6689
    @julianasingo6689 2 місяці тому

    Wimbo umenivusha kwenye mengi asnte Mungu mbarikiwe

  • @christinangure6825
    @christinangure6825 4 роки тому +5

    Nimeipenda ujumbe mzuri Mungu awakuze katika uimbaji wenu

  • @neemamadimilo4479
    @neemamadimilo4479 2 місяці тому

    Wimbo ni mzuri sana, nabarikiwa nao sana, Mungu awabariki sana waimbaji wote na watunzi

  • @Leecii5
    @Leecii5 4 роки тому +15

    Yaani hyu mkaka anayeimbisha anaweza kkufanya ukaimba kwaya bila kupenda🥰!!! Me nampendaaa jmani❤️

  • @janethleonard6697
    @janethleonard6697 Рік тому +1

    Jaman huu wimbo naupenda mnoo na Kila nikiusikiliza hata kama nilikuwa na msongo wa mawazo nakua na aman kupitia maneno yaliyonenwa humu ndan alikiwe sana mwandishi 🙏🙏

  • @TheKaida23
    @TheKaida23 3 роки тому +2

    Bwana Awabariki sana watukishi.... Mimi sio mzur sana kwa nyimbo za kwaya ila nilipowaona WASAFI TV nilipenda na hakika bwana amewapa karama ya kumtukuza... And for sure I will buy your album if any......

  • @joramwilson8400
    @joramwilson8400 3 роки тому +3

    Mungu awabariki na Wasafi FM imenileta mpaka UA-cam niwaone vizuri mko powa sana na Mungu awabariki kwa kweli mko pouwa sana maadhi fulani amaizing.

  • @agneskoku1635
    @agneskoku1635 Рік тому +1

    Yesu naomba Jicho la Tatu ni wajue watesi wangu wote Zaidi ya hawa ninao waona Ili niweze kuwashukuru,

  • @salustianmlingi4716
    @salustianmlingi4716 4 роки тому +3

    Kwaya mubarikiwe sana najifunza sana na kufunguka kiroho kupitia wimbo huu, jicho la tatu ni la muhimu nahitaji kuona Ewe Mungu tusaidie

  • @bethaandrew1596
    @bethaandrew1596 2 роки тому

    Mbarikiwe xana na Mungu kwel tunahitaj jicho la tatu

  • @elctelvdnyakatohospital5602
    @elctelvdnyakatohospital5602 Місяць тому

    Nabarikiwa saana kupitia huu wimbo

  • @furahinikisapi9987
    @furahinikisapi9987 4 роки тому +4

    Huu wimbo ,,,,,,!!! Sina neno zaid ya kumuomba Mungu jicho La tatu.mbarikiwe mnoooooooo

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 3 роки тому +4

    Jmn huyu kaka kanifanya nicheze kazini nusu kibarua kiingie moto Mungu awabariki sana🙏

  • @jacklineminja1419
    @jacklineminja1419 3 роки тому +5

    Aisee huyu dada anasauti... Mpaka nywele zinasisimka... Mungu awainue viwango vya juu zaidi...

  • @UlumbiGundula-cv9su
    @UlumbiGundula-cv9su Рік тому +1

    Good song god bless you

  • @mercyrotich4484
    @mercyrotich4484 Рік тому

    Wonderful song...watching it in 2023

  • @agnesjohn5075
    @agnesjohn5075 2 роки тому +1

    Mbarikiwee na mungu

  • @evelinaluvata1471
    @evelinaluvata1471 2 роки тому +2

    2022 I'm still here ❤️

  • @allanmuhutila4909
    @allanmuhutila4909 3 роки тому +1

    mungu naomba unipe jicho la tatu kupitia wimbo huu na barikiwa sana nikiwa chuoni

  • @falijiubamba4155
    @falijiubamba4155 Рік тому +1

    Huu wimbo una ujumbe mzurii sanaa

  • @rosenyenyembe4698
    @rosenyenyembe4698 3 роки тому +1

    Yesu Kristo naomba jicho la tatu

  • @wiza2309
    @wiza2309 3 роки тому +3

    Wabarikkwe watunzi na waimbaji, nausikiliza huu wimbo sichoki, Neema ya Mungu iwe juu yao

  • @HildaObeto
    @HildaObeto 11 місяців тому +1

    Ameen nikweli nisala kubwaa sana mtumishi

  • @MagrethMpuno-no9rw
    @MagrethMpuno-no9rw Рік тому

    Amina mungu azidi kuwabariki mtumike vema tumebarikiwa sana na mungu kupitia wimbo huu

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 роки тому +41

    Huu wimbo naombea ushike views
    Milioni 25 na zaidi unamafunzo makubwa sana🙏

  • @josephmasele1202
    @josephmasele1202 4 роки тому +9

    wimbo mzuri, hakika tunahitaji jicho la tatu

  • @jasminealvine3962
    @jasminealvine3962 Рік тому

    Mungu awazidishie ilo jicho la tatu kwaajili ya kaz yake

  • @tinielmmbaga8261
    @tinielmmbaga8261 4 роки тому +2

    Mungu naomba jicho la tatu nione mengi zaidi ya haya yaliyojificha

  • @amidasinzoyiheba473
    @amidasinzoyiheba473 3 роки тому +1

    Naomba jicho la tatu Yesu wangu nisije nikangukia Kwenye Shimo mbele yangu🙏

  • @ev.nicksonkuyenga6900
    @ev.nicksonkuyenga6900 4 роки тому +17

    Hongereni sana Vijana wetu. Mmetutoa kimaso maso wakristo. Tunamtukuza Mungu kwaajili yenu.💥

  • @lukumaypendaeli1501
    @lukumaypendaeli1501 4 роки тому +1

    Amen mbarikiwe jaman nabarikiw sana na huu wimbo jaman kwa jicho la tatu mimi ningeweza kuona mengi zaidi mbele yangu

  • @MerYEdga
    @MerYEdga 10 місяців тому +1

    Amina sifa Kwa mungu wetu

  • @IsackMlay-jc3bf
    @IsackMlay-jc3bf 9 місяців тому +1

    ucku mkali hii nyimbo inanipa faraja

  • @braymwela9958
    @braymwela9958 3 роки тому +1

    Mungu awabariki sana,,,Mungu tunahitaji jicho la tatu ili kumshinda shetani

  • @adenisaac7599
    @adenisaac7599 11 місяців тому +1

    Good song to me Glory to God

  • @neywilly9817
    @neywilly9817 3 роки тому +9

    Huu ni wimbo wa Familia yangu kila mmoja anaupenda na kuimba even my 3yrs son Mungu awabariki, ambariki mtunzi na aliyepata haya mafunuo.kwa siku 2mfululizo nausikiliza na umebaki moyoni mwangu.More Annointing to you Mkombozi Choir.

    • @pispaakim5123
      @pispaakim5123 3 роки тому +1

      Kwa kweli huu wimbo umenisogeza mahali Fulani Mungu awabariki sana

    • @dickosngassomi4217
      @dickosngassomi4217 3 роки тому

      zinatutengeneza.sana kiimani aiseee

    • @joyceelia8552
      @joyceelia8552 3 роки тому

      Huu wimbo unanipa matumain katk majarb ambay napitia

  • @doreentowo551
    @doreentowo551 4 роки тому +4

    Huu wimbo huwa unanibariki sana sijawahi kuchoka kuuangalia hata mara Kumi Kwa siku

  • @jemimahaloyce3668
    @jemimahaloyce3668 4 роки тому +3

    Ndio nyimbo yangu kila niamkapo, mungu awabariki sana nyimbo nzuri imenibariki.

  • @annasarungi5848
    @annasarungi5848 4 роки тому +3

    Huyo kijana wa mwisho kaua kabisa..amen wimbo unaujumbe nimebarikiwa

  • @tumainuressa1672
    @tumainuressa1672 4 роки тому +2

    Naupenda sana huu wimbo mimi unanifarij

  • @zacchaeusmirera5492
    @zacchaeusmirera5492 4 роки тому +1

    Mungu naomba jicho la tatu niweshe kuona mbele

  • @JacklineNkya-s3l
    @JacklineNkya-s3l 6 днів тому

    Naupenda sana Tena sana❤

  • @marselinadena7618
    @marselinadena7618 3 роки тому +1

    Jicho la tatu. Nimetafakari sana ujumbe wa huu wimbo kwakweli aliyetunga Roho wa Mungu alimuongoza. Unapoomba jicho la tatu pia unatakiwa kuwa jasiri kwasababu sio vyote twaweza kuhimili pale tunavyooneshwa. kuna sehemu Mungu anatuvusha kwa namna ambayo kama tungeona huenda tungevunjika moyo ila Mungu alitubeba na kutuvusha.
    Asante Mungu

  • @user-xe1gx5tn7l
    @user-xe1gx5tn7l 8 місяців тому +1

    AMEN MBARIKIWE SANA

  • @GSengo
    @GSengo 3 роки тому +1

    JICHO la 3 hatari sana naimba mpaka bafuni.

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 Рік тому +1

    Melodious voice, So touched. GOD BLESS YOU WATUMISHI❤

  • @frankmathias1322
    @frankmathias1322 4 роки тому +2

    This song jamani naupenda sana congrats sana. Huyu dada na kaka wawili wameutendea haki huu wimbo

  • @lippinesshaule2334
    @lippinesshaule2334 3 роки тому +1

    Kwakweli mungu anipe jicho latatu kwahaya majaribu ninayopitia nimefarijika mno

  • @PriscaMahimbi
    @PriscaMahimbi Місяць тому

    Mbarikiwe kwa ujumbe ❤

  • @juliuskalawa7860
    @juliuskalawa7860 3 роки тому +1

    Mungu naomba jicho la tatu, jicho la rohoni, ama kwa hakika wimbo huu umenigusa sana 🙏🙏🙏Ahsante Mungu🙏🙏🙏

  • @danieltanganyika7092
    @danieltanganyika7092 3 роки тому +1

    Kkkt msasani mnanibariki sana mnaimba mpaka raha

  • @ceciliansemiwe8188
    @ceciliansemiwe8188 4 роки тому +1

    Nimebarikiwa na wimbo huu hakika nahitaji jicho la tatu. Mbarikiwe sana Ukombozi kwaya

  • @perrywanjiru2754
    @perrywanjiru2754 4 роки тому +2

    Wimbo mzuri sana Mungu naomba jicho la tatu katika Jina la Yesu kritso

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 4 роки тому +2

    Good to see Dada Dora Kyelu wa Chimala kwetu.Hongereni sana wimbo mzuri sana.

  • @irenemaganga9831
    @irenemaganga9831 2 роки тому

    Mungu naomba jicho la tatu niweze kuona mengine zaidi haya ninayo yaona amen

  • @asimwedeus2419
    @asimwedeus2419 3 роки тому +1

    Yani mnashawishi kwakweli nachelewa kulala nakuwa bsy na huu wimbo naupenda saana niamkapo nikisikiliza huu wimbo nabarikiwa siku mzima kiukweli mnashawishi watu tuingiie kwaya jmn msasani nawapenda saaana mungu awainue zaid kwa viwango vingine jamn hakika mmeimba na mungu awabariki saaana💪🙏🙏🙏

  • @dorkasiobed2846
    @dorkasiobed2846 2 роки тому

    Mungu awainue zaidi watumishi

  • @stellagodfrey2229
    @stellagodfrey2229 4 роки тому +4

    Naipenda sana hii nyimbo

  • @mariamupessa720
    @mariamupessa720 2 роки тому

    Mungu awabalik kwahudum nzuli ya mungu

  • @deborabrown2114
    @deborabrown2114 3 роки тому +1

    Nabarikiwa na huu wimbo jamani sichoki kuusikiliza

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 3 роки тому +1

    Kwakweli huu wimbo Wa jicho la tatu unanibariki sana, mbarikiwe sana