NIGUSE - KKKT - Keko Vijana Kwaya KvK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Yule masikini kipofu aliomba mguso wa Yesu ili apate kuona macho ya mwilini, lakini inawezekana na wewe ni kipofu wa macho ya mwili na ya rohoni, basi kwa ujumbe wa wimbo huu hebu Yesu aoite akufungue ukaone. Kumbuka Mungu anamponya mwenye uhitaji wa kuponywa. kama na wewe ni mhitaji kweli Bwana akuguse uone tena.

КОМЕНТАРІ • 26