Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 чер 2019
  • Maneno Matamu, ni wimbo Maalum wa ndoa ulioimbwa na kwaya ya Moyo safi wa Bikira Maria - Unga Limited Arusha. Wimbo huu uliotungwa na Ndg. Hendry P. Kimario, upo kwenye album inayoitwa Pindo la Uzima. Wanakwaya hawa wanakukaribisha kusilikiza na kuutazama wimbo huu.
    Huu ni wimbo bora kabisa miongoni mwa Nyimbo za ndoa Katoliki.
    This is a Catholic Swahili wedding Song. You are invited to watch and listed to the beautiful melodies from this choir, one among the best choirs in Tanzania.
    Tuendelee kufurahia Muziki wa kanisa katoliki, Muziki unaohusu Habari za Yesu na maisha ya Ukristo kwa ujumla.
    iwapo ungependa kuwa wakala wa kuisambaza album hii, fanya mawasiliano kupitia namba +255 762 749 638 au +255 623 983 469
    #kwayakatoliki

КОМЕНТАРІ • 1,7 тис.

  • @rajopro
    @rajopro  2 роки тому +25

    Please support: www.patreon.com/user?u=77044884

  • @DM.2200
    @DM.2200 2 місяці тому +15

    Who is watching 2024

  • @gabrielemanuel2011
    @gabrielemanuel2011 2 роки тому +8

    Hayooooooo maneno matamu hayooooo yafariji yampe raha nakupenda sana my wife agness christian

  • @cleophasomondi5475
    @cleophasomondi5475 4 роки тому +104

    Wewe ndio heshima ya mke wako... Likes za Kenya zije

  • @justusaganyilatvonline1417
    @justusaganyilatvonline1417 4 роки тому +49

    Yaan huu wimbo unahamasisha kuoa jaman. Nawakaribisha mwakani mwez wa 12 ndio ndoa yangu. Mungu awabariki

  • @solanuskomba82
    @solanuskomba82 5 років тому +337

    ..nyimbo nzur...I get hope when I do listen Rc songs..👍👍npeni like zenu nyamani kama nawe umeikubali nyimbo hiii

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 роки тому +25

    Proud to be a catholic following from Qatar

  • @user-be4tf2ql1r
    @user-be4tf2ql1r 5 місяців тому +3

    Baraka za mungu ziwe pamoja na nyie ,wimbo mzur sana❤

  • @vincentomondi5612
    @vincentomondi5612 3 роки тому +9

    Kwa nyimbo za kikristo, Tanzania wanaongoza katika africa nzima..Hua napenda nyimbo zenu sana tena hua yananiliwaza sana..Pongezi.

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 3 місяці тому +2

    Wimbo mtamu sanaaaaaa hongereni sana wanakwaya❤❤❤

  • @nasiandaletoo6220
    @nasiandaletoo6220 4 роки тому +3

    Hakika nimejiskia raha sana najivunia kuwa mkatoliki

  • @gilbertmwancha2777
    @gilbertmwancha2777 3 роки тому +5

    Kwaniaba ya Wakenya,Tunashukuru Mungu awabariki.

  • @janemumbe8858
    @janemumbe8858 4 роки тому +5

    Wimbo mzuri sana tena wenye meseji tamu. Mnapendeza sana mbarikiwe

  • @grethagranya2641
    @grethagranya2641 3 роки тому +4

    Rajo production mambo yote.. mzidi kubarikiwa. wanacatholiki hoyee❤❤👌👌👌🙏 naamini kwamba huu mwaka 2021 nami nipate ataye niambia maneno matamu.

  • @vailethezekiel4175
    @vailethezekiel4175 4 роки тому +7

    Nimeisii naimbiwa Mimi Mungu nijalie nipate Mme bora natamani na Mimi siku moja niimbiwe hivyo

  • @wesleyjoshua1886
    @wesleyjoshua1886 10 місяців тому +4

    I'm proud to be a Catholic gentleman from Dubai munanda.❤❤❤❤❤.

  • @robertntarama
    @robertntarama 4 місяці тому +1

    Huu wimbo mzuri Kwa wanandoa ila sala inahitajika kwa taasisi Za ndoa shetani anazinyemelea sana

  • @mossesraphael1073
    @mossesraphael1073 5 років тому +101

    Hakika imekaa poa najivunia kuwa mkatoliki MUNGU awabariki wote mlioshiriki kwa vyovyote mpaka huu ujumbe ukawafikia wote duniani mbarikiwe sana

  • @emanuelypascal5564
    @emanuelypascal5564 4 роки тому +5

    Wimbo mzuri sana huu ,,Mungu awabariki mzidi kusonga mbele na kuletea nyimbo nyingine nzuri

  • @user-ch3wj8ny8l
    @user-ch3wj8ny8l Рік тому +1

    Namimi naupenda sana huu Wimbo,, waimbaji wabarikiwe sana, Wimbo huu waimbaji mliutendea haki.

  • @cayusoginga
    @cayusoginga 3 місяці тому +1

    Congratulations for a job well done 👍✅

  • @theresamasanja9925
    @theresamasanja9925 2 роки тому +12

    Nipenda toa pongezi kwa mtunzi wa wimbo huu!Naomba kila asikilizae,hasa vijana wa kiume, wawe wakweli katika maneno yao na wayaishi siku zote!Mbarikiwe sana kwa huduma yenu nzuri ya UINJILISHAJI NA KUTOA MAFUNZO

    • @furahaswakey
      @furahaswakey Рік тому

      Wimbo mzuri sana mungu awabariki sana kila mara inanifarijii naupendaaa sana

  • @christinechuwa2664
    @christinechuwa2664 5 років тому +6

    wimbo mzuri sana, sauti na kinanda. Aiseeeeeee mmefanya kazi nzuri sana sana.
    HONGERENI SANA

    • @rajopro
      @rajopro  5 років тому

      Asante sana Christine

  • @eunicenyanchama7723
    @eunicenyanchama7723 3 роки тому +1

    Nasikia Tu kuoleka wau nice song

  • @angelasimiyu
    @angelasimiyu 10 місяців тому +1

    Napenda huu wimbo sana muñgu awabariki watching from Kenya🇰🇪

  • @nancympangile2595
    @nancympangile2595 4 роки тому +7

    Wimbo mzuri, sauti zimeingiliana kwa utulivu mkubwa.

  • @marbenbutarbutar8696
    @marbenbutarbutar8696 3 роки тому +10

    Soft voice but harmony. Love from Indonesia

  • @shanelihappy1046
    @shanelihappy1046 Рік тому

    Yan hata nikigomban na mmewangu hata ikiwa kosa lake mm ndo naomba samahani wombo huu ndo unanipa falaja San sana ❣️

  • @EmanuelMduma
    @EmanuelMduma 4 місяці тому +1

    Kwaya imenibariki sanaa na mkumbuka rafikiyangu Gaude mloka .Emanueli Ngunje na Familia ya Mzee Roki mkoba Mungu awabariki sana

  • @winifridamikoma6026
    @winifridamikoma6026 3 роки тому +3

    Najivunia kuwa mkatoliki nawakalibisha mwakani mwezi wa 8

  • @aikandemallya5082
    @aikandemallya5082 4 роки тому +32

    Safi sana ,,,Mungu sikia kilio changu unisogezee karibu Adamu wangu na yy anione Eva wake😋😋😋😀😀😀🙏

  • @user-or9cw8mx9t
    @user-or9cw8mx9t 7 місяців тому

    Huu wimbo ni mzuli sana ata maudhaui ya wimbo nimeyapenda

  • @user-qv8ds5cx3u
    @user-qv8ds5cx3u Рік тому

    Naiota sana hii siku cjui lini mungu naomba niletee anaestaili maishani mwangu

  • @kenyalove2282
    @kenyalove2282 4 роки тому +15

    I wish nipate mmoja mwenye ako na love ya ukwel tuwedd pamoja .
    I lv this song so much.

    • @janetmwende2158
      @janetmwende2158 3 роки тому +1

      Niko apart✨🎈✨🎈✨🎈✨
      🎈🌟🎉🎂🎉🌟🎈
      ✨🎉🎁🌟🎁🎉✨
      ✨🌟🌟✨🌟✨✨
      ✨🌟🌟🌟✨
      ✨🌟✨
      ✨ 🌟 ✨
      🔥
      💗❤💗
      💗❤❤❤💗

    • @kefaopemi358
      @kefaopemi358 3 роки тому

      Niko

  • @paulcharles1453
    @paulcharles1453 5 років тому +3

    Wimbo huu nimeuona leo ila huwezi amini toka asubuhi nasikiliza hadi now,hongereni sana na mungu wa mbinguni andelee kuwapa vipaji,mke wangu kauliza vp leo na wimbo mmoja nikamwambia hata ww nahic upendi nibadili na ndio ikawa hvyo

    • @rajopro
      @rajopro  5 років тому

      Asante sana Paul. Ubarikiwe sana.

  • @gabrielafransisco9268
    @gabrielafransisco9268 2 роки тому

    Mungu akuze huduma yenu sio sili nimeupenda wimbo

  • @BeatriceChalamila
    @BeatriceChalamila 3 місяці тому

    Niko hapa naenjoy,mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @josephinejacob3613
    @josephinejacob3613 4 роки тому +7

    Nataman nami one day niimbiwe na wanakwaya wenzangu kama hv on my wedding day..Ee Mungu nijalie Mme mwema nitimize malengo yangu.

  • @francisamunze6366
    @francisamunze6366 4 роки тому +5

    Wow💍nmewish nimvalishe ajiskie kweli ni mimi niliye mchagua l like this for real am blessed

  • @josephmton844
    @josephmton844 3 роки тому +1

    ni kweli jasili kuzidi kumba kwa mungu kuwa mfano kwa watu wengine

  • @janemushi5991
    @janemushi5991 3 роки тому +1

    Ntafurahi kuuskiza huu wimbo

  • @dimlajohn6338
    @dimlajohn6338 5 років тому +5

    Mungu uzidi kuilinda Catholic

  • @mkamandye4790
    @mkamandye4790 4 роки тому +62

    Baraka za Mungu kwenu,wimbo Mzuri mno,ubunifu wa kiwango cha juu,picha bora,mpangilio mzuri wa vyombo na sauti,ujumbe,mavazi vyoote kwa ujumla,Ahsanteni sana🙏🙏🙏

  • @nicksonfaustine1695
    @nicksonfaustine1695 4 роки тому +2

    Kwa hakika kazi nzuri mungu awabariki awazidishie ubunifu na kutafakari zaidi amen amen amen amen amen amen

  • @edwardtsuut8079
    @edwardtsuut8079 2 роки тому +1

    Hongeren sana wimbo mzu sana sijawah kuchoka kuutazama

  • @davyomwera1196
    @davyomwera1196 4 роки тому +27

    The best ever love song from Catholic fraternity, wapi likes za 2019

  • @ibrahimmbilinyi878
    @ibrahimmbilinyi878 4 роки тому +3

    Nyimbo hii ni nzur na ina ujumbe, mzuri kw wana ndoa,,hakika maneno matamu ni kama sega la asali,,,nayo huimarisha ndoa na kuwa yenye furaha.

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 4 роки тому +1

    Gudluck mnatupa moyo sisi wabab harusi watalajiwa tuzidi kutoa maneneo matamu ya midomo yetu

  • @sarahsadoki5787
    @sarahsadoki5787 3 роки тому +2

    Sauti ya 3 mpovizur sanaaaaa mungu awabariki akika

  • @leahwangari9054
    @leahwangari9054 5 років тому +8

    Wimbo umenitia moyo sana wakati huu mi na bwanangu hatuongeleshani

    • @leoniabeda2711
      @leoniabeda2711 4 роки тому

      Hongereni sana kwa wimbo mzuri hakika mmeutendea haki✓

    • @khadijamussa9673
      @khadijamussa9673 3 роки тому

      Mmmh pole my dear yataisha akupe maneno matam🥰

  • @lizeemmanuel6814
    @lizeemmanuel6814 4 роки тому +10

    Who is watching this song 2020 ?.I usually not tired to watch this amaizing song everyday.

  • @stellagodfrey2229
    @stellagodfrey2229 4 роки тому +4

    Hayo maneno ya mdomo wako ni mazuri yampe rahaaa💖💖💖

  • @mercymutisomusic
    @mercymutisomusic 3 роки тому +7

    Who is watching with me in 2021?😊
    Wimbo mtamu sana

  • @beatricemmary9787
    @beatricemmary9787 3 роки тому +1

    Ni tam kwelikweli, Mungu akafanyike baraka ktk ndoa yenu.

  • @elizabethfoya9426
    @elizabethfoya9426 5 років тому +3

    Dah wimbo unanigusa hadi kumoyo yani sichoki kuusikiliz..... Hongereni waimbaji Mungu azidi kuwainua mtumike katika viwango vikubwa zaidi..... Amen

  • @mcpambe8063
    @mcpambe8063 5 років тому +3

    Kazi nzuri sana! Mafundisho ya Ndoa, Ukuu wa Mungu na Burudani, vyote katika wimbo mmoja mzuri sana! Hongereni sana, Mwenyezi awaangalie zaidi - Muendelee kuwa mabalozi wema kwake milele yote!

    • @rajopro
      @rajopro  5 років тому

      Tunamshukuru Mungu aliyewezesha haya. Ubarikiwe sana Mc Pambe.

  • @user-sj3ly3hs3j
    @user-sj3ly3hs3j Рік тому

    Nyimbo tamu zinafunza mengi mungu haweza kuwalinda

  • @estherkimario2039
    @estherkimario2039 2 роки тому +2

    Wimbo umenibariki sanaa

  • @agnellazighe6175
    @agnellazighe6175 5 років тому +8

    Big up guys i love this song be blessed kwa maneno yenye busara.... from Kenya

  • @faithmwelumakau5520
    @faithmwelumakau5520 4 роки тому +4

    Amen💕🙏🙌🙌🎷🎤👏👌mwanamke hanaitanji maneno matamu siku sote barikiweni sana Wana ndoa wetu💖👏😍💏

  • @hawaguidance3388
    @hawaguidance3388 2 роки тому +2

    Hayo maneenoo hayoo manenoo!!hayoo!yamfariiijiii hayoo,yampe raaahaa hayooo manenoooh!!(Sauti yako to bro wasuti) 💯

  • @wakadwakad7571
    @wakadwakad7571 3 роки тому +2

    Mungu awabaliki Tena azidi kuwalinda.

  • @justusaganyilatvonline1417
    @justusaganyilatvonline1417 4 роки тому +6

    Kwa wahaya tujuane pale mwanzo wimbo unavyoanza unasema. Akananaa akanana kaile konaa kailee kaile Ni keogoraa. Kama were ni muhaya na unakumbuka gonga like hapa

  • @rachelmsuha6276
    @rachelmsuha6276 2 роки тому +5

    Naupenda sana huu wimbo Wacha tyu Leo ncomment....you made it🌚I wish huu wimbo uimbwe cku ya ....yangu🙈🙈🙈🙈

  • @emmycondrad9706
    @emmycondrad9706 2 роки тому

    Mungu tusaidie tufikie kwenye hatuwa hiyo🙏🙏amina

  • @vonwhisker1198
    @vonwhisker1198 2 роки тому +2

    proud of you folowing from Dubai

  • @kabwebwejeanbreloque8615
    @kabwebwejeanbreloque8615 2 роки тому +4

    Fière d'être catholique, j'ai célébré mon mariage avec cette belle chanson en 2020, en la paroisse sainte Elizabeth à lubumbashi DRC

  • @annaenglibert1763
    @annaenglibert1763 5 років тому +12

    Jamn,,! Hongeren sna nimejikuta nakuwa na hamu ya kumuhamasisha mchumba wng na sisi tuishi maisha ya wawili ya ndoa kwa kupitia wimbo huu.
    Mbarikiwe sna kwa uinjirishi.

    • @rajopro
      @rajopro  5 років тому

      Ubarikiwe sana Anna. Mungu awajalie wewe na mchumba wako kufikia malengo yenu ya ndoa takatifu.

    • @thomassokoni4351
      @thomassokoni4351 5 років тому

      Aid

  • @nicksonfaustine1695
    @nicksonfaustine1695 4 роки тому +2

    Amen nimetamani kuoa jaman kwa kazi kama hii imenivutia sana jaman

  • @asifiwenenula7324
    @asifiwenenula7324 3 роки тому +2

    Nimewapeda mno❤️💚💝

  • @mariamkajala9080
    @mariamkajala9080 4 роки тому +4

    Wimbo ni meupenda saanaaaa💖💗

  • @rachelnasambu273
    @rachelnasambu273 5 років тому +20

    Wimbo mzuri sana watching from Kenya catho hoyee

    • @rajopro
      @rajopro  5 років тому +1

      Asante sana Rachel...Thank you Kenya...

    • @gustavuutouh6563
      @gustavuutouh6563 5 років тому +1

      Wimbo mzur watching direct from Singida Tanzania

    • @gorasjr416
      @gorasjr416 5 років тому +1

      God bless you!

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 3 роки тому +1

    Hivi hao kweli walikua wanaona maana wemeendana Sana

    • @rajopro
      @rajopro  3 роки тому

      Hawa sio wanandoa, hili ni igizo tu tuliandaa kuweza kuleta uhalisia.

  • @felistanjelu4832
    @felistanjelu4832 2 роки тому +1

    Aisee nmependa hongeren kwa sauti nzuri

  • @franciscosweya9516
    @franciscosweya9516 3 роки тому +3

    Hongereni kwa utunzi wa nyimbo bora za Ndoa, hakika zinatia hamasa kwa jumbe nzuri zilizomo.

  • @fridolinusboniface3574
    @fridolinusboniface3574 5 років тому +8

    Rajo productions hujawahi kosea , yaani unajua kuutengeneza Muziki, na haika Muziki unakua mtamu kweli kweli . Asante kwakuendelea kuzipa hadhi inayostahili nyimbo zetu za kanisa katoliki. Barikiwa barikiwa mno Babaaaaa

  • @MariamMariam-qf8fb
    @MariamMariam-qf8fb 4 роки тому +1

    Nyimbo nzuri sana kwa wanandoa

  • @waywepet6871
    @waywepet6871 2 роки тому

    Heko kwa Rajo production u produce the best.

  • @joscomaligite7089
    @joscomaligite7089 4 роки тому +7

    Mmmh wimbo unasisimua hadi nimetaman kuolewa

  • @muktaribrahim6434
    @muktaribrahim6434 3 роки тому +9

    Aki u guys pray for me to get a good marriage, this song has really touched me,I really like to get married

  • @user-wg2qp1qk2e
    @user-wg2qp1qk2e Рік тому

    Hiyo sauti ya kaka hapo ....hayo maanenooo 🎉🎉 best song ever

  • @CherotichCelestine-uc6vu
    @CherotichCelestine-uc6vu 9 місяців тому +1

    Proud to be a catholic

  • @Ta-bby_001
    @Ta-bby_001 4 роки тому +11

    Wow I wish I was the one naimbiwa I love the song so much 💕 may God bless your marriage🙏🙏 na waimbaji pia be blessed 💞💞🙏🙏🙏

  • @gnkana
    @gnkana 5 років тому +62

    Hii kazi imetikisa Afrika mashariki na kati.... Big up....

  • @esterdavdy5541
    @esterdavdy5541 4 роки тому +2

    Mmeni bariki mmnoo mungu azid kuwapa vipawa zaidi barkiwa

  • @stephenemmanuel9574
    @stephenemmanuel9574 3 роки тому +1

    mungu azidi kuwaweka hai muendelee k
    uinjilisha

  • @ireneshisundi2481
    @ireneshisundi2481 3 роки тому +3

    Wimbo mtamu sana,nimebarikiwa jumapili hii

  • @lokomolmillicent6051
    @lokomolmillicent6051 4 роки тому +42

    Catholic my pride, I thank Mum for bringing me up in a Christian life

  • @LevinaMmasi
    @LevinaMmasi Рік тому

    ❤❤ ongera muombe Mungu akujaalie uzima

  • @neemambaga3757
    @neemambaga3757 4 роки тому +2

    Imenijenga sana pia nimefarijika sana

  • @clintongombe9257
    @clintongombe9257 3 роки тому +10

    The song was waw! and it attracts people to get married in Christ

  • @adelaathanas4339
    @adelaathanas4339 4 роки тому +3

    Mungu nisaidie namimi kuifikia siku ya Ndoa yangu

  • @rosawausimuli7770
    @rosawausimuli7770 2 роки тому +2

    Wimbo mtamu sana ..Mungu awabariki sana.

  • @ceciliaathanas751
    @ceciliaathanas751 5 років тому +3

    Wimbo mtamuuuu una maneno matamu matamu kama jina lake. Mungu awabariki wote walioshiriki kufanikisha kazi hii

  • @amosjames2201
    @amosjames2201 4 роки тому +3

    Ujumbe mzuri sana

  • @georgemwendwa1520
    @georgemwendwa1520 3 роки тому +1

    Wow!!!! i really wish .......

  • @simonmahundo1735
    @simonmahundo1735 5 років тому +1

    Wimbo una ujumbe mzuri sana tuendelee kuiheshimu ndoa

  • @lionizekaale7462
    @lionizekaale7462 5 років тому +150

    Kwa muda mrefu tulihitaji nyimbo za kwetu za kusheherehesha. Nimeipenda sana hii idea. Ubunifu 100%

    • @elizaluisluis5078
      @elizaluisluis5078 5 років тому +6

      Nimeipend san Mungu awabariki

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому +6

      Nimeipenda mno naipataje niko moshi mnanimalinzia mb zangu nimeirudia kusikilinza zaidi ya mara 10 hongereni inafurahisha sana inaleta amani

    • @rajopro
      @rajopro  5 років тому +3

      @@asteriambwei95 Hii album itaanza kuuzwa rasmi tareh 7/7/2019

    • @gladnessjohn9143
      @gladnessjohn9143 5 років тому +2

      Lionize Kaale niceee

    • @mbundathadeiy2957
      @mbundathadeiy2957 5 років тому +1

      M nahtaj copy NP Moro

  • @muktaribrahim6434
    @muktaribrahim6434 4 роки тому +2

    Mungu pia nami naomba unibariki na ndoa nzuri,ntashukuru,wenzangu mniombee

  • @catherinenyaa5796
    @catherinenyaa5796 Рік тому

    Huu winbo unanipatafakal kubwa sana hongelen san mmejua kuimba