Magoli yote 12 ya Prince Dube kwenye NBC Premier League 2022/23
Вставка
- Опубліковано 29 вер 2024
- PRINCE DUBE: Amemaliza msimu wa #NBCPremierLeague 2022/23 akiwa nafasi ya tatu kwenye orodha ya vinara wa mabao
Na haya ndiyo magoli yake yote 12 ambapo manne kati ya hayo ameifunga Polisi Tanzania kwenye mchezo wa mwisho.
NB; Kuna golikipa mmoja hapa ameteseka kwenye mechi mbili tofauti…. Je, ushamjua?
#PrinceDube #DubeGoals #MagoliYaDube
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL
baada ya kutambulisha yanga ndo nikaja huku
Kumbe tupo wengi😂😂😂😂
Na mie pia😂
Na Mimi baana
😂😂😂😂😂
Hata mimi😊😅😅😅😅
Kama umekuja hapa baada ya Dube kutambulishwa Yanga gonga like
Mtoto analijua goli huyu HAya ile mipass ya chama na pacome itakuwaje?
Huyu jamaa ni kigugumizi sipati picha anapo cheza na mafundi nini kitatokea
Baada ya kusajiliwa ndio nimetia timu hapa
Welcome young African 🟢🟡🤫dube🤫
Welcome Jangwani my favorite player Dube
Kolozidad hawataki hata kumuona huyu mwamba
😂😂😂 mbaya zaidi anakuja yanga mbn watakomaa
Dube n Moto usiozimwa kwa mitambo ya zimamoto ya tanzania😂😂😂
Mm nilikuwa nampenda ila alikuwa sehemu nipo neutral ..azam wanatengeneza maaduwi wenyewe kusema ni Simba division..ila wangekuja kama GEN Z ingekuwa timu yetu wakati Simba au Yanga mmoja anapoteza ..tungesema bora Azam na Simba bora Azam sasa wao wamekuja vibaya..ila naipenda azam ni free team sema wanatengeneza maadui yanga..timu ya ukombozi
Mali ya wananchi 🤣🤣🟢🟡🟢
Dube akicheza roho yangu inaridhika
Tupen bas ya haroun niyonzima udambwiudabwi wK
Huyu jamaa atatusaidia sana... Khaaa.. Ni bonge la namba tisa... Usije kushangaa anaziba pengo la mtupiwa majoni
nimekuja kuona tu alivyo katili
M binafs nakujaga ku chek goli ra makolo😂😂😂
Hahahaha 🤣🤣
Mwana wa mfalme😎🌟
Ila huyu mtoto wa mfalume ataua watu
Huyu lazima awafunge tena simba😅
Ila huyu akamiko ni bonge la mchezaji!.
Ujakoseha
Mbn akiwafunga makolo anafrai xana😂😂😂
Makolo hawapendi 😂😂
Yanga fungueni pochi mchukue kifaa hiki
Tumchukue mara ngapi?
Walikusikia mkuu
Maombi yako yamejibiwa
Pale Azam kuna Kipre, Akamiko, Paschal Gaudence na Dube n watu wa maana
green and yellow
Mmmh!! Hii Mali kbsa
Huyu mwamba anajua
Mwana mfalme PD
Kuna timu zitalia jamani
DUBE PRINCE 🙌
🟡🟢⚫🙏💪
Atue yanga chapchap tummalize wakwetu 😅
Mwamba huyu anatisha
Ameishia alipopiga hatrick ya goli nne, sasa ataanzia hapo hapo
PD
Aisee kwa mtu huyu tutaua makolo
Tumekuja kujifurahisha cc kama yanga
Yanga metatarsal mambo wa magol
Huyu Dube Ata Huyo Aziz k aende Tuuu
Tumchukue na uyo tepsi
Huyu mchezaji mbona mda wowte anachechemea mguu
Ndio yukogo hivyo ni kama kaifanya iwe style yake ya uchezaji. Mtazamo wangu
is green And Yellow
Usiende yanga mwanangu😂😅
Kaenda etii😂😂
Kumbe atatufaa sisi Yanga sc,, Welcome to Young Africans @mgadafiprince