🚨,Kivumbi Simba vs Singida bs,Kiufundi kuelekea mechi,ubora wa Timu zote2,maamuzi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 6

  • @salymgaimale235
    @salymgaimale235 18 днів тому +4

    sawa ila kesho sioni timu itakayofunguka kizembe hata singida wenyewe watacheza kwa kuiheshimu sana Simba TUACHANE na porojo za kishabiki kwakweli ila mchezo itakuwa mzuri sana ulio na fundi mwingi

  • @SALMAMUSSA-z5d
    @SALMAMUSSA-z5d 18 днів тому

    Mechi ngumu sanaaaa

  • @SALMAMUSSA-z5d
    @SALMAMUSSA-z5d 18 днів тому

    Mech ngumu sana

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 18 днів тому +1

    Hans amekasirika sana alitegemea Simba itafungiwa na caf .
    Umekula huu na mateso ya moyo

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 18 днів тому

      Mwache aendeleeee kuteseka na roho yake mbayaaaaa

    • @Georgebush-g3r
      @Georgebush-g3r 17 днів тому

      Ukiwa unafuatiria kwa umakini uchambuzi utagundua huyu hanisi anapuuzi mwingi sana 😮 kaa chizi hivi👉Alisha sema kuwa mwaka huuu yanga watabeba ubingwa kwa tofaiti ya point nyingi sana saizi ukimuuliza vp Bado yanga watabeba ubingwa kwa tofaiti ya point nyingi atakujibu ni ngumu , akasema kumfananisha diara na camara ni upuuzi , saizi kama ukimuuliza vp katibya diara na kamara unaanza nanani bila shaka atakwambia naan za na camara,😢 akaja na mjadara wakuwa kibu hatakiwi kuanza coz msimu mzima ana Gori Moja 🙂 lakini saizi ukimuuliza niwekee mawinga 4 hari lig kuu , bila shaka hauto mkosa kibu 😡 kwamantiki hiyo inatosha kusema huyu ni kiazi na mshamba asiye jua KAZI yake kabsa wajinga tu ndo wanaweza kumuerewa🤭