Simba 3-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 03/02/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2023
  • Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
    Magoli ya Simba yamefungwa Jean Baleke dakika ya 8, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 21 na Pape Sakho dakika ya 63 huku goli pekee la Singida likitoka kwa Bruno Gomes aliyefunga kwa free kick dakika ya 35.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 236

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 Рік тому +12

    What a perfomance for Simba players, hii ndio tafsiri ya timu kubwa africa 👋👋 mwaka huu simba watanya makubwa amen

    • @luqman4030
      @luqman4030 Рік тому

      Wakidroo tu mech moja mnawaita ma bomonda😂

    • @baumbachogero9410
      @baumbachogero9410 Рік тому

      Kama wachezaji wetu wa SSC wangecheza as a team na kwa ushirikiano wa hali ya juu na kupunguza UMIMI NA UBINAFSI, at least magoili matano yangewahusu hawa SBS.

  • @ktwentynine4985
    @ktwentynine4985 Рік тому +13

    Chama moyo wa Simba 💥💥💥💥💥

  • @teacherd
    @teacherd Рік тому +6

    Toka lingi imaeanza hii nimechi yangu Bora ya msimu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +4

    Kwa sababu ya simba leo hii Ligi yetu ipo no. 5

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +6

    Namna alivofunga Baleke inadhihirisha uwezo wake♥️

  • @alikokayange1089
    @alikokayange1089 Рік тому +14

    Huu ndio mpila wa Simba,ninaoujua, hongera wachezaji,na benchi la ufundi na mashabiki kwa ujumla.

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Рік тому +7

    Chama simba hiii bongo batimbaya🔥🔥🔥🙏🙏🙏🤣🤣🤣👇

  • @eastafricabrokerkiller8028
    @eastafricabrokerkiller8028 Рік тому +2

    Huyu kocha wa simba yuko vizuri sana anajichanganya na wachezaji vizuri sana naamini hii timu itakua na deeper energy connection sana zaidi ya hii siku zijazo.. wakiendelea hivi.

  • @mwaijalaizer1613
    @mwaijalaizer1613 Рік тому +5

    Video namba 3 on trending😅🎉

  • @deleejn5128
    @deleejn5128 Рік тому +2

    Kumbe wale sio wabrazili ni wambulu bhana...this is SIMBA🔥🔥🔥

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 Рік тому +8

    Baleke forward ⏩⏩⏩ ya kweri

  • @ridhwanrashid6473
    @ridhwanrashid6473 Рік тому +12

    Ila tuache mzaha ,baraka mpenja anajua kutangaza jamani.

  • @ghasukajoseph6595
    @ghasukajoseph6595 Рік тому +2

    Thank God 🙏 this is Simba

  • @edouardniyongabo9436
    @edouardniyongabo9436 Рік тому +2

    Simba is simba coz there is a lion n39 Saido Ntibazonkiza 🇧🇮

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +3

    The MVP chama 🐐❤️

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +3

    Huyu chama itapita miaka mingi mnoo kumpata kwenye hii ligi

  • @annastaziaandrea9789
    @annastaziaandrea9789 Рік тому +2

    Ee mungu wajaalie wachezaji wetu waweze kuwa na maelewano zaidi ktk kazi yao kimaongezi ,kiuchezaji,na zaidi upendo udumu ck zote

  • @shabanmfangavo4973
    @shabanmfangavo4973 Рік тому +58

    Azam mnafel sana kwenye baadhi ya mambo, maana ya highlights ninkuonyesha matukio yote muhimu yaliyotokea kweny game, lkn naona kuna matukio mengi tu mmeyaacha kama Open chance alokosa baleke, pamoja na goli lililofungwa likaambiwa offside, that's was very important events kwenye highlights ya dakika 20

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 Рік тому +4

    Team nilie tokea kuipenda kama mke wangu

  • @murisaliyahaya8584
    @murisaliyahaya8584 Рік тому +7

    Alafu anatokea popoma mmoja anakwambia chama hajui mpira

  • @iddmtimi7920
    @iddmtimi7920 Рік тому

    Asante sana makocha wangu kwa kuwafundisha mpira mzur

  • @peterchidakwa9436
    @peterchidakwa9436 Рік тому +1

    Saido the best from Burundi

  • @petroerinest6962
    @petroerinest6962 Рік тому

    What a goal for sakho!🙆‍♂️

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Рік тому +2

    Timu kubwa ni timu kubwa tu, Simba nguvu moja.

  • @thomasfrankie1739
    @thomasfrankie1739 Рік тому +4

    Mashabiki wote wanaoshabikia manyokanyoka aka utopolo mkae kwa kutuliaa mwenye Mpira wake anakula

  • @mamalamama7010
    @mamalamama7010 Рік тому +2

    Sakho ni fundi ❤❤❤❤❤

  • @azizamihungo9659
    @azizamihungo9659 Рік тому +11

    Kiukweli
    Baleke apewe Rushyna

  • @gnasnassary9475
    @gnasnassary9475 Рік тому +1

    Unyama unyamani 🦁🦁🦁🦁🦁✔️✔️

  • @nasmahkhalfa1337
    @nasmahkhalfa1337 Рік тому +2

    Ata haturingiii🦁🦁🦁🦁

  • @idaiaseverino3769
    @idaiaseverino3769 Рік тому +1

    Simba ni baba lao🦁

  • @joelmsella7975
    @joelmsella7975 Рік тому +1

    This is simbaa,,japo beki bado haijakaaa sawa,makosa mengi wamefanya

  • @ayoubsemundi6038
    @ayoubsemundi6038 Рік тому +2

    Credit to commentator 1 #Baraka Mpenja na commentator 2 #Ayoub hinjo

  • @AbuubakarJuma-se9cp
    @AbuubakarJuma-se9cp 9 місяців тому

    Baraka mpenja anajuw sana apew mauwa yak 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @dryna9512
    @dryna9512 Рік тому +3

    Azam ni mbwa hawa 2naonyesha support afu mnafanya kaz chin yaviwango au mnavisa na simba

  • @zabronmbalwa9225
    @zabronmbalwa9225 Рік тому +3

    Bilian is back

  • @bedabenson6576
    @bedabenson6576 Рік тому +3

    Huu ndo mfumo ambao Simba iko comfortable

  • @timadex1019
    @timadex1019 Рік тому +1

    That volley goal is superb and it kills the game!

  • @teresiamgimba5498
    @teresiamgimba5498 Рік тому +2

    Hii ndo simba tuliyoizoea hongereni simba ila mabao mengi tumeyakosa

  • @tumaintarra9960
    @tumaintarra9960 Рік тому +3

    Hongeren watani

  • @jacksonmenas6026
    @jacksonmenas6026 Рік тому +4

    Azam mmechelewesha Sana hii kitu

  • @midahdivver
    @midahdivver Рік тому +3

    AZAM ACHENI ROHO ZA CHOYO ZILE PASS ZA MAUDHI MMEZITOA MNATAKA MKAJIKANDIE KWA MAUDHI SIMBA WALIYOWAPA TUONESHE KUANZIA DAKIKA YA 88 MPK YA 93 TUNASHIDA NAZO ACHENI ROHO MBAYA

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +2

    Wachezaji wa simba wanawaka waka kudadeeki kule utopolo sikuiz hata goli halingii wavuni bila fei toto

  • @massangamaulidi3383
    @massangamaulidi3383 Рік тому +2

    Jamani tushakubaliana wana simba chama apewe rushyna mchana kweupeee, bila hatar mahali

  • @radhiakabyero3223
    @radhiakabyero3223 Рік тому +1

    Singida wamechezeshwa kama watoto

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 Рік тому +3

    Kagere bado yuko simba

  • @honeem
    @honeem Рік тому +2

    Hatutaki tena kusikia habari za Kibu hapa!Kikosi hiki kikilindwa kinaweza kufanya makubwa kuishangaza Afrika kwa misimu miwili ijayo..viongozi tafadhali tusiweke mbele tamaa ya pesa, mchezaji asiuzwe bila kupata mbadala yasijirudie ya msimu ule wa kuwauza miquison na chama kwa pupa

  • @saidijuma1656
    @saidijuma1656 Рік тому +2

    Azam mnazingua sana miaka 10 mmelekebisha nn! Leo mpila hatujaangalia mpila kwa laha

  • @kingcole60
    @kingcole60 Рік тому +1

    Wanalunyasi 🦁🦁🦁

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 Рік тому

    Singida sijui kuna shida gani, wanaleta competition mwanzoni mwa mechi wanaonana fresh ila baadae wanalowa, imetokea kwa Yanga walivyoshinda nne na hata hii, we need competition ya hatari watu wengi wapende timu za kwao ligi izidi kupanda, namba tano naweza sema si kiwango chetu sisi ligi hii ni ya moto zaidi upande wa media hata utayari wa wachezaji wa kigeni kuitamani ligi hii VIVA TANZANIA

  • @jumamenge2
    @jumamenge2 Рік тому

    Simba to the world

    • @fredysosiya345
      @fredysosiya345 Рік тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @moricemorice75
    @moricemorice75 Рік тому +2

    Mbona mnayumba sana kwenye mitambo saiz huyo fundi wa mitambo anazingua

  • @stephenking3602
    @stephenking3602 Рік тому +3

    Mnafel pakubwa! Maana mtu kalipia alafu mitambo inakatika na hakuna fidia,,, na hakuna sanduku la maoni hamtaki kushauriwa,,, pesa mko makini lkn mitambo yenu hovyo lazima tuwaseme....

    • @evefesto7454
      @evefesto7454 Рік тому +1

      Hiyo michezo Huwa mnaiga wapi mbona haeleweki kama vichaa vile, kama hamuwezi Bora muache

  • @mosenrecords5562
    @mosenrecords5562 Рік тому +1

    Trending hatariii

  • @mwanajumaraso4637
    @mwanajumaraso4637 Рік тому +1

    Alhmdhulillah

  • @gaudencehaule7398
    @gaudencehaule7398 Рік тому +2

    LEO AZAM MEDIA WAMETUKOSEA WANA SIMBA WOTE NCHI NZIMA🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️😖😖😖😖

  • @slimmtani8236
    @slimmtani8236 Рік тому

    🔥🔥🔥🔥Simba

  • @sandravisram461
    @sandravisram461 Рік тому +1

    Simba nguvu moja

  • @rahmahassan6534
    @rahmahassan6534 Рік тому +3

    simba damu

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 Рік тому +2

    simba baba lao

  • @nguombagalarang3jfashioncl524
    @nguombagalarang3jfashioncl524 Рік тому +4

    Ira Chama 🤣🙏 Bac tu Murungu ankare pamozi na Imwe 🙏🙏🙏

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Рік тому +3

    Hahaaa, kagere tumekushtukia...!

  • @maliatabuerenesti6681
    @maliatabuerenesti6681 Рік тому +2

    Et azama anasherekea miaka 10 ya utandaji kazi hivi ndio nn imeonyesha vinini

  • @ukweli255
    @ukweli255 Рік тому +3

    Azam Media fanyeni usafi kwenye timu yenu ya Production

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 Рік тому

    Dah Simba ispo cheza Raha hakunà nchin

  • @kiutamambi8514
    @kiutamambi8514 Рік тому +1

    SIMBA mnatIsha

  • @rhodamboje7156
    @rhodamboje7156 Рік тому +2

    Wa kwanza

  • @StarDugs
    @StarDugs Рік тому +1

    05:38 kagere nyieeee nyieee😁😁

  • @michaeltungu1600
    @michaeltungu1600 Рік тому +1

    Hatareee

  • @peterchidakwa9436
    @peterchidakwa9436 Рік тому +2

    Saido

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Рік тому +2

    Huyu kipa hafaii mamae ,anapewa mshahara wa bure tu

  • @ramoballawa5783
    @ramoballawa5783 Рік тому +2

    huyo kagere cjui walimpanga kiwe nn!!
    huyo ndie kauza mechi

  • @cityhuntermkali2468
    @cityhuntermkali2468 Рік тому +2

    Chama

  • @sadicksally8139
    @sadicksally8139 Рік тому +2

    Azam angalieni ni wapi mnakwama

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Рік тому +1

    🦁🦁

  • @angelasenga5800
    @angelasenga5800 Рік тому

    Duuuh trending 2

  • @janethmbaga3515
    @janethmbaga3515 Рік тому +1

    Ila Manula unamanuliwa magol ya free Kiki sana

  • @abeidkarume1644
    @abeidkarume1644 10 місяців тому +1

    Kikosi cha singida

  • @faridamuniss6465
    @faridamuniss6465 Рік тому +1

    Uwiiiiiiii nakufa mie Kwa raha hizi

  • @mbwetetv
    @mbwetetv Рік тому +2

    HII NDIO SIMBA SASAAAA SIO ILEEEE YA AWALI TUMERUDI TENA KAMA ZAANIIIIIII

  • @stellakiyenze5980
    @stellakiyenze5980 Рік тому +3

    Azam Tv jilekebisheni bhana sasa nini maana ya highlights Shame On yoU

    • @sharhabilabas9183
      @sharhabilabas9183 Рік тому

      Singida big star wazur wangeweza kuwafunga simba shida tuu mkubwa ni mkubwa tu wachezaji baadhi wasingida wameuza mechi kama kagere kukataa kufunga

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 Рік тому +1

    Waaaaaooooo

  • @faridamuniss6465
    @faridamuniss6465 Рік тому +1

    Kagere kaona asiwafunge maboss zake au co

  • @aminarashidi1621
    @aminarashidi1621 Рік тому +1

    Jaman mbona Wawa Makonda sana

  • @edsonjonas229
    @edsonjonas229 Рік тому

    Goli la kwanza Kanoute alitambaa dah nimecheka sana

  • @edsoneliah2802
    @edsoneliah2802 Рік тому

    Forward line ya Simba moto sana. Beki nzuri ila inahitaji kuwa makini zaidi kwenye marking. Manula na magoli ya free kick

  • @katoivan8212
    @katoivan8212 Рік тому

    Simba in Simba tu

  • @cadsonesmo
    @cadsonesmo 6 місяців тому

    Simb my team tyupe rahaaa cads@

  • @salomelucas7218
    @salomelucas7218 Рік тому

    Niceeeeeee

  • @rashidimkongewa3927
    @rashidimkongewa3927 Рік тому

    Yanga bingwa 2022-2023

  • @jacksonmtonyore9871
    @jacksonmtonyore9871 Рік тому

    Yan Singida hamna kitu kbs biti nyingi yan mmenpotezea time tuu sheeeh

  • @AbuuLugule-tg6hr
    @AbuuLugule-tg6hr Рік тому +1

    Mpenja katangaza Badogo miaka kama 16kama sikosei

  • @GodfreyMushy-nq9sv
    @GodfreyMushy-nq9sv 10 місяців тому

    ❤❤❤

  • @Ramah_Ahmad
    @Ramah_Ahmad Рік тому

    Eti Yusuph Kagoma nae ni Kikosi cha Galacticos 😆

  • @fatimasoliman967
    @fatimasoliman967 Рік тому

    Today alhil catch osman and numerous 4

  • @destianjackson4195
    @destianjackson4195 Рік тому +1

    Leo vjaangalia boli kwa ubora wenu

  • @superherotv1750
    @superherotv1750 Рік тому +3

    Hawakawii kusema 2mebebwa hahaha

  • @xaverisunday699
    @xaverisunday699 Рік тому +2

    #aboi_4rm_makambako huyu manula mtakuja mua

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Рік тому

    🦁🦁🦁

  • @aishermangombe
    @aishermangombe Рік тому +1

    Sasa jmn magoli kamayale yasiluhusiwe mtauwa magolikiipa

  • @giftsiwakwi4079
    @giftsiwakwi4079 Рік тому +1

    🥰🥰🥰🥰🇹🇿