SIRI YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 622

  • @TeresaNaliaka-b3v
    @TeresaNaliaka-b3v 24 дні тому +4

    Asante sana mtumishi wa Mungu ni kwa ajili ya mafundisho yako naomba Mungu anipe kibali kupitia kwa hii mafundisho God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @loycenyalali4870
    @loycenyalali4870 2 місяці тому +16

    Mtumishi nimepojea mwongozo wako wa kusali usiku wa manane. Naomba Roho wa Mungu aniongoze kwa zoezi hili bila kuchoka. Amen

  • @hadijayusuph6208
    @hadijayusuph6208 2 місяці тому +6

    Haki nimepata amani ya moyo naamka usiku kusali na kweli mungu anajibu nipe nguvu zaidi mungu Wangu bado nina safari

  • @JulieAmos-to5po
    @JulieAmos-to5po 2 місяці тому +6

    Barikiwa sana mtumishi, mimi nimezoea kuomba usiku lakini najikuta naomba kwa muda wa saa moja tu kumbe inatakiwa kwa muda mrefu

  • @janenehemiah5689
    @janenehemiah5689 3 місяці тому +74

    Ni maombi yangu Mungu azidi kukuinua maana watumishi wa aina hii ni wachache na adui anawapiga vita sana,

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 місяці тому +7

      Ameen ameeen ameeen

    • @kainzachristine1166
      @kainzachristine1166 3 місяці тому +1

      Amen

    • @daniellamamiro8388
      @daniellamamiro8388 3 місяці тому +14

      Sana dear mimi huyu pastor nikimsikiliza na apostle joushua selman nabarikiwa sana, hasa huyu afu nikifatilia mafundisho yake na nikifanya km anavyofundisha lazima nipate matokeo lakini ndiyo mwili ni dhaifu sometimes naanguka lakini huyu pastor Mungu anamtumia kwa viwango vya juu

    • @denisenabindu2876
      @denisenabindu2876 3 місяці тому

      ❤❤❤❤

    • @Kidsclothesforall
      @Kidsclothesforall 3 місяці тому

      🎉​@@daniellamamiro8388

  • @hellennyabuti3676
    @hellennyabuti3676 3 місяці тому +26

    Amen..somo nzuri...🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Nani anawatch na mimi sahii 01 : 32 from Saudia arebia

  • @prisilatarimo7454
    @prisilatarimo7454 Місяць тому +2

    Mtumishi nimempokea Bwana Yesu leo ,naomba niongozwe na Roho mtakatifu katika maombi ya kuomba ucku

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 2 місяці тому +14

    Mungu naomba kibali Cha kuamka usku wa manane niweze kuongea na wew

  • @TukuswigaIM
    @TukuswigaIM 23 години тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu nimejifunza kitu kikubwa sana

  • @MarkayaMarkaya-p5p
    @MarkayaMarkaya-p5p 3 години тому

    Mungu wangu mzuri naomba unite nguvu ya kuomba usiku wa manane

  • @agnessmateru6256
    @agnessmateru6256 Місяць тому +1

    Ee Mungu naomba uniondolee usingizi wa kiroho,nipe kukesha kwa kulisoma neno lako na kuomba usiku wa manane,Ameen

  • @HellenDaudi-rt8ol
    @HellenDaudi-rt8ol Місяць тому +1

    Ameeeeen Roho Mtakatifu nisaidie kutembea katika somo hili

  • @rosechebetbaraza7154
    @rosechebetbaraza7154 2 місяці тому +1

    Amen amen barikiwa sana MTUMISHI WA MUNGU FOR THE POWERFUL TEACHING

  • @NoelaEzekieli-h4b
    @NoelaEzekieli-h4b 12 днів тому

    Bwana yesu nipe neemahiyo kwajinalayesu

  • @Carolen-h3x
    @Carolen-h3x 4 дні тому

    Mungu akubariki kwa neno nzuri

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 3 місяці тому +8

    That's why uliitwa innocent Mungu akubariki sana kutenga muda wako na kutuletea somo la baraka kwetu sisi more grace mtumishi WA Mungu as you continue serving the Lord

  • @RoseKimaro-j2q
    @RoseKimaro-j2q 2 місяці тому +3

    Mungu akutie nguvu mtumiishi anisaidie na mimi niweze kuomba usikiu wa manane Rose kimaro Arusha

  • @LovenessMwakatobe
    @LovenessMwakatobe 25 днів тому

    Nafurahi nikiona mtumishi wa mungu ananifundisha

  • @ANGELBYAMUNGU
    @ANGELBYAMUNGU 2 місяці тому +1

    Unakarama ya ualimu nimekuelewa sana ubarikiwe nimependa Mungu akuzidishie mafuta zaidi

  • @puritymukami9380
    @puritymukami9380 2 місяці тому +1

    Yesu mwana wa mungu nisaindie kuamka usiku niombe

  • @tinahsoka4703
    @tinahsoka4703 3 місяці тому +17

    Mungu naomba unione unipe nguvu yakusali usiku wa manane na maombi yangu yasikike katika mbingu zako naamin kila kitu kutakuwa kipya katika maisha yangu na familia yangu😢🙏🙏

    • @TheresiaSoka-c3h
      @TheresiaSoka-c3h 3 місяці тому

      Bwana yesu naomba unifanye niwe nafanya maombi ya usiku wa manane, ahsante yesu maana naamini utoniacha amina.

  • @FransiscaShirima-s7v
    @FransiscaShirima-s7v 3 місяці тому +6

    Nilikuw nikitamani sana kupata mtumish wa Mungu wa kunifundisha kuomba sasa nimekupata Mungu azidi kukupa pumzi baba

  • @MarkayaMarkaya-p5p
    @MarkayaMarkaya-p5p 14 годин тому

    Bwana yesu naomba kibali cha kuamka usiku wa manane

  • @vailethnchimbi
    @vailethnchimbi 28 днів тому +1

    Asante sana Kwa somo zuri

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 19 днів тому

    Asante mtumishi wa mngu

  • @JanethMsechu
    @JanethMsechu 2 місяці тому +1

    MUNGU akubariki akuinue akupake mafuta zaidi!!!

  • @DanielHope-q5w
    @DanielHope-q5w 2 місяці тому +1

    Haya ni maombi yenye nguvu sana Mungu atutie uwezo ,asanti mwalimu!!

  • @SaraMartin-po2we
    @SaraMartin-po2we 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe mtumishi Mungu nisaidie niweze kuamka usiku wa manane kuomba

  • @DeviceProtazi
    @DeviceProtazi 26 днів тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu, leo nimepata jibu langu, barikiwa sanaa mpaka ushangaeeeee pia uishi milele mtumishi wa Mungu

  • @GetrudeThomas
    @GetrudeThomas 11 днів тому

    Nimebarikiwa sana na hizi siri za kuomba ucku wa manane, barikiwa sna mtumishi wa mungu🙏🙏🙏

  • @michaelfocus1515
    @michaelfocus1515 28 днів тому

    Ee mungu unisaidie kuomba usiku wa manane

  • @elia5475
    @elia5475 Місяць тому

    Nashukuru mtumishi kwa somo hili la kiroho 🙏🙏

  • @Lilianpp-v9m
    @Lilianpp-v9m Місяць тому

    Amen Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe unainua wengi ki imani asante sana mungu akuinie zaidi na zaidi

  • @ShaletMbodze
    @ShaletMbodze Місяць тому +1

    ameeeeen mungu awe nawe

  • @saranjelekela7955
    @saranjelekela7955 Місяць тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nimejifunza sana Mungu nipe hekima ya kuomba usiku Amen🙏🏿

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 19 днів тому

    Barikiwa sana KBS 🥰👍🏾

  • @MaximilaNeema
    @MaximilaNeema Місяць тому +1

    asente ubarikiwe sana 🙏🙏

  • @agnesmbone231
    @agnesmbone231 Місяць тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu neno hili limeuguza moyo wangu Mungu nipee neema ya kuamka usiku na kuomba imarisha magoti yangu kwa maombi

  • @PetronillahCherobon
    @PetronillahCherobon 2 місяці тому +5

    Nmekua mzembe kuomba jameni, may God restore me

  • @SarahNasimiyu-j6e
    @SarahNasimiyu-j6e 2 місяці тому +1

    Nimebarikiwa na mafunzo yako mtumishi wa Mungu wacha Mungu hanizahidiye

  • @HappyWillson-l8q
    @HappyWillson-l8q 2 місяці тому +2

    Naomba Mungu atupe kibali tuweze kuzishinda nguov za giza nakushukuru san mtumixh

  • @igillah
    @igillah Місяць тому

    Asante kwa mafunzo mtumishi wa mungu

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب Місяць тому

    Asante mtumishi wa Mungu ❤

  • @Mary-z5i1s
    @Mary-z5i1s 3 місяці тому +3

    Barikiwa mtumishi wa Mungu nitaanza kuomba usiku wamanane huwa niko na uvivu wakuomba usiku

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 місяці тому

      Ameen ameeen. Mungu atakupa nguvu wala usihofu kabisa

  • @JulianaBernard-u5f
    @JulianaBernard-u5f 2 місяці тому

    Mungu atusaidie tusiwe na usingizi wa kiroho,Ni kweli mtumishi wa Mungu,Yesu akuinuwe sana una kitu kikubwa ndani yako.

  • @FaustinaKabazi
    @FaustinaKabazi Місяць тому

    Amina Mungu Baba Atuwezeshe kuwa waombaji na Roho wa Bwana Atuongoze maana bila Roho wa Bwana SS hatuwezi.Ubarikiwe na Bwana Mtumishi wa Mungu.

  • @KARIGWAanne
    @KARIGWAanne Місяць тому

    Nashukuru sana kwa mafudisho haya mtumishi mungu azidi kukuinua na uwe na afya njema siku zote

  • @RoseGathenya
    @RoseGathenya Місяць тому

    Amen mungu nisaidie kuamka usiku kuomba

  • @Vailethmrema
    @Vailethmrema 2 місяці тому +5

    Ee Mungu nisaidie niweze kuamka usiku wa manane kwa ajilo ya maombi

  • @RehemaPaulo-c1u
    @RehemaPaulo-c1u 3 місяці тому +5

    Amina mtumishi wa Mungu hakika umenibaliki mno namuomba roho mtakatifu anipe kibali cha kuamka usiku na kuomba kwa Mungu

  • @gracekasambala8072
    @gracekasambala8072 Місяць тому

    Mungu akuinue mtumishi wa Mungu Kwa Siri hii.umenianzishia maisha mapya Mungu akutunze.Amen

  • @RehemaGadau
    @RehemaGadau Місяць тому

    Mungu akuinue mtumish uendelee kutufundisha neno kwasabu tulioweng tu aomba kawaid sio kwamalifa yandan

  • @masokaasukulu
    @masokaasukulu Місяць тому

    Ubariwe sana mtumishi waMungu naomba amungu aniongezehe nguvu yamaombi ili nishinde shetani akika kupitia neno ili nitapokeya taji yauzima❤❤❤❤❤❤❤️❤️

  • @SimbaMuamuzi-c4f
    @SimbaMuamuzi-c4f 23 дні тому

    Barikiwa na bwana

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 16 днів тому

    Amina mtumish naomba unifingue maisha mwaka huu 2025

  • @zawadituza3042
    @zawadituza3042 3 місяці тому +1

    God bless you Man of God 🙏 asante kwa somo zuri

  • @ShaonaJumamkebi
    @ShaonaJumamkebi 2 місяці тому

    Amen amen 🙏 ubarikiwe mtumishi nenolako lime nifariji sana mungu akulide katika uduma yako amena 🎉

  • @JacksonMarcel-j6p
    @JacksonMarcel-j6p 2 місяці тому +1

    God bless you pastor MUNGU ameongeza kitu nikibwa ndani yangu ubarikiwe

  • @carolineawika6550
    @carolineawika6550 2 місяці тому

    Amina barikiwa mtumishi wa mungu

  • @sophonieniyonemeye1243
    @sophonieniyonemeye1243 Місяць тому

    Asante sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @JosephJosephmapunda
    @JosephJosephmapunda 2 місяці тому

    Thank you Jesus for your power and God bless your pastor

  • @florasiame1014
    @florasiame1014 2 місяці тому

    Mtumishi nimpokea bwana yesu leo

  • @EricTibasima-i3x
    @EricTibasima-i3x Місяць тому

    Ubarikiwe mutumichi sana tena sana

  • @edithamakanzo6023
    @edithamakanzo6023 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana, nimekuwa nikipambana Sanaa kuamka, Sasa nimepata shauri nitaamka Kwa jina la Yesu

  • @TediSadoki
    @TediSadoki 3 місяці тому

    Asante mtumishi umenisaidia

  • @MaryMkumbi
    @MaryMkumbi 2 місяці тому

    Ahsante mungu,niendelee kuamka usiku na kufanya maombi ya kweli na kupokewa usiniache mungu wangu

  • @DaudNtare
    @DaudNtare 2 місяці тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @The__Lords333
    @The__Lords333 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, somo hili ni la kwangu

  • @EveladaKisinza-ow7ou
    @EveladaKisinza-ow7ou 2 місяці тому

    mtumishi nimempokea Yesu leo

  • @KarolinaOman
    @KarolinaOman 2 місяці тому

    Asante sana mtumishi kwa semina Yako nzuri ,ninaimani sitakata tamaa kuomba usiku 🎉

  • @AventinaMtobesya
    @AventinaMtobesya 2 місяці тому

    Asante mtumishi kwa mafundisho yako

  • @AlatupokaSanga
    @AlatupokaSanga 3 місяці тому

    Balikiwa sana mtumishi mungu asante kwa kutufungua macho tupate kuomba usiku wa manane nashukuru sana mtumishi wa mungu

  • @Brian-Mremi
    @Brian-Mremi 3 місяці тому +2

    Amina mtumishi na asante sana kwa somo hili zuri

  • @LezaNkadupa
    @LezaNkadupa 2 місяці тому

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi MUNGU atusaidie kuwa na mid night prayers maana tukichoka tutapandiwa magugu na adui zetu

  • @Rebeccacharles-x9x
    @Rebeccacharles-x9x Місяць тому

    AMEEN Glory to God

  • @MARIAMMKIWA-s7p
    @MARIAMMKIWA-s7p 3 місяці тому +4

    Asante sana mtumishi kwa somo hili,mungu akubariki sana.

  • @UpendoNgindo
    @UpendoNgindo Місяць тому

    mungu naomba unipe Kigali cha kupata kiu yamaombi ya usiku

  • @conceptarann
    @conceptarann 2 місяці тому

    Hasante Sana mtumishi wa Mungu kunitia moyo.

  • @RoseKimaro-j2q
    @RoseKimaro-j2q 2 місяці тому

    Amina barikiwa Sana mtumishi

  • @Nancy-wc5ch
    @Nancy-wc5ch 2 місяці тому

    Mungu nipee neemaa....I pray thee

  • @RomanicAmuni
    @RomanicAmuni 3 місяці тому +1

    Mungu akuinue kwa kua umenijenga mahali

  • @e2012ize
    @e2012ize 3 місяці тому +3

    Amen. Ubarikiwe sana mtumishi kwa somo hili. Ngoja nisikilize

  • @JafarMwinyijuma
    @JafarMwinyijuma Місяць тому

    Amina mtumishi

  • @Agnes-rl8co
    @Agnes-rl8co 3 місяці тому

    Amen mtumishi wa mungu.mungu akubariki kwa kutufamisha kuomba usiku wa manane.

  • @RahabuJengela-nx9eo
    @RahabuJengela-nx9eo 3 місяці тому +5

    Amen Mtumishi wa Mungu napokea Neema ya kuomba usiku wa manane🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BatuliOmari-u3b
    @BatuliOmari-u3b 2 місяці тому

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa somo,limenitia nguvu ya kusimama Tena.

  • @IraneShirindo
    @IraneShirindo 2 місяці тому

    Mungu nisaidie niwemuombezi adui asipate nafasi ya kupatanda maguguu nitie chemchem ya maombi rohoni mwangu amen

  • @NancyKivindyo
    @NancyKivindyo 2 місяці тому +1

    Amen amen amen mtumishi nasikiliza injili nikiwa saudia Arabia barikiwa man of God

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 2 місяці тому

    Ubarikiwe kwa masomo mazuri mungu nimwema

  • @ResparGirbert
    @ResparGirbert 2 місяці тому

    Amen barikiwa mtumishi wa mungu nmekua na kushindwa katika maombi ya usku na Asante sana kwa mafundisho Asante bwana kwa kunena NAMI🙏🙏🙏

  • @kwadomm2
    @kwadomm2 2 місяці тому +1

    Asante wacha niombe saa hii

  • @JoniahKambuga
    @JoniahKambuga 2 місяці тому

    Ameen somo zuri ubarkiwe na Bwana

  • @jojianaskibura3190
    @jojianaskibura3190 3 місяці тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu umetutia moyo ktk kazi ya maombi

  • @ZawadiJames-b8y
    @ZawadiJames-b8y 2 місяці тому

    Asanteee mtumish wa munguu kw kunifunz umuhimu w maombii y usikuu

  • @elia5475
    @elia5475 Місяць тому +1

    Ee MUNGU naomba unisaidie nguvu za kuomba osiku wa manane

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 3 місяці тому +1

    Amen MUNGU akubariki sana mtumishi kwakweli nimepata kitu Amen

  • @JosphinePeter-v3u
    @JosphinePeter-v3u 2 місяці тому

    Asante mtumishi wa wungu kwa ufahamu huu, mungu akuzidishie neema hiyo

  • @michaelfocus1515
    @michaelfocus1515 28 днів тому

    Mungu naomba huu usiku unisaidie uniongoze katika familiya yangu

  • @kitwanajohn8237
    @kitwanajohn8237 3 місяці тому +2

    BWANA wetu YESU KRISTO azidi kukubariki mtumishi wa BWANA

  • @bettycherop9405
    @bettycherop9405 Місяць тому

    Maombi nyangu mungu azidi kulinda usiku huu