NDOTO "17" ZINAZOFICHUA ROHO YA UMASIKINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • #bgmalisa #dream

КОМЕНТАРІ • 60

  • @GloryLee-n4u
    @GloryLee-n4u Місяць тому +1

    Power of God nabalikiwa sana na somo la ndoto

  • @godrivernicholous3536
    @godrivernicholous3536 2 роки тому +9

    Kama nilivyokuwa wa kwanza kucomment Neema ya ufungulivu ikawe juu yangu kitovu na ROHO ya magonjwa ya asili yafe na nitengwe na mizimu,hakika MUNGU wa madhabahu ya ukombozi amenipigania sana🙏

  • @AminaNgwele
    @AminaNgwele 2 місяці тому +1

    Najunganisha ktk madhabahu hii nafunguliwa kwa jina la yesu

  • @magreththomas-uz6tx
    @magreththomas-uz6tx Рік тому +4

    Mungu tuepushe na ndoto hizo chafu kwa jina la Yesu

  • @Aveline-h3j
    @Aveline-h3j 4 місяці тому +1

    Naitwa Avelina focus niliwai kuamuka asubui nikakuta nimengatwa mikono yangu na panya baada ya kufatilia maombi mkono wangu wa kulia kila nikishika pesa mkono wangu unauma sana nilikuwa nikiota nakimbuzwa na ngombe ndoto nimeota nyingi mbaya baba naomba msaada wa maombi nami nifunguliwe

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 8 місяців тому +2

    Asante sn kwa maarifa.Yesu Kristo niguse

  • @SarahKulwa-y9o
    @SarahKulwa-y9o 7 днів тому

    Mung naomba niepushe na ndoto zote mbaya amen

  • @SophiaMasanja-q3m
    @SophiaMasanja-q3m 3 місяці тому +1

    Mungu anisaidie nisiendelee kuota hzi ndoto za ajab katk jna la yesu

  • @Bonvivant_Richard_Mayila
    @Bonvivant_Richard_Mayila 7 місяців тому +2

    Mungu Atuepushe mara moja 🙏

  • @sakinamo3109
    @sakinamo3109 2 роки тому +4

    Connection yangu imeunganishwa tena kwa Jina la Yesu Ameen

  • @godrivernicholous3536
    @godrivernicholous3536 2 роки тому +2

    Amen Dady hakika nakuelewa sana

  • @DoriceThomas-y5c
    @DoriceThomas-y5c 25 днів тому

    Ndoto huwa zinanitikea sana za ajabu zishindwe katika jina la yesu naomba nifunguliwe kwanzia sasa

  • @mosesbukwimba
    @mosesbukwimba 5 місяців тому

    mungu akuzifishie uzima uendelee kutuhudumia

  • @AbigaelElianae
    @AbigaelElianae 25 днів тому

    Nakukubali baba nambii kuhusu ndoto niliota msiba wamtoto mdogo,akiwa kwenye jeneza nilipo fika mm kuagalia maiti Kuna mdoli,haikupita wiki mwanangu akadubukia kwenye Maji akafaliki

  • @GraceShaibu-q4d
    @GraceShaibu-q4d 22 дні тому

    Mungu anitetee

  • @bababrighton1266
    @bababrighton1266 7 місяців тому

    Eee Mwenyezi Mungu tuepushe na ndoto chafu.

  • @florawingia1234
    @florawingia1234 2 роки тому

    Amina baba, Mtu wa Mungu. Ndoto zina mafumbo mengi.

  • @TehsHdhdh-lm3ow
    @TehsHdhdh-lm3ow 8 місяців тому

    Mungu niepushe na ndoto chafu in Jesus name amen 🙏🙏🙏

  • @sakinamo3109
    @sakinamo3109 2 роки тому +1

    Ameen

  • @amelianaserian5879
    @amelianaserian5879 2 роки тому

    Amen asante sana Nabii wa Mungu 🙏
    Mimi naota nikiongea na watumishi wakubwa wa Mungu pia viongozi wa nchi,,, nini maana yake? Niko Saudi Arabia

  • @florakalito8500
    @florakalito8500 9 місяців тому +1

    Amina

  • @gidionsimon8875
    @gidionsimon8875 7 місяців тому

    Mungu niepushe na ndoto mbaya

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 6 місяців тому

    Ameen ireceive

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому

    Kwelí kabisa baba

  • @PROPHETPCANTENA
    @PROPHETPCANTENA Рік тому

    Nipo pamoja naww Baba.

  • @CecMwambene
    @CecMwambene 6 місяців тому

    Nabii unanifungua sana ubarikiwe sana

  • @miltonagida2095
    @miltonagida2095 Рік тому

    Amen

  • @AnnastaziaMdee
    @AnnastaziaMdee Рік тому +1

    Nifunguliwe na mimi

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 6 місяців тому

    Nifunguliwe namimi

  • @JeniphaproductFrancis
    @JeniphaproductFrancis 10 місяців тому +1

    Ameni

  • @AminaNgwele
    @AminaNgwele 2 місяці тому

    Mtumishi mm kila cku naota ndoto npo nyumban kijijin najenga nyumba iliyobomoka

  • @JoelleChirhalabwa
    @JoelleChirhalabwa 8 місяців тому

    Tuna shukuru sana

  • @RahelZabron
    @RahelZabron 12 днів тому

    Mimi rahel zabron ni miaka nane sasa sijapata mtoto nabii naomba unikumbuke kwenye maombi haya ya sika 21 Niko meatu

  • @sakinamo3109
    @sakinamo3109 2 роки тому

    Nitainuka tena kwa jina la Yesu

  • @SelnaKawana
    @SelnaKawana 8 місяців тому

    Mtushinimekwelewasana....nisaidie...ndotozangu..sizi..nizaajabu

  • @kingshaffa966-w7y
    @kingshaffa966-w7y 4 місяці тому

    Mchungaji naitwa shabani Hussein au fanueli kutoka moshi Kilimanjaro niliota ndoto Niko shule ya secondary na ma classment WANGU wote nilio maliza nao shule kidato cha 4

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 7 місяців тому

    Nitainuka tena

  • @SuzanaAndrew-sh4bn
    @SuzanaAndrew-sh4bn Рік тому +2

    TUTAFUTE MADHABAHU YENYE NGUVU NA MAFUNDISHO YANAYOTUTOA KWENYE MISINGI MIBOVU YA MAISHA YETU KARIBU KANISA LA UKOMBOZI AMBAKO KILA KITU KINAPATIKANA

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 9 місяців тому

    Kweli kabisa mimi huwa naota sanaa niko shule

  • @FrankDaud-st2pv
    @FrankDaud-st2pv 11 місяців тому

    Baba niombee mm naota nipo shureeni

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 9 місяців тому

    Mimi kabisa yani nikikalibia kufanikiwa apo Ndy shida inaanza

  • @NashnashNash-mn7lf
    @NashnashNash-mn7lf 10 місяців тому

    Muuhu kweli.mtumishi naoto ndoto mara kwa mara mbaya.nifanyaje mtumishi ili nijiepushe na roho

  • @miltonagida2095
    @miltonagida2095 Рік тому

    Niko kenya mm na nina sumbuliwa na hi ndoto ya kuwa kwa shule ya primary nafanya mtihani lakini sikumalizia uo mtihani jamani naomba maomba pastor

  • @PriscillaTanui
    @PriscillaTanui 7 місяців тому

    Nimeota ni kipaa juu ya nyumba,kwa kampuni kubwa kumwa.nikiona magari,duka kubwa kubwa

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 7 місяців тому

    Mtumishi nahitaji maombi najiunganisha

  • @AnnastaziaMdee
    @AnnastaziaMdee Рік тому

    Roho za madeni

  • @tompatrick146
    @tompatrick146 2 роки тому

    Mie nasumbuliwa na Ndoto za Kuwa Sekondari kwa umri huu 55 ...!!!! Mii kila mradhi huvuna tu hasara/ nikimkopa mtu silipwi...Nairobi .!!!!

    • @ukombozitv
      @ukombozitv  2 роки тому

      NAMBA ZA KUPATA MSAADA NDG TOM PATRICK ZIPO KWENYE SCREEN HAPO, UNAWEZA UKAPIGA NA UKASAIDIWA ENDELEA KUWASAMBAZIA UJUMBE HUU NA WATU WENGINE, MUNGU AKUBARIKI

    • @epifanibeckham7742
      @epifanibeckham7742 2 роки тому

      Karibu ukombozi baba yetu wa kiroho atakupatia msahada

  • @NellyYuda-ev5ts
    @NellyYuda-ev5ts Рік тому

    Mimi kila siku naota nipo shule yamsingi najana nimeota hivyo

  • @AnnastaziaMdee
    @AnnastaziaMdee Рік тому

    Nitoke kwenye mizimu inayonitesa na roho ya umaskini na laana

  • @ZuberyKapalata-gm1tj
    @ZuberyKapalata-gm1tj 11 місяців тому +1

    Amen

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 6 місяців тому

    Amina

  • @yosiagurti2374
    @yosiagurti2374 2 роки тому

    Ameen

  • @JoelleChirhalabwa
    @JoelleChirhalabwa 8 місяців тому

    Amen

  • @MwasitiMwinyi
    @MwasitiMwinyi 2 місяці тому

    Amina

  • @99jay660
    @99jay660 7 місяців тому

    Amen