Sheikh Nassor ahsante saaana kwa kikao hichi ...kifo cha Sayyid Jamsheed kimetuhuzunisha Sisi tuliozaliwa baada ya mapinduzi lkn tunasoma historia yetu. Na tunaipenda Oman and Zanzibar na watu wake. Tunampa shukran saaana mfalme wetu Haitham bin Tareq Al Said kwa kumpokea mfalme wa znz. Tuepukeni fitna za wazungu ..
Inna lillah wainaa Ilayah rajeoun. Allah amsameh madhambi yake na ampe noor kwenye kaburi lake amin. Shukran sana was lovely interview and history. Allah awahefadh. Amin
Daaah history nzur sana kwa kweli waliofanya mapinduzi wamefanya dhulma sana katika kwa wananchi wa zanzibar Allah amsamehe makosa yake mfalme wetu kipenzi jemshid bin Abdallah
Allah amrehemu ,tusisikitike sana kadari ya Allah imeshapita kubwa Allah amlipe kheir hakutaka fitna yoyote na Wazanzibari alibaki kimya mpka mwisho wa uhai wake dunia hii ni mapito tu
Allah amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia amsamehe makosa yake yaarab yeye na wazazi wetu na jamii ummat MOHAMMAD SAW. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun... May Allah amghufurie amrehemu ampe kauli thaabit apokee kitabu chake kwa mkono kulia.. Allahumma ameen Allahumma ameen
inna lillahi wainna ilayhi raajiun M.Mungu amlaze mahali pema M.Mungu ndie atakaehukumu waja wake wote dhaalim na madhluum akiwa mzanzibari au si mzanzibari na hio siku haipo mbali
Nakupeni Hongera Sh. Nassor Abdalla Riyami na Sh. Mohammed Ghassani kwa maelezo juu ya maisha yake Sayyid Jamshid bin Abdalla; Mwenye Enzi Mungu amrehemu na amruzuku jannat l’firdaus.
Sisi watu wa uzi island Zanzibar tunamkumbuka Saidi jemshidi,kwa wema Sana alikua akituhimiza kuyafanya mambo ya maemdeleo,alikua mstari wa mbele kuijenga njia ya uzi island Zanzibar, na alikua anakuja uzi island Mara kwa Mara,kwa kazi za usasi wa paa,Nguruwe nk ,alikua anaufahamu wa ajabu kwa kuwajua watu wa uzi akiwaona wakiwa mjini unguja na alikua akiwasaidia Sana hadi kuwapakia katika Gari yake nakuwaleta had unguja ukuu au uzi,na alikuaanakwenda uzi island bila kutoa taarifa na askari wake wakija kumtafuta uzi island.
Kuna Watu Wapumbavu bado wanaamini kwamba Jamshid hakuwa Mzanzibar ati kwa vile tu ni Mwarabu. Haya sasa mnao hawa Weusi wanawatawala kila mwaka wa uchaguzi ni mauwaji tu😢😢
Allah amlaze pema peponi. Kiongozi akiyeondolewa Zbar ambaye mikono yake haikuwahi kumwaga damu. Tukalishwa matangopori ati Mapinduzi Matukufu.😢😢 Lakini baada ya kuondolewa Sultan Zbar imebaki inashuhudia damu zikimwagika.😢😢
Nilionana nae Portsmouth kwenye maziko ya jamaa yangu ambae waliondoka pamoja ,ni kweli mtu humble sana alinijia kwa kukazana. Allah amsamehe makosa yake na amuepushe na adhabu na amuingize peponi
Ukisiliza haya mahojiano utagundua kwamba jemshid aliipenda unguja Kwa ajili ya kuendelea kutawala/kunufaika kama wafalme. Huku Hali za watu wengine zikiwa duni. Mfano wamejenga jumba kubwa la fahari pale forodhani Kwa maslahi yao. Mapinduzi daima mbele.
@@msakuzikondo536hawajadumu waliyoyafanya hayo mapinduzi yakadumu mapinduzi wenywe mda tu haujafika kaka ukifika utashangaa msbadiliko yatakavokuja,usisahau kuwa anaedumu ni Allah pekee tena kudumu kwa Allah kuna kuwa hakuzeeki
Msakuzi angekuwa mhuni asingekuwa world legend.Ukizungumzia African states men Nyerere yumo na rafki yake mandela kwa hilo umefeli ongea lingine.Ile number nyingine wewe.
@@MrA24Gnamba ingine gn mwenzio yuko ktk hali mbaya wewe unasifia upuuzi Afrika ishawahi kutetea watu waovu na kuwapa sifa umajumui wakati walikuwa wanawagawa watu kwa misingi ya kidini kama kwetu hapa udini ulitawala mpaka ukawa unanuka vibaya mno mpaka aloasisi akaona akae pembeni ili aje mtu mwengine arekebishe mambo kwa ukweli zaidi soma kitabu cha Padre Sivaloni kanisa katoliki na siasa 1954 hadi 1985
Ukoloni wa mwarabu haupo tena ila sasa tuna ukoloni nweusi ,wapigaji wengi kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,na wamekosa radhi za mwalim nyerere maana hata ile katiba alioisimamia mwalim julius nyerere ya 1977 huwa watu hawaifuati
Kaka hizi historia zinaumiza sana huu ni uonevu mkubwa sana. Ebu basi hii historia inabidi tu tuanze 1. Halafu hivi wazanzari muna nini na hii ccm. Hivi hamuoni ccm ndio mkoloni no 2 baada ya waingereza?
Nilienda dubai kweli nikachukuliwa rashidiya ni kama vile upo unguja ni wazanzibar watupu urojo upoo yani kila kitu na msikiti wao pale na kila mmoja ananyumba yake hili nimelishuhidia kwa macho yangu nilikaa pale siku 9 na kila siku nilitembelea ndugu wa damu mpaka milichoka
Àsalam alykum Inalliahah wainnaillah rajoon Sisi ni wa allah sw na kwke tutarejea Abdallah sayyid jamshed ni ndgu ytu ktk imani pia ktk uzanzibar But nyinyi wafalme wa Zanzibar mulisababisha nchi yetu ya Zanzibar kutawaliwa na waengereza kwa kutojipnga kiuchumi,kisiasa,usalama wa ndni na nje na kijeshi Mulishindwa na wazazi wetu pemba waliweza kuwafukuza wareno Km mungeshirikiana na wapemba mukaanzisha jeshi or ulinzi mzur waengereza wasingeweza kuitawala Zanzibar Allah sw amuweke mahala pema Mm silaumu why amepinduliwa Walifanya makosa ndio wakapinduliwa Allah sw amrehemu Kwa sasa tukubaliane na doctor mwinyi tusonge mbele Zanzibar yetu
Yani warabu awaomani awajachoka kuifatilia zanzibar mpaka warudi Tena nawambieni ila wabantu weusi awajitambui ila ipo siku watatawaliwa Tena kwani awapendi istoria yao kbs
Wewe hata uchukiye vp huwezi kuifuta asili, mmejaribu sana lkn mmeshindwa. Mpaka leo kuna Mawaziri ndani ya Oman wanazungumza Kiswahili na kuna bajeti maalum ya kuisaidia Zanzibar, hata Mama Samia keshakwenda sana huko kuonana na Mwinyi wasahakwenda sana kuonana. Acha chuki zako usitulazimishe kukumbatia watu wasiopenda kutuona tukinufakia na asili yetu.
Kumbe unajua kama tunakula uduvi😂😂😂 Hebu funguka, mwaga maovu ya watawala wakoloni, kisha andika maovu ya watawala weusi kwa weusi wenzao. Ila ukumbuke tu, hata Mwinyi marehemu alisoma shule enzi hizo, mapinduzi 64 baba yangu alikua ni mwalimu mkuu, mtu mweusi, alifanya kazi serikali ya kikoloni tangu 1952 walipokuja watawala hawa wa leo ananijuza maisha yakawa tofauti kabisa, mshahara wake unamtosha kuishi ana wake wawili, bila kuiba kokote ama serikalini, tuendelee kula uduvi😂😂😂
When you narrate amesimama akiiangalia mji wa Zanzibar kwa kuiaga, hadithi imejenga picha mfano wa film km nawaona Hao waliokua melini jinsi zilivyo huzuni zao
@@2002-h6c Boss kwa taarifa yako labda wa africa wa upande mwengine ndo walikuwa wana njaa sisi waafrika wa kiizanzibar enzi hizo tulikuwa hatuna njaa bora saiv zanzibar kuna njaa kuliko alipokuwa akitawala huyo jemshid tusomeni jamani tuwache ushabiki, Zanzibar ilikuwa ni dola kamili yenye heshima yake kimataifa sio saiv
Sheikh Nassor ahsante saaana kwa kikao hichi ...kifo cha Sayyid Jamsheed kimetuhuzunisha Sisi tuliozaliwa baada ya mapinduzi lkn tunasoma historia yetu. Na tunaipenda Oman and Zanzibar na watu wake. Tunampa shukran saaana mfalme wetu Haitham bin Tareq Al Said kwa kumpokea mfalme wa znz. Tuepukeni fitna za wazungu ..
Inna lillah wainaa Ilayah rajeoun. Allah amsameh madhambi yake na ampe noor kwenye kaburi lake amin. Shukran sana was lovely interview and history. Allah awahefadh. Amin
Nasri al riyami nimemfatilia sana huyu jamaa nimesoma kitabu chake mwamba kabisa wa sheria moja ya watu kati ya watu ambao natamani sana maisha yao❤
Good
Daaah history nzur sana kwa kweli waliofanya mapinduzi wamefanya dhulma sana katika kwa wananchi wa zanzibar Allah amsamehe makosa yake mfalme wetu kipenzi jemshid bin Abdallah
Asante Ghasan kwa kutuabarisha innalillah wainna ilayhi rajiun.mbele yake nyuma yetu Allah ampe kauli thabit mzee wetu wa Zanzibar original
Hii hatari nimeipenda sana Allah awarehemu wazee wetu wote waliotangulia mbele ya haki na ss Allah atupe mwisho mwema mwenye
Mungu amreheremu Sayyid Jamshid, Ameen!
Thank you for this part. Thank you for the respect you showed
Ahsanteni sana Kwa historia nzuri, wengine wanasema walikuwa Wana wafagilisha bibi zetu Kwa matiti. Wanafiki.
MashaAllah unaelezea vizur sana
Jemshid ...innalillah wainna illayh rajiun
Allah amrehemu ,tusisikitike sana kadari ya Allah imeshapita kubwa Allah amlipe kheir hakutaka fitna yoyote na Wazanzibari alibaki kimya mpka mwisho wa uhai wake dunia hii ni mapito tu
Allah amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia amsamehe makosa yake yaarab yeye na wazazi wetu na jamii ummat MOHAMMAD SAW. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
Ma'elfu ya rehema na nuru ziwe juu yke ALLAH 🤲 ambariki kwa ma'elfu ya baraka na amueke katika makaaz ya juu katika pepo yake
Mungu amuweke pahali pema mzee wetuu ila sisi wa Zanzibar tupo mateson makubwaa tunafarki hoviyo kwa siasa na magojwa hatuna khathi hata moja
Tunaujuwa ukweli sisi tunamuachia tu mungu ipo siku walidanganya sana watu wabaya kuficha ukweli ila ukweli tunaujua
Bora sio kunyamaza ni kupaaza sauti ndio ukweli ufahamike kwani swala hili limeathiri sana na kuzidi kuathiri maisha ya watu wengi hadi hivi sasa
Hongera GUMZO LA GHASSAAN munajuwa kweli lengo la Chanel daima ntakw nwnyinyi Allah awabark
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun... May Allah amghufurie amrehemu ampe kauli thaabit apokee kitabu chake kwa mkono kulia.. Allahumma ameen Allahumma ameen
Shukra sana Mwenye Enzi Mungu amrahamu na amsamehe mapungufu yake
Ina Lilahi wa Ina I layhi Rajioun Mwenye Enzi Mungu atamrehemu Mfalme wetu Sayed Jemshid.
Inna lillah waina illah rajiun, Allah amsamehe alipokosea na ampe ya firdaus ,Allah humma amin
inna lillahi wainna ilayhi raajiun M.Mungu amlaze mahali pema
M.Mungu ndie atakaehukumu waja wake wote dhaalim na madhluum akiwa mzanzibari au si mzanzibari na hio siku haipo mbali
Inna lillah waina illah rajiun ,Allah amsamehe alipokosea na ampe pepo ya furdaus ,Allah humma amin.
Nakupeni Hongera Sh. Nassor Abdalla Riyami na Sh. Mohammed Ghassani kwa maelezo juu ya maisha yake Sayyid Jamshid bin Abdalla; Mwenye Enzi Mungu amrehemu na amruzuku jannat l’firdaus.
Allahumma Ameen Yarabbi
Allahuma Aamin
Allahuma Aaamin
Amina
Sisi watu wa uzi island Zanzibar tunamkumbuka Saidi jemshidi,kwa wema Sana alikua akituhimiza kuyafanya mambo ya maemdeleo,alikua mstari wa mbele kuijenga njia ya uzi island Zanzibar, na alikua anakuja uzi island Mara kwa Mara,kwa kazi za usasi wa paa,Nguruwe nk ,alikua anaufahamu wa ajabu kwa kuwajua watu wa uzi akiwaona wakiwa mjini unguja na alikua akiwasaidia Sana hadi kuwapakia katika Gari yake nakuwaleta had unguja ukuu au uzi,na alikuaanakwenda uzi island bila kutoa taarifa na askari wake wakija kumtafuta uzi island.
Mash Allah
si tunaambiwa kwenye historia kwamba walikuwa wauwaji makatili nk
Allah ampe Qauli thaabit
Mashaallah
Historia ya Zanzibar imeposhwa haina ukweli wala uhalisia kwa lengo la kuficha ukweli na kuhalalisha mauwaji yao ya kimberi subhannah llah
Amin yarab shukran sana kwa history. Inalilah waina ilah rajiuna
Innaa lillaahi wainnaa ilaihi raaji'uun .
اللهم غفر له ورحمه واسكنه في جنه ،
امين
Amrehem Ampumzishe Fii'jannah, Amiin
innalilah wainailaihi rajiun you are true zanzibar persons you speaking good swahili mashallah i like this story
Allah amfanyie wepes ktk safari yk ya mwisho
Jazaakallahu Kheyr, kake..kwa kutukhabarisha na kutujuvya...twakusalimia kutoka Wingwi Kinazini
Kuna Watu Wapumbavu bado wanaamini kwamba Jamshid hakuwa Mzanzibar ati kwa vile tu ni Mwarabu. Haya sasa mnao hawa Weusi wanawatawala kila mwaka wa uchaguzi ni mauwaji tu😢😢
SHUKURANI Sana Shekh Nasri
Allah amraham amsameh alipokosea. Amiin
Mwenyezi munqu amsamehe makosa yake na amjaalie makazi mema peoomi amiin
Allah amghufirie dhambi zake amiin.
إن لله و انا اليه راجعون ،اللهم غفرله ورحمه واسكنه فلجنه
Innalilahi Wainnaaileyhirajiuoni Allah Akujaaliye Qaulthabit Yarabiy Na Qabriyako Kuwa Minalriyadhirodhatiljnna Yarabiy
Allah awarehem wazee wetu sote aamin
Allah amlaze pema peponi. Kiongozi akiyeondolewa Zbar ambaye mikono yake haikuwahi kumwaga damu. Tukalishwa matangopori ati Mapinduzi Matukufu.😢😢 Lakini baada ya kuondolewa Sultan Zbar imebaki inashuhudia damu zikimwagika.😢😢
إنا لله وإنا إليه راجعون
يسر الله حسابه يمن الله كتابه
اللهم ثبته بالقول ثابت...
لله البقاء
He was very humble Man
Nilionana nae Portsmouth kwenye maziko ya jamaa yangu ambae waliondoka pamoja ,ni kweli mtu humble sana alinijia kwa kukazana. Allah amsamehe makosa yake na amuepushe na adhabu na amuingize peponi
Allahumma ghfirlahu warhamhu
Wallahi wangekuja tu pemba wakabaki pale inauma sana yani Allah yupo
Leo baadhi ya wazanzibari waliounga mkono mauaji ya 64 ya kafiri nyerere wanajutia kwamaisha wanyoyapitia leo wanatamani hata uyo sultan angerudi tena
Kabisa maneno yako
Ndiyo faida ya Ubaya Hasbiya Llahu
Mungu amsamehe makosa yk yote aliyoyatenda zanzibar na aliowatendea wazanzibar
Dah unauhakika na unachokisema.
MASHALAH
NIMEFAIDIKA SANA KUHUSU SIMULIZI YA SULTANI JEMSHIDI
ALLAH AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE NA AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN AMIN AMIN
Inna lilah waina ilayhi rajiun Allah Arhamhum
Ameen
Nyerere ndio alofanya mabaya haya
Kabisa lakini na yeye yuko wapi hasbiya Allah wani'mal wakiil kwa kila dhalim mpaka siku ya qiyama. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
Kwann alienda kuomba kukaa Tanganyika @@rayaalhabsi1725
Inna liLah wanna ilayh rajiiun Allah ampe jannat al-Firdaus Amiin
Hizi dhulma zimeanza zamani na bado zinaendelea Allah ndio hakimu wa haki tunapo kwenda simbali
Innalillah wainna illahi rajuon Allah ampe kauli thabit ameen 😢
Nyerere akiuma na kupuliza!
Innalillah wa innailaih rajiuun Allah amrehem
Ukisiliza haya mahojiano utagundua kwamba jemshid aliipenda unguja Kwa ajili ya kuendelea kutawala/kunufaika kama wafalme. Huku Hali za watu wengine zikiwa duni. Mfano wamejenga jumba kubwa la fahari pale forodhani Kwa maslahi yao. Mapinduzi daima mbele.
Anafaa ifanywe movie
Waingereza walimtumia nduli nyerere na vibaraka wake bado znz ipo chini ya ukoloni wa Tanganyika.
Nyerere shujaa wa Africa.Mapinduzi Daima
Kweli kabisa maneno yako
@@msakuzikondo536hawajadumu waliyoyafanya hayo mapinduzi yakadumu mapinduzi wenywe mda tu haujafika kaka ukifika utashangaa msbadiliko yatakavokuja,usisahau kuwa anaedumu ni Allah pekee tena kudumu kwa Allah kuna kuwa hakuzeeki
@@msakuzikondo536😂😂😂 ndio maana mpk leo njaa ipo
Ushujaa wake anapambana na adhabu ya ALLAH
Tupo kabila moja na huyu jemshidi lakin mi nimasikini wa kutupwa. ALLAH AMRAHAM AMIN
Muhm kupumua tuuu
Sheikh Hassan Assalaam Alaykum WarahmatuAllah Wabarakat suala langu ni jee tunajikwamua kupata heshima yetu kama wazanzibr
Ndio basi tena
Masha Allah
Inasikitisha sana kuhusu historia ya Zanzibar 😂😂😂 ila IN GOD WE THRUST
آمين يارب العالمين
Jah bless wote Wallio tangulia kalbla yetu Dunia ina mambo hii
Dah kiongozi alikua muadilifu kwa znz
Duuuuu
Alizushiwa kila mabaya ila hakuwa na ubaya wowote
Kwa maelezo haya ni hakika Uingereza ilihusika na Mauaji Yale ya 1964
Ni kweli kabisa maneno yako
What is the full title of the book about Zanzibar at 3:25 min? I wasn't able to find any books on Amazon by Nasser Abdallah Riyami.
Glorifying colonialism.nimekasirika na nimechukia sana kuona kwamba bado Kuna watu wachache miongoni mwetu wanashabikia utumwa.
Nyerere nimuhuni sana
Nyerere ni shujaa wa Africa
Na Fisad Wa Zanzibar.
@@msakuzikondo536kawafanyia nn cha maana
Msakuzi angekuwa mhuni asingekuwa world legend.Ukizungumzia African states men Nyerere yumo na rafki yake mandela kwa hilo umefeli ongea lingine.Ile number nyingine wewe.
@@MrA24Gnamba ingine gn mwenzio yuko ktk hali mbaya wewe unasifia upuuzi Afrika ishawahi kutetea watu waovu na kuwapa sifa umajumui wakati walikuwa wanawagawa watu kwa misingi ya kidini kama kwetu hapa udini ulitawala mpaka ukawa unanuka vibaya mno mpaka aloasisi akaona akae pembeni ili aje mtu mwengine arekebishe mambo kwa ukweli zaidi soma kitabu cha Padre Sivaloni kanisa katoliki na siasa 1954 hadi 1985
Inna lillahi wainna Illaihi raajiuun. Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na amueke pamoja na waja wema . Ameen.
Inna lillah wainna ilayhi rajion ALLAH amsameh makosa yake na sisi ALLAH atupe husnil hatimaaa
Inner lilahi waina ilaihi rajiunn Allah amsamehe makosa yake na amjaalie miongoni mwa waja wake wema.
Maskini jamshed alipata taabu sana toka ujana wake na mwesho maadui wake wangereza huko London mwengereza ni adui sana
Innalilahi wainna ilayhi rrajiuun
Asante kaka Moo
Ukoloni wa mwarabu haupo tena ila sasa tuna ukoloni nweusi ,wapigaji wengi kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,na wamekosa radhi za mwalim nyerere maana hata ile katiba alioisimamia mwalim julius nyerere ya 1977 huwa watu hawaifuati
Kaka hizi historia zinaumiza sana huu ni uonevu mkubwa sana. Ebu basi hii historia inabidi tu tuanze 1. Halafu hivi wazanzari muna nini na hii ccm. Hivi hamuoni ccm ndio mkoloni no 2 baada ya waingereza?
Kweli kabisa maneno yako
Inasikitisha 😭😭😭
Waliomzulumu nawao washakwenda.mbele.ya haki.sijui aliwasamehee ilaa mi naomba awee hajawasamehe maana wameuwa.kwa makusudi.
INNALILLAHI WAINNAILAYHI RAAJIUUN
إنا لله وإنا إليه راجعون
Inalillahi waina illaihi Rajiun
Inna lillah wa Inna Ilaihi rajiun
Usimdangaye mwenzio. Uta pata thambi.
Sisi watu wa Africa mashariki tuna damu zetu huko ila haina maana tuutukuze ufalme hii mindset siikubali na sitaikubali kamwe.
Inna lilahi wainna ilaihi rajiun
Nilienda dubai kweli nikachukuliwa rashidiya ni kama vile upo unguja ni wazanzibar watupu urojo upoo yani kila kitu na msikiti wao pale na kila mmoja ananyumba yake hili nimelishuhidia kwa macho yangu nilikaa pale siku 9 na kila siku nilitembelea ndugu wa damu mpaka milichoka
Allah amrehemu
Hakika nyerere ni wa kushtakiwa kayafanya mabaya mengi sana zidi ya uislamu wa zanzibari na tanganyika
Waingereza ndio WA Kwanza kushtakiwa ndio wafuate akina Nyerere na wenzake,maana bila Uingereza hakuna yeyote angeleta ujinga ule!
Àsalam alykum
Inalliahah wainnaillah rajoon
Sisi ni wa allah sw na kwke tutarejea
Abdallah sayyid jamshed ni ndgu ytu ktk imani pia ktk uzanzibar
But nyinyi wafalme wa Zanzibar mulisababisha nchi yetu ya Zanzibar kutawaliwa na waengereza kwa kutojipnga kiuchumi,kisiasa,usalama wa ndni na nje na kijeshi
Mulishindwa na wazazi wetu pemba waliweza kuwafukuza wareno
Km mungeshirikiana na wapemba mukaanzisha jeshi or ulinzi mzur waengereza wasingeweza kuitawala Zanzibar
Allah sw amuweke mahala pema
Mm silaumu why amepinduliwa
Walifanya makosa ndio wakapinduliwa
Allah sw amrehemu
Kwa sasa tukubaliane na doctor mwinyi tusonge mbele Zanzibar yetu
Si Zanzibar pekee iliyotawaliwa na Waingereza, huko kwengine vipi walisababisha machifu ? Ila tu ujuwe kuwa hakuna tena nchi ya Zanzibar.
Kando ya Ukijuacho - Hii unaitendea haki Sh Ghassani
NINGEPENDA KUYAONA MAZIKO YAKE SULTAN JEMSHIDI
Yani warabu awaomani awajachoka kuifatilia zanzibar mpaka warudi Tena nawambieni ila wabantu weusi awajitambui ila ipo siku watatawaliwa Tena kwani awapendi istoria yao kbs
Wewe hata uchukiye vp huwezi kuifuta asili, mmejaribu sana lkn mmeshindwa. Mpaka leo kuna Mawaziri ndani ya Oman wanazungumza Kiswahili na kuna bajeti maalum ya kuisaidia Zanzibar, hata Mama Samia keshakwenda sana huko kuonana na Mwinyi wasahakwenda sana kuonana. Acha chuki zako usitulazimishe kukumbatia watu wasiopenda kutuona tukinufakia na asili yetu.
Wabantu Wana shida ya iq ndogo ndio maana ni rahisi kutawaliwa na kufanywa watumwa ona comments waisifu familia iliyo wauza kama mbuzi
HATA MTUME ALIKUWA ANA WATOWA WATU KWEYE UTUMWA NA KUWA HURU
REST IN PEACE
Vedio mwsho haitoki sauti nini Tatizo
Kwa nini Sultan alipoondoka Zanzibar hakuenda Oman ambako ndio nchi ya asili yake na badala yake akahamia England
Inatia hisia
Mapinduzi daima, utawaliwa na waarabu mwiko
Kumamakoooo. Hao sio Waarabu. Ni Wazanzibar. Nyooo mbona mmebaki mnalialia tu huko Zenji😂😂
Na tule uduvi lakini sio kutawaliwa Tena. Hao wakoloni ukiwasikuliza utaona hakuna watu kama wao, lakini hatari sana
Na hao waliouwa Wazanzibar je. Pimbi wewe. Mtakaa mnakula uduvi na mavi.
Wacha ushamba babu uwo sikiliza hoja
Na ndio maana mka pinduliwa na Tanganyika . CCM na bado
Kumbe unajua kama tunakula uduvi😂😂😂
Hebu funguka, mwaga maovu ya watawala wakoloni, kisha andika maovu ya watawala weusi kwa weusi wenzao. Ila ukumbuke tu, hata Mwinyi marehemu alisoma shule enzi hizo, mapinduzi 64 baba yangu alikua ni mwalimu mkuu, mtu mweusi, alifanya kazi serikali ya kikoloni tangu 1952 walipokuja watawala hawa wa leo ananijuza maisha yakawa tofauti kabisa, mshahara wake unamtosha kuishi ana wake wawili, bila kuiba kokote ama serikalini, tuendelee kula uduvi😂😂😂
Tatizo la hawo wanaofata mkumbo hawana akili wanaburuzwa kama samaki mtugoni
When you narrate amesimama akiiangalia mji wa Zanzibar kwa kuiaga, hadithi imejenga picha mfano wa film km nawaona Hao waliokua melini jinsi zilivyo huzuni zao
Wew mwangalie Ata uyu ghasani nimbantu mwesi Tena anapewa yakibantu ila ajitambui ana Ata istoria 1 yamtu mweusi Ata 1
Rejea shule ukajifunze
Dhulma ikizidi huangamiza kilakitu
Hawa siyo Wazanzibari bali ni Walowezi, manake hata kiswahili hawajui maskini , pamoja na kuzailiwa na kuitawala Zanzibar kwa miaka yote hiyo😂 😂
Mzanzibar si weye ambae huna makaburi ya babu zako walau watatu hapa zanzibar
Kaaa na njaaa yko hpo
@RitbayRitbay Kwani hata walipokuwepo hao , sisi Waafrika tulikuwa na shibe gani ? angalau sasa japo hatuna kipato kukubwa tunaheshimika kama wao
@@2002-h6c Boss kwa taarifa yako labda wa africa wa upande mwengine ndo walikuwa wana njaa sisi waafrika wa kiizanzibar enzi hizo tulikuwa hatuna njaa bora saiv zanzibar kuna njaa kuliko alipokuwa akitawala huyo jemshid tusomeni jamani tuwache ushabiki, Zanzibar ilikuwa ni dola kamili yenye heshima yake kimataifa sio saiv
2002-h6c:.Hata kama kiswahili Chao hakifafahamiki kama usemavo,lakini anafahamika.Ni kama vile wengine wanasema"ameludi,mladi wa reli,anapiga kula ",