16 Kutoka Gerezani 1967

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Februari 1967 Aman Thani na wafungwa wa siasa wameletwa kutoka Langoni kuletwa gereza la Kilimani. Karume na memba wa baraza la mapinduzi wamekuja jela kuwafungua baada ya kufungwa miaka mitatu.

КОМЕНТАРІ • 12

  • @asiarajab5223
    @asiarajab5223 8 років тому +2

    mwenyez mungu ape wepesi uko alipo ishaallh

  • @hassanussi1747
    @hassanussi1747 8 років тому +6

    Ahsante sana mzee wetu kwa kutupa historic, Allah atupe kila la kheri.

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 4 роки тому +1

    Huyu mandera katesa watu wingi sana

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 6 років тому +5

    Hayasemwi haya, yanafichwa kwenye historia zetu.

  • @abdallahnkrumah6237
    @abdallahnkrumah6237 2 роки тому

    Nitoe Pole kwa wote waliopita kwenye Madhila hayo. Kwa histori za Mzee Thani Ni zaidi ya yaliofanywa na Adolf Hitler

  • @blacknature3691
    @blacknature3691 4 роки тому +2

    😢 Mbona mimi ndo naiona hii Leo? Duh nimechelewea wapi hata sijuwi

  • @aliymaulid8941
    @aliymaulid8941 4 роки тому +1

    kilozi aliletwa na Allah kwa rehma zake kutoka bara ndo maana udugu ckufanana bali ni kufaana

  • @asutfaile2647
    @asutfaile2647 8 років тому +2

    subhan Allah, nimeguzwa sana.

  • @abdallahnkrumah6237
    @abdallahnkrumah6237 2 роки тому

    Nitoe Pole kwa wote waliopita kwenye Madhila hayo. Kwa histori za Mzee Thani Ni zaidi ya yaliofanywa na Adolf Hitler

  • @gresmorutatinisibwa7210
    @gresmorutatinisibwa7210 3 роки тому

    Kusema Ukweli leo nimejua Mengi Sana Ambayo Yapo Sirini. Aisee Nimeumia Sana

  • @fakiaabass5893
    @fakiaabass5893 7 років тому +1

    Mzee umelegea kitu juu ya mstari