SUGU AOMBA KAZI KWA RAIS MAGUFULI "NIONDOE MAFUNDO FUNDO YA SIASA" | ASHIKWA MKONO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 111

  • @charryrking9380
    @charryrking9380 5 років тому +26

    kama umekubari siasa ya sugu. gonga like hapa

  • @jocenocha8846
    @jocenocha8846 5 років тому +15

    Leo Sugu umetisha sana hizo ndio siasa nzuri duniani kote

  • @anjelangaiza6258
    @anjelangaiza6258 5 років тому +4

    Mungu saidia icho kiongereo kiwe salama. Twakupenda sugu.

  • @hussenimlimati9592
    @hussenimlimati9592 5 років тому +15

    Mhe sugu Huo ndio u Tanzania wadamu

  • @ammymhagama5483
    @ammymhagama5483 5 років тому +13

    Safii sana kamanda sugu ujumbe umefika wezetu wanaona kama upinzani niuadui kumbe ndio kioo chawatawala kujua wapi wanakosea wajisahihishe

  • @hdmtanzania2617
    @hdmtanzania2617 5 років тому +25

    Sugu hizo ndo siasa nzuri, sio siasa za chuki na kupinga kila jambo kwa wenye akili umefanya jambo zuri kuheshimu mkuu wa nchi jeurijeuri kama za Heche ni utovu wa nidhamu, hata vitabu vya dini vinatuasa tuziheshimu mamlaka zilizowekwa maana mamlaka hizo zatoka kwa Mungu, kuanzia leo nakuheshimu Mh sugu kwa nidhamu uliyoionyesha mbele ya mkuu wa Nchi, safisaaaana

  • @mwaminifungo4665
    @mwaminifungo4665 5 років тому +9

    huo ndo ustaarabu kaka sugu au Rais wa mbeya unastaili kua kua kiongozi wewe ni jasiri mungu atutunzie amani hii

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 5 років тому +9

    Sugu /magufuli hapa kaz tu maendeleo hayana chama

  • @khalidgugu4964
    @khalidgugu4964 5 років тому +8

    Sugu Sugu, amehakikisha ubunge wake kuwa endelevu pale Mbeya #MVMP

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 5 років тому +3

    Hongera sana sugu

  • @kwamemchauru4141
    @kwamemchauru4141 5 років тому

    Asante sana kaka.. God Bless you always.

  • @christophermlaponi534
    @christophermlaponi534 5 років тому +13

    Ndiyo faida ya ujasiri!
    Ameongea vema, kwa heshima bila jazba !!

  • @djkaka5580
    @djkaka5580 5 років тому

    safi sana mh sugu hiyo ndo siasa hakika nimefu
    rahi sana mh rais atakuruhusu kuondoa mafindofindo ya kisiasa big up bro bravo!!!!!!!!!!

  • @tolutolu2970
    @tolutolu2970 5 років тому +10

    Ajaomba kazi. Ayo siasa inaaza kukupoteza bro. Juzi boni kakulalamikia Leo tena

  • @shedyjr3227
    @shedyjr3227 5 років тому +5

    Huyoo jama mwenye suti nyeusi alivyokimbia yani angeanguka ndoo angekomaa na kihere here chake

  • @kaspunerick5696
    @kaspunerick5696 5 років тому +2

    RAIS MaGUfuli uzinduzi wa barabara ya chunya

  • @jaffarmguwa5566
    @jaffarmguwa5566 5 років тому +2

    Leo kaongea vizuri

  • @yasinmuona7335
    @yasinmuona7335 5 років тому +2

    Howo ndio uzalendo na adabu kwa mkuu wa nchi yeko

  • @rosezumba6318
    @rosezumba6318 5 років тому +4

    Safi sana mbunge

    • @ireneemanuel9501
      @ireneemanuel9501 5 років тому +1

      Sugu upo vizuri Sana umeongea point Sana Mimi ni mwana ccm ila umetisha wangu bigp san

  • @kusekwasita1576
    @kusekwasita1576 5 років тому +2

    Chadema wabunge bunge lijaro, sugu, jay haule lazima

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 5 років тому +12

    Mbunge gani wa ccm anaweza kuwa jasiri kama sugu kutoa hoja ?

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому

      Huo ujasili wake angojee kikao kikuu cha wakuu wa juu ya chadema wakushughulikia wanaomuunga mkono rais kikiongozwa na mbowe

  • @stanilupelele2793
    @stanilupelele2793 5 років тому

    Yani Rais yupo vizuri sana sasa waliovaa suti shida hadi kichefuchefu

  • @woltabenadi2184
    @woltabenadi2184 5 років тому +2

    Ayoo ushaza kufeli kaombawapikazi tunakuamini bwana

  • @anganilemichael2283
    @anganilemichael2283 5 років тому +12

    Ameomba kazi gani hapo ayo au na wewe umeanza kama vimedia vingine kuongopa

  • @mofathool4158
    @mofathool4158 5 років тому +6

    Rais wetu mpendwa nakukubari sana watanyooka wote ila zidisha tena kukaza heshima itarudi tu

    • @fredreckmwakalinga3475
      @fredreckmwakalinga3475 5 років тому +1

      Mofat Hool akili finyi kutafakari mambo

    • @emanuelsamkinda4228
      @emanuelsamkinda4228 5 років тому

      Hongera kwa upumbav wako,, we box kwl,,, mwambie akukazie we

    • @mofathool4158
      @mofathool4158 5 років тому

      @@emanuelsamkinda4228 mwenzio kafyata wewe unasubiria usuguliwe km shoga mwenzio lisu

  • @godfreymasondaabel1904
    @godfreymasondaabel1904 5 днів тому

    Mwamba sanaaa huyu😂

  • @edwinkimambo5086
    @edwinkimambo5086 5 років тому +1

    Sugu juu

  • @Mngoniboytv
    @Mngoniboytv 5 років тому +3

    sugu unatisha mlizi wa rais kumbe unasalimia

  • @eng.danielwinani7439
    @eng.danielwinani7439 5 років тому +2

    umewazd kete akna lissu

  • @sokaupdate5545
    @sokaupdate5545 5 років тому +2

    First to comment

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 5 років тому +1

    Hii ndio ukomavu Wa siasa

  • @juvenalymnyama735
    @juvenalymnyama735 5 років тому +8

    Ayo umeshakuwa mkuda kwa nn unakata sauti wewe au umeshakuwa kibaraka

  • @frankmosha5854
    @frankmosha5854 4 роки тому

    Safi sungu

  • @alicegeorge3401
    @alicegeorge3401 5 років тому

    AIBU shuuuu kiongeleo unashida

  • @mwanaidosanga5547
    @mwanaidosanga5547 5 років тому +3

    Siasa ndivyo inavyotaka

  • @johnngowi8481
    @johnngowi8481 5 років тому +5

    Kwa maulizo yangu ni nani anae takiwa kuongea shida Za wananchi zote ???maana raisi kaenda kuongea na wananchi na msheleshaji ana mbania mda kisa watoto kucheza nyimbo Za kusifia jamani

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 5 років тому +1

    Huyuuuu jamaa namkubali

  • @hassangaudence1814
    @hassangaudence1814 5 років тому +1

    SUGU HAKIKA FAHARI YA MBEYA

  • @kaidrisa2711
    @kaidrisa2711 5 років тому +2

    Dah mbna mabodi wanyanyasaji sana

  • @calvinkitaly9376
    @calvinkitaly9376 5 років тому +1

    Raisi wa mbea.

  • @beatriceemanuel1098
    @beatriceemanuel1098 5 років тому +2

    Yani mamboyamaana wanawapa muda mdogo sana

  • @kaspunerick5696
    @kaspunerick5696 5 років тому

    Rais magufuli uzinduz wa barabara ya chuny

  • @vanyjunior1708
    @vanyjunior1708 5 років тому +1

    Nilikwmbia lakin sugu,kaka mkubwa uko mkweli

  • @boazmtileghe9161
    @boazmtileghe9161 5 років тому

    😂😂😂 BIG UP Sana mzee Baba umeongea vizuri

  • @alicegeorge3401
    @alicegeorge3401 5 років тому

    Kiongeleo ana Kera Sana

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 5 років тому +1

    Kamanda

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому

    Mc unaongea sana punguz kihelehele huyo mbna muelewa acha amalize mazur yaliyofanyika mbeya basi tuyajue

  • @aloycelosyekui9078
    @aloycelosyekui9078 5 років тому

    SUGU Ukosawa kabisa kwa maongezi yako

  • @amanimariki7631
    @amanimariki7631 5 років тому +1

    alafu Ayo unatumiwa na CCM mbona unabana bana sauti bhana

  • @sokaupdate5545
    @sokaupdate5545 5 років тому +2

    Wakwanz jamb

  • @sekakigala3613
    @sekakigala3613 5 років тому +1

    Kaomba wapi kazi acheni ufala nyie ayo TV, alaf mbona sugu alivyanza kuongea kuhusu wafuasi wa chadema kutengwa ulianza kukata sauti

  • @wazirijuma7621
    @wazirijuma7621 5 років тому

    ongera muexhiwa

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 років тому +3

    NAOGAPA ANAELEKEA CCM

  • @grecehuyukibanishida5595
    @grecehuyukibanishida5595 5 років тому

    acheni unafiki wandishi was habari kenge nn

  • @izhadiabuu593
    @izhadiabuu593 4 роки тому

    Mipango ya bilget

  • @majadotto9513
    @majadotto9513 4 роки тому

    Sugu anachapa kazi sana sio kama mr konyagi huyu akishinda ni juhudi zake za uchapa kazi huyu ni wapili kwa professor j

  • @zakariampembela7100
    @zakariampembela7100 5 років тому +3

    Mbeya Sisi ni watu wa Amani tu. Ila hatupendi maonezi au uvunjwaji wa haki

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому

      Akuna anayependa maonezi au uvunjwaji wa haki duniani kote

  • @georgeangyelile7016
    @georgeangyelile7016 5 років тому

    Mwenye sura ya uvumilivu

  • @dc39139
    @dc39139 5 років тому

    Hata kama sipendi tabia za watu wa CDM Sugu nimekukubali wewe una chembe za uzalendo kabisa bila unafiki

  • @ibraahmbena
    @ibraahmbena 5 років тому

    Unazingua tittle yako mbovu.

  • @zakariampembela7100
    @zakariampembela7100 5 років тому +1

    Upo sahihi Mhe. Mbunge

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 років тому

    Wale wa kushughulikia kamati kuu ya wakuu wa juu wanakusikia unampongeza rais utaitwa kikaoni siku si nyingi na mbowe ushughulikiwe

  • @osweggemwakajumba3390
    @osweggemwakajumba3390 5 років тому +1

    Blogger acha ukuwadi wa kiboya.

  • @babarenee4797
    @babarenee4797 5 років тому

    Sugu mtu.....!!!

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 5 років тому +2

    Mimi hushituka na kuogopa sana Mbunge ambae jukumu lake kubwa Kikatiba ni kuishauri na kuisimamia Serikali nikimsikia ni mfanyabiashara, kinachonipitikia akili kwangu ni kuwa yupo kwa maslahi binafsi na kuwalinda na kuwatetea hata ikibidi kwa rushwa wafanyabiashara wenziwe.
    Rushwa na Ufisadi mkubwa Serikalini kama vile Richmond, Melemeta nk zilitokana na viongozi wa Serikali (Wabunge/Mawaziri) kuwa wafanyabiashara. Kama Rais na Watanzania tuko vitani na Ufisadi namuomba sana Rais aliangalie vizuri jambo hili. Azimio la Arusha lilipinga vikali jambo hili.

    • @lemumsesa5039
      @lemumsesa5039 5 років тому +2

      Unaongea nn mzee

    • @lemumsesa5039
      @lemumsesa5039 5 років тому +1

      Ww ukiwa mwl au mwanasheria serikalin huwez kufanya biashara au uyo mbunge angekuwa kaka yako ungependa awe anasubr mshahara tu

    • @alfaniismail529
      @alfaniismail529 5 років тому

      Dunia ya leo siyo ya miaka ya 1960's angalia nyakati mzee

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 років тому

      @@lemumsesa5039 Ndio, ningekuwa Rais au Rais angesikia ushauri wangu nisingekubali mtumishi wa umma level fulani kama Mbunge/Waziri na maofisa wengine ningewataka wachague biashara zao au uongozi ni hatari sasa.
      Unategemea nini sheria inapitiswa wewe upo na inabana biashara yako utakaa kimya?
      Kama hujuwi Wabunge wa Tanzania wanapiga hela ndefu kwa kulinda maslahi ya wafanyabiashara wakubwa. Je, itakuwaje akiwa yeye ndio mfanyabiashara.
      Mimi nisingekubali Kiongozi wa umma akawa mfanyabiashara, unategemea bei ya pembejeo ishuke ikiwa wa kusema ishuke ndio mmiliki wa hiyo biashara?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 років тому

      @@lemumsesa5039 Vyeo vya kisiasa ni vyo kujitolea zaidi.

  • @Mngoniboytv
    @Mngoniboytv 5 років тому +4

    sugu unatisha mlizi wa rais kumbe unasalimia