Mr sugu nakuheshimu wimbo una ujumbe .Nangoja collabo yako na prof J wabunge wenye tajriba na talanta, Fanikisha maisha .Much love from Western Kenya Busia County
when hip-hop was real represented and music was for The called few ,nowdays while hip-hop is still alive some People want to take away The meaning of hip-hop but they Will never take This out of The streets, long live honoroble sugu, long live HipHop
NAWATAKIA KILA LA KHELI WABUNGE WANGU,PENDANENI HIVYO HIVYO MKIFURAHI PAMOJA,SIASA SI UADUI WAHESHIMIWA,WOTE LENGO NI KUIJENGA NCHI YETU.MUENDELEE KUPENDANA NA KUFURAHI PAMOJA,SAFI SANA .
Wazee wanamcheki zile... Arooo hiri rikijana ringekuwa na akili Timamu ringekataa hii fursa.. Araaaaa Big man Sugu. This made my day Made my day made my day Made my day eeey.... Aaanh dinh dinh eii enhhh tetirii made myyyy made my day
Hivi naomba mnieleweshe kwann Mbeya mnaiita green city na wakati hata miti hakuna ?? Watu wamekata miti pamekuwa kama jangwa !! Kwa asiyeijua mbeya nenda Iyunga shuka Nzovwe endelea hadi Iwambi nenda hadi mbalizi ifisi igawilo etc miti michache mno utaona mabati tuu !! Nenda mitaa ya airport ya zamani na jirani miti hakuna !! Michache mnooo!! Wakati wa kiangazi jua ni kali balaa vumbi ya hatari !! Natamani ingekuwepo kampeni ya upandaji wa miti at least mkoa wetu upendeze na hali ya hewa ibadilike na hili jina green city liwe na maana !! Kwa mtu ambaye hajasafiri nje ya mbeya hawezi elewa !! Nenda mikoa kama Arusha kilimanjaro morogoro iringa songea nk uone ukijani utaelewa ninachosema !!!
Sugu na Profesa Jay wote mna asili ya Ruvuma hebu jaribuni kufanya project moja ya kukumbuka SONGEA japo najua mnawakilisha Mbeya na Moro lakini nyumbani ni nyumbani! Hata Obama Huwa Haruki Kama Kenya Ni Nyumbani,!
Nimemuona profesa J kama ni kweli gonga like please
Mr sugu nakuheshimu wimbo una ujumbe .Nangoja collabo yako na prof J wabunge wenye tajriba na talanta, Fanikisha maisha .Much love from Western Kenya Busia County
Too proud, Mr two......heshima kwako kutoka DRC....iyi ni bonge la song mpaka leo....message kubwa kabisa!
Fanyeni na profesa j basi itakua nzuri sana
Gonga like kama una mkubali sugu konkiiiiii
Konk
Safi ndo asili yko waonyeshe
Kubal Sana sugu
Amenata na bit hakuna, support ya back vocal,hana papara na bit kama pusy za skuhzi. Sugu bad boy nakukubali sana broda..
Maisha haya dah.. Pole sana sugu kwa kutokurudi tena bunge, unaakili sana sugu
Gonga like kama unaiangalia hadi 2019.still bumpin
when hip-hop was real represented and music was for The called few ,nowdays while hip-hop is still alive some People want to take away The meaning of hip-hop but they Will never take This out of The streets, long live honoroble sugu, long live HipHop
Nyimbo nzuri, msg nzuri inakumbusha enzi hizo za uncle sugu
Y
Sugu + prof J nawapenda sana😘
neema charles love u too
@@gastordominic410 thanks
Love you too from Kenya, grew up listening to these masters
Nic
@@sirchuti nic
NAWATAKIA KILA LA KHELI WABUNGE WANGU,PENDANENI HIVYO HIVYO MKIFURAHI PAMOJA,SIASA SI UADUI WAHESHIMIWA,WOTE LENGO NI KUIJENGA NCHI YETU.MUENDELEE KUPENDANA NA KUFURAHI PAMOJA,SAFI SANA .
balaaaa
Bro uko makini sana hongera kwa comenti yako nzuri
Hahahahahahaha sugu bhana
Wazee wanamcheki zile... Arooo hiri rikijana ringekuwa na akili Timamu ringekataa hii fursa.. Araaaaa
Big man Sugu. This made my day
Made my day made my day
Made my day eeey.... Aaanh dinh dinh eii enhhh tetirii made myyyy made my day
Nakukubari sana jembe, wagongee na ule nipo mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi.
Yeeeeh huyu ndio haswaaa KONK KONK KONK.. Na ni Sugu kweli kweli hana kashfa za hovyo.. Safi mh JOSEF MBILINYI..
Km umemwn Joseph haule anatikisa kchwa gonga like
Nimemuona 😂😂😂😂
Much RESPECT Mh. SUgu, LIVE perfomance juu ya mdundo, na wimbo uliobeba maana kubwa sana. Hongera.
japo wanataka kukutoa jipe moyo mh sugu wewe ni jiwe upo juu sana mwenye haki hashindwi hata cku moja
Nampenda sana mh. waziri mkuu natamani kujua alisema nini kuhusu huo wimbo maana alikuwa akinukuu mambo fulani
Utabaki kuwa sugu tu naweza zaidi ya wanaoweza bongo.. Sema.. Ndio maana kama. Unakubali
Sugu moto chini
Mohamad Ngwale nc
Wooooyooooo namuona professor J anainjoy
😁😁😁sugu bhana eti mikono juu😂😂 ilibaki kidogo awaambie ...wote sema woyowoyo woyo😂😂😂 big up sana mh.
😂😂😂😂😂 hata mm naona
Eti woyowoyo😂😂😂😂Chiku bhana !! Umenfanya nicheke njiani .. Na hashindi kuwaambia piga keleleeeee😂😂😂😂😂
Shida Brother Sugu umeshakua mheshimiwa sasa acha makuzi basi Brother Sugu
Dah aliyetanguliya cku zote anajua brother unajua
Ingekua vp hata bungeni mngekuwa na upendo bila kuangalia tofaut ya vyama
I like the way Professor jay nodding his head,sugu noma sana.
Mpakaaa wabungeee mikonooo Juuuu....nanii kamaaa supuuu naa kamaaa umemuonaaa waremboo wakimpaaa vitulizaaa rohoo achaa like
KIPAJI HUMFIKISHA MTU MBELE YA WAKUU NA WAFALME
kabisa
Unitytz Dar ahahaha
Sauti halisi ya sugu,beat imetullia vizuri,ila angekua msanii mwingine huenda beat ingegoma, Sugu namkubali sana
Fanya mazoez bro sugu uko vzr, chek na profesa j anakaza bado
Nimekuelwa Sana'a kiongoziii ukoo vzr sana
Kama umeona wabunge wanahipop gonga like apa😁😂
Hongera mbunge wa Green city,
Hivi naomba mnieleweshe kwann Mbeya mnaiita green city na wakati hata miti hakuna ?? Watu wamekata miti pamekuwa kama jangwa !! Kwa asiyeijua mbeya nenda Iyunga shuka Nzovwe endelea hadi Iwambi nenda hadi mbalizi ifisi igawilo etc miti michache mno utaona mabati tuu !! Nenda mitaa ya airport ya zamani na jirani miti hakuna !! Michache mnooo!! Wakati wa kiangazi jua ni kali balaa vumbi ya hatari !! Natamani ingekuwepo kampeni ya upandaji wa miti at least mkoa wetu upendeze na hali ya hewa ibadilike na hili jina green city liwe na maana !! Kwa mtu ambaye hajasafiri nje ya mbeya hawezi elewa !! Nenda mikoa kama Arusha kilimanjaro morogoro iringa songea nk uone ukijani utaelewa ninachosema !!!
Heshima kwako kaka sugu
kweli wakina konk konk konk master walikuwaga bado sana.ume tisha
Namuona professor J anatikisa kichwa kwa furaha ya kunata na beat
waooooo, safii, profesa J safiii
Hip Hop Raha Sana! Unaweza Perform Hata Mbele Ya Wabunge (Watu Wazima) Na Wakaelewa Ulichoimba!!
Kwel kabixa
Mwanaharakati Sugu.
Alijua kua wazir alkua anajibana kucheka gonga like apa
Hip hop legend in Tz sugu moto chini
Esther Mwogofi sanaaaaaaa
Hongera sana mbubge MC
2proud, always superb.👍
Km umemuona ndugai na pro Jay wananata na beat kwa kichwa tujuane kwa like👍
Namwona mh spika kama anakunja kunja big up sugu #mbeyamoja
Well done mr mp
Mh.Mbilinyi shkamooo🙌🙌
bado nairudia rudia show dah Sugu nakukubali sana❤❤ 28/10/2022
Nakubali sana my father
Aiseeeeee love sanaaa my bro wangu
Still uko vizuri ,good sana
he he he he Tanzania yangu naipenda
Nouma xana mheshimiwa goma lipo vzr xana big up
Katisha sana
Hapo sawa pendaneni hiyo ndio TZ tunayoitaka.
Ana miaka chini ya 18 ni 🔥🔥🔥
Nimekumbuka mbali sana
Eti mikono juu hahahaha!! bado uko vizuri mkuu
kama umemuona job ndugai pita hapa kwa like
Ili kua poa bonge la shoo ndani ya bunge Safi sana
Namuona Jay anatikisa kichwa tu! Aisee enzi zileee
Nyimbo za zaman zilitujenga vijana wa zaman polen wenzetu nyakat za singeli
saruti mbeya juu
ahadi mastone ongera
waziri una lusha kichwa iyo yenyewe.
Nimependa sana hii
Bado uko vizuri 2proud na ulichagua goma sahihi wakati sahihi na maeneo sahihi.
Naona sugu ameamua kuwapa burudani waheshimiwa wenzake ,uko safi mheshimiwa sugu,
Sugu is a bongo Flava legend.
Wimbo mzuri u anatafakarisha
My favorite music when i was 19 years.my name became Mr.II
Upo vizuri
Wasanii wa leo watakuibia hizo verse
Kila mbunge wa upinzan katika eneo lake n raisi jiulizen na mjitafakari
nimependa sana hii!
Upo juu
✌️✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿❣️❣️. Two proud
Kizazi Sana hii!
Umesikiya bongo flava....
Kweli mkuu hapo naikumbuka hiyo song
Baada ya matokeo October 30, 2020 hit a like
Unaleta usanii kwenye jumba la sanaa. Viongozi wasanii kweli kweli
atari sana mbunge suguuu
Yeap is real rapper.🔥💫🔥
The real konk much respect from Mombasaniiii
Safi sanaaaaaaaaaaaaaaa
weweeeeeeeeee oyooyoooooooo ganga like yako twende pamoja
Noma salute kwake ana miaka chini ya 18
Msanii wangu bora wa miaka yote
Duuh sugu alivyoimba nmemaliza siku vizurii
Sugu na Profesa Jay wote mna asili ya Ruvuma hebu jaribuni kufanya project moja ya kukumbuka SONGEA japo najua mnawakilisha Mbeya na Moro lakini nyumbani ni nyumbani!
Hata Obama Huwa Haruki Kama Kenya Ni Nyumbani,!
February 28 huyu mkinga sio Wa ruvuma mbilinyi na ruvuma WAP na wap
Akienda polis wanamwambia awana jinx ...!!?
Anamiaka chn ya 18 anamiakaa Green cty wrap
safi sana mh:sugu
Haaaa, sugu kapata mzuka ati I " mikono juu"
Who watching on this date 19.4.2023?
Good msg 🥰🥰
Yaani nimelike mara10 had nikajikuta na unlike, mbunge wetu nomaaaaa
Camera man ana mzooom,Prof J 😀😀😀😀😀,
Noma sana Hip hop mpaka Bungeni
Hii nyimbo yote nilikuwa nimeimeza
Piga keleleeee
heshima kwako sugu
Namkubali kaka etu
Sugu for real!! Pure legend
Sema yeeee kwa xugu