Dah! Jaman utazania upo baba yetu magufuli hakika tutakukumbuka daima, ulitupenda kwa dhati na ukajitoa kwa moyo wako wote ulitua moyo juu ya corona na ukatukumbusha tuzidi kumlilia mungu na kwel mungu alitusikia lakn kwa sasa 😷😷😱😱😭😭😭😭😭, mungu akupumzishe kwa amani baba yetu magufuli Amen
Gwajima bwana ,we achatu,kuwapeleka watu mbinguni 100%, kwenye policts you seem to be among the best politicians for the coming generation.good start.congrats bishop
@@emmapaul1766 sikia kijana ulijuwa aje ni yeye ulimsaidia siku iyoo pili uyo alie sema kuusu haache kuwapeleka watu mbinguni wewe ndie Mungu una msimamisha kazi yake ya uduma unapata laana bila kujuwa kijana
@@farajakasikile8846 katafte clip inayomuhusu utamuona vizuri kuhusu laana siwez kuwa na laana wenye laana ni wez wa kura ambao mungu atawaadhibu muda sio mrefu
@@hashimsleman1371 Mara ngapi akina tundulisu wanatukana matusi mbona wamegombea uraisi alafu hajaita mtu mmbwa kasema ukitaka kufika mbali usimjibu kila mmbwa unayejutana nae barabarani watakuchelewesha pia huo ndiyo ukweli kwenye Maisha siyo lazima kila mtu umridhishe au akupende haiwezekani!!!!!.
Hongera sana Mheshimiwa rais na watumishi wa wote....najivuniya kuwa mtanzania rais WANGU MAGUFULI ...BUNGE LA 12LITAKUWA LA KIHISTORY, CONGRATULATIONS GWAJIMA
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
Asante Sana rais magufuli MUNGU akupe maisha marefu,,, hongera Sana,,,,ninacho kuomba mkuu ukimaliza zamu yako Tanzania nakukaribisha uje kenya tunaitaji kiongozi Kama wewe
Tutaomba mno Mungu mpaka kieleweke. Dunia lzm ielewe Tanzania ni nchi ya pili ya ahadi kutoka Israel chini ya Raisi John Pombe Magufuli. Nakupenda raisi wangu,naipenda Tanzania mno. Magufuli umenifanya niwe real CCM
MH Gwajima juu juu zaidi tunakupenda mbunge wetu hata Bungeni unaongea mambo ya maana yenye kubeba ujumbe mzito wenye mafundisho ndani yake InShaaAllah MMungu akulinde uwezekutusaidia
Hakika,,Umekuwa muwazi kueleza uhalisia unaouthibitisha juu ya Mp Gwajima,,hakika Nimependa sana appreciation zako juu yake,,its real!!! It's a good start,kawe mtanufaika hakika.
Hongera sana Mbunge wa Kawe Mh. Askofu Gwajima maneno yako yamekolea munyu hakika wewe ni kiongozi mbombezi CCM mmetutendea haki ya kipekee Jimbo la Kawe; Mh. Spika tunakuomba Bunge la 12 liwe live. Mwenyezi MUNGU anakwenda kumpandisha Mh. Askofu Gwajima viwango vingine vya juu .
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
@@emanuelmwanga4 kipaji Cha utendaji Magufuli anacho kuliko hata kuongea n mtu wa vitendo zaidi kuhusu gwajima ndyo kwanza kapata nafasi kwa mara ya kwanza kwahyo tutapata nafasi hivi karibuni yakuona Kama anakipaji Cha utendaji kwasababu kipaji Cha kuongea tumeshakiona hata kwenye kampeni.
Bi Kidude angekuwa keshagoma na kutoka nje.... PIGENI KAZI... Singapore ipo mbali kwa kuwa wengi ndani ya bunge ni chama tawala.... ila mkituzingua 2025 sio mbali Tutakuzingueni mjuee😡🇹🇿✔
Mtumishi wa mungu anapoondoka ktk uwepo wa mungu, ujue mwisho wa dunia umekaribia, asikofu mzima unaeaita waumini mmbwa? Ama kweli siasa ni shetanani,( mwache mskufuli afanye kazi ,tunampenda,dini ns siasa haviendani ,chagua moja moto au baridi,
Hongera Rais Magufuli, Hongera muheshimiwa ask. J. Gwajima, Hongera CCM Chama la mfano ndani na nje ya bara la Africa na ulimwenguni kote. Kwa kujipambanua na kujiweka Sawa. Mungu ibariki Tanzania na Africa kwa ujumla wake.
Huyu haaminiki. 2015 alitimua baadhi ya waumini wake wallioonekana kuunga mkono chama tawala. Ndiye aliwauzia UKAWA Lowasa aliyekuwa ametapikwa na chama tawala. Dkt Slaa alipotofautiana nao na kujivua zake uanachama huyuhuyu gwaji alitumika kumdhalilisha kuwa alitupiwa virago na mkewe alipofika nyumbani.Askofu mzima asiyekuwa na maadili kutangaza maisha binafsi ya kifamilia ya mtu hadharani tena madhabahuni! Kwa sababu tu za siasa. Mimi simtambui kama askofu huyu wanaomuita kwa jina hilo hawaelewi uzito wa wadhifa huo.
Bado sijaamini haupo tena Rais ni husuni sana😭😭😭😭😭🇰🇪poleni watanzania wote
Very very prophetic words,,,,, gwaji boy is the best
Gwaji boy!!!
Na hao mbwa ni akina nan?
@@mcheshcomedy5809 DUU AISEE !!.!
@@mosesdeogratius6482 Hatar
333
JPM OYEEEE MIAKA 35 IKULU Nani kaona askofu gwajima kawashiwa maiki weka like hapa
Yaap Bishop Gwajima !!! Genuine appreciation to the Hon. President Jpm!! of the United Republic of Tanzania for his today's ia
That's why I sang
Tanzania yangu mp3
ua-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/v-deo.html
Sijamuelewa
@@francischuwa259 ¹¹
Nimeona mzee
Dah! Jaman utazania upo baba yetu magufuli hakika tutakukumbuka daima, ulitupenda kwa dhati na ukajitoa kwa moyo wako wote ulitua moyo juu ya corona na ukatukumbusha tuzidi kumlilia mungu na kwel mungu alitusikia lakn kwa sasa 😷😷😱😱😭😭😭😭😭, mungu akupumzishe kwa amani baba yetu magufuli Amen
Nimempenda gwaji boy, kwenye ujinga anafanya ujinga sehemu serious anakuwa serious
😜😜😜😜😜 super sticker😜🔐
Nikupe no zake yupo vizuri bwn
@patricia Carlo Mambo vipi kwema my dear
Moja ya quality za good speakers
God bless Dr John Magufuli and my entire Africa as a whole much love from USA
Ngwajima namuelewqga sana congratulations it’s yr relevances examples
It's great presentation done by Gwajima
GWAJIBOY you're somehow genius all the best for your new journey to serving people of KAWE without any bias👏👏👏😁😁😁
Rais wetu wa badae karibu Tanzania mpya ya mafanikio👏👏👏👏
I never new Gwajima was such a clever and intelligent man . Kongole Askofu .
Is very very clever my friend
Ishu ni kwamba...anaongea tuuu halafu hakosei, daah 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌hiki ni kipaji sio ujanja tu.
Nice
Gwajima bwana ,we achatu,kuwapeleka watu mbinguni 100%, kwenye policts you seem to be among the best politicians for the coming generation.good start.congrats bishop
Ujinga mzigo alimshinda nani huyo mfilaji wa waumini wake na kura za wizi ccm chali
@@emmapaul1766 sikia kijana ulijuwa aje ni yeye ulimsaidia siku iyoo pili uyo alie sema kuusu haache kuwapeleka watu mbinguni wewe ndie Mungu una msimamisha kazi yake ya uduma unapata laana bila kujuwa kijana
@@farajakasikile8846 katafte clip inayomuhusu utamuona vizuri kuhusu laana siwez kuwa na laana wenye laana ni wez wa kura ambao mungu atawaadhibu muda sio mrefu
What about phoney votes that enabled him ?
@@emmapaul1766 Acha kutapa tapa mlishabamizwa chini mkubali tu acheni matusi na uongo Mungu atawapiga tena
Gwajima hoyeee mpaka kieleweke
Jembe limepata mkulima..... Safy sanaaaa Mheshimiwa Gwajima
Kweli kabisa tumechagua ccm kwasababu yako jpm
Tujuane wa 2021 Aug nimependa sana gwajima alivotoa speech yake mbele ya ya hayati magufuli
Me nlisemaga hyu mwamba ni chuma watu wakaanzaa kumtolea maneno ya dharau,ila hyu jamaa hata nchi anaweza ongoza
Kwa kipi apo sasa mavio
Sure men
Si uongo
Haaaaaaa ndugu kwaku ita watu mmbwaa kwakweli 2025 agombee uraisi
@@hashimsleman1371 Mara ngapi akina tundulisu wanatukana matusi mbona wamegombea uraisi alafu hajaita mtu mmbwa kasema ukitaka kufika mbali usimjibu kila mmbwa unayejutana nae barabarani watakuchelewesha pia huo ndiyo ukweli kwenye Maisha siyo lazima kila mtu umridhishe au akupende haiwezekani!!!!!.
Kawe hamjakosea 🔥🔥🔥🔥
Hongera Askofu Gwajima.
God Will take him far.... One day, he will be Tanzania President, he will make it, he works hard, he deserves it🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌
Mambo yako motoooooooo iwe na maendeleo hivyo hivyo hongera Sana gwajima hatujakosea kukuchagua piga kazi babaaaaa
Waziri Gwajima oyee
Vp
Alisifiwa pia katika uhai wake😍😘😘
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Dr.John Pombe Magufuli ❤️❤️❤️❤️
Mzee Magu amejitahidi kiukweli, M/Mungu azidi kumpa nguvu 🙏🏽
😃😃😃😃 wagogo wamepanua masikio aaaaah
🤣🤣🤣
Acha matusi kijana haya maisha tu
Mtani wetu huyo tunajuana wenyewe mgogo na msukuma ndio mtani wetu wa jadii😂😂😂nimefurahi tu
Wagogoooo😝😝😝😝
I love his examples
Hongera sana Mheshimiwa rais na watumishi wa wote....najivuniya kuwa mtanzania rais WANGU MAGUFULI ...BUNGE LA 12LITAKUWA LA KIHISTORY, CONGRATULATIONS GWAJIMA
Kwahoja2 gwajima apo ndopenyewe
Gwajima auchoshi kukuangalia big up piga kazi babaa😂😂😂
Bunge la 12 litakuwa la kihistoria wallahi
Nikweli ase kwajima hoe jamni utani mbaka bungeni 🤝🤝
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
I am Burundian but I was a big fan of J.P. Magufuri when he was alive👊👊👊
GWAJIMA ni 🔥 🔥 🔥 🔥
Heshima no 🔥🔥🔥
Daah nimesikiliza zaid ya mara tatu
Gwajima hatar sana
gwajima ni mashine. . big up sana comred . .
Mungu mkubwa tanzania itafikaa mbali xaana mungu msaidie rais wetu azidi kuwa njemaa
AMINA
Asante Sana rais magufuli MUNGU akupe maisha marefu,,, hongera Sana,,,,ninacho kuomba mkuu ukimaliza zamu yako Tanzania nakukaribisha uje kenya tunaitaji kiongozi Kama wewe
Hoo aliesikia gwajima akisema kwenye majimbo mengine hatukuitaji kupiga ila kulitaja jina la raisi
Gwajima 🙌🙌🙌🙌🇹🇿
Ametisha
Hii ndio Tanzania yetu tunayojivunia ya raha, amani,upendo... Najivunia kuwa Mtanzania
WAAOOOO! Bunge la 12 limenoga
Upuuz tu
@@eliabutitus6182 ulivyoona wewe
Tutaomba mno Mungu mpaka kieleweke. Dunia lzm ielewe Tanzania ni nchi ya pili ya ahadi kutoka Israel chini ya Raisi John Pombe Magufuli. Nakupenda raisi wangu,naipenda Tanzania mno. Magufuli umenifanya niwe real CCM
Nakubali sana
Mwenyewe najikuta Sina chama tokea enzi za mkapa lakn Magu Kama ananivutia hivi.
Hahahahahaha..... Safi Sana Gwaji boy.Nimekuelewa moto umeshawaka.
GWAJIMA JIFUNZE KUWASHA MIKE OK! HAKELUYA
Kawasha dude
Gwajima hongera sana umemfanya raisi wetu j p m kufurahi SANA
Gwaji boy
Mungu ni mwema,Raisi barkiwaaa,Askofu barka kwwko na pia nchi mzma kwa ujumlaaaaa
.
MH Gwajima juu juu zaidi tunakupenda mbunge wetu hata Bungeni unaongea mambo ya maana yenye kubeba ujumbe mzito wenye mafundisho ndani yake InShaaAllah MMungu akulinde uwezekutusaidia
Kabisa kabisa hata mimi nakuunga mkono ndugu!!!
Hakika,,Umekuwa muwazi kueleza uhalisia unaouthibitisha juu ya Mp Gwajima,,hakika Nimependa sana appreciation zako juu yake,,its real!!!
It's a good start,kawe mtanufaika hakika.
Kwa kweli kazi yako inaongea kila jimbo, ndo maana wabunge wengi wameshinda Wa Ccm, mungu azidi kukulinda Rais wetu Magufuli
Gwaji boy yuko fit duh. alafu anajua kupangilia speech mpka raha. hongera sana
Wala haujakosea aisee...Mimi mwenyewe nilitamani aendelee tu kuongea
Huyu jamaa anaweza kujipima ktk Miguu ya Uraisi huko Mbeleni ni Kichwa
Gwajima una kipaji mkuu hongera wanaokusema vibaya Achana nao ni (mbwa wakibweka we achana nao la nongeza mwendo hahahahaaaha i like it)
Litakuwa bunge la kihistory hakuna mapepo mwaka huu bungeni
Hiyo ndiyo gwajima,,namuelewa sana,,
Nitakupenda milele magufuli japo haupo
nasubir mbunge wangu wa kawe awe waziri...
Mbunge wetu
Akipata uwaziri nitakutafuta
Hiyo ipo njiani
Nilitegemea mchungaji ngwajima atanza hata kwa kuombea walio jichanganya kumbe anaita watu kuwa wabwek siasa imeisha inatakiwa maendeleo
@@samsonimarwa8622 kweli kabisa unaakili mwana!
Hiyo ndiyo faida kuwalea vizuri watu wa jamii yako, watajitolea kwa moyo wote pia watijenga nchi yao na kuilinda.
Change has come for magufuli naiona tz mpyaa inakujaa
Hongera sana Mbunge wa Kawe Mh. Askofu Gwajima maneno yako yamekolea munyu hakika wewe ni kiongozi mbombezi CCM mmetutendea haki ya kipekee Jimbo la Kawe; Mh. Spika tunakuomba Bunge la 12 liwe live. Mwenyezi MUNGU anakwenda kumpandisha Mh. Askofu Gwajima viwango vingine vya juu .
Nmemuona beberu anasikiliza kwa umakin wa hal ya juu
☝️☝️☝️😂😂😂❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
katulia huyo
Beberu sio mzungu tu bro
Unapo sema "kula" badala ya "kura" kwa hao wageni wanao sikiliza kwa vifaa vya kutafsiri lugha sijui vinakua vinasemaje huko.
Namupenda sanaNgwajima na Magufuri
🤣🤣🤣Gwajimaaaa Raha Sanaaaa TANZANIA Oyeeee ❤❤👍
Mungu akupe neema baba uwe raïsi wa tanzania
Njooni uku, Bungeni kumenoga.
Nakuja me chumba kipp
HahahahahHa haya
Gwanjima safi anza kazi
Tumeanza kuona vionjo jamani , mbwa akibweka usimtupie mawe we songa mbele jamani nimecheka mpaka
@@neemamasimba2981 umecheka mpk KARIAKOO 😜
Hongera Sana pastor Josephat Gwajima
Raisi magufuri mwenyezimungu akurehemu baba 🤲🤲🤲🤲
Miladi Ayo shukran Sana taarifa yenu hua ni shuri Sana, hamnaga maneno tunasikiliza na kijionea wenyewe. Kazi nzuri
True,
Big up 💪💪@Millad.
Nawapata vzr Sana frm👉🇴🇲
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
Ila gwajiboy anajua kuongea aisee..
Hadi vinanoga
Watu walikuwa awamuelew kwenye kampeni sasa waanze kumuelewa
@@gracesiwale7066 nam nimemuelewa Leo!!!😜
@@mcheshcomedy5809 ok
Nimsomi
Umeongea vizuri Gwajima....
Kila mtu ana uhuru wake na Magufuli kiukweli inaonesha njia
Kazi Imekutana na mwenyeweee Mcchungaji umepe kijiti cha kuwa mwanasiasa siunataka shidaaa wewee..Ngoja tusubiri Hiyo Feb
Gwajim umetoa hotuba nzr Leo hongera kwako bba
TUNAJIVUNIA Dr JOHN POMBE MAGUFURI.
Kabisa
intelligent people kama Gwajima niwachache sana
Perfect.
Labda intelligent kwa ccm
@@emmapaul1766 kweli siyo ccm tu wanasiasa wote Hapa nchini wachache ni intelligent hata uko chadema act cuf n.k
Mungu wangu nisamehe wewe unae mbali niliona gwajima tunampoteza kumbe unamaaana nisamehe my dady nimeelewa
Gwajima hoyeeee
Barikiwa amekusikia na anakupenda sana Mungu wako.
Kwa kweli Gwajima atanifanya nilipende bunge la 12,sasa kazi nimeielewa😅😅
Shida siyo hiyo anaweza kuwa na kipaji cha kuongea ila asiwe na kipaji cha utendaji
@@emanuelmwanga4 hicho anacho magu
@@bernardoleonard7331 unaelewa nachomaanisha au uropokaji
@@emanuelmwanga4 kipaji Cha utendaji Magufuli anacho kuliko hata kuongea n mtu wa vitendo zaidi kuhusu gwajima ndyo kwanza kapata nafasi kwa mara ya kwanza kwahyo tutapata nafasi hivi karibuni yakuona Kama anakipaji Cha utendaji kwasababu kipaji Cha kuongea tumeshakiona hata kwenye kampeni.
@@emanuelmwanga4 kama siyo mtendaji utajiri aliyo nao ameupataje na vitabu anavyo je vitabu unawezaje kuviandika kama siyo mtendaji wa kazi
Kwakuwa wakwamisha maendeleo hawapo tena bungeni na kwakuwa bunge ni la kijani tunasubiri kwa hamu tuone Tanzania iwe kama ULAYA.
Bi Kidude angekuwa keshagoma na kutoka nje.... PIGENI KAZI... Singapore ipo mbali kwa kuwa wengi ndani ya bunge ni chama tawala.... ila mkituzingua 2025 sio mbali Tutakuzingueni mjuee😡🇹🇿✔
Filwaji LA mshind feki
Nakkbar mchungaji wangu fanya Kaz yako uliyotumwa na selikali,,hapa kazi tu!!!
Nakukubali siyo nakukubari
Namukumbuka jpm
Asante sana. Gwajima. Ukweri mtupu usemao
Gwanjima hapatoshi,umeniacha hoo🙏🙏🙏🙏
🤣🤣🤣alivyotaja mabeberu kuna libeberu limekasirika hapo 😆😆
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😅😅😅😅🤣🤣😂😂😂😂😂
Kaka nimeliona😀
😄😄😄😄😄
😂😂😂😂
Mbweha wamekusanyana bila ushindi
Uko vizuri gwajima
Hongera Sana Kiongozi wetu Rais wetu wa Tanzania yetu John Pombe Joseph Magufuli miaka 5 Mingine wewe ndiye utatuvusha Sana.....
Mtumishi wa mungu anapoondoka ktk uwepo wa mungu, ujue mwisho wa dunia umekaribia, asikofu mzima unaeaita waumini mmbwa? Ama kweli siasa ni shetanani,( mwache mskufuli afanye kazi ,tunampenda,dini ns siasa haviendani ,chagua moja moto au baridi,
Hongera Rais Magufuli, Hongera muheshimiwa ask. J. Gwajima, Hongera CCM Chama la mfano ndani na nje ya bara la Africa na ulimwenguni kote. Kwa kujipambanua na kujiweka Sawa. Mungu ibariki Tanzania na Africa kwa ujumla wake.
Mambo yameanza kunoga.
Go back and listen to
Tanzania yangu mp3
ua-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/v-deo.html
And you will understand
Sana tu hili ndio mbunge lkn lile lililopita la kina halima na zitto na mbowe huwa najiuliza walikuwa watoto wadogo fujo tu
Gwajimaaaa,hoyeeeeeeeee👍👍💃💃💃💃🏋️♀️🏋️♀️🏋️♀️🏋️♀️💪🤝
Huyo ndio Gwaji boy ! Mchungaji
Safi MH! Askofu wakilisha vyema tumekuamini piga kazi,
He is full of wisdom
Hakuna kitu hapo ,kazi ni kumsifu Magufuli tu.
Gwajima atanifanya nilipende hili walahi😂😂😂😂😂😂😂
Mungu wa ajabu asa makonda chali kwa kumfanya mwenzie mbaya leo mwenzie juu
Very smart man....he should be your next President
Yaaan gwaj umenifurahisha Mungu awaongoze wabunge wote Tanzania nzima mamoja na Rais wetu
Nikiwa ktk majukumu yng oman nimefurahi sana siku ya leo
ua-cam.com/video/MUet80Qj3dE/v-deo.html
Hahaha
Hongera Sana mhe, gwajima
Huyu haaminiki. 2015 alitimua baadhi ya waumini wake wallioonekana kuunga mkono chama tawala. Ndiye aliwauzia UKAWA Lowasa aliyekuwa ametapikwa na chama tawala. Dkt Slaa alipotofautiana nao na kujivua zake uanachama huyuhuyu gwaji alitumika kumdhalilisha kuwa alitupiwa virago na mkewe alipofika nyumbani.Askofu mzima asiyekuwa na maadili kutangaza maisha binafsi ya kifamilia ya mtu hadharani tena madhabahuni! Kwa sababu tu za siasa. Mimi simtambui kama askofu huyu wanaomuita kwa jina hilo hawaelewi uzito wa wadhifa huo.
Gwaji boyyyyyyyyyy, ubarikiwe muheshimiwa
Hahahahahahaha
Gwajima maneno yako yana upako aisee. Mbavu zimeuma kwa sababu ya kicheko
Tulikuwa tumechelewa sana kupata watu kama kinagwajima
Gwajima oyeee
Mbona anaongea kibeberu si aongee kiswahili
Naamin kwamba hakuna mbunge atakaemzid Gwajima kutoa hoja na kuongea vzr
Ngwaji boy kawe inakuitaji sanaaa
Kweli tuna muitaji
timu magufuli❤❤❤
Achukue yeyoteee but asiwe joseph msukuma