RAIS MAGUFULI "SUGU OYEEE, MOYO WAKE NI KAMA CCM"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 499

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 5 років тому +88

    Rais ni Magufuli tu kama kunamtu hampendi yeye si mnyonge ila ni mnyongaji
    Love to Magufuli

  • @chacha-255
    @chacha-255 5 років тому +39

    Nimekuja kumuona raisi wa mbeya hapa, like kama umekuja kumcheki raisi wa mbeya

  • @hafidhimarijani8349
    @hafidhimarijani8349 5 років тому +18

    Sugu ni brand 🙌🙌🙌

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 5 років тому +23

    Man of the people 💪🏽

  • @mwantumathumani8013
    @mwantumathumani8013 5 років тому +1

    Ubarikiwe pia na ww baba yetuuuuu...Mungu akupe maisha marefuuu...nchi imesimama haki bin haki Sasa hv.

  • @burtonytenison2560
    @burtonytenison2560 5 років тому +34

    Hongera sana Mhe: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI kwa kazi nzuri za kuliletea Taifa letu maendeleo. utabaki kuwa juu DAIMA. Aksante!

  • @komanyaamin6732
    @komanyaamin6732 5 років тому +10

    I love my presedent mungu akupe mwisho mwema mjomba

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 5 років тому +52

    Hatar fire shangwe la haja no one like JPM❤🇹🇿

  • @bobjulieoneheartband
    @bobjulieoneheartband 5 років тому +3

    Machozi ya Furaha yamenitoka, Mungu Akulinde Mh. Rais Wetu. Asante Kwa kumpaiza Sugu (Mbunge) safiii tutatoboa tuu.

  • @alibinhussein1185
    @alibinhussein1185 5 років тому +2

    We need a man like you in Kenya to help people off kenya

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 5 років тому +4

    Mungu akubariki sana muheshimiwa rais. Unajitoa kwa moyo wote

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 4 роки тому

    CCM nzuri sana jamani. Niende wapi mimi. CCM for prosperity

  • @mchungajijesse4593
    @mchungajijesse4593 5 років тому +8

    I like politics when becomes game not enmity... Your comment on sugu safiii...wape wanasiasa wenzako political game sawa ...mheshimiwa

  • @lindaemmanuel5215
    @lindaemmanuel5215 5 років тому +12

    Mungu akubaliki sana raisi magufuli

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Nakupenda sugu chunga sana chama chako usitetereke hata kijani isikusumbue angalia mbele siyo mbere

  • @smartcharles492
    @smartcharles492 5 років тому +12

    Raisi Anafanya vizuri

  • @ackshuba8679
    @ackshuba8679 5 років тому +48

    wangap wamekuja kuangalia hii video kwasababu ya #Sugu. hahhh Sugu ndio rais wetu mbeya

  • @upendojoseph31
    @upendojoseph31 5 років тому +2

    Tunakupenda Rais wetu magufuli

  • @nuurinkluge7584
    @nuurinkluge7584 5 років тому +14

    Magufuri 👍🏻👍🏻❤️❤️🇹🇿🇹🇿Tansania

  • @johnbernad1529
    @johnbernad1529 5 років тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏wewe ni rais Wawa Tanzania wote kwer

  • @masaithedon1920
    @masaithedon1920 5 років тому

    mdundo.com/song/1304109 Bonyeza hapo 👆👆 Ku download wimbo wangu niliompongeza mh/ Rais Dr. John pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya , au njoo wasap +255763728616

    • @masaithedon1920
      @masaithedon1920 5 років тому

      mdundo.com/song/1304109 *Bonyeza hapo*👆👆 Ku *download* wimbo wangu niliompongeza *mh/ Rais Dr. John pombe Magufuli* kwa kazi nzuri anayofanya , au njoo wasap +255763728616

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 роки тому +1

    Pamoja saana jpm... Mwaka huu 2020 tunataka mabadiliko. Tulia halison ndan

  • @danielmagasi3279
    @danielmagasi3279 5 років тому +1

    Maisha hujengwa kwa wenye nia njema juu ya taifa lao hakika your are a man keep on Mh Dk. John Pombe Magufuli

  • @bongotz8622
    @bongotz8622 5 років тому

    Big up my president ....Allah akupe nguvu na ulinzi......iam proud of you.

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 5 років тому

    Hongera saan mr Sugu your the best roho nyeupe saan kaka hauna zile roho zakutu God blesse u 😘

  • @pendokatindasa2281
    @pendokatindasa2281 5 років тому +23

    Nyerere amezaliwa Upya na Chama chake CCM.

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 років тому +22

    Hahahaha kuna watu wanateseka hapo maguuu safi rais anapendwa huyu yaan ww ukimchukia maguu unajisumbua tu

  • @muharamseleman1976
    @muharamseleman1976 5 років тому +1

    Mungu akulinde rais wa watu mungu wape azabu hapahapa duniani na choyo chao wasiopenda mema

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 5 років тому +83

    Ccm jueni Rais ni Baba wa wote acheni kubagua na kujifanya wenu peke yenu. Ni wetu wote na haipendezi kumchukia Rais wa nchi yako.ni laana kumchukia Rais wako

  • @hkmayala414
    @hkmayala414 5 років тому +1

    Huyu rais anatisha🔥🔥🔥🔥🔥

  • @chrithicksambo2480
    @chrithicksambo2480 4 роки тому

    Mimi sio mnyonge ni Raia wa Kuzaliwa Tanzania ko Mimi sio dhaifu ni binadam nayejitegemea 🙏

  • @SAM_163
    @SAM_163 5 років тому +5

    LIVE LONG PRESIDENT.❤❤🇹🇿

  • @fatumamcharo3929
    @fatumamcharo3929 5 років тому +2

    Namuona kuleeee!!! Juu mawinguni!! Hongera jpm!

  • @patricknyamaiya9491
    @patricknyamaiya9491 5 років тому +67

    Kuna watu wanateseka eti kisa sare za ccm kwani chama kinachoongoza nchi ni chama gani ulitaka wavae sare ya saccos yenu

    • @lindaemmanuel5215
      @lindaemmanuel5215 5 років тому +3

      Patrick Nyamaiya wataisoma namba

    • @typbhjk786
      @typbhjk786 5 років тому +4

      Patrick Nyamaiya 😂😂 alafu wote wenye sare za ccm wamechok ukiwaangalia tuuuu

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 5 років тому +2

      Emmanuel Tv mchapakazi lazima achoke maana kauli mbiu ni HAPA KAZI TU,wewe unaeshinda kijiweni unadhani nini kitakuchokesha

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 5 років тому

      Kwa hio wamevaa sare ya saccoss yenu et.

    • @sonymusa5333
      @sonymusa5333 5 років тому

      Ushamba mtupu, Anagalia nchi za wengine kama wanafanya hvyo tena wanapiga marufuku. Ukishachagua raisi maswala ya vyema pemben

  • @lindaemmanuel5215
    @lindaemmanuel5215 5 років тому +10

    Magu oyeeeeeeeeeeeeee

    • @isayasayi4920
      @isayasayi4920 5 років тому

      Hongera sana sugu Mungu akulinde kwa uvumilivu wako huyu jamaa huwa anamaneno makali

  • @francisnicholaus7036
    @francisnicholaus7036 5 років тому +9

    Safi sana raisi wetu. Nchi inasonga mbele.

  • @emuthree
    @emuthree 5 років тому +3

    Nafikiri kungetungwa sheria, raisi akishachaguliwa, na kufanya shughuli za kiserikali, uchama uondolewe...na wananachi wasivae sare za chama, ...maana kama vyama vingine havina fursa hiyo, mbona chama tawala kinatumia mwanya huo kujitangaza, mimi nionavyo hii si sawa...kweli maendeleo hayana chama...sasa uchama usiwepo kwenye shughuli kama hizi....

    • @ibrahimsudi5967
      @ibrahimsudi5967 5 років тому

      Ni wachache sana watakaoelewa point yako hii!!!!

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 років тому +11

    Magufuri Kaja km raisi WA nchi, hajaja km m kiti WA chama
    Ko tuache uvyama nakujifanya tunajua sn kuvaa jezi,

    • @happydaniel7485
      @happydaniel7485 5 років тому

      Fuba, Ujue ni ngumu sana kubadili fikra, hulka, mapenzi, mawazo,na,mitazamo ya watu, hapo watu washavurugwa coz inawezekana wanampenda yeye kama yeye na c chama japo wanatamka ccm ccm ccm kini kiukweli sometimes watu humpenda mtu na c chama,hivyo usiteseke sana mzee baba ikiwa watu wapo furahani utaonekana mchawi bure.

    • @fubanjenjele521
      @fubanjenjele521 5 років тому

      Happy buana, ntateseka bure hahaha
      Sina chama, siipendi siasa ndo mana nikiona mijezi inanivuruga, tufanye kazi kwa bidii tu

    • @ramrashid7859
      @ramrashid7859 5 років тому

      kila mtu ana uhuru wa kuvaa kile atakacho maadam tu hakuna kuvunja aman

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 5 років тому

    Mungu akutunze rais wetu

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 5 років тому +25

    Wananchi wanakupenda coz unawajali

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 років тому +15

    Magufuri ni rais anayeongoza taifa kubwa ulimwenguni

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 5 років тому +11

    Mimi ningeomba2020 tusifanye uchaguzi waraisi cuz nisawa nakupoteza pesa bure
    Anyway raisi ni mmoja Tu JPM

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 5 років тому +18

    Safi maendereo hayana chama tupige kazi.

  • @benny924
    @benny924 5 років тому +18

    Kama Mbeya imerindima hivo hakika kazi umeifanya pia umejua kucheza na akili zao kwa kumsifia Sugu mda wote

  • @vanyjunior1708
    @vanyjunior1708 5 років тому +12

    Sugu kidole icho Kaka,nakukubali sana

  • @libentchristopher9448
    @libentchristopher9448 5 років тому +6

    Uyu bodgad mwenye mtutu wa mashine amazing

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 років тому +41

    Kama umemuona bodgad anatabasam gonga like

    • @jescabrown7499
      @jescabrown7499 5 років тому +3

      Haaa

    • @starmpogoro8044
      @starmpogoro8044 5 років тому +1

      Hussein Konz Hahahaha😁😁😁

    • @rehemaswalehe6423
      @rehemaswalehe6423 5 років тому +1

      kaz zingine mtihan ina maana hutakiwi kucheka hata ukichekeshwa?

    • @tittoandrew674
      @tittoandrew674 5 років тому +1

      Huyo aliecheka sio Bodyguard bali ni mpambe wa Rais

  • @gracegilbert2882
    @gracegilbert2882 5 років тому

    man of the people..

  • @ernestlaiza9489
    @ernestlaiza9489 5 років тому +11

    nakuona sungu oyeeeeeeeee

  • @kiumbechambinguni
    @kiumbechambinguni 5 років тому +11

    Hapo huwezi ona watu wanaojitambua wanapiga makelele, hao ni mafisi tu na wasiojitambua

    • @zachariazabron320
      @zachariazabron320 5 років тому

      Kweli wew ni kaboyoka naona una boyoka Oyo tu

    • @faustinsirili3480
      @faustinsirili3480 4 роки тому +1

      Yoyote ayempinga maghufuli ujue Amaroho ya kichawi

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 роки тому

      Sema unaona wivu tu,kwahiyo na Sugu hajitambui

  • @alexmwashibili3616
    @alexmwashibili3616 5 років тому +23

    Kama umemuona mtu
    Aliye vaaa nguo ya chadema
    Gonga like. #TUNDUMAKIDS

  • @halimagman115
    @halimagman115 5 років тому

    love san rais wetu huyo

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 5 років тому +3

    Best Tanzania president
    MR Magufuli rule Tanzania for whole your life Insha Allah

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 4 роки тому

    Watanzania mnaubauguz wallaah mapolis mungu anawaona

  • @mfubwakilua5380
    @mfubwakilua5380 5 років тому +12

    Yn mpaka machozi yananitoka kwa furaha

  • @rutakihama7599
    @rutakihama7599 5 років тому

    Safi sana our prezd

  • @thomasbobtv7584
    @thomasbobtv7584 5 років тому +48

    Siku gani tutapata kiongozi kama huyu huku kenya maanake huku kenya ni matapeli,walavi,wauwaji,wapenda hongo,waabudu shetani na watoa wanainchi kwa ajiri ya kafara zao za kishetani....mhe.JPM tukumbuke kimaombi na ujue upo moyoni mwetu tokea huku Kenya nchi ya wauwaji......na ata itabidi sasa nioe Tanzania ndio nipate haki sawa ya ndoa njema na heshima ya ndoa

    • @andrewstiphen4462
      @andrewstiphen4462 5 років тому +3

      Thomas Bob muta pata tu kikubwa maombi yenyu wana nchi

    • @thomasbobtv7584
      @thomasbobtv7584 5 років тому +2

      @@andrewstiphen4462 twazidi kimaombi kila kuchao.....Raisi wenu twampenda yaani ni mcha Mungu vilivyo na ni mchapa kazi kwa wanainchi wake wote bila upendeleo wowote......Raisi wa wanyonge aisheee.......naitaji kumguza mkono wake ili nipate hizo baraka zake siku moja

    • @ackshuba8679
      @ackshuba8679 5 років тому +3

      chukua hii peleka Kenya sisi tupatie #BabaUhuruKenyatta tunamtaka yeye. huyu kishatuchosha sisi

    • @thomasbobtv7584
      @thomasbobtv7584 5 років тому +5

      @@ackshuba8679 naomba Mungu akusamehe wewe,,,maanake lahana uja hivyo....

    • @thomasbobtv7584
      @thomasbobtv7584 5 років тому

      @Amani Laizer mbona hatupatani kabisa hebu jaribu kuyapanua maneno yako vizuri

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 5 років тому +4

    Kama Maendeleo hayana Chama Mbona Wabunge na Madiwani Wanahama vyama vya upinzani kuja CCM eti kukuonga mkono kwani wakibaki waliko maendeleo hayapo

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 5 років тому

    Anco mangu umerudisha heshma ya achana hongera rais wetu

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 5 років тому +37

    Daah huyo mjeda mwenye bunduki anatisha amekasirika mpaka amekua mweusi hacheki huyo ukileta uboya anaeza akakuua chap

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 5 років тому +1

      @@saimonmasanja3659 mwana huyo mjeda sio poa

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 років тому

      😃😃😃😃

    • @Capt_Willy
      @Capt_Willy 5 років тому

      Noma sana

    • @tadeisauti1459
      @tadeisauti1459 5 років тому +1

      Amiri Ramadhan hahaaaaa kaka amiri umetiiishaa duh nmechela leo

    • @Aaa-nh7gw
      @Aaa-nh7gw 5 років тому

      😆😆😆😆😆

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 5 років тому +8

    Fire, ila utuongezee mshahara baba mwaka huu. Hali ngumu.

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 5 років тому +5

    Sugu hongera sana. Umewapanga vema 'Wananchi' wako Mbeya!

  • @jonaslameck1563
    @jonaslameck1563 5 років тому +1

    Sugu bigup xanaaaaaaa

  • @georgeangyelile7016
    @georgeangyelile7016 5 років тому +5

    Nataka niwaambie na hamtaamini, siku yoyote kuanzia sasa sugu waziri, kuhusu wizara msijari hilo ntawajuzeni

  • @sebawilsonmbilinyi6181
    @sebawilsonmbilinyi6181 5 років тому +5

    Mm co mnyonge wala dhaifu bali ni mtanzania

  • @rajabumlawa6209
    @rajabumlawa6209 5 років тому +9

    Anae teseka kuvaa sare wana ccm pole yake maana haija katazwa na wengine kuvaa hizo sare zao! Ccm oyeee itabaki kileleni miaka 800

  • @georgegerald7975
    @georgegerald7975 5 років тому +1

    Bonga LA vibe Kwa wananchi amina

  • @patricknyamaiya9491
    @patricknyamaiya9491 5 років тому +17

    Jpm chapa kazi Mzee wangu wananchi tunaimani na wewe

  • @godfreykyando3345
    @godfreykyando3345 5 років тому

    Mr President wellcom tu songwe wala atuna tatizo nawewe ila watu wanaokuzunguka waache unafiki raisi wetu kazi unafanya

  • @emmanuelnicklass9579
    @emmanuelnicklass9579 5 років тому +5

    mwenye akili kaona nn kilichopo hapo,
    SUGU hawezi kuwasalit raia wake, ko 2LIA utulie hvyohvyo mama, liache hlo jimbo

  • @hansmawazo5044
    @hansmawazo5044 5 років тому +1

    Hakika Magu anapendwa na watanzania wote! Kama wana Mbeya wamerukwa na akili kias hiki kwa ujio wako Mbeya!! Mungu akulinde mzee na usimamie kile unachokisema. Mana kuna viongoz hapo Mbeya walipofika walishia kutupiwa mawe tu na wengine kuzomewa ovyoo. Mbeya hakika wakikupenda ujue kweli umewakuna kwa mengi.

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 5 років тому +1

    2020 huna mpinzani magu safii sanaa

  • @amosikabalata6381
    @amosikabalata6381 4 роки тому

    Yaaani mm namuangalia huyu askari alie shika mtutu, asee hiyo sura ni ya kazi kweli kweli . Duuuuuuuu

  • @dailymotivation6484
    @dailymotivation6484 4 роки тому

    Kuna tofauti kubwa kati ya Raisi magufuli na CCM tuangalie maendeleo bila chama wala masilahi ya mtu binafsi

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 років тому

    mashallah mm sijawai kumchukiaga magu kwakweli

  • @albertmichael8675
    @albertmichael8675 5 років тому +2

    Kweli Africa tuna umaskini wa kifikra,tunaitaji elimu ili kukomboka hv vjna hawa wanashangilia nn

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 5 років тому

      Hasa ww huna fikira kabisa

    • @albertmichael8675
      @albertmichael8675 5 років тому

      @@jameskilasa759 ww hapo ndio hujitambui ,hv unamshangilia kma timu au kma rais,acha kuwa bendera ww,au tayari ww ni mwanasiasa

    • @zaynabnyamsingwa3830
      @zaynabnyamsingwa3830 5 років тому

      @@albertmichael8675 kwahyo kukomboka kifikra ni kuwa na fikra kama zako?kuna ubaya gani kushangilia unachokipenda na kukiamini!?ni marais wangap wanashangiliwa duniani au yeye ni wa kwanza?

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 років тому +8

    CCM mbele kwambele

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 4 роки тому

    Hatariiiiii sana ccm hoyeeee

  • @williamkitengai3608
    @williamkitengai3608 5 років тому +13

    Kama maendeleo hayana chama kwanini wabunge wa upinzani wanahama?!

    • @estarjuma7983
      @estarjuma7983 4 роки тому +1

      Wahama maana wapinzani wanapinga maendeleo

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 4 роки тому +1

      Ni kwasababu chama chao kinawahamasisha kukataa maendeleo ili kupata political bang in future. Jibu simple na lakwel

    • @laureanusjohn4978
      @laureanusjohn4978 3 роки тому

      Wafata njia sahii

  • @mapenzi_tz1511
    @mapenzi_tz1511 5 років тому +4

    Eti kesho watasema, JPM hakubariki Mbeya

    • @lamecktheonest225
      @lamecktheonest225 5 років тому

      Molove Momapenzi akili za nyumbu wanazijua wao wenyewe😁😁

    • @barnabamwangi5924
      @barnabamwangi5924 5 років тому

      Kukubalika in kitu gani kwani

    • @mwamengele
      @mwamengele 5 років тому

      Rekebisha hapo ni hakubaliki, sio hakubariki

    • @furahamwakabana5888
      @furahamwakabana5888 5 років тому

      Tatzo la wtz kazi yao ni kushangilia tu haijalishi unaongea pumba au laa ndo nilichokiona mbeya huo ni uboya ndiomana nchi haipat maendeleo polen sana.

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 4 роки тому

    Mugu msenge sana wewe akulaan magufuli

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 років тому

    safi sana joni kaka yangu

  • @andreymalisa1625
    @andreymalisa1625 5 років тому

    Nasikitika kwa kiasi!!!! lakn acha maisha yaendelee

  • @shuishui1307
    @shuishui1307 5 років тому +1

    mbona ulinz mkali sana au kuna shida gan hapa nchin na kwnn maccm yanapenda kuvaa sare kila kwenye viongozi au wanaonaje

    • @prospermwani2702
      @prospermwani2702 5 років тому

      Shui Shui ulitaka raisi asilindwe kama street vendor

    • @shuishui1307
      @shuishui1307 5 років тому

      alindwe kawaida tu maana mlinz mkuu ni mungu

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 4 роки тому

    Mnashangilia majina ya watu kweli nchi imeuzwa

  • @lukagulagekidehele4937
    @lukagulagekidehele4937 5 років тому +13

    Sugu haji ccm ng'oo, hata iwe vp huyo Tulia Ackson Mbeya hataupata ubunge kamwe, huu co unaibu spika aliopewa kama zawadi toka kwa mpenziwe

    • @husnajohn7466
      @husnajohn7466 5 років тому +2

      Lukagulage Kidehele fala kweli wewe

    • @kiatu
      @kiatu 5 років тому +1

      Huwajui wanasiasa, ni watu wa aina yao.

    • @halimasaleh5705
      @halimasaleh5705 5 років тому +1

      Na ww kawe mpnz wako utapata uongozi😏

    • @papayatnzania1005
      @papayatnzania1005 5 років тому

      2020 hana ubunge we mpe mama yako tu amfumue marinda

    • @brownmwantolwa4786
      @brownmwantolwa4786 5 років тому

      Mbeya namwona sugu ndio mwenye jimbo,rangi ya kijani matapeli.

  • @chimjr98
    @chimjr98 5 років тому

    Ila njaa sio nzuri

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 5 років тому

    Siasa ni rahisi sana

  • @shukrankifyasi1500
    @shukrankifyasi1500 4 роки тому

    Kazi iendelee

  • @ruzukually9982
    @ruzukually9982 5 років тому +4

    rami imetegenezwa na yeye sio kodi ya wa tz hatali aise

  • @issampologomy1286
    @issampologomy1286 5 років тому

    Hizi shangwe wana CCM wamefundishana? Matokeo yake watasababisha Magu atoke bila kuwaambia kitu

  • @Robust78
    @Robust78 5 років тому +3

    CCM msibweteke washangaliaji hawa ingawa wamevaa sare za ccm na kuinua mabango ni wanachadema na siyo ccm. kunahitajika juhudi zaidi kulipata jimbo la Mbeya mjini

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 років тому

    Asante baba tunachomba amaini kila siki

  • @gabrieladam491
    @gabrieladam491 5 років тому

    Magufuli oyeeee,Ccm oyeeee

  • @trophainamagogwa1163
    @trophainamagogwa1163 5 років тому +8

    Rais anapendwa saana hadi Raha uishi milele

  • @timothykibonde6791
    @timothykibonde6791 5 років тому +6

    Serikali itaendelea kushusha maendeleo!!?

  • @henlysaka887
    @henlysaka887 5 років тому +4

    Kizazi chetuuuu kina upungufu Wa kuelewa mambo. Acha tuendeleeee kuishi kama ZUMBUKUKU

  • @yusuphsimon8151
    @yusuphsimon8151 5 років тому +2

    vp tena hao ukampeni mwingi hao mbn wanaleta classes

  • @mohamedothman9769
    @mohamedothman9769 5 років тому

    Sugu ni genious

  • @frankmwafifi6712
    @frankmwafifi6712 5 років тому +9

    Sina uhakika Kama hawo raiya wanamshangia Magu toka moyon maana mbeya siyo ya mchezo

    • @rukizaseba5741
      @rukizaseba5741 5 років тому +3

      Watu tumejitambua sahivi we kalia uchama wako wa kipuuz

    • @frankmwafifi6712
      @frankmwafifi6712 5 років тому

      acha upuuz Kwan kuna baya gan Nimeliandika

  • @rosemarymnzeru1184
    @rosemarymnzeru1184 5 років тому

    Rais wangu baba wa taifa letu karibu mbeya twakusubir Kwa hamu huku chuo cha ualimu mpuguso karibu.