Ni hapo wataalam wa magitaa walibadilishana kuongeza radha ya muziki.Gama alikamata Gitaa kiongozi,Mulenga kwenye rhythm na Mwanyiro kwenye bass.Waweza kusikia jinsi rhythm inaikamata solo hapo.(inaifunika solo)kwa maana rhythm inasikika zaidi ya solo.wimbo upo sawa sana.
Sikinde asanteni mno toka 1978 mpka leo na mahasimu wenu msondo naziri yangu mola akinijaria kipata ni kuwapiga vyombo vipya ya kisasa wote wawili ndoto yangu itimie
Miaka hiyo baba yangu alikuwa na duka TEMEKE Mikoroshini kwa Njigale, ana hela mpaka pa kuweka hakuna. Watu wanapanga foleni barazani kwetu kusubiri unga wa sembe,sukari na mchele kwa kibali cha Mjumbe wa nyumba kumi. Alhamdulillah sisi ndio tulikuwa madoni wakati wengine wakihangaika njaa. Allah amweke mahala pazuri baba yangu mzee Njigale.
Hiyo trumpet bila shaka ni King Michael Enoch (Ticha).Pia kwenye vocalline nawasikia Maalim Kinyasi, Bitchuka, Mzee Gurumo. ASANTE sana kaka Eddie ubarikiwe
Ukweli ni kwamba hakuna kikosi kitakacho undwa na kichanganyike sawa sawa kama Sikinde. Hiki kikosi kilikua na waeledi waimbaji wenye sauti nzuri na wacharaza magita na wapuliza tarumbeta mahodari ; hivi vyote viliingiliana na sauti za magita. Hakuna bendi nyengine itayopatikana Tanzania au East Afrika kama Sikinde - huo ndio ukweli. Hawa wapigaji walikua ni hodari kupita kiasi.
Eddie hakika wewe unanifanya sasa nisikize hizi nyimbo zisizochuja, asante sana yaani sikuamini kama ningeweza kuzisikia hizi nyimbo mm naziita za kisasa kwa hawa waimbaji wetu wa computer nyimbo zao zinachuja mara moja
kaka Eddy nakukubali mm huwa najiuliza kunawimbo hapendeki wa ddc orijinol naomba kama opo uposti kaka kunaoliofanyiwa remix haunalatha ya Ddc ya 1982 kabisa pia nakutaki maisha mema Katika Kazi zako
Kwa mujibu wa Jimy Chika "google"mchambuzi maarufu wa nyimbo hizi kutoka TBC fm anadai humu ndani kulipigwa magitaa 3 lakini kwa utaalam wa kupanga sauti za ala lilipatikana gitaa 1 la ziada kwa nadharia tu. Yote ilikuwa kazi ya ticha Michael Enock. rip
Samahani ndugu Eddie. Kuna wimbo wa DDC Mlimani Park Ochestra unaojulikana kama JIRANI. Je wimbo huu waweza kuupata na ukaupost? Ahasante na nakuombea ufanikiwe.
Nduvu Eddie mie napenda sana nyimbo za klmulimuli kama vile kabwe na christna ,nitaslpataje kwa sababu hizo umewaka hapa kwa youtube sio kamilifu? KISII KENYA.
Sidhani nakusumbua ndugu Eddie ela nimeona ni wewe unaweza kuwa mfumbuzi wa vitendawili vyangu vya kiu ya mziki wa siku hizo.Ingilia Western Jazz uone kama unaweza kupata nyimbo zao Nibadili Dini na Jela ya Mapenzi.Zuwena ya DDC nimeipat isipokuwa Uhuru wa Zimbabwe na Mama Maria Nyerere.(za DDC). Kwa hisani yako pekuapekua.
Eddie hivi unaweza kuapata wimbo wa National Panasonic band uitwao "Laiti Moyo" Unaitikiwa kama hivi: Laiti moyo ungekuwa na kifuniko Nisingeona radhi kufungua, uone jinsi ninavyokereketwa mama, eheee eheee... Tafadhali kama unao weka kigongo hicho. To hell with fleva.
Orchestra Mlimani Park ikiwa kileleni….ubora wa Bitchuka huu akiwa na kundi zima la wana Sikinde wakiwa bado nyumbani Mlimani Park hii ndio Dar es Salaam iliyokuwa inachemka kama bahari aliyoisema King Kiki Mpango Mwema
wewe ni kichwa huko juu sana eddy nakumbuka siku moja wakenya kwenye radio yao walisema hii ni ddc mlimani ya kenya unaweza kuniambia ni kwanini walisema vile?
Ibrahim Kambi mimi nadhani ni kile kipindi ddc walikwenda nairobi kurekodi albam bila ruhusa ya bamuta hivyo albam hiyo ilipigwa marufuku rtd. Kenya wakatumia fursa hiyo kuzicheza nyimbo za ddc
Eddie ndugu yangu tafaaadhali kuna vibao vya sikinde nimetafuta mpaka uvungu wa kariakoo sijavipata kama vile Mume si riziki,supu ukitia nazi.Pls naomba tutafutie na sisi tuweze kutoa stresses zilizotunguuka na majukumu haya tunahitaji vitu kama hivi ili kuongeza uhai tafadhali.ommyb74@gmail.com.0785670095.
On this song, Abdalla Gama and Joseph Mulenga switched roles. Gama on Solo and Mulenga on Rhythm
Oooh! DDC iliikuwa Moto WA kuotea mbali! Ila kina mfaume wapo Hadi Leo 2022 nawashauri Muache tabia hizo za kunyanyasa wapenzi wenu!
Kikosi cha wanamuziki wa Kitanzania kilichojibainisha kuwa ni Bora zaidi
Hicho ndio kikosi bora cha sikinde ambacho kilitupa raha miaka ya themanini.
Ni hapo wataalam wa magitaa walibadilishana kuongeza radha ya muziki.Gama alikamata Gitaa kiongozi,Mulenga kwenye rhythm na Mwanyiro kwenye bass.Waweza kusikia jinsi rhythm inaikamata solo hapo.(inaifunika solo)kwa maana rhythm inasikika zaidi ya solo.wimbo upo sawa sana.
rithyn ni mwanyilo bass mulenga na solo ni gama mabadiliko maalum kabisa hayo by
ALLY Marijani
miongoni mwa nyimbo nzuri sana ambazo zimewahi kuimbwa na sikinde.Unanikumbusha mbali sana
Sikinde asanteni mno toka 1978 mpka leo na mahasimu wenu msondo naziri yangu mola akinijaria kipata ni kuwapiga vyombo vipya ya kisasa wote wawili ndoto yangu itimie
Miaka hiyo baba yangu alikuwa na duka TEMEKE Mikoroshini kwa Njigale, ana hela mpaka pa kuweka hakuna.
Watu wanapanga foleni barazani kwetu kusubiri unga wa sembe,sukari na mchele kwa kibali cha Mjumbe wa nyumba kumi.
Alhamdulillah sisi ndio tulikuwa madoni wakati wengine wakihangaika njaa.
Allah amweke mahala pazuri baba yangu mzee Njigale.
Hiyo trumpet bila shaka ni King Michael Enoch (Ticha).Pia kwenye vocalline nawasikia Maalim Kinyasi, Bitchuka, Mzee Gurumo. ASANTE sana kaka Eddie ubarikiwe
Saxaphone
Dhahabu hizi,
Ni Tam Sana Nyimbo hizi,,,
Mmh iki kigongo kinanikumbusha mbaali miaka1983 akiupenda dada yangu mpenzi ila mungu amempenda zaidi ah nakkumbuka dada k
Mambo yetu ayo vigongo vyetu walai auniishii am
Eddy nashauri embu tutengenezee flash mkuu mimi nitakua mteja wako
Asante sana Eddie kwa kupost hizi nyimbo. Zinatumbusha mbali sana
Kiukweli iki kigongo nakipenda mpaka nauzunika maana enzo zile familia tulitimia sasa weeengi wamefalik mungu awalaze mbaali pema
Such a great feeling,reminds my old days in Azasesco
Ahsante sana Eddie pamoja sana..
hhiki ni kikosi kilichokuwa kimekamilika cha DDC...sikinde ngoma ya Ukae
Naomba nikumbishe kaka kikosi hiki
Bitchuka
Gurumo
Kinyasi
Mulenga
Gama
Mwanyiro
King Enock
Juma Town
Kachale
.......
Ya kale ni dhahabu,nakumbuka magomeni,chem chem kwa kaka Mbaraka na Essau Ngadala,Mwl wa Kibasila miaka hiyo
Kwa uchache tu gurumo,bartazari,george kessy,bichuka,josef bernard,seleman mwanyilo,machaku salum,josef mulenga,michael enock ticha,abdalah gama, maalim kinyasi,
Ddc ni bendi ambayo naipenda sana
Kama timu ya taifa bas hii Brazil ya pele
Asante kaka
Ukweli ni kwamba hakuna kikosi kitakacho undwa na kichanganyike sawa sawa kama Sikinde. Hiki kikosi kilikua na waeledi waimbaji wenye sauti nzuri na wacharaza magita na wapuliza tarumbeta mahodari ; hivi vyote viliingiliana na sauti za magita. Hakuna bendi nyengine itayopatikana Tanzania au East Afrika kama Sikinde - huo ndio ukweli. Hawa wapigaji walikua ni hodari kupita kiasi.
Mfaume waniliza!!! nyimbo za zamani dawa; za stress"Hamisi Dale Boston USA
Nakuka mbali Sana'a!!!
Ah sinaga upinzan kwa mziki uu ni mtam wenye ujumbe unaoeleweka
Dalle upo wapi?
Eddie hakika wewe unanifanya sasa nisikize hizi nyimbo zisizochuja, asante sana yaani sikuamini kama ningeweza kuzisikia hizi nyimbo mm naziita za kisasa kwa hawa waimbaji wetu wa computer nyimbo zao zinachuja mara moja
Mord Ally Hahahahaa.Huo ndio ulikuwa mziki wa kweli ndugu:burudika
kaka Eddy nakukubali mm huwa najiuliza kunawimbo hapendeki wa ddc orijinol naomba kama opo uposti kaka kunaoliofanyiwa remix haunalatha ya Ddc ya 1982 kabisa pia nakutaki maisha mema Katika Kazi zako
Muziki tamu tena wenye maadili
Kazi hiyo
Ni kumbukumbu ya kikweli ya siku ujana wangu
Pia weka Msondo hizi nyimbo za "Nasikitika", "Sogea Karibu (Chake)"
Kweli za kale nizahabu
Dar ilikua ya moto miaka hiyo 😅😅
Hii ni mwaka 1982 nikiwa standard seven Deri shule ya Msingi
ndio uko mfaume ulioimbwa pia na Orchestra Makassy..
enzi hizo kwakivesa handeni na
mtunani kisarawe
Mpiga tumba alisimama kweli kweli
hatuwezi kuropoka...mfaume wanilizaa
adeladius makwega Kwega boy 👍
Zipo zote hewani ndugu!
Hizo flush zinapatikana wapi naombo unielekeze nikanunue
Ahsante sana ndugu,nikinafasika na kunapo uhai na salama nitau post kaka
weweeee mambo hayarudi tena basis
haiwezetokea nyimbokamahizi
Kiukweli mfaume ni kigongo kitam mno
eddie samahani kaka hivi huna ile ngoma ya sikinde inasema KUPENDA SIO NDOTO YA USIKU 1, km vp irushe kaka
Namkumbuka marehemu mama yangu Aisha miaka hiyo 1975
Oky sikinde imeanza mwaka 1978
Hahahah hapo rhythm la Gamma lilikuwa nyota wa mchezo.. Magitaa yanaongea sheikh
Kwa mujibu wa Jimy Chika "google"mchambuzi maarufu wa nyimbo hizi kutoka TBC fm anadai humu ndani kulipigwa magitaa 3 lakini kwa utaalam wa kupanga sauti za ala lilipatikana gitaa 1 la ziada kwa nadharia tu. Yote ilikuwa kazi ya ticha Michael Enock. rip
Wataalam walibadilishana zana hapo,Gama kwenye Solo wakati Mulenga kwenye rhythm.Utaona hapo rhythm inaifunika solo.
Sio mfaume ! But Faume
Msikie Bitchuka anapoloa anaita Mfaume sio Faume
Anapolia
Mfaume
Muziki umeenda skuli yahee
Samahani ndugu Eddie. Kuna wimbo wa DDC Mlimani Park Ochestra unaojulikana kama JIRANI. Je wimbo huu waweza kuupata na ukaupost? Ahasante na nakuombea ufanikiwe.
Nduvu Eddie mie napenda sana nyimbo za klmulimuli kama vile kabwe na christna ,nitaslpataje kwa sababu hizo umewaka hapa kwa youtube sio kamilifu?
KISII KENYA.
Ninazo nicheki 0687849999 whatsup Nina makilachiku, ,kabwe,kiss cha photo album,Cleopatra
Mh achaga tu
Sidhani nakusumbua ndugu Eddie ela nimeona ni wewe unaweza kuwa mfumbuzi wa vitendawili vyangu vya kiu ya mziki wa siku hizo.Ingilia Western Jazz uone kama unaweza kupata nyimbo zao Nibadili Dini na Jela ya Mapenzi.Zuwena ya DDC nimeipat isipokuwa Uhuru wa Zimbabwe na Mama Maria Nyerere.(za DDC). Kwa hisani yako pekuapekua.
Hapana shaka kaka.Fanya subira tu tukijaaliwa nitazi post
the best
Haya kaka ubarikiwe
Eddie hivi unaweza kuapata wimbo wa National Panasonic band uitwao "Laiti Moyo"
Unaitikiwa kama hivi:
Laiti moyo ungekuwa na kifuniko
Nisingeona radhi kufungua, uone jinsi ninavyokereketwa mama, eheee eheee...
Tafadhali kama unao weka kigongo hicho. To hell with fleva.
Nna hakika nnao hu Lumber.Nitauchungulia na nikiupata nitaurusha Mungu Muumba akipenda
Nitashukuru sana Eddie....Mungu akulinde daima kwani unatupa raha za hajabu sana. Wewe ndiyo raisi etu humu mtandaoni.
+MightyLumber Kaka huo wimbo unaitwa "Tofiki" hata mimi pia naupenda sana.
Orchestra Mlimani Park ikiwa kileleni….ubora wa Bitchuka huu akiwa na kundi zima la wana Sikinde wakiwa bado nyumbani Mlimani Park hii ndio Dar es Salaam iliyokuwa inachemka kama bahari aliyoisema King Kiki Mpango Mwema
Ukiwakosa wana msondo ngoma pitia sikinde ngoma ya ukae,Urafiki na Uda jazz...king kiki.
wewe ni kichwa huko juu sana eddy nakumbuka siku moja wakenya kwenye radio yao walisema hii ni ddc mlimani ya kenya unaweza kuniambia ni kwanini walisema vile?
Ibrahim Kambi mimi nadhani ni kile kipindi ddc walikwenda nairobi kurekodi albam bila ruhusa ya bamuta hivyo albam hiyo ilipigwa marufuku rtd. Kenya wakatumia fursa hiyo kuzicheza nyimbo za ddc
Zamani hairudi.Nikiwa kijana wakati huo nikisikiliza RTD kila siku. Miziki kama hio ilinifanya mbaka leo naipenda sana TZ. Mombasa Kenya
Eddie ndugu yangu tafaaadhali kuna vibao vya sikinde nimetafuta mpaka uvungu wa kariakoo sijavipata kama vile Mume si riziki,supu ukitia nazi.Pls naomba tutafutie na sisi tuweze kutoa stresses zilizotunguuka na majukumu haya tunahitaji vitu kama hivi ili kuongeza uhai tafadhali.ommyb74@gmail.com.0785670095.
Kuna mfaume ya makassy pia ama am mistaken?
Mryra Patrick Sina hakika kaka.Ngoja nichungulie
chuki yanini kwa wazazi wanngu mfaume/sijakukataa eeh mama/nilikueleza subiri nimalize shule/nitakujibu bla bla.....
Ama kitu kama hiyo
Sijaukumbuka bado lakini nitaupata!
Mryra Patrick Huo wimbo upo kweli uliimbwa na Mzee Makassy with Makassy Orchestra
Anthony Kisondella nafikiri mzee Anthony huna kumbukumbu vizuri, makassy na wimbo huu wapi na wapi
Correction : huu wimbo waitwa Faume wanilisa
@@akimumwabulanga6231 ni faume waniliza but not mfaume
hatuwezi kuropoka...mfaume wanilizaa